Unamuombea rehema mbele za Mungu pia ukienda kanisani unatoa sadaka kwa ajili yake unamsemesha Mungu amkumbuke amrehemu namna unavyo zidi kumuombea na kumtolea sadaka Mungu anambadilisha Ameni mimi nina ndugu zangu walikua hivyo namshukuru Mungu kwa wema wake walikuja kuomba msamaha kwa mama lakini ni kwasababu nilisimama na maombi na kufunga daddy sunbella kyando akisema michango labda ya viti au kitu chochote napeleka Mungu alifanya namshukuru nakushauli na wewe pia fanya ivyo Mungu wetu ni Mungu mwenye huruma kila siku ameni
@joycemaige6838 Жыл бұрын
Kama upo dar jitahidi ufike hapo kanisani sinza mori uweuna watolea sadaka ukiweza funga namna unavyo weza ukifunga siku 3 au 10 ni wewe