Sasa unabii kila mara ni matatizo sijawahi ona mnatabili mambo mazuri ni majanga na vifo mbona hamtabili mungu kawaonyesha madini sehemu furani nyie shida tu ndio mnaonyeshwa.
@pastor_Estersamwel7 ай бұрын
Soma sana Biblia mwanawa MUNGU pia soma abali za Mfalme Ahabu nini kilimkuta kuhusu Manabii alikuwa anataka kutabiliwa mema tu nasio tahadhari wala maonyo mwisho alikufa
@Elimuyaufalmewambinguni7 ай бұрын
Kama Mungu hataghairi utajua Nini huyu dada anasema,ila akighairi kwa sababu ya watu kutubu utasema dada mwuongo.
@HappyFlowers-ee8ru7 ай бұрын
Ni ukweli kabisa dada MUNGU amenena ni nabii wa kike tangu January mwaka huu nmepata vita na mashambulizi makubwa sana vita juu ya manabii ni kubwa sana tumshukuru MUNGU sana kwa sababu anasema
@pastor_Estersamwel7 ай бұрын
MUNGU azidi kukupigania sana Nabii wake kwa Utukufu wa jina lake Hallelujah I pray for you
@saalim54016 ай бұрын
Na wee mbwa wa kike unadai unabii hii dini ya wahuni kweli haaahaah!!! Uuuuuuwiiii mnatia aibu na ibilisi kawatoa haya hata iweje mungu hawezi kuweka nabii mwanamke ushenzi huo kuoga tu hujui unanuka kwapa eti nabii jiandae na moto mbwa weee
@lilyrose79836 ай бұрын
Mbona matusi yanakutoka?Kama video inakukera sio lazima kutazama
@esterchangala70786 ай бұрын
😢naomba no yako
@pastor_Estersamwel6 ай бұрын
Zidi kubarikiwa Sana mpaka ushangae katika jina la Yesu Amen Amen
@ezekielkiduge87306 ай бұрын
Acha upagani uwe unasoma BIBLIA ndipo utajua kwa habari kuhusu managing wa kike mdo sura ya 2 yote
@lilyrose79836 ай бұрын
@@ezekielkiduge8730 Nani asome biblia?Salim au huyu mtumishi?Sasa Salim na biblia wapi na wapi?