UNAMKUMBUKA MAMA WAWILI?| NIPO TAYARI KUOLEWA HATA MKE WA NNE| NATAKA MUME YOYOTE TU

  Рет қаралды 6,854

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 5 ай бұрын
namuombea huyu dada apate mume wa kheri. dada mzuri sana nampenda .
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 5 ай бұрын
Masha Allah hongera dada
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
Mama wawili anazidi kuwa mdogo kwasababu hatumiki hovyo ameamua kujitunza. Ukitumika mara kwa mara unazeeka haraka.
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
ManshaAllah mama wawili mzuri pia umetulia na kuombea Allah akujalie mume mwema mwenye kher na ww yarab amiin
@husna34562
@husna34562 5 ай бұрын
AMIIN
@siriyangu4724
@siriyangu4724 5 ай бұрын
Amiin
@kulthumnkiranya3172
@kulthumnkiranya3172 5 ай бұрын
Amiin
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 5 ай бұрын
MashaAllah mama wawili nimekupenda na kauli yao idadi ya watoto Mwenyeez Mungu ndio mpangaji safi sana
@skjjsj1889
@skjjsj1889 5 ай бұрын
Ma sha allah Mama 2 mungu akubariki na akuhifadhi Mama 2 inazidi kupendeza alhamdulilahi
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 28 күн бұрын
Hongera maa shaa Allah
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 5 ай бұрын
Kwanini Wanawake mnakimbilia kuelewa? Wanaume wengi matapeli na hivyo unamjengo, atafute uzae tena😢
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 5 ай бұрын
Kweli mama wawili maneno yako. Mtoto wako ni kila kitu. Mungu akusaidie. Ameen
@haleemasultan6760
@haleemasultan6760 5 ай бұрын
Masha Allah wanzania wa moyo
@oman1oman179
@oman1oman179 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤huu ni mzuri manshallaah sijuwi wanawume wanakaga nini mwanamke mzuri kama huu unamuwacha kisha mpole mstarabu
@abdulmustafa2148
@abdulmustafa2148 5 ай бұрын
Insha Allah ata pata mume
@zoab2699
@zoab2699 5 ай бұрын
Mashallah allah akuzidishie hikma na busara allah akuhifadhi 🤲
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 5 ай бұрын
Zahir mpe mtaji WA mboga mboga kama kuna sehemu Kwa sababu ya mgonjwa hawezi kufanya biashara nyingine nje ya nyumba.
@asiasalim9323
@asiasalim9323 5 ай бұрын
Masha ALLAH, tuulikumiss pia tunamkumbuka sana
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 5 ай бұрын
Miaka 3 sio miak5 Masha'Allah anazidi kuwa mzuri
@abdulmustafa2148
@abdulmustafa2148 5 ай бұрын
Ana kushinda sio kwa uzuri sio
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 5 ай бұрын
@@abdulmustafa2148 🤣🤣🤣
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 5 ай бұрын
Mashallah mama wawili jamn muda snaa umekuwa mnono aswaaa
@raskukusr4259
@raskukusr4259 5 ай бұрын
Zahir Maashallah lakini mazoezi kaka ❤
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 5 ай бұрын
Mashallha
@teddyaloyce8218
@teddyaloyce8218 5 ай бұрын
Yani uyu dada alianza na chumba kimoja tu asee ana akili
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Hakika umeongea point haswaaa
@faraj6700
@faraj6700 5 ай бұрын
Zahiri masuali yuko mengine ya ajbu
@uwimana6533
@uwimana6533 5 ай бұрын
Zahir umenenepa sana fanya mazoezi 😂😂😂 umekua bonge
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 ай бұрын
Kabsaaa 😂😂😂
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Nakweli bora uolew kuliko kubak hivo
@remiomar7154
@remiomar7154 5 ай бұрын
Leo nimefurahi Zahir hy mama ndio nilikuwa n kwambia ambae dadayake alidhulumiwa n mumewe n ana watoto mapacha mmoja n mlemavu mashallah nimefurahi sana
@omansaltana5466
@omansaltana5466 5 ай бұрын
😊😊
@halimaoman8726
@halimaoman8726 5 ай бұрын
Unaongea sahihi ndugu mladi upo kwako ata akitoka mume yupo sahihi anaolewa mladi akujuli
@zainab8251
@zainab8251 5 ай бұрын
Hata mimi nakushauli baki na mtoto wako kikubwa una pakulala tafuta tu pesa ya kula
@SinaHafidhi
@SinaHafidhi 5 ай бұрын
Umevumilia muda mrefu endelea kuvumilia ulee Wanao wanaume watakupa mawazo sana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 5 ай бұрын
Tunamkumbuka
@faraj6700
@faraj6700 5 ай бұрын
Wewe zahiri huna din wacha masuali yakpumbavu.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 5 ай бұрын
Yule MWANAE yuwapi
@uwimana6533
@uwimana6533 5 ай бұрын
Eeeh mamawawili namkumbuka kitambo 😂😂😂
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 5 ай бұрын
Yaani huwa nikimsikiliza mama wawili huwa napata vipele 😢
@BbqVcl
@BbqVcl 5 ай бұрын
Zahir apo kwa mama wawili maji aingiii
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 5 ай бұрын
Vip kuusu mama batuli mpakistani na yule mkaka wa homeless ambae aliaidiwa nyumba akakae ila mlikosea location alafu ukarudi nae
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 5 ай бұрын
Kweli kabisa kuhusu yule kaka ata na mm natamani kujua kasaidikaje
@HajiKazungu-mv3ff
@HajiKazungu-mv3ff 5 ай бұрын
Kama wataka mume Mimi nakutaka lakini Niko Kenya
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 5 ай бұрын
Jipange uende ukamuoe,, na utilize majikumu kamili, sio umuchezee,, "somo yangu"
@HajiKazungu-mv3ff
@HajiKazungu-mv3ff 5 ай бұрын
Nipe namba zake
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 5 ай бұрын
Sio Sheria direct kupewa namba,,Hadi uende kwa zahiri,, na kanuni za uislamu na inch ya tanzania izingatiwe.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 ай бұрын
Yule dd WA marekani aliekuwa anaingiliwa kinyume na maumbile vp Hali yake? Tunaomba mrejesho kk Zahir
@cheetamedia
@cheetamedia 5 ай бұрын
ZAHIRI YALIMKUTA MAKUBWA AKAAMURIWA AFUTE HABARI ZOTE NA TCRA
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 5 ай бұрын
​@@cheetamedia Pole yake😢
@faraj6700
@faraj6700 5 ай бұрын
Wewe ni muislamu usimuulize mtu masuali yakufanya kumfukurisha sio vizuri labda wewe hujasomadini zahiri.
@rayahamisi118
@rayahamisi118 5 ай бұрын
Umenenepa zail 😂😂😂😂kama pipa
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 77 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 24 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [57]
20:43
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 33 М.
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 25 М.
IBRAHIM TRAORE AFANYA MAKUBWA BURKINAFASO AKITIMIZA MIAKA MIWILI
9:28
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 4,2 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57