Idea nzur ila kwa kuku wa kienyeji humu unawabana sana wanahitaji kujinafasi
@muhammedwakif62162 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji kufuga humu ni maonevu tu
@alfredjoshua86253 жыл бұрын
somo zuri sana, asante kwa elimu yako.
@georgesungura4597 Жыл бұрын
Asante sana Mr philicon , nimefuraia Kwa masomo
@safariguide_tanzania3 жыл бұрын
Maelezo yamekamilika ahsante sana
@tamikamwakyembe25492 жыл бұрын
Hongera sana brother nimependa ujengaji wa banda liko simple
@ramazanindege87223 жыл бұрын
Hongera saana KAKA unakipaji cha kuelimisha kabisa.
@joelmnzava Жыл бұрын
The session is good for sure Ican
@estherkaidza16183 жыл бұрын
Hongera Sana kwa mafunzo haya
@dianamaresa44233 жыл бұрын
Nimeipenda Banda lilivyo sijui napataje mawasiliano ni na shida ya utengenezaji wa banda
@hemedabdullah62062 жыл бұрын
Wasiliana na Malembo Farm Dar es saalam
@radaonlinetv19222 жыл бұрын
Mm nataka holo handa
@user-ls2uj3fl1oАй бұрын
Asante kwa kipindi kizuri naomba namba ya simu ya huyo jamaa
@hemedabdullah62063 жыл бұрын
Nice video and good presentation. Well done Brother Philicon.
@philiconmalembo66243 жыл бұрын
Tanks brother Hemed Abdullah
@edinamwambipile38132 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@noahmrinde32709 ай бұрын
@@philiconmalembo6624❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kasigwamzalifu68763 жыл бұрын
Kaka uko vizuri nimependa
@franaelisumari51082 жыл бұрын
Safi sana.
@aniressamson69722 жыл бұрын
Nitapataje vipimo halisi vya hili banda nimelipenda
@moricemorice752 жыл бұрын
Vipim c amevitaj jamani au hujasikia
@deomallya-sn8ir Жыл бұрын
madini ta kutosha 👍
@pasteurmardocheemwale20232 жыл бұрын
Na shukuru sana 🇨🇩
@jovinjosephat44282 жыл бұрын
asante kwa drs
@shelamsongwe8500 Жыл бұрын
Tunaomba no zake
@AhmadMahamud-gy9bf2 ай бұрын
Namba
@danielmbithi12142 жыл бұрын
Nambari ya simu
@kisalikanuya66372 жыл бұрын
Nimefurahishwa na somo hapo juu natamani kufika ofisini kwenu kujifunza zaidi ili nami nifikie kiwango kizuri kwenye ufugaji wangu naomba mawasiliano namba za simu
@lucinabett97592 жыл бұрын
Thanks for the very informative video.
@user-ls2uj3fl1oАй бұрын
Naomba namba yake
@agustinomengo41572 жыл бұрын
Nitaomba kupata kufika ofisini kwenu,
@nandagohadijah61802 жыл бұрын
Am so greatful for this education please Asante asante asante sana ubarikuwe ndugu lakini naomba number yako ili siku moja utani visit Uganda for more information please naomba 🙏🙏
@emmy39782 жыл бұрын
niko mkoa wa Songwe chakula chakuku naweza kukipata wapi
@justinemalima54692 жыл бұрын
Asante kutufundisha naomba pia namba yako kwa ajili ya darasa niko Itigi
@mohamedmnemo52585 ай бұрын
Shanga za kiunoni
@kiemenafishingenterprises9432 жыл бұрын
Nina shida kutaka ushauri naomb namba ya group kujiunga
@ericjonstz31203 жыл бұрын
Asante
@radaonlinetv19222 жыл бұрын
Mm nafuga kuku wakienyeji xjawafungia ndani nikitaka kuanza kutumia chanjo kwanae fahamu naomba anielekeze
@aniressamson69722 жыл бұрын
Naweza kupata wapi matetea mazuri ya kuanzia
@scholasticamchokopa65157 ай бұрын
Hiyo jiki ni ile ya kuondolea madowa kwenye nguo?
@IssaMaryam-dc7tl11 ай бұрын
Vip umo ao kuku wanaweza kujamiana??
@hamisamanula27282 жыл бұрын
Asante mwalim kwa mafunzo
@johnmunywoki11213 жыл бұрын
Motivated
@agnessmapolu50032 жыл бұрын
Kwa elim hii namimi nimeshawishika sana kufuga
@thomassalvatory83033 ай бұрын
huyu jamaaa anafuga anajibu maswali bila chenga
@janetanyango76662 жыл бұрын
Kazi nzuri
@adamuganda16203 жыл бұрын
Nimependa darasa mwl utanisaidiaje ili nami ni fahamu kutengeneza hiyo chakula mbadala?
@hopenanyaro24702 жыл бұрын
Ni kama kuku wamejibana sana. Je kuku wa kienyeji hapo watastawi?
@alicehossea33882 жыл бұрын
Mimi nimevutiwa sana na huo ufugaji wa kisasa mimi najaribu kufuga lakini nimegungua kuna makosa mengi naomba jinsi ya kuwapata ili nielimishwe
@heavenlymusicproduction43603 жыл бұрын
Good music
@paullugondapima67883 жыл бұрын
*
@gladymwaipopo61132 жыл бұрын
Hizo pleti unauza
@hurumanseke31832 жыл бұрын
Toa namba za mawasiliano tafadhari
@frankmalilo79163 жыл бұрын
Kaka hio music "twendeni shambani" nimeupenda nitaupata wapi?
@j.l.m96213 жыл бұрын
Yaan mwenyewe nautafuta kwa udi na uvumba, ukipata naomba unirushie best angu
@frankmalilo79163 жыл бұрын
@@j.l.m9621 ok nawe ukiupata nirushie pia
@fadhilarashidi51843 жыл бұрын
Nyimbo za zamani kipindi hicho kilikuwa kinakuja sakumi namoja kila siku
@greenpoint58873 жыл бұрын
Ukifika huko shambani utaukuta
@jamesmasanja19632 жыл бұрын
Nenda tu tbc unapata hii nyimbo
@haikajohn75802 жыл бұрын
Tunatamani sana kufuga lakini vicheche namwewe niwengi sana sababu tuko karibu na msitu tufanyeje?
@jamesoctavian5426 Жыл бұрын
Jenga banda zuli usiluhusu kuku wako kutembea
@henerysafari21242 жыл бұрын
Ninaomba mawasiliano ya mtaalamu pamoja na mawasiliano ya mtaalamu wa kujenga mabanda ya kuku wa kisasa kama niliona.
@azizashabani44952 жыл бұрын
No be
@godfreymagoso26893 жыл бұрын
Banda la hivyo linapokea kuku wangapi na linagharimu kiasi gani?!
@godfreymagoso26893 жыл бұрын
Kwenye idadi ya kuku nimeelewa Sasa je ghalama ya Banda linaweza fikia kiasi gani