No video

Ukiota Na Ngombe Ina Manisha Nini? 🐄

  Рет қаралды 10,101

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@marthawilliam8621
@marthawilliam8621 6 ай бұрын
Mungu akutunze Mtumishi wa Mungu unatusaidia saana katika ndoto❤
@rozygloria5082
@rozygloria5082 2 күн бұрын
Je ukiota umeingia kwenye Zizi la Ng'mbe inamanisha nini
@gaspersamba492
@gaspersamba492 18 күн бұрын
Niliota ndoto ng'ombe anajifungua mda mfupi katoto kake kakaanza kutembea, Mwenyezi Mungu nisaidie nipate kibali kwa kila kitu ninachokifanya
@elsaakoth232
@elsaakoth232 Ай бұрын
Thank you Lord may your will be done ,nliota ng'ombe akijifungua
@dayana5513story
@dayana5513story 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 29 күн бұрын
Je ngombe amekufa
@barakamateru7615
@barakamateru7615 27 күн бұрын
🙏
@AmosiThomasi-no5sd
@AmosiThomasi-no5sd 14 күн бұрын
Ukiota n,gombe wanachinjwa
@OlivreKimario
@OlivreKimario 3 ай бұрын
Shalom kuhani wa Bwana,nimeota ngombe 2 mkubwa na mdogo wanakula madhabahuni kanisani tena wsmejengewa hapo,alafu nikaona kanisa zima kumemwaga kile kinyesi chao mpaka ofisi ya mchungaji na eti na mm nikatafuta ufagio nikawa nafagia kile kinyesi nikasema mbona ni pachafu hivi nitamaliza mwenyewe kufagia kweli?nikatupa ule ufagio pale chini nikaondoka,
@serahmuchemi9661
@serahmuchemi9661 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi WA Mungu 🙏
@rhodamgeni983
@rhodamgeni983 4 ай бұрын
Amina
@hellenaswani5930
@hellenaswani5930 Жыл бұрын
Amen
@dinairenge
@dinairenge 2 ай бұрын
Amen mtume
@agathemichelle238
@agathemichelle238 Жыл бұрын
Amen amen
@ReginaAtilio
@ReginaAtilio 5 ай бұрын
Mm rejina kuota ng,ombe wanapigana
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@Nambaya-wt6lq
@Nambaya-wt6lq Жыл бұрын
Amen amen pastor nisha ona mara tatu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Mm niliota na kamuwa maziwa ya ng'ombe
@hadihadi9167
@hadihadi9167 Жыл бұрын
Ameen
@budodianthony8094
@budodianthony8094 3 ай бұрын
Mimi nimeota ngo," mbo wengi wanzuri mwingine ana mimba tena wengi tena niwangu wapo wengi sana jamani
@YvonneSimiyu-cn6iw
@YvonneSimiyu-cn6iw Ай бұрын
Habari ya hasubuhi mchungaji ..me nmeota mara mbili nagongwa na ngombe mara nmeumwa kiganganjani mwangu wa kulia
@nanyoraireuben8807
@nanyoraireuben8807 Жыл бұрын
Pastor nimeota Leo nachunga ng'ombe
@user-pn4wk3du3h
@user-pn4wk3du3h 7 ай бұрын
Bwana asifiwe mm nimeota Ng'ombe imeanguka ndani ya shimo kubwa na imekufa kidogo to nikaona amekufia tena kwa nyumba yetu lakini kwa kichwa ilikuwa imeng'oka manyoya akabaki white
@user-pe5qf1uo9i
@user-pe5qf1uo9i Ай бұрын
Nisaidie mm nimeote ndoto nimefuga ngo'ombe nazichunga mimi zimenenepa sana nisaidie tafsiri
@lucymtui8680
@lucymtui8680 3 ай бұрын
Kama umeota unakimbizwa na ng'ombe ndani mwakoo??
@Viginiah
@Viginiah 5 ай бұрын
Mm nmeota ngombe imechinjwa Kwa barabara Na kwetu kunapikwa chapati Na mamangu analipa wafanyi kazi pesa 😢inamaana gani
@Omarvuha
@Omarvuha 3 ай бұрын
Shalom mimi ni Mary kutoka tz mimi nimeota ninamswaga ngombe usiku mmoja na nilimchukua njin kama ulinzi ili nisiogope barabara
@user-zl1kt6ic9b
@user-zl1kt6ic9b 3 ай бұрын
Ukiota unafungua ngombe kutoka kwa nyumba unaifunga nje yamaanishaje
@VisiaWilison
@VisiaWilison 2 ай бұрын
Mbona kila siku inanitokea
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Samahan mchungaji mm nimeota ngombe anazaaa katanguliza kichwa na miguu ya mbele maana yake nn naombà msaada wako
@revpeternjihia
@revpeternjihia 10 ай бұрын
Ngombe ina hashiria mafanikio ,kuona ana jifungua kina kizuri kiko karibu kutukia maishani mwako
@lillianachieng1708
@lillianachieng1708 8 ай бұрын
Nikulize nini maana ya kuota ngombe wawili wa kiume wana pigana
@rachelneema3159
@rachelneema3159 8 ай бұрын
Mimi niliota ng'ombe ananigonga zaidi ya mara mbili ila ng'ombe huyo akawa hafanikiwi
@user-xv4ll9iq6e
@user-xv4ll9iq6e 6 ай бұрын
Nimepata ngombe akitaka kumuua mine wangu
@babyangele3847
@babyangele3847 8 ай бұрын
Kuota ngombe anazaa inamanisha nini
@evelyneakinyi1725
@evelyneakinyi1725 Жыл бұрын
Maana gani ukiona watoto vijana wanao fanana kama Mapacha lakini mmoja ndio wako na pia huwezi tofautisha nani ndiyo wako.
@user-gu7ft2cp4x
@user-gu7ft2cp4x 5 ай бұрын
Nimeota nimekutana na ng'ombe anavuuruga tope
@nanyoraireuben8807
@nanyoraireuben8807 Жыл бұрын
Na Nini maana ya kuona ng'ombe wanafungwa
@charleskaponda6950
@charleskaponda6950 7 ай бұрын
Unitumie namba ya kwako
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
+254706945821
@esthermurunga3659
@esthermurunga3659 6 ай бұрын
Samahani mchungaji mimi nimeota ngombe amezaa mapacha 6 Ina maana gani mchungaji please help me to understand please ​@@revpeternjihia
@YvonneKyambi
@YvonneKyambi Жыл бұрын
Amen
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Samahan mchungaji mm nimeota ngombe anazaaa katanguliza kichwa na miguu ya mbele maana yake nn naombà msaada wako
@christabelinziani6690
@christabelinziani6690 Жыл бұрын
Amen
@serahmuchemi9661
@serahmuchemi9661 Жыл бұрын
Amen
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Samahan mchungaji mm nimeota ngombe anazaaa katanguliza kichwa na miguu ya mbele maana yake nn naombà msaada wako
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Samahan mchungaji mm nimeota ngombe anazaaa katanguliza kichwa na miguu ya mbele maana yake nn naombà msaada wako
@captainleonard5769
@captainleonard5769 10 ай бұрын
Samahan mchungaji mm nimeota ngombe anazaaa katanguliza kichwa na miguu ya mbele maana yake nn naombà msaada wako
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
Kuota Na Maji Machafu Ina Manisha Nini?
1:56:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
"TAFSIRI YA NDOTO YA NG'OMBE KIBIBLIA|KKKT KARIAKOO|Mch Joash Aila.
44:40
Somo: KIJICHO! By Zepha the Preacher+255785627777
21:25
Zepha the preacher
Рет қаралды 134
Ndoto ya Kuchinja :Shaikh :Jafari Mtavas
13:47
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
KUOTA UNAKULA MAHINDI AMA KUONA MAHINDI KWA NDOTO INA MANISHA NINI?
1:27:25
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 406
KUPIGANA NA MTU KWA NDOTO INA MANISHA NINI? - +254706945821
1:13:31
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.