Hii shule inavituko kweli hadi mtihani inakuwa mashindano ya majilani 😂😂😂
@ellywanyonyi163 Жыл бұрын
Ati si mwalimu kipara anakutavuna😂😂😂😂😂
@NasmaJuma-n8p22 күн бұрын
Mhhhh hy shule sopoa
@DorcusLyambilo-ks5fp Жыл бұрын
Wow!! Mwanfunz unasoma vizur sana 🤣🤣😅
@janegati6031 Жыл бұрын
Bavu zangu nyie muziache eeee😂😂😂😂😂
@gymondclassic672912 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 shida unasoma huku unakumbuka mikunjo ya mwalimu wako😅😅😅😅😅😅😅😅 kichwa kibovu wewe huna akili takataka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-kd6cp9xs7m Жыл бұрын
Kwenye tisa anakuongezea 0😂😅😂😅😂😅
@kalamuyangu111 ай бұрын
Kilichondikwa ubaoni sasa! 😂😂 Kibanda umiza cha mpira
@AlikeyKibuga-gn7ly Жыл бұрын
Hahaaaaa😂😂😂😂 jaman usomaji gan huo nakufa na kucheka jaman 😂😂😂 warimu wana bweda haweeee wanafuzi wenyewe mimama hhaaaaa
@janegati6031 Жыл бұрын
Nikajua nakufa mwenyewe na kicheko tupo wengi 😂😂😂
@sylvanjosam3402 Жыл бұрын
Mwalm kipara anatfuna😢😢😢😢😢
@chikuyahaya8103 Жыл бұрын
Unyama mwingi big up bro
@Samuelmartin-wk5kd2 ай бұрын
Hapo kweri hamn shule walimu wafukuze wote ndo chanzo chaumaraya
@kenogola339211 ай бұрын
Napenda sana huu mchezo,,, naezakuwa mwalimu 😅😅😅😅😅😅😅😅 weee kusagamua2
@RizzoLizzy1-sl6zy2 ай бұрын
Wapi shule yenyewe walishashindikana😂😂😂
@user-te7vv6db8z6 ай бұрын
Awa wkona ujinga shule gani hii sasa 😂😂😂😂😂😂😅
@user-ff4zw7oj8i Жыл бұрын
Baba joani nimekukubalikuanzia Leo
@francismuthiani349 Жыл бұрын
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣🤣🤣 twendeeee. 🤓🤓🤓
@nancykimandi4 ай бұрын
😅😅😅😅 masomo
@FatumaMkweche25 күн бұрын
Mm uyu marimba 😊change moto😂😂😂😂😂
@FatumaMkweche25 күн бұрын
M xhule yamalaya😂 iya😂😂😮😮
@MaryNyakowa4 ай бұрын
iyo, shule ifungwe tafadhali.
@benkuumohamed8245 Жыл бұрын
Na mzazi analipa fees😅😅😅
@ZainabAlex-ne1glАй бұрын
Hawa ata hawakai wanafunzi
@user-tx2iy5hx2v9 ай бұрын
😂😂😂 lakini uku kenya watu wanajuwa kizingu ," Sana sana wajaluo.
@user-cr3ii1mh9d10 ай бұрын
Ndo mnatafuta Kiki kupitiaa watoto za watu sio
@user-tk4nl9zj4y10 ай бұрын
Hapo maisha iko sawa😂😂
@noormoammed31169 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 utashinda hapo
@benkuumohamed8245 Жыл бұрын
Anakramu sio😅😅😅
@user-dy5wq1sl6y4 ай бұрын
We mwalimu binti muzuri tu unavutia ❤
@ashamwanganzi640010 ай бұрын
😂😂😂😂😂daaaah jmn nyie noma san aisei
@mwalisuleih116410 ай бұрын
Huyu baba john bora apewe jina la baba mafimbo maan izo fimbo ni balaa
@nancykimandi4 ай бұрын
😅😅😅😅 anatafunwa na anaanguka mitihani😅😢😢😢
@geraldnjau7186 Жыл бұрын
Stive kwa hiyo unanitaka!pigia mstari😁😁
@geraldnjau7186 Жыл бұрын
Baioloji is stad😂😂😂😂😂
@annahnyansiaboka4517 ай бұрын
Hii shule natamani nami nijiunge hii yakuongesewa sufuri mbele
@denismasese3208 Жыл бұрын
Baiology😂😂😂😂ama biology jamen Tanzania 😅😅😅one love from kenya
@AsnatiAllyАй бұрын
Mnamambo nyinyi mnatafuna wanafunz mhhhhhhhhh
@TillyMinaАй бұрын
Iyoshule kiboko😂
@MaryNyakowa4 ай бұрын
Acheni, ujinga tafadhali kujeni Kenya.
@davidpeter2398 Жыл бұрын
Is the study of of of aa 😂🙌 mmenikumbusha form 1 KBS aisee 😂 MTU anakalili huku analembua ivyo aisee 😂😂
@benderasixmuhoreza2941 Жыл бұрын
Steven naule mwana muke wana pendeza
@JayjaySimiyu-mu9qd2 ай бұрын
Jamani kingeleza kigumu huko tz h
@user-tx2iy5hx2v9 ай бұрын
Baba joan, omwana wa nora. Comment zako zko wp?
@lazarokibulah665 Жыл бұрын
Hamjaonyesha huwezi na maadili ya kiualimu kabisa.
@FiddiKim3 ай бұрын
❤
@HeroMakamura-gc1xs9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Hawa walimu wapuuzi kweli wanatufundisha umalaya hamna kingereza wanaoelewa
@HeroMakamura-gc1xs9 ай бұрын
Umalaya 2 hamna kingine
@KamuliKasangaАй бұрын
Bumm
@KamugishaMethod10 ай бұрын
O Zina wahusu shule hii yo mkuu washule afukuzwe anabisha taifa kiukweli
@hapJay-cz1dg Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂noma san
@SandraJoseph-ud9xp Жыл бұрын
Ingekuwa niwanfunzi wanakuwa hivyo nawalim wao shuleni watu wangekuwa hawana kitu chamaan wanachokifta shuleni
@IbucwaDjuma-ru5dj Жыл бұрын
Unyama mwing Aaseeeh
@FredWanyonyi-fn8lq2 ай бұрын
Fungeni io shule please😢😢😢😢
@dipropatrickАй бұрын
Bi o logy imeleta shida
@user-vm1io1gg5u11 ай бұрын
MaRo
@user-ff4zw7oj8i Жыл бұрын
Weee jamaaa nimbunifu kichizi yaani
@user-vg7jn8jk5q4 ай бұрын
Aixe munazingua kunona xana mnaelimixha nnn hapo
@PhactonyGodwin14 күн бұрын
Iyo ndo xhule
@user-yq6gu1ms8o7 ай бұрын
Shule nyingine ziko hivyo hasa za gvt
@VictorRivia2 ай бұрын
Napenda huu mchezo
@NeemaAndrea-f4v27 күн бұрын
Wow 0:42
@obedmaisha502618 сағат бұрын
Wewemalayasana
@PerisKalume2 ай бұрын
Yuwamutafuna 😂😂😂😂
@MANENOCHULI-go4rd Жыл бұрын
Mizagamuano tu kwakwenda mbele
@NeemaAndrea-f4v27 күн бұрын
Wow
@EdinaLutubija27 күн бұрын
😢
@bernardmlenda9800 Жыл бұрын
Mwl anaenda kugongwa stick sas
@jeremynzuvafunnyvideos1489 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mbumbumbu
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
Steve mweusiiii
@LukulirwaJeado3 ай бұрын
Vizuri sana
@user-gq4dz5iw2z11 ай бұрын
Elimu kwa dizaini hii haifai inakatisha ndoto za wanafunzi wengi kwa kuishia kupata mimba
@happymwashimaha5134 Жыл бұрын
Hivi mazingira ya shuleni ndo watu wanajiachia hivyo?
@user-kt2vj8zt1t10 ай бұрын
😂😂😂 wapuuzi Hawa. Sasa kingereza kipi hicho. Tafunwa kabisa na kipara😢😢 shenzi sana