Kenya soon tukiendelea na ruto naona tz wakitupita tuacheni kukaa katika denial stage ni kubaya 😢
@zenochoroКүн бұрын
@@danielmacharia9603 Obviously lazma ingetoka kwa mkikuyu. It's because a Kikuyu is not in power. Remember even Uhuru was quite incompetent.only in his second term that he achieved allitle. Wacheni unafiki
@danielmacharia9603Күн бұрын
@zenochoro wakikuyu ndo wanafaa kuongoza Kenya tuko na mind ya business na maendeleo angalia kibaki na uhuru vile wamejenga Kenya 🇰🇪
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@danielmacharia9603 asee
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Huyu ni kalenjin eeh
@zenochoroКүн бұрын
@@danielmacharia9603 uongo.. most of them are retrogressive..the only thing they know ni kueneza chuki na ukabila.RUTO IS EVEN DING A BETTER WORK. akina kenyatta never even minded of the debt ceiling.. ruto has reduced it. Kenya has turned into a construction site in every county coutesy of ruto. almost every county is building a city in its headquaters only in rutos time.. Hii yenu ni upumbavu wa ukiabila..
@thehustlerafrica4368Күн бұрын
Game changer was Magufuri tu ndo alionesha kila kitu kinawezekana
@ikulunimahalipatakatifu7642Күн бұрын
PUMZIKA KWA AMANI SHUJAA WA KIUCHUMI JPM, ASANTE MAMA SAMIA KAZI INAENDELEA, MIKAKATI YA MAENDELEO KIMYA KIMYAA TUNASONGA..
@tanzanianexplorerКүн бұрын
RIP
@MaryamAbubakar-c2d2 күн бұрын
Ni kwili lakini kwa sasa watu wanashangaa hawaamini kama Tanzania tuna songa mbele kwa kazi kubwa sana
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Exactly
@danielmacharia9603Күн бұрын
@MaryamAbubakar-c2d Mimi ni mkenya naona mtatupita tuko na prezida mwenye Hana maendeleo ni siasa tu mwaka mzima
@JomoKilaweКүн бұрын
✍️✍️
@HisMajesty64Күн бұрын
@MaryamAbubakar-c2d mumebarikiwa na kiongozi muadilifu na mchapa kazi ijapokua wengine wenu hawamkubali. Mola amlinde na ampe umri na afya.
@MaryamAbubakar-c2dКүн бұрын
@@HisMajesty64 Ipo siku kenya mtapata uongozi bora sisi tulipa Raisi wa kwanza mzuri alituweka watanzania pamoja tunataka East Africa wote tuendelee
@davidnganga8273Күн бұрын
Bro.... Lamu port was built to handle Large transcontinental ships....for re shipping to other parts of the world... Kenya didn't intend to compete with Tanzania in its quest to activate it's blue economy... Kenya has also built a new fishing port ,a ship building yard to provide backward and forwards linkages to its ports and other growing ports like Dar.. along the Indian ocean coast.... Kenya has adopted a different model that will complement other than compete with Dar
@tanzanianexplorer15 сағат бұрын
Au sio
@blackside938010 сағат бұрын
Kua direct mzee, uongee short and clear but straight forward
@tanzanianexplorer7 сағат бұрын
Noted...
@rashidhamad3538Күн бұрын
ni vyema nchi zetu za East Africa ziwe na malengo makubwa ya kushindana na nchi kama Dubai, Singapore au Malaysia kuliko kupigana wenyewe kwa wenyewe
@maria_mutondioriginal5Күн бұрын
Ulitaka Tz ikae tu kwasababu itashindana na nchi jirani ukizubaa wenzio wanakula😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Point
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@mashakampembela2552Күн бұрын
Good.
@JomoKilaweКүн бұрын
@@rashidhamad3538 ✍️✍️
@eldios831Күн бұрын
We have no time to think of Tanzania...,huyu ni content anatafuta....pinji wa likes😂😂😂😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
😃
@JomoKilaweКүн бұрын
@@eldios831 AchenUkabila😬😬😬
@eldios831Күн бұрын
@JomoKilawe ukabila gani....nyinyi shugulikieni maneno yenu maneno yakenya hamtayaweza...mtagonjeka msipo ongelea kenya...nyinyi ni chawa zetu...na mkiendelea tutamtuma ruto aje amuweke mama mimba mtulie....shugulikieni ya kwenu hakuna mkenya anaamka asubuhi na kujiuliza nini kinaendelea bongolala
@JomoKilaweКүн бұрын
@@eldios831 Malizen Kwanza Swala La Njaa.. Wanasiasa Wanamilik Mashamba Makubwa Na Hao Wenye Lugha Ya Kiingereza..Nyiny Mnabak Kushindana Na Y🇹🇿,😁😁
@JomoKilaweКүн бұрын
@@eldios831 NaMirija. Yote Tumewakatia Ss Hiv Kaz Mnayo ..Nenden Mkaibe Ubwawa Bungen Idiots..😁😁
@farlykunga8599Күн бұрын
Kuna vitu nkajua navielewa mm tu..kuna kuna ma home boyz wengine wanavielewa vzur san..🎉..Big up Mwamba..#Elimu tosha
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Asante sana mkuu
@morphakruzКүн бұрын
Never throw shades to your straining colligue... And we don't mind if Tanzania 🇹🇿progresses than us... 😅😅😅the early you realize that the better for you😊
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@sportsworldwide6489Күн бұрын
Jamaa anasema mwendo wa kenya ni wa Kobe ilhali yeye anakaa kobe😂😂😂...SMH. Kweli nyani haoni kundule
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@esem135Сағат бұрын
Kenya haters the ones!! Kenya os not competing with TZ and never will. The sooner they know this the more they will focus on TZ and not mind, Kenya's business!!
@brianambuyo9867Күн бұрын
Tanzania is always competing with Kenya.. Dar port has many port customers but they are still worried about mombasa port.. KENYA is currently lagging in leadership due to the current bad regime..
@esem135Сағат бұрын
😂😂 Kenya gives Tanzanians sleepless nights!!
@quaverjosephworldКүн бұрын
Can someone tell this guy that Kenya is a middle income country...😅😅 people always diss Kenya to get attention...
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Nimesoma mwenyewe mkuu....I get you, Middle income country
@Patriot_kenyan6 сағат бұрын
Both kenya and Tanzania are lower middle income countries according to the world bank and IMF
@tanzanianexplorer5 сағат бұрын
@Patriot_kenyan exactly
@felixmakinda7689Күн бұрын
Clickbait. Do we really hate Tanzanians? I strongly doubt. Just a few bullies online from both sides and it is mostly those who don't travel. Kenyans who can travel by road love and like visiting Tanzania and Uganda. In 2024, I was in Tanzania like 5 times, Uganda 4 times. An ordinary Kenyan doesn't even care about who imports oil through where. If anything, our struggle is to see our government doing better.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
I like this
@flm1530Күн бұрын
Am Kenyan but this guy talk truth
@jaro5603Күн бұрын
You're not Kenyan, your English is wrong. Probably Tanzanian
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha...daah
@jaro5603Күн бұрын
@@tanzanianexplorer ona video amepost kwa channel yake ina number za Tz +255. Nyie wabongo mkoje.
@1devochКүн бұрын
Lol @@jaro5603
@jaro5603Күн бұрын
@@tanzanianexplorer unapinga ?
@Patriot_kenyan6 сағат бұрын
Am so sad bye bye Kenya, looking for Tanzanian husband now.
@tanzanianexplorer5 сағат бұрын
Kama nawaona watz watakavyokuja mbio
@tituslee4744Күн бұрын
Ukweli NI kwamba Tanzania bado haijaifikia Kesha kimiundo msingi 😅😅😅bado na bado Sana Kenya kuna projects nyingi Sana ambazo though bado hazijakamilika lkn zinaendelea kenya kuna projects nyingi throughout the country unlike Tanzania wao wame concentrate na baadhi ya sehemu tu😅😅😅
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@evansmagungu6305Күн бұрын
Ni swala la Mudaa tu endeleeni kujipa moyo hakuna nchi iliyojengwa kwa siku moja ila nyie wakenya tambueni ni rahisi sana kuibomoa nchi ndani ya siku moja tu sijui nani kawadanganya eti njia pekee ya kujiletea maendeleo ni kuandamana kwa fujo kwanini msiandamane kwa amani kudai khaki yenu.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@evansmagungu6305 word
@am_theChangeКүн бұрын
@@evansmagungu6305ya amani kma ya mzee Lissu😮
@latenitepiano2 күн бұрын
Tanzania 😍🇹🇿❤️🤩🙏🏾
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Tanzania
@jamalsaid74752 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 leads others follow 😊 Well done 👏 😊
@lakasid38602 күн бұрын
Good video and analysis, tuletee video nyingi za hivi zakuwakaanga majirani
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Mnapenda ugomvi eeh haha
@HisMajesty642 күн бұрын
@@tanzanianexplorer duniani watu tofauti. Kama hao pia ni muhimu kwa jamii
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@HisMajesty64 kweli lkn
@JomoKilaweКүн бұрын
✍️✍️
@CadiaOnesmo2 күн бұрын
Mimi ni Mtanzania ila chokochoko sio nzuri mafanikio ni mazuri lakini yale ya kubeza jirani sio poa ni vema kujadili mambo mhimu ya kupinga umasikini sio kumuchokonoa au kubeza inch nyingine
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Tazama video mkubwa
@MercyNyaga-y5hКүн бұрын
@@CadiaOnesmo kabisa,mwambie tena na tena ,kwanza headline inatukera sana kama wakenya.....tafta hela polepole kijana coz that is what you are looking for acha uchochezi....
@jothammuthuri2430Күн бұрын
Well said.i fact that will kill his dream of content creation.
@JomoKilaweКүн бұрын
@@CadiaOnesmo Hay Ni Mambo Ya Online War Sio Uhalisia Mitaan Mbona Mi Wakenya Kibao Ninao Hapa Kzn Na Fresh Tu.. Tunakumbushana Tu🧔🧔
@brianambuyo9867Күн бұрын
Kuna mambo muhimu Sana ya kujadili kikanda..kama mifumo ya elimu..tiba n kilimo..
@Moviezone254-studio2 күн бұрын
Shocking 😂😂 TANZANIA WILL NEVER ATA KWA NDOTO KUISHINDA KENYA KWA KITU LOLOTE ILE NEVER.ONCE DOWN ALWAYS DOWN.KENYA WILL NEVER COME SECOND TO TANZANIA NEVER. KENYA FOREVER 🇰🇪✊🏼
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Mmmh... Let's pray
@Moviezone254-studio2 күн бұрын
@@tanzanianexplorerYaah keep on praying
@trendings12932 күн бұрын
Keep Ur never😂😂😂 shinda apoo
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@trendings1293 🥺
@judithogaya97302 күн бұрын
Kwanza sai kwa top ten reacheest country in Africa sundan wamewatowa Kwa number hapo Tena Sasa kushinda Kenya labuda wakafirwe Na Piddy
@JULIUSAbongon11 сағат бұрын
Tanzanians obsession with kenya should be studied 😂why always trying comparing kenya with your country have you ever seen a kenyan comparing it with your country
@tanzanianexplorer7 сағат бұрын
It's just a challenge bro...Ili kina Kasongo waamke
@HajiKlein-so1rkКүн бұрын
Mungu ibarik tanzania🇹🇿🇹🇿💕
@HisMajesty64Күн бұрын
@@HajiKlein-so1rk Aamin ya Rabb
@JomoKilaweКүн бұрын
@@HajiKlein-so1rk 🙏🙏🇹🇿
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Amen
@omarysaid87258 сағат бұрын
Nchi ina kingereza kingi lakini hawana akili lakini nchi inayo ongea kiswahili watu wake wana akili sana
@zenochoro8 сағат бұрын
samahani ndugu we ni mjinga..
@tanzanianexplorer7 сағат бұрын
Haha
@tanzanianexplorer7 сағат бұрын
Captain Zenochoro Kiprotich upo?
@DavisKombe-k9g4 сағат бұрын
LEO HII NDUGU ZANGU WA KENYA ....UKIONA SISI WA TANZANIA TUNAJISIFIA KUHUSU UZURI NA MAENDELEO YA TANZANIA NI KWA SABABU YA NGUVU ZA MWAMBA JOHN MAGUFULI, NA HILI NIWE MUWAZI TUU KAMA MAGUFULI ANGEKUA HAI MPAKA LEO TANZANIA TUNGEKUWA TUNAJILINGANISHA NA NCHI ZA EUROPE NA CYO KENYA ,AU SOUTH AFRICA...
@tanzanianexplorer4 сағат бұрын
Asee .. kweli
@esem135Сағат бұрын
Majority of Kenyans don't care about what is happening in TZ. Kenyans are busy fixing their country while you Tanzanians focus on how you are "beating" Kenya. Funny thing is you are very misinformed about Kenya. Even when Ruto said TZ imeshinda Kenya kwa biashara nadni ya EAC, TZ mlielewa vitu vyenu na sio kile alimaanisha!! You folks are so jealous of Kenya that even if Kenya was bombed today you will celebrate because to you, the joy woll will be about how Kenya has fallen abd not seeing Kenyans, as human!! That is how dark hearted you are!! Glad Kenyans have diacovered yoir true colours and are serving you the same energy!! Kenyans have never been threatened by TZ in any way!! Focus on RZ and let Kenya be!!
@tanzanianexplorer37 минут бұрын
Mmh
@MercyNyaga-y5h2 күн бұрын
Hawa jamaa wanakuanga mazuzu tu,who even thinks of Tanzania...... We are all developing countries and we still have a long way to go ili tujikomboe,na kama Tanzania mnajiskia mmeendelea sana mjengee wahadzabe waache kuishi misituni wanamaliza wanyamapori na ndo tegemeo😂😂😂
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
😂 haha
@Moviezone254-studio2 күн бұрын
😂😂😂😂hapo kweli
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Hadzabe sio kwamba hawawez kujenga nyumba....wao wakikaa kwenye nyumba wanaumwa
@HisMajesty64Күн бұрын
@@tanzanianexplorer hehe😄😀😏
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
Unajua tofauti ya culture ya watu flani wewe au unaongea tuu😂😂😂 mmejikuta mnapenda vya wazungu😂 had mnataka tuingize na sisi kwenye culture Za watu wetu kwendraaaa😂😂😂
@mosesashikoye3288Күн бұрын
Hapo ni kweli, kenya tatizo letu ni kutekeleza mipango yetu ikamilike.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Thank YOU
@Fm-MornStar2014Күн бұрын
Kwanini Tanzania 🇹🇿 inachuana na Kenya 🇰🇪? Kwanini Kenya 🇰🇪 inachuana na Tanzania 🇹🇿? Ni maswali mawili tofauti, mimi kihistoria nimeona Tanzania 🇹🇿 ilikuwa ikiona Kenya 🇰🇪 imefanya kipya, nao wanataka wafanye hata kama hawajajipanga.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Una kitu jamaa utafika mbali
@jonamnyone8014Күн бұрын
Mimi nafikiri Kenya na Tanzania tungeangalia zaidi kuzifikia nchi kama Singerpore, South Korea, Dubai, Malaysia etc.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@JomoKilaweКүн бұрын
Sawa..
@HisMajesty64Күн бұрын
@@jonamnyone8014 umenena...
@joycelinelyimo-fenske8745Күн бұрын
@@JomoKilawe how! Wakati neighbour. Moja anajisikia yuko Juuuh! Sana kwamba hakuna anayeweza kumpita. Soon watawapita hata waburundi mkiwa mnashindana na Tanzania. Sasa sijui hiyo Ego itashushwa na nani!
@HisMajesty64Күн бұрын
@@jonamnyone8014 fikra njema. Una uhuru wa kuongea ila kuna watakao kupinga pasi na sababu za kimsingi. Hata ukiwaeleza maji ya bahari ni ya chumvi watapinga tu ili mradi waonekane wanajua.
@JoshuaChesang-tu3kf2 күн бұрын
Mkubali tuishi pamoja na upendo bila utengamano
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Exactly
@luckymaina9237Күн бұрын
Tunajua unataka ku trend, tangu mjue mkitaja Kenya mna trend ndio maana unaongelea Kenya sana. But anyway do your job bro bora uchunge sana usije ukasalamiwa na Wakenya.
@joycelinelyimo-fenske8745Күн бұрын
Lol, sasa yanaanza matishio. Kwanza nani wanawatumia Nani!!? Kila siku mnatuma Mayoutubers wenu kuja TZ. Mpaka sasa hivi ninahisi kuwa ni maspy!
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha.. karibu tanzania
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha asee...
@Brunn-mh2bqКүн бұрын
Acha ujinga wewe. Kutisha watu wenye mipaka yao na maisha yao ni upuuzi. Ati wakenya watasalimia. What have your threats and acts of violence gained you? NOTHING but being killed like dogs and being incarcerated. Usilete huku ndugu you won't succeed. When you wake up from your drug- induced nightmare you will still see Tanzanians sitting on their balconies sipping on cool drinks. Get this onto your thick, sick head. Wallahi waTz mpaka tuwafanye wakenya wote vichaa kwa wivu ndio tutapumzika. Truth.
@J4UProКүн бұрын
Usimtishe!
@patrickochieng792 күн бұрын
Me I will tell you one thing once and for all...tembea Kenya....
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Au sio
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Ila usidhani Kenya ni Nairobi tu hata kule Samburu Lodwar na kwingineko
@zenochoroКүн бұрын
@@hashimchaoga9566those places have improved..You are talking about northern corridor
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@hashimchaoga9566 😀😀😀
@patrickochieng7913 сағат бұрын
@@hashimchaoga9566 very good just Google or KZbin barabara za Lodwar ata ndio nzuri kushinda za Nairobi..wewe zuzu 😅😅😅
@JohnAwinda2 күн бұрын
The world know if u want to trend diss Kenya and kenyans so this guy game yake Iko juu 😅😅😂😂 Kila inchi Nigeria,SA,UG, Ghana, vita ni Kenya. Na sisi tuko na shida mingi alshabab etc
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Sio kweli...we are speaking Ile kitu inatakiwa kusemwa... Sema sometimes ukweli unauma
@johnmessi68312 күн бұрын
Yaani nyie badala mtulizane muijenge kenya 🇰🇪 mnahangaika na shida ambazo haziwahusu, mnashindwa kutuliza fujo kenya mnapeleka polisi Haiti 🇭🇹 🤷🏾♂️
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@johnmessi6831 haha
@SalvatoryMtunga16 сағат бұрын
Kenya ni nchi ya kawaida sana na wananchi wake wana shida sana na maisha. Imefikia sasa hivi kenya hawana stock kubwa ya chakula, mkate ukipanda bei tu ujue maandamano. Na sasa hivi dunia inawa term kenya kama kanchi kasicho na amani, na cha ajabu wakenya wanafikiri maandamano ni sifa, kiingereza ni sifa, ukabila ni sifa, mna upeo mdogo ssna nyie.Tulieni mjenge nchi yenu, acheni bangi na mirungi.
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
@@SalvatoryMtungawakijibu hiyo kaka niambie nirudi 😂😂😂
@LameckTimothy-s7k2 күн бұрын
Usisahau leo tumewanyoa na panga kwenye kandanda tena isitoshe kwenu...
@emmakicham46642 күн бұрын
Ongezaaa volumeee pliz😂😂😂😂Hawa ni mdomo tu ..anataka views 😂😂😂😂
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Hahaha
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Tulia ww mtoto mdogo haha
@LameckTimothy-s7k2 күн бұрын
@@tanzanianexplorer ama nasema uwongo?
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Kausha 😂😂😂
@chrispinusshibona41182 күн бұрын
Kenya my motherland you will rise, its just but for a while
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
We are praying for our Kenya
@chrispinusshibona4118Күн бұрын
@@tanzanianexplorer you hate Kenya that's why all you think about us is negative, your analysis are always biased, I watch your vedios but I have never attempted to subscribe because your attitude isn't good bro, personally I love Tz but you always seem to be celebrating our struggles but one thing you have to know is that we will overcome.
@chrispinusshibona4118Күн бұрын
@@tanzanianexplorer mbona kuweka picha ya rais wetu akilia?? Lengo lako ni kuongeza uchungu kwetu, hii mbegu unayoipanda itazaa matunda kwa hii channel yako na sidhani matunda yatakuwa mazuri
@Brunn-mh2bqКүн бұрын
@@chrispinusshibona4118 acha vitisho vyenu vya kikenya. Huku Tz huwezi fanikiwa. Tz has taken off and that's it. Mnashinda kelele day in day out mnatishia viongozi wenu hamwapi nafasi ya kufanya kazi. Mnabomoa miundombinu, mnaiba chakula parliament mkidhani ni heroism. Upuuzi mtupu.
@JohnAwinda2 күн бұрын
This is a battle of two dwarfs one claiming to be taller than the other 😂😅😅 from Prof PLO Lumumba Otieno gudays watuwetu
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haha...sio kweli bro
@fredrickogutu89882 күн бұрын
Content za matusi
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@fredrickogutu8988 matusi yako wapi mkuu
@HisMajesty642 күн бұрын
@@tanzanianexplorerhamna neno kaka endelea tu na uhuru wa maoni yako bila kujali frm254
@GodfreyKasawa-p4gКүн бұрын
It's the reality. Africans don't know what a developed nation look like. Look at south Africans and Nigerians wasting their caroles urguing over who is more developed than the other. If your nation's GDP is less than 5 trillion dollars in a year then you are considered under developed. So all this debates of who's better than than other should instead change to what can we do to develop our nations or continent.
@johnaviha24412 күн бұрын
It's about leadership.We need a leader who can return Kenya to where it is supposed to be.People like Ruto are small timers they don't know why they
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Asee
@williamwatitwa3534Күн бұрын
What you need is kenyans to stop politicking, fighting every project in court and let's governments work
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@williamwatitwa3534 word
@felixmakinda7689Күн бұрын
@@williamwatitwa3534 you know nothing about Kenya. Stop politicking? What do you mean?
@stevestephen21222 күн бұрын
Tanzanians are obsessed with Kenya as if they don't have other neighbours.... Tanzania had a bigger GDP than Kenya late 90s and early 2000s today Tanzanians is decades behind Kenya its GDP per Capita is almost half of that of Kenya ....today Tanzanians are celebrating and bragging about mere roads of the same standards that has been in Kenya since 1990.
@frankshindano4620Күн бұрын
Kenya has always had a high GDP since independence, Kenya was and is still a capital for foreign and international trade in East Africa, Mbritain aliifanya Capita yake since colonial days ( NAIROBI), we are past colonial times and Tanzania is emerging as a capital power in EA, Kenya imelala na kulewa sifa 😅, If it wasn't for the Kagera war, I swear to you that Tanzania kitambo would have overtaken Kenya, Tanzania though is suffering from as many challenges and setbacks that most African countries are facing it's leaders have put more focus on state development. We endelea kulialia juu ya hate sijui nini ila Tanzania Wana progress, the overall country policies in Tanzania beat that of Kenya, huwezi Kuta maandamano in TZ as it is in Kenya simply because there is a light to life, why people waandamane Kila siku, mambo zikiendelea hivi, in 20 years TZ will be ahead of Kenya, mark my words. Pigeni kazi na wacheni kulialia.
@zenochoroКүн бұрын
When are you surpusing Kenya. 😢😢😢 This is a song that you have been singing since independence. The problem with you people is that you consume so much of Kenyan media that's full of criticism and negativity.. maandamano ya one day cannot make Tz to surpuse Kenya my friend..All the indicators shows that Kenya is above Tz even in the standard of living. The question is when???
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@zenochoro asee
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@frankshindano4620 asee
@stevestephen2122Күн бұрын
@@frankshindano4620 do your research properly
@JohnAwinda2 күн бұрын
So tuwache chuki na matusi kwa comment zetu AFRICA NI MOJA
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Exactly
@HisMajesty642 күн бұрын
@@tanzanianexplorertwo wrongs do not make a right. Na wewe pia tafakari kaka
@jamalsaid74752 күн бұрын
Kweli kabisa. Haina haja ya chuki. Tanzania 🇹🇿 Kweli iko mbali 😊. East and Central Africa Tanzania 🇹🇿 iko number 1. Congratulations
@jamalsaid74752 күн бұрын
Rais Dr Samia Suluhu Hassan making Tanzania 🇹🇿 👌 👏 The Giant of Africa. Wa kenya 🇰🇪 Mpo?
@HisMajesty642 күн бұрын
@jamalsaid7475 tupo kaka. Una uhuru wa kufurahisha nafsi yako. Safari njema ln Shaa Allah. Mutatukuta huko mbele😏
@davidmakange4296Күн бұрын
Eti walikuwaga wanafanananisha Nairobi na London. Sijui Johannesburg wasemaje.😂😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@JomoKilaweКүн бұрын
😂😂
@HisMajesty64Күн бұрын
@@davidmakange4296 na dar nao? Hehe!
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Hapana London haina sehemu kama Kibera au Mathare hiyo ni madness
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@hashimchaoga9566 asee
@evonrn2000Күн бұрын
SILLY TITLE. KENYANS🇰🇪 LOVE TANZANIA🇹🇿 ❤️ watu wako busy kututenganisha ili wapate youtube Views $ 😆 🤣 😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Not true...
@blackside938010 сағат бұрын
Content ni pure, ila presentation is poor
@tanzanianexplorer5 сағат бұрын
Au sio
@HisMajesty64Күн бұрын
Mbili bila jana, ukweli uchungu😂😅
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Spana.... Mpaka waelewa kuwa they are no longer controlling the economy of east Africa...we both do
@HisMajesty64Күн бұрын
@@tanzanianexplorer aliye na macho haambiwi tazama!😏
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
Kombe la looser 😂😂😂 pale mmecheza na watu ambao bado wadogo mno wachezaji cream wote wapo CAF mlipewa wachezaji vibonde 😂😂😂😂hlf mnajisifia wakina mohammed Hussein,kibu D wote wapo kwa mashindano makubwa 10 zingewahusu 😂😂😂
@tanzanianexplorer15 сағат бұрын
@beldina.hezrontv5881 haha
@HisMajesty6414 сағат бұрын
@@beldina.hezrontv5881 hehe😅🤣😏 kula panadol tatu mara tatu kwa siku itakupunguzia maumivu kaka. Itakavyokua jina si bado ni Tanzania. Usikonde ni utani tu kwani mpira mbali na furaha hauna faida nyengine inayotupatia maishani. Respect.
@JohnAwinda2 күн бұрын
Bt kenyans and rest of Africans plz plz plz don't mind this guy tukae poa if TZ wanapita Kenya well and good for African, Kila inchi ya Africa zipite kenya
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Au sio
@chrispinusshibona4118Күн бұрын
I must say their is nothing wrong with countries building their ports be it a sea port or inland port, i see this guy argument on pipeline between kenya and Uganda, what he doesnt know is that still in the future Kenya and uganda will build the pipeline to ease trade, its true that tanzania was preffered but the plan was never abolished, the northern corridor being talked about hear is between kenya ethopia, south sudan and not uganda,rwanda burundi or congo as this guy is depicting it, As art today the largest and deepest port in Kenya is Lamu port and not Mombasa port and Lamu port is active and running trade between Kenya,South Sudan, Ethopia so whatever picture the guy is painting doesn't exist but he insists, plus the vedio here tends to show that the lapsset project has problems in implementation which is not true, the lapsset project is nearing completion.
@gabrielbahat9107Күн бұрын
Itakuwa ni fursa nyingine (advantage) kwa Ethiopia kuwa na mbadala wa badari ya Djibouti kwa hiyo matumizi yatakuwa kote
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Sure
@humphreygodfrey54002 күн бұрын
No more Tanzanite 😂😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
😃
@charlesmghanga7678Күн бұрын
Nimekuelewa bro🇹🇿🇺🇬🇰🇪🫶
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@NgugiKamau-rr3zpКүн бұрын
Ndovu hana mbio lakini akiamua!!!TZ ni huyu ndovu.Kenya ni mfururizo wa Ethiopia,somali.hao ndio wanyumba wetu.miaka 30 inayokuja hizi corridor mbili hazitatosha hata.zitaongezeka
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@DerickKiondo2 күн бұрын
Stop spreading hate man
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Hapo ndo mnakosea.... telling a person a truth doesn't mean unaspread hate, au Hauna bundle ya KUWATCH mpk mwisho
@HisMajesty642 күн бұрын
@@tanzanianexplorerulikuwa huna haja ya kumkejeli. Utafanya wanao angalia video yako washindwe kukutafautisha na unaowajibu. Na ukijibu mtu pia mjibu yeye binafsi na sio kila mtu. "Hapo ndio mnakosea"
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Noted
@jamalsaid74752 күн бұрын
Of course Boss. Tanzania 🇹🇿 has overtaken kenya 🇰🇪. We need competition not ugly/abusive language.
@HisMajesty642 күн бұрын
@@jamalsaid7475 l don't have to necessarily concur with your sentiments which you are entitled to but l am in sync with you in as far as there is need to maintain respect and good relations in our respective comments. Competition in my honest opinion is healthy and should be viewed positively. If l may ask what are the indicators or scales of measurement of development? Just asking, politely bro.
@Omwami-lc4ddКүн бұрын
Kenya ndo baba yenu, mzozo wetu ni kilio kwa majirani
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Baba wa nani?
@Omwami-lc4ddКүн бұрын
@tanzanianexplorer baba wa watanzania, N mkenya yupi anayeshughulika ya mwingine, na ikiwa kuna msukosuko wa kisiasa wala maandamano ya raia kenya inawahusu nini watanzania. Ninyi mna taifa lenu then leave kenya alone hawandamani tanzania wala kufanya furugu tanzania. Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkundu. Hatuna haja inchi na ya nyerere hatutamani kamwe
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
😂😂😂😂 hii ni maajabu!!wa Tz wenzangu tafutieni majirani dawa Za depression hawa watu wamechanga nyikiwa.
@Omwami-lc4dd12 сағат бұрын
@@beldina.hezrontv5881 kwanza depression ni nini kwa lugha ya kitanzania. Na tatizo sio dawa ni viwete
@Omwami-lc4dd12 сағат бұрын
@@beldina.hezrontv5881 watanzania tafuteni kiki kwa uganda, rwanda,burundi, sudan na somalia pia kwa sababu mnataka kujua sana kinachoendelea kenya. Hatuna haja na uchumi wenu kuimarika, tunamtakia mema nanyi msaidie viwete na hiyo uchumi wenu
Ikiwa wewe wadhani kwamba sisi twachuana na Tanzania samahani,Kenya iko ligi nyengine,sisi twachuana na France,UK na Dubai.Endelea.kujidanganya.Kenya twafurahi mwenzetu akifanya vizuri lakini chuki yenu haiwapeleki popote. Mzungu akwambia "if you want to fly high like an eagle stop swimming with ducks" that is what Kenya did,we no longer swim with ducks
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Asee
@MpakausemeКүн бұрын
Wewe unajidanganya mwenyewe, UK, France unasikia kwenye radio aisee wewe kweli mwehu
@stevenlugojeremia2323Күн бұрын
Et UK 🇬🇧 France 🇫🇷 😅😅 haki wewe jamaa una ugonjwa wa Akili
@tanzanianexplorerКүн бұрын
This is not fair at all...sisi wote ni bata
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 Upo league gn ya France,UK wewe unaumwa nenda kapime hizo nchi umetaja hapo hazi poop😂 kwa mfuko na kurusha kwa bati 😂😂😂😂😂
@RamadhanMbwana-o1j2 күн бұрын
Kwaiyo Mombasa ni Nchi siyo?😄
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
🥹
@MukiraKiranga2 күн бұрын
Mimi ningekushauri tembea Kenya 🇰🇪 utaanza Kuona Siri kubwa ....walizoweka Kenya ....uchumi wenyu Bado mchanga
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Karibu tanzania
@mcback4384Күн бұрын
Uchumi wa madeni, mna madeni makubwa kuliko hata GDP yenu
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@mcback4384 haha
@kalumunakalumuna7403Күн бұрын
Kuona nn kipya ambacho hakipo Tz
@zenochoroКүн бұрын
@@mcback4384 Tanzania pia inajenga uchimi wake kwa madeni ila watanzania wanadanganywa kuwa wanatumia fedha zao za kindani. To this is a lie because Tz haikusanyi Kodi ngingi kuliko Kenya so there is no way they can fund their own projects. IMF inaangalia payability. Can the country pay it's debts. So mambo ya deni isikupumbaze sana
@davidmakange4296Күн бұрын
Now we are beating them right left and center. Tutakachowaachia ni riadha, maandamano, na kingereza cha mchongo.😂
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@JomoKilaweКүн бұрын
😂😂
@HisMajesty64Күн бұрын
@@davidmakange4296 sawa kikombe mushachukua kama unaelewa, unaelewa tu
@HisMajesty64Күн бұрын
@@davidmakange4296 na mpira tuachie kaka😀😄
@nesbitmiriti4366Күн бұрын
Jifurahiseni washamba😂😂.
@nesbitmiriti4366Күн бұрын
Hadithi za abunuwasi ila ukweli tunaujua😂😂.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@MichaelMathew-j3f2 күн бұрын
Watanzania hawawezi kumchukia Kenya lkn wakenya dahhh aisee wale watu wanaichukia sana watanzania.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@jamesmunene8999Күн бұрын
Hatuwachukii. Mwatuchukia.
@HisMajesty64Күн бұрын
@@MichaelMathew-j3f tunawapenda kaka
@SalvatoryMtunga16 сағат бұрын
😮Tunataka tujue kama kiingereza ni maendeleo au chakula, tunataka kujua maandamano na ukabila unaleta maendeleo au unadidimiza uchumi, tunataka kujua kama bangi na mirungi inaleta maendeleo au inadidimiza maendeleo, shame on them, sisi tunasonga mbele kwa mbele.
@zenochoro14 сағат бұрын
we una ujinga. kingereza= to maendeleo. English is the business language of the world. it has openned up many job opportunities to kenyan expatriate than tanzanias who believe in their old ways. how many journalists are working in BBC, CNN, and Aljazira from kenya simply because they can converse in English. How many online workers are making it in kenya due to their proficiency in English. I know you will reason that chinese dont learn English, however to make it they do-- now they are taking their kids to harvard( there you cant make it without the proficiency in English). By now kenyans are learning mandarine and chinese soon they will be working in chinese industries.. imagine a person who is conversant with English, swahili and chinese..Tanzanians still believe in their old ways and this is equal to stupidity.
@felixmachimbo9099 сағат бұрын
Hata ustake jua...
@tanzanianexplorer7 сағат бұрын
@felixmachimbo909 😃
@Kasuvi_ViganoКүн бұрын
Unajua sana mwannagu
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Asante sana mkuu
@zenochoroКүн бұрын
Chuki Ya watanzania kwa wakenya inatokea kwa sababu wameshinda kumaster what Kenya is doing to be ahead and a Giant in East Africa. Kuna wakati president wao Magufuli alichoma Vifaranga kutoka Kenya , kuuza ngombe kutoka Kenya. Na kuna wakati aliagiza ngombe kutoka Kenya ipigwe bunduki.. ili kuonyesha ubabe. Wakenya walinyamaza Tu. Them their are motivated with inferior complexity. Kenya is still above Tanzania in all the indicators and remains the gateway of Africa and even east Africa. Maendeleo kidogo yasiwafanye mjitekenye na Micheke wenyewe😂😂. Lastly, we Kenyans hate analysis without a facts. What do you use to base your facts, where are the numbers, where are the indicators where are the pectoral representation that uchimi WA Kenya inadidimia.?
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Imenikumbusha iyo ya vifaranga vigonjwa
@zenochoroКүн бұрын
@@tanzanianexplorer not true.. your president was doing that kuonyesha ubabe.. How about ngombe zenye aliagiza polisi wapige bunduki.Chuki ni kwa watanzania... how about ngombe zenye muliuza huko tanzania?
@PabloDallas255Күн бұрын
Sasa tuko na kuku zetu zimenona hazina hata mafua mnatuletea vifaranga vinavyoumwa sotoka ...mmerogwa!hata mimi ningevitia kiberiti
@hirizonetz9558Күн бұрын
Wakenya wana roho mbaya sana na majivuno lakini hawana lolote maisha yao magumu sana raia wengi wana maisha magumu na wanachuki na Tanzania wanahofia tunawapita ila kiukweli mi ningekuwa rais wa Tanzania nadhani ningewasambaratisha kbsa wakenya
@HisMajesty64Күн бұрын
@@hirizonetz9558 hehe! Kwa maneno yake tofauti na wao iko wapi kama si roho mbaya hiyo. Mungu atuongoze wote.
@KidBlack-x6pКүн бұрын
Hata kipao mbele changu kingekua ni kua nchi yenye uchumi mkubwa sana East Africa na Kuwapita wakenya
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@KidBlack-x6p au sio
@brosteve-qu2cjКүн бұрын
Hatuchukii wa Tz,,tunachukia majigambo yenu na kujidai nyinyi ndio pioneers wa Kila kitu..just the other day I saw one of ua leaders claiming u r the 1st to have a new year fireworks display in the east¢ral africa😂😂..it's a fact ua economy is healthier than ours but we r not out yet..unexpected things do happen in this world so don't mock us as if we r finished,,u never know tommorow
@HisMajesty64Күн бұрын
@@KidBlack-x6p lengo zuri
@morphakruzКүн бұрын
First and far Most do a realistic research about projects in Kenya before doing any comparisons.... You are misleading by giving false information... Kenyans don't compete with any nation.. If we employ competition tactics you guys won't survive.. Nairobi ain't anyone's equals.. We are on our pace... Follow our footsteps at your own costs
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@kazikazini1042Күн бұрын
Huo utafiti wa chuki umeutoa wapi? Facebook na Twitter. Ungekuwa unasafiri mara kwa mara kwenda Kenya utashangaa namna gani jamaa wako poa na sisi
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@indechero2 күн бұрын
Kaka mdogo una shauku mingi na nchi ya Kenya. Huo ni ushindani na siyo chuki vile unavyoeleza. Ushindani usiwe chuki kaka. It's just like Ghana vs Nigeria vs South Africa. Towa hoja zako pasipo kueneza chuki kwa sababu twawapenda wa Tanzania.
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Angalia video achana na picha... Au bundle la data huna?
@ebenezafarajah5025Күн бұрын
Kenyans you claim you love Tanzanians but it ain't true the truth is you're delusional and jealous and obsessed with Tanzania I have been through social media contents, about Tanzania 🇹🇿 Kenyans are every where commenting nonsense
@JomoKilaweКүн бұрын
@@tanzanianexplorer 😁😁
@luckymaina9237Күн бұрын
Huyu jamaa ni mchochezi juzi alikua ana compare Malawi na Tz leo hii ni Kenya, bro Kenya itakumaliza heri uache uchochezi mapema,ila si hivo utapata habari kutoka Kenya..
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Ooh
@JomoKilaweКүн бұрын
@@luckymaina9237 HojaUmeielewa Lkn?
@HisMajesty64Күн бұрын
@@luckymaina9237 si ana uhuru wa kujieleza anavyotaka ila asitusi mtu tu. Mimi naona yuko sawa tu. Kwa jumla sikubaliani na fikra zake kabisa.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@HisMajesty64 🥹
@emmakicham46642 күн бұрын
🤣🤣🤣🤔kenyans dont even🤣 think about tanzanians 🤣🤣..wakenya tuchangieni huyu fala akuje kwa ground 😂😂the fact that politics yetu haiko poa haimaanishi atuna maendeleo...😂😂Tz the only country inasema iko mbele na bado GDp iko chini, currency iko chini🤣🤣 infrastructure ndo imeanza🤣🤣🤣🤣🤣
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haha
@KamiliKapeta-yr3uc2 күн бұрын
Mtafanyanini kama lashababi iliwajambisha
@Ammy_Rain2 күн бұрын
Currency yenu iko juu kuliko japan usisahau 😂😂😂
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Currency ya South Africa karibu iko sawa na ya China na currency za Japan hata Italy haziko juu kivile una mawazo gani kuhusu hii mifano? Je currency ndio maendeleo?
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@hashimchaoga9566 swali nzuri sana hili
@Yulependo35 минут бұрын
TZ you tubers cannot do without mentioning Kenya in their content..and all have one niche of content about Kenya, bashing and comparison..a total show of inferiority complex.. anyone who thrives in belittling others has just but one thing..too much ego with little or nothing to bring on the table...When you thrive ..thrive in peace and let facts speak fo your name..As for Kenya only time will tell..let's watch the space
@tanzanianexplorer25 минут бұрын
Kesho Kuna ujumbe wako hapa Pendo, karibu tena
@KamiliKapeta-yr3uc2 күн бұрын
Walitubeza treni ykisasa bwawa la mgaoamna tena viwanja vyandege vizuli dalaja kubwa bomba la mafuta vyakula vingi bado awaamini
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Asee ..ni hatari
@JomoKilaweКүн бұрын
@@KamiliKapeta-yr3uc Chuki Zao Na Dharau Tulichukulia Kama Changamoto Leo Hawaamin Kinachoendelea..🇹🇿🙏
@Samson-r4lКүн бұрын
What is wrong with you? We're not in competition..we are on course our Pace.... your country is in a lower league.. Kenya ahead.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Mmmh, really?
@quaverjosephworldКүн бұрын
@@tanzanianexplorer in 2014 we became middle income country bro...
@jabiraxmed78982 күн бұрын
Mimi ni mtanzania lakini kenya bado wako mbele kimaendeleo ukilinganisha na tz tanzania bado kabisa kaka wacha mambo hayo ya kisiasa
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haya Jabira Njoroge
@omarysaid87259 сағат бұрын
Kenya kuna ufisadi sana ndio maana miradi mingi ya kimaendeleo ina sua sua
@tanzanianexplorer5 сағат бұрын
Sure
@esem135Сағат бұрын
Pia TZ kina ufisadi!! In fact worse than Kenya but they cannot speak about it because wamefinywa!! They cannot criticize the government!
@Ba63828Күн бұрын
Which Kenyans hate Tanzania? When did you carry out your survey? What a pathological liar you're. They have opened their businesses here in Tanzania. We're working shoulder to shoulder as brothers and sisters without grudge. Wewe mpotoshaji.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Mmmh mbona povu....na ww ni Kamau
@Ba63828Күн бұрын
@tanzanianexplorer ARE YOU WOUNDED? WHY ARE YOU PURPOSELY SOWING SEEDS OF HATE BETWEEN US? YOU'RE KAMAU THYSELF. NKULU GWAKO.
@am_theChangeКүн бұрын
Wa Tanzania walichowazidi wa Kenya ni Diamond Platnumz tuu vyengine upuuzi.
@tanzanianexplorer23 сағат бұрын
Haha
@GwakisaEzekiel23 сағат бұрын
Chuki itawatesa sana nyani za kibera nyie😂
@ImmanuelOlooКүн бұрын
Mpk waseme tz mbele kwa mbele
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Asee
@PabloDallas2552 күн бұрын
Kaka!you have got legendary shots kama zile za Netflix .......shout out bro Tukija kwenye swala la Tz kuiovertake kenya iko wazi ila kwao waliaminishwa kuwa maendeleo ni GDP ambayo iko obvious kuwa ni on paper ......so!ili wakubali ni mpaka waambiwe kuwa GDP ya TZ ni kubwa kuliko yao ndo watakubali si unaona hawaongei kwa ethiopia simply bcz wakigoogle wanaona iko higher kuzid yao.......mi niendelee kuwacheka na maisha yao magumu!
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Thanks sana bro .. Somo la GDP watakuja kulisahau tu haha
@zenochoro2 күн бұрын
@@tanzanianexplorer 😀 shida ya Tz ni shida ya kimasomo. The real economy is the production of goods and services within a jurisdiction of a country( Thats GDP). You cant imrove the living standards of people if the countries production is mediocre. Hapa kwa production of goods and services Tz bado iko nyuma ya kenya. GDP also affects parameters such as human development index. yenye kenya pia imeshinda Tz. Nivigezo vipi yenye TZ inatumia kuonyesha ati imeipiku kenya. Please usitaje ikulu
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@zenochoro GDP au sio? Na kiingereza
@zenochoro2 күн бұрын
@@tanzanianexplorer We Una ujinga.What fact are you using.hapa Tu ikijibu utakua sawa
@emmakicham46642 күн бұрын
@@tanzanianexplorerwewe ni you. Tuber but you need to research a lot si kukaa mahali na kuanza ku explaiin😂😂😂🤣🤣🤣
@maria_mutondioriginal5Күн бұрын
Unajifanya mchambuzi ila ni kwamba unatoa siri za kambi tu acha hizo bana 🥺
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au tufukuze mwiz kimya kimya
@maria_mutondioriginal5Күн бұрын
@@tanzanianexplorer hiyo itakua nzuri wenzio kila kinachoongelewa kuhusu Tz wanakifanyia kazi wapo kuhakikisha Tz inapotea kwahiyo kuwa makini cha msingi onyesha uzuri wa Tz 🇹🇿 na mengineyo ila siyo kuonyesha mikakati inakuaje tuna maadui wengi sana wa maendeleo yetu siyo Kenya tu.
@HisMajesty64Күн бұрын
@@maria_mutondioriginal5 😀😏
@JohnAwinda2 күн бұрын
We don't hate each other bro ni wewe unatafuta unga kwa kuspred chuki like for now that headline u use today ni chuki tuu
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Sio kweli...Angalia headline na usikize maudhui
@jeffchurum1431Күн бұрын
The truth is Tanzanians celebrate when Kenya is struggling. Kwa hii video ni wazi kabisa. Many TZ people wish and pray for the fall of Kenya ndiyo washike nafasi ya kwanza. Lakini Mungu ni nani, unapo muombea mwenzako mambaya ndo Mungu anazidi kumubariki. Kuteleza sio kuanguka.
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Not true
@innocentmushi3036Күн бұрын
Not true, watz ni kwamba hawajali kitu gani kina tendeka Kenya ila wanajua tz ki geographia na kiuchumi inatakiwa iwe mbele ya nchi zote za East Africa kuanzia Ethiopia hadi DRC.
@maria_mutondioriginal5Күн бұрын
Hiyo ni vise versa
@jaro5603Күн бұрын
@@innocentmushi3036hawajali na wamekita kambi hapa wanatengeneza video kila siku😅
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Ni kweli kuna miaka ambayo ilikua na uzuri wa kutuunganisha na ubaya wa kujali sana ujamaa ambao haukuamka sana kimaendeleo
@johnchege5794Күн бұрын
Mtu Ata Hajawahi fika kenya anajicompare na nchi iko nyuma sana
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Haha
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Kila siku kuna hundreds of buses travelling from Dar to Nairobi je ni nani anasafiri ? Ni mkenya tu peke yake? Jibu No. acha wale waishio huko ambao ni wengi tu. Kwa hivi wengi tu wanakuja Kenya na wengine wanaishi huko kwa hivi tunawajua vizuri tu jirani zetu
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Wote ni third world na mnatuzidi deni la mchina na imf usilete madharau ya kijinga. Ukweli ni huo unaelezwa kwamba yale yalikua ya zamani sasa tunawapita na SGR yenu ya diesel
@gastrogubimmed811215 сағат бұрын
Huku kujipaka mafuta hamna lolote sifa tu
@tanzanianexplorer5 сағат бұрын
Au sii
@salimjumaa8180Күн бұрын
Umejaribu lkn Kenya kw maswala ya uchumi weka mbali na E.A. Kenya wpo mbele mno mm kma mTz, kenya ina vikorombwezo vingi vya uchumi wala haitegemea bandari vle
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@idrissamohamed1100Күн бұрын
Kwani ukisema wewe ni mkenya hukolezi mada?
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@idrissamohamed1100 haha umeona eeh
@mashramadhani1989Күн бұрын
Kwa maswali ya uchumi WEKA MBALI😂😂😂😂 WA Tanzania hawaongei hivi
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@mashramadhani1989 haha
@FredyMwaijande2 күн бұрын
Bro ukweli unauma sana na watateseka sana
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Wanatukana tu haha
@HisMajesty642 күн бұрын
@@tanzanianexplorerni baadhi si wote. Acha kujumlisha mkuu
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@HisMajesty64 Angalia title na Angalia content ya ndani
@HisMajesty64Күн бұрын
@@tanzanianexplorernamaanisha si wote wanaotukana. Hayo mashindano yenu hayanihusu. mimi nashindana kuekea family yangu chakula mezani.😏
@Malak4.5Күн бұрын
Na tunae mama watanyoka tu titawanyorosha tuwe mbele
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Au sio
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
Msahau na huo ukabila+siasa😂😂😂😂😂
@josephmetu7191Күн бұрын
Acha uchambuzi wa kiuharakati kutetea nchi yako kwanza hujatembea Kenya huna facts maongezi yako ni kupotosha wenzako. Hii ujinga Kenya huezi pata mtu akiongea plz base your arguments and narrations on facts si kupayuka na kukurupuka tu ju umeshiba ugali na dagaa. Rudi mbeya ulime maparachichi ama usaidie babu yako kuchimba mizizi ya uganga na uchawi sumbawanga😂
@zenochoroКүн бұрын
najua hatakujibu hapa
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Hahaa
@tanzanianexplorerКүн бұрын
That's so hateful ndo mnaprove my point sasa
@zenochoroКүн бұрын
@@tanzanianexplorer we narration zako are below per because they are not based on facts. unafanya narration kufurahisha watanzania ambao wengi wano are not educated. this is zero work it doesnt reduce the pace of development of kenya in any way.
@ndulasimon2 күн бұрын
I remember i meet one of my neighbor 20 year's back and he told me that we didn't have traffic lights on our roads
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haha
@JomoKilaweКүн бұрын
@@ndulasimon 😁😁😁
@HisMajesty64Күн бұрын
@@ndulasimon lakn kweli kaka ,ama?😂😃😄
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@HisMajesty64 haha...not true
@MpakausemeКүн бұрын
Sisi wabongo bado sana aisee tuache hizo mbwembwe kwasababu viongoz wengi waafrica hawaeleweki wengi vigeugeu saa mbovu ,
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Kuna mtu katutumia cheti chako Cha kuzaliwa bwana Mpakauseme Njoroge
@tanzanianexplorer sasa mbona useme tunawachukia sasa sisi tuseme mnatupenda be nice jiranii 😂😂😂😂
@OchoroOdhis-e9z2 күн бұрын
@@Purity-j5j 😂😂 Huyu jama ana ufala Sana. Alafu anatumia picha ya president Ruto pasipofaa.. Yeye ndie anaeneza chuki..
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
@Purity-j5j haha coz Huwa always mnatukana tz
@Purity-j5j2 күн бұрын
@@tanzanianexplorer juu nyinyi hatusi kenya sindio unatuona kama matako yko
@yusufuosman89662 күн бұрын
Huyu jamaa anapenda kuchonganisha na majirani Jana alikuwa na nchi ya malawi Tanzania Leo tena na Kenya..
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
So mkihabarishwa ndo uchonganishi bro....hebu toa hiyo kitu akilini mwako kwanza ufungue ubongo wako ujifunze zaidi
@jothammuthuri2430Күн бұрын
You guys stop these nonsense of oohTZ iko na hiki,ooh Kenya haina hiki eshh!! Instead of embracing unity and integration is just mdomo kaya and hatred speech which is detrimental to peace and development. Ooh nani ako mbele ooh nani ako na kiswahili sanifu,ooh nani ako na kiingereza sanifu is all nonsense. Let's aspire for unity as east Africans and move on!!
@HisMajesty64Күн бұрын
@@jothammuthuri2430 umenena kaka
@hashimchaoga9566Күн бұрын
Lakini miaka mingi tu Kenya ndio wako na maneno mabaya na madharau kwa Tz sasa mnajulishwa kwamba yale yalikua mambo ya zamani enzi za ujamaa
@OchoroOdhis-e9z2 күн бұрын
Mbona unaitumia picha ya Rais wetu.? Jadili mambo yako bila kuleta maneno ya chuki. Lastly, itachukua aje mtu ambaye umemshinda.
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haha...
@Vegasboy2542 күн бұрын
Nilikuwa fun wako mkubwa sana kutoka kenya lakini Leo na unsubscribe..tunaweza kuwa na ubishi lakini sio chuki mashindano yapo lakini sio huu upuzi
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Karibu tena siku nyingne
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
Tokaaaaa!?!! Who care mnachuki nyie wakiongea wengine wanachuki Ila nyie mnapo ongea chuki zenu Tukae tuwachekee ss hv hatucheki na wowote!!!
@BabygalndanuКүн бұрын
Uganda is still using Mombasa Port. Lamu Port is functioning. Ethiopia and South Sudan use it. You just lie to make Tanzania look better. Enock Sikolia did a report on it kzbin.info/www/bejne/hoazoqhvqcuoaK8si=HO3YqIcJO7FO-akW
@zenochoroКүн бұрын
True.. he is always biased to show that kenya is not on the right direction
@tanzanianexplorerКүн бұрын
@zenochoro wew itabid Ruto akupee Medal..
@zenochoroКүн бұрын
@@tanzanianexplorer nilikushow uko na ujinga.. and ujinga yako is based of the media that you consume. just take some time and travel to kenya utembe mji zote, hutaamini. the negativity that the media is showing and whatever is happening are two different thing. for example kenya watu tatalia ati hawana pesa mfukoni.... yet people are driving big cars and building big mansions in the village. unabaki hapo ukinarrate vitu za kipuzi
@HisMajesty64Күн бұрын
@@tanzanianexplorer tuff gong huyo jamaa mkenya 😀😄😏
@zenochoro2 күн бұрын
Shida ni elimu. what are you using to base your facts. what is your base.? You are a prophet of doom.. Always painting a picture that kenya is in a wrong trajectory and Tz wako sawa. If you are better than kenya, Why are you doing comparison.? Ujinga wako ni kuangalia siasa za kenya then unafikiria hakuna maendeleo inayotendeka kenya. i will repeat maandamano ya kenya is for the goverment to speed up it development.. Tanzanians bado hawajafika hii kiwango. lastly you need to travel in these countries na utaona uhalisia. you will just keep quiet
@stephanmanyerere7352 күн бұрын
Acha kelele tulia uko kwenu ushagoo 😅
@zenochoro2 күн бұрын
@@stephanmanyerere735 What are you using to base your facts? Jibu Hili swali
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Haha asee.... Elimu na kuelimika it's a two different things. May be mmoja kati ya Kenya au Tanzania ana elimu na mwingine ameelimika
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
Hahaha...🙌
@stephanmanyerere7352 күн бұрын
@@zenochoro nyie issue ndogo tu zimewashinda Ku renovate viwanja emyewe mmeshindwa unataka kusemaje, Kenya hamna kitu Kwa sasa imebaki historia 😁
@AnthonyMacharia-r4zКүн бұрын
Fake news
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Daah ..macharia
@davinmuhahala6887Күн бұрын
Tanzania hamnanga jirani wengine? Kila saa kenya..
@tanzanianexplorerКүн бұрын
Tunawapenda ndo maana tunawakumbusha nn Cha kufanya
@beldina.hezrontv588116 сағат бұрын
Sisi na nyie nani yupo obsessed na nchi ya mwenzie??wakenya youtubers Wengi wamejaa Tz ss hv mpk tunasema hawa in ma spy nini mbona wamekomaa na Tz😂😂😂😂😂
@davinmuhahala688713 сағат бұрын
@beldina.hezrontv5881 nionyeshe mmoja aliyefanya comparison,wengi huja matembezi Tanzania
@danmatiku58402 күн бұрын
This are just but bullsheet
@tanzanianexplorer2 күн бұрын
What is 'bullsheet?
@PabloDallas255Күн бұрын
Yan wew kingereza hujui kiswahili ndo kilikushinda basi ungeandika hata kijaluo