No video

Unabii kuhusu Tanzania "Rais atajwa"

  Рет қаралды 7,600

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

Күн бұрын

Ungana na BMG Online TV kufahamu unabii huo kisha chukua hatua. Nabii Deo Njeni wa Kanisa la Revival (Huduma ya Utukufu wa Mwisho), lililopo Mtaa wa Shamaliwa B Kata ya Igoma Jijini Mwanza, ameonyeshwa unabii mwingine kulihusu taifa la Tanzania.

Пікірлер: 23
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Maono yako ni sahihi leo tunashuhudia wanasiasa wanaopromote ushoga Tanzania ni maombi yangu kwa Mungu atushindie jaribu hili katka jina la Yesu
@sarunyanda1741
@sarunyanda1741 3 жыл бұрын
Ok
@alnordngonyani164
@alnordngonyani164 4 жыл бұрын
I pray for this thank you our Lord Jesus
@alnordngonyani164
@alnordngonyani164 4 жыл бұрын
Amen I receive
@nehemialikatage7378
@nehemialikatage7378 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu umeungana na manabii wasema ukweli kabisa,wewe pamoja na nabii mkuu geo devi mzee wa upako wote wamesema kama wewe,mungu akubariki sana,salute kwako mtume
@allenlemuel3164
@allenlemuel3164 3 жыл бұрын
Mambo haya magumu xana, Mungu anajjua rais ajae, nabii zimekuwa nyingi, tusubiri wkt wake
@bensonkihwele1375
@bensonkihwele1375 3 жыл бұрын
AMEN MTUMISHI
@edwardnamakonde7310
@edwardnamakonde7310 3 жыл бұрын
Amina
@hamzashaban1400
@hamzashaban1400 3 жыл бұрын
Ww nimtumishi wa mungu wakweli mungua endele kukutumia
@emmanueljosephat2892
@emmanueljosephat2892 4 жыл бұрын
Nihakika kabisa unacho tuambia nikweli Mtumishi tumefuata njia mbaya inatupasa tuziache njia mbaya
@suzanenkambwe8494
@suzanenkambwe8494 4 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa
@theemperor8229
@theemperor8229 3 жыл бұрын
Huyo ametabiri haya kumbuka mwaka mmoja uliopita sasa mseme uongo..
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Umesema jambo jema kabisa ingawa wenye milengo ya kisiasa mioyoni hawatakuelewa maana kila anayetaja jina rais kuna watu roho zinawachemka.
@geofreymollel6973
@geofreymollel6973 3 жыл бұрын
Ss mtumish nani wakuleta uo ushoga simm kwenye kweli usitumike mtu wa Mungu
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
Huyu jamaa haeleweki mara ni lisu mara leo tena ni JPM
@samwelsimon9278
@samwelsimon9278 3 жыл бұрын
Usiseme maneno ya umbea kwa uvuli wa mungu tz atuna imani potovu hiyo niyakwako kwenye kanisa lako ulisha shuhudia wapi hayo maneno au wewe ni muhusika
@mtumishijerrymwagobele6559
@mtumishijerrymwagobele6559 3 жыл бұрын
Ulitabili tundu lisu kuwa atakuwa rais leo umegeuka umeunga juhudi unabii huu
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Hawa kumbe hawaaminiki sio uyu aliemtabiria lisu sasa vip tena??
@johnbosco9676
@johnbosco9676 3 жыл бұрын
Mwendawazimu uyu.wewe nimwendawazim mpumbavu
@johnbosco9676
@johnbosco9676 3 жыл бұрын
Kwanini ukutabili korona. Nani Sasa anaunga ushoga .basi wauwe aomashoga walioko apatanzania.
@theemperor8229
@theemperor8229 3 жыл бұрын
Magufuli inakuaje hadi watu wa Mungu wako upande wake? Kwa sababu JPM yupo pamoja na Mungu na ndio watumishi wanafuata Mungu alipo
@samwelsimon9278
@samwelsimon9278 3 жыл бұрын
Usiseme maneno ya umbea kwa uvuli wa mungu tz atuna imani potovu hiyo niyakwako kwenye kanisa lako ulisha shuhudia wapi hayo maneno au wewe ni muhusika
@jumanneibazu9086
@jumanneibazu9086 3 жыл бұрын
Samweli Simon inaonekana familia yenu munafilwa wewe mamayako babayako wadogozako madadazako mnafilwa tena kumaninazako namamayako kumalamamayako nababayako Kuma vilevile kumanyoko zako wote familia yenu
NABII BUSHIRI AONGELEA MWISHO WA MATATIZO TANZANIA 🇹🇿
0:59
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 3 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
TANZANIA'S NEXT PRESIDENT REVEALED /// PROPHET PETER MORWABE
3:09
Pr Peter Morwabe
Рет қаралды 41 М.