Ukipuuza haya usimlaumu mtu siku Dada wa Kazi akiwa mke mwenzako

  Рет қаралды 9,283

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@FaridaMusa-c9s
@FaridaMusa-c9s 2 ай бұрын
Masha allah, nimeyapata mie
@rahmayusuph9973
@rahmayusuph9973 7 ай бұрын
Ma shaa Allah Tabarakallah ❤❤ ukhty wetuu tunakupendaa kwa ajili ya Allah 😍😍😍
@RehemaJuma-es4jk
@RehemaJuma-es4jk 7 ай бұрын
Jazakah Allah kher nakupenda nikiwa kenya ukhty Fatma mdidi Allah ajalie siku moja nikutane n ww live nizidi furah n darsa zako
@serahmohamed6513
@serahmohamed6513 7 ай бұрын
MaashAllah tabarakaAllah wa Jazakallahu kheir inshaallah, ukhty Fatma nakupenda ww na mafundisho yako kwa ajili ya AllALLAH.
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 7 ай бұрын
Eweee Ukhty Fatma wee 🙋‍♀️Mashallah Allahumma barik😁
@jasmintanga2474
@jasmintanga2474 7 ай бұрын
Maashaa Allah, shukran ukht kwa elimu
@arashe6351
@arashe6351 7 ай бұрын
Ma sha Allah....Ma sha Allah.....shukrani sana kwa elimu.
@nismaali2982
@nismaali2982 7 ай бұрын
Maashallah Tabarak Allah ❤❤❤❤ukthy allah akujalie kila lenye kher nawe🤲🤲
@sadasaid7212
@sadasaid7212 7 ай бұрын
Maa shaa Allahu kipenzi changu roll model wangu!! I wish one day nihudhurie darsa lako liveee yn
@MajuvaMajuva
@MajuvaMajuva 7 ай бұрын
Masha Allah baraka llah fika
@MwanajumaShaban-e5j
@MwanajumaShaban-e5j 7 ай бұрын
Maa Shaa Allah,TabbarakaAllah❤❤
@ZaidaNyanyagi
@ZaidaNyanyagi 7 ай бұрын
Masha Allah, nakupenda kwa ajili ya Allah
@ashuumuhammad8269
@ashuumuhammad8269 7 ай бұрын
MaashaAllah ukhty
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 7 ай бұрын
Naaam maadam fatuma wanawake wengi ndo mama ndo bab kila unachokifanya bila wewe kutoka walala njaa na watoto hali wala kwenda shule na kuvaa lakini kwa mwanaume wenye kazi watafany hayo
@OmaryIssa-uk4zh
@OmaryIssa-uk4zh 7 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 7 ай бұрын
Mashallah ukhuti
@a.856
@a.856 7 ай бұрын
Jazakallah khayran
@rahmahasan32
@rahmahasan32 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@LeonChoaji-n8z
@LeonChoaji-n8z 5 ай бұрын
Dunia nzima imeamia kwenye madarasa ya mapenzi, kila mtu mwalimu na kila mwanamke kungwi. Tena wengine wanapitia mlango wa dini na ndoa. Si wachungaji, si masheikh.
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 7 ай бұрын
Ukhti darsa zako zinapatikana wapi kwa mabinti wari wanao olewa tunahitaji kuwaleta uwafundishe kabla ya kuolewa tafadhali
@nduwimanafatma9948
@nduwimanafatma9948 6 ай бұрын
Da Fatma hayo unaongea nikweli ila kwa maisha ya sasa ni ngum waume wanashinda kwenye majundi ya kahawa wake masokoni watoto wanakutazama je huyo mda utautowa wapi. Halafu uislam hujasema mume tuu nipe nikupe sister hata nasi twaitajia kutolewa mywele na kupewa iy pesa ya kusukwaa. Wanamume wameshawapa wake zao majukum yao je hiyo hali itatoka wapii
@moanamessi1749
@moanamessi1749 7 ай бұрын
Mashaallah tabaraka llah
@ZaidaNyanyagi
@ZaidaNyanyagi 7 ай бұрын
Masha Allah
@tumwesigyehamdan8587
@tumwesigyehamdan8587 7 ай бұрын
Wambie.. Daada
@HafsaShekigenda
@HafsaShekigenda 7 ай бұрын
Waambie wainga wainga wasio jijua NA majeuri yamewajaa wenyewe hawajui hata kujisafisha
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 ай бұрын
Inamanisha mume no mtoto wa mwisho nyie😂😂😂😂😂 nimechoka mimi wakwangua anapenda ushindi au magadi
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 7 ай бұрын
Mbona unamambo ww nimnyoe kwani yy Hana mikono mnahangaika na hao wanaume hawana maana kesho wanakuletea wanawake wengine Sina muda huo
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 7 ай бұрын
Mm nashangaa hawa wanaofindisha hv uislamu umefundisha mwanamke amfanyie mwanaume tu yy. Mwanaume hana yakumfanyia mkeo. Kiufup mwanaume ndio amfanyie mkewe sio mwanamke tu
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 7 ай бұрын
Ndio hpo utasema ni mlemavu umfanyie hvo wengine hawatak ujinga huo wanajua kwamba mwanamke anachoak kazi za nyumba kuangalia watoto bdo uwangalie mpk kucha za mwanaume si kutupa kazi bila mshahara.
@AskAyoon
@AskAyoon 7 ай бұрын
Tufundisheni watoto wa kiume usafi
@nurumasha
@nurumasha 7 ай бұрын
Mh!!!!!!
Kinacho waponza ni Chipsi Kuku - Ukht Fatma Mdidi
21:32
Kalamutz
Рет қаралды 9 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
NYUMBA YAKO NDIO PEPO YAKO HAPA DINIANI | SHEIKH OTHMAN MAALIM
43:27
Umepewa mali, mume una myima, utaanguka tu!
18:33
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 21 М.
Mwanamke Jifunze kunyamaza - Ukht Fatma Mdidi
1:05:20
Kalamutz
Рет қаралды 11 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 232 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН