Ukuta wa Hofu ya Mabadiliko | Yesu Pale Gethsemane | HOFU YA MABADILIKO | Rev. Dr. Eliona Kimaro

  Рет қаралды 4,858

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

25 күн бұрын

IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024
MAHUBIRI: SEMINA YA NENO LA MUNGU
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
''UKUTA WA HOFU YA MABADILIKO''
(YESU PALE GETHSEMANE)
Torati 28 : 6
Yohana 12 : 24
Marko 14 : 32 - 38
Luka 22 : 40 : 44

`1"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA

Torati 28 : 6
6 Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
Marko 14 : 32 - 38
32 Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
33 Akamtwaa Petro na Yakobo na Yohana pamoja naye, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.
34 Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.
35 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
36 Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
37 Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
38 Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Luka 22 : 40 : 44
40 Alipofika mahali pale aliwaambia, Ombeni kwamba msiingie majaribuni.
41 Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba,
42 akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.
43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

Mhubiri: Mch. Dr. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 19
@gospel8068
@gospel8068 23 күн бұрын
Ni mwaka wa 7 tangu Roho Mtakatifu aliponielekeza kwenye mafundisho ya "The school of healing" Sijawahi kujuta..na kila kipindi ninavyovifuatilia...Mafundisho yake yanaAkisi jina la kipindi...Hakika WENGI TUNAPONA MIOYO,Mwenyezi Mungu akulinde kama mboni yake ya jicho daima,Wewe na familia yako..Akuangazie mafunuo zaidi..kwani UMEJIPATA Baba Mchungaji Kimaro. Asante Mungu kwa chimbo hili la Baraka katika Kristo Yesu!
@francescammari5337
@francescammari5337 16 күн бұрын
Amen Amen Dr Kimaro Mungu akubariki
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 23 күн бұрын
Mchungaji Kimaro una baraka ya kutoka na baraka ya kuingia, asante kwa somo zuri sana na Mungu azidi kukupaisha, wewe ni researcher wa hali ya juu sana hubahatishi kwa mafundisho
@theresialaswai566
@theresialaswai566 23 күн бұрын
Niwe na baraka kuingia na baraka ya kutoka katika maisha yangu ya afya roho na mwili, kielimu, na kiuchumi. 🙏
@user-bj2sl5cp1w
@user-bj2sl5cp1w 23 күн бұрын
Amina mchungaji kimaro mungu akubariki sana🙏🙏
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 23 күн бұрын
Dr Kimaro siku zote nabarikiwa na mahubiri yako
@erickvalentine5848
@erickvalentine5848 24 күн бұрын
Asante sana mchungaji. Mungu azidi kukubariki kwa utume huu. Najifunza mengi
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 23 күн бұрын
Amen
@braytonshalom637
@braytonshalom637 23 күн бұрын
Ameeen Ameen❤❤❤
@gracemsenya2198
@gracemsenya2198 23 күн бұрын
Mungu akulinde.mchungaji kimaro unaponya watu waliokata tamaa kutokana na mahubiri yako yanatibu
@braytonshalom637
@braytonshalom637 23 күн бұрын
Ameen dady
@benardmutua1459
@benardmutua1459 23 күн бұрын
Amen pastor
@martinmtwale1242
@martinmtwale1242 17 күн бұрын
Aminaaa
@philmonnem7294
@philmonnem7294 23 күн бұрын
Amen 🙏
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 23 күн бұрын
Nina baraka ya kuingia na baraka ya kutoka
@schoollife5813
@schoollife5813 20 күн бұрын
Mungu wa israelindiye mungu wa eliona mbele ya farao tumpate wapi mchungaji kama hutu ambae roho wa mungu anakaandani yake?
@schoollife5813
@schoollife5813 20 күн бұрын
Mungu wa israel ni mungu wa ek .mchungajikimaro watanzania wanasema.tumpate wapi mtu kama huyu ambaye roho wa mungu anakaa ndani yake? Mungu akufikishe kiwango unachokiitaji kukifikia tupone
@happynesspallangyo9297
@happynesspallangyo9297 24 күн бұрын
Mchungaji EK Mungu akulinde na kukuinua zaidi
REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI MKONONI MWAKO?
1:42:14
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 106 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MAISHA NA NADHIRI
1:47:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 62 М.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,2 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 53 МЛН
Tuesday Worship Moments Live with Dr. Sarah K & Shachah Team {13TH FEB 2024}
2:39:06
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 482 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Family TODAY, Esther Nasuwa, Ps Wilbroad Mastai: Family & Ministry
1:12:31
Family Today Show
Рет қаралды 12 М.
Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro
45:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 7 М.
Madhara ya Hofu ya Mabadiliko
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 300
2 KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
2:59:49
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 30 М.
JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 14/04/2024
3:47:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 23 М.
GOD WILL MAKE A WAY FOR YOU - Apostle Joshua Selman
3:44:48
SBiC Connect
Рет қаралды 352 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU
58:21
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 12 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: IWENI NA UNYENYEKEVU
1:25:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 72 М.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,2 МЛН