Aslam Alykum cheikh Osman Michael. Mwenyezi Mungu akujaaliye kila laheri, uzidi tusomeya dua, n'a Sisi tufanikiwe kila laheri, Amani n'a rehma za Mwenyezi Mungu ziwe nawe piya ziwe piya kwa Mtume wetu Muhammad na kwa islam wote.
Asc shke Osman michàel alaah akuzidishie kwa kunipa elmi na mm nimeota yule mpenzi wangu baada ya kuswali istikhara nikaota ile asubuhi baada ya kuswali subhi nikaoteshwa yule bwangu ambaye tumeacha akinibana hadi kufa shke nimeamua kumwacha kabla ya hatari shke na mm ndoto zangu Huwa niya kweli shke mm simtaki tena naogopa walahi shke.
@HemediMussa-tf7nh9 ай бұрын
Mashallah tabarakallah well done our beloved shekh
@fistonRamazani-m1y9 ай бұрын
Aslam Alykum cheikh.
@NaimaAbdi-f6p5 ай бұрын
Asaaleykum sheikh othman mm ckujui lkn nimekujua kupitia video zako mtandaoni kwa kweli sheikh nimekupenda kwa ajili ya Allah mawaidha zako zinanigusa kwa kweli mm ni mama nikona vijana watatu nakuomba unikumbuke katika kila dua unayoifanya mungu anifanyie vjana wangu wawe hafid na waipende dini yao natamani wawe kama ww InshaAllah
@saeedsaeed73819 ай бұрын
Masha Allah lecture
@Nuro-t3t9 ай бұрын
Asalam aleikum warhmatulahi wababarakat kila wakati choo
@zainabmaulidi98469 ай бұрын
JAZZAKAALLAH KHAYRA SHEIKH 🙏❤️
@RahimaSalim-l5d9 ай бұрын
MashaAllah Tabaraka Allah
@shadhilmakame9 ай бұрын
Mashallah
@NasraSaidi-b5n9 ай бұрын
MAASHAA ALLAAHU
@AthumanAthuman-wy4fu5 ай бұрын
Shekh mm huota mama yangu amefariki cjui ina maana gani hii ndoto
@Gamil-r9o2 ай бұрын
Kisha ivi kalibuni niliotta mm nimesimama mbele kisha kuna misitali miwili ya wababa wote wamevaa kanzu na kofia wote wakinisujudia walahii nilivoamka mpaka nikaongopa nipe mana yake shee
@haifatimimi71929 ай бұрын
Sasa shekhe mtu akiota Dhahabu amevaa huwa ni uwongo ama ?
@miishhassn9 ай бұрын
Ndoto nyingine ni mbaya lkn maan yake nzur na ukiamka uimbe dua ikuepukie mbal wakat inamaan nzur
@HabibaHared9 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@HabibaHared9 ай бұрын
Hapo umenikumpusha mrehemu babangu mola amweke peponi alikwa akitafsiri ndoto watu wakiota walekwa wakija akiwatafsiriya alikwa mcha mungu na kubenda sana watu na alikwa mtu wa ibada sana
@nushabdile36107 ай бұрын
Na kuhitaji ww sasa sitaki msomali tena walahi tena.
@Gamil-r9o2 ай бұрын
Mimi shee niliota mwezi umenishukia utosini kicha mbenga la kulia kisha lakushoto nn maana yake
@letuslearn75489 ай бұрын
Nani sheikh anajua kukagoa ndoto
@Zulfa-sc4bu9 ай бұрын
Hakuna sauti hatusikii chochote
@miishhassn9 ай бұрын
Ni kwako tu mbon ipo sawa
@Zulfa-sc4bu9 ай бұрын
@@miishhassn Labda wametengeneza sauti lakin nilipokua na Comment nilikua pekeyangu nasikiliza haikua na sauti