UNAWEZA MILIKI GARI, LAKINI SIO FARASI NA HII NDIO SABABU

  Рет қаралды 59,097

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@abelkisika8019
@abelkisika8019 Жыл бұрын
Ni bongo tu ndio huwezi miliki kirahisi farasi.ila nchi kama sudani au nchi za jangwa ni usafiri wa kawaida kwa kila mtu
@yente9chanel733
@yente9chanel733 Жыл бұрын
Mimi ndio wa kwanza nipeni like zangu
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 Жыл бұрын
A very nice piece of information
@mshua337
@mshua337 Жыл бұрын
Sudan vijijini huko watu wanamiliki farasi kama sisi tunavyomiliki paka na hawana gharama yyt kuwatunza
@samirajohn6938
@samirajohn6938 Жыл бұрын
Real
@JffjhgHffjjh-hr8ts
@JffjhgHffjjh-hr8ts Жыл бұрын
Dah mm nampenda Sana uyu mnyama ila hizo sababu zimenikatisha Tamaa ya kumiriki siku moja😀😀😀
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 Жыл бұрын
Wengi huamua kujinunulia kavitz nakuendelea namambo mengine😅😅😅😅😅
@ARUSHA_NAILS
@ARUSHA_NAILS Жыл бұрын
Haha😂yani leo nimekaa nikiwa nawaza farasi mara nakutana na hii video
@qweeniepoul7842
@qweeniepoul7842 Жыл бұрын
Unakumbushwa nguvu ilioko kwenye ubongo wako
@thetanzaniaanimalchanel1564
@thetanzaniaanimalchanel1564 Жыл бұрын
Yote uliyoongea ni sahihi ila hapo kwenye umiliki jaribu kufatilia nchi za africa magharibi mfano senegal farasi wanamilikiwa na watu wa maisha ya chini na wanatumika kwa ajili ya kubeba mizigo,kuvuta mikokoteni ya kubeba takataka na kuna wengine wanawatumia kuuzia samaki mtaani na hata wanaonunua chuma chakavu wanawatumia hawa kuzunguka nao mtaani
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 Жыл бұрын
Napenda mnyama huu sana
@footballtzee
@footballtzee Жыл бұрын
huku wako wengi sana japo matajiri ndio wanamiliki
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Wap huko
@Stay_with_God_tv
@Stay_with_God_tv 2 ай бұрын
Nawapenda farasi Sana.
@radiIbrahimnuhu
@radiIbrahimnuhu Жыл бұрын
Noma😊
@jackisonidanieli431
@jackisonidanieli431 11 ай бұрын
Sasa me nataka kuuliza wanapatikana wapi kwa wingi
@highskills5883
@highskills5883 Жыл бұрын
Very good
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Жыл бұрын
Farasi na duma nani anakimbia zaid?
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Жыл бұрын
Asante
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 Жыл бұрын
Naomba uweke makala ya Willam branham
@henrylugendo280
@henrylugendo280 Жыл бұрын
Safi sana jastin shad
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 Жыл бұрын
kama kweli farasi walikamatwa porini je leo tukienda porini tutawakuta?
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Nomaaaa
@KasminaCreation
@KasminaCreation Жыл бұрын
Noma sana😂
@edwardouma1630
@edwardouma1630 Жыл бұрын
Bora ninunue Kawasaki Ninja H2R ni enjoy 🇰🇪
@FathelaFy-hj4jn
@FathelaFy-hj4jn Жыл бұрын
Adilaha.falasi.jamani
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️👊👍.
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
😂😂😂nyama
@ShamyshamimShami-cp5ev
@ShamyshamimShami-cp5ev Жыл бұрын
Camel ni ngamia
@millermlowe8156
@millermlowe8156 Жыл бұрын
Ivi maili 1 nisawa na kilomita ngapi
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Maili 1= 1.6 Km
@SemeFlowers
@SemeFlowers Жыл бұрын
❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@joycelydiah7156
@joycelydiah7156 Жыл бұрын
Waaaaa majabu😂😂
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 Жыл бұрын
Tabia ya kumbukumbu kama punda, kunywa maji kama punda, kulala, kusikia n. K
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Camel ndio faras.! Nakunywa mazim yake kila siku ni Mazur kiafya
@amiryally8923
@amiryally8923 Жыл бұрын
ww unyongwe tu😅
@Ellythegreat-cl5jv
@Ellythegreat-cl5jv Жыл бұрын
😂😅😂😅 nimekaa pale
@thenextmvp8568
@thenextmvp8568 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@denismasele4130
@denismasele4130 Жыл бұрын
Camel 🐪 ni ngamia na horse 🐎 ndio faras.
@salumsaidi122
@salumsaidi122 Жыл бұрын
Camel ngamia farasi ni horse
@samsonmunyithya946
@samsonmunyithya946 Жыл бұрын
So boring be straight to the point
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
Na kwanini hawapo porini kama vile punda milia nk
@husseinchea5524
@husseinchea5524 Жыл бұрын
Farasi mwetu wapo lakini si afrika bali ulaya
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Camel ndio farasi.!
@yukundakisoka8797
@yukundakisoka8797 Жыл бұрын
Hapana,camel n ngamia Farasi n horse
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
@@yukundakisoka8797 🙏
@issashekh4726
@issashekh4726 Жыл бұрын
Camel ni ngamia
@ShamyshamimShami-cp5ev
@ShamyshamimShami-cp5ev Жыл бұрын
Camel ni ngamia
@ShamyshamimShami-cp5ev
@ShamyshamimShami-cp5ev Жыл бұрын
Camel ni ngamia
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Camel ni ngamia,...Horse ndio farasi
Penzi La Wanakwaya Michepuko Liloishia Kwenye Mauaji Kwa Shoka.
15:33
MAMBO YA KUSHANGAZA KUHUSU SUNGURA AMBAYO WENGI HATUFAHAMU.
8:02
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 20 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 19 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 11 МЛН
SLAVONSKI BISERI EPIZODA 5:   Hrvatski posavac: Autohtona hrvatska pasmina konja
5:19
2Pogled na povijest Hrvatske i svijeta-Đuro Vokić
Рет қаралды 3,1 М.
Paint My House Challenge By Multi DO
15:41
Multi DO
Рет қаралды 9 МЛН
Leo tuko ushago ya USA. Mzee amefuga kuku na Farasi Kama pet.!!
22:16
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 20 МЛН