Ukweli Nyuma ya Mgogoro wa Ardhi ya Msomera | Wenyeji dhidi ya Wahamiaji kutoka Ngorongoro

  Рет қаралды 10,155

Uraia TV

Uraia TV

Жыл бұрын

Wenyeji wa kijiji cha Msomera wanadai wameporwa ardhi yao na kupewa wahamiaji kutoka Ngorongoro, Serikali imejibu tuhuma hiyo.
Jamii ya wafugaji wa kabila la kimaasai, ambao ni wenyeji wa kijiji cha Msomera, wilayani Handeni, mkoani Tanga nchini Tanzania, wanadai haki yao ya umiliki wa ardhi, baada ya serikali kuchukua ardhi yao na kuipangia matumizi mbalimbali ya miradi ya maendeleo na makazi kwa watu takribani 3,010 waliohamishwa kutoka hifadhi ya bonde la Ngorongoro.
Wenyeji hao wa Msomera, wanaitaka serikali kuacha mara moja kile wanachokiita uporaji wa ardhi yao wanayoimiliki kihalali, na wanaitaka serikali kusitisha mpango wa uhamishaji wa wafugaji kutoka Ngorongoro kutokana na ukwei kwamba, wageni hao wanaweza kusababisha hasira, chuki, uhasama na mgogoro mbaya wa kugombea ardhi ya malisho na makazi.
URAIA TV imefanya uchunguzi wa kina wa mgogoro huo, na kuandaa makala hii.

Пікірлер: 1
@peterbillas9131
@peterbillas9131 Жыл бұрын
This is apartheid Tanzania
NILICHOKISHUHUDIA NGORONGORO KUHUSIANA NA NJAA
4:37
Raymond Nyamwihula
Рет қаралды 55 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 36 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 69 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 102 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Waziri Kairuki atoa agizo JKT ujenzi wa nyumba 2,559  Msomera
5:14
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,4 М.
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
"Mimi NITAJIUZULU, Waziri TUSIJIBIZANE" Mbunge Shangai akiwasha Bungeni
10:00
CHUNGU KWA WAISHIO NGORONGORO ,TAMU KWA WALIOHAMIA MSOMERA.
21:08
TZA MEDIA HUB
Рет қаралды 1,9 М.
JULIUS OLE KUYIONI PREACHING - AUGUSTINO LAIZER LAUNCH 1
26:42
Mtazame Kristo Tv
Рет қаралды 15 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН