Amen ameni kubwa sana madhabau ya mbingu duniani ikawe ushuhuda Kwa kila mmoja
@sheilamtate70795 ай бұрын
Mungunbaba akubariki mwlim
@francinemwamba11 ай бұрын
Mungu aniondolee kila uchawi unao funga ndoa yangu ndoa ya wandugu zangu ndoa ya watoto wetu kila uchawi unao funga uduma yangu kila uchawi unao shikilia kipato changu uchawi unao shikilia kizazi changu n'a kila Amina yote ya kichawi inayo tutaabisha mimi n'a ndugu zangu n'a watoto wetu na wazazi wetu Léo naulipua n'a kuuteketeza kwa moto ulao ehhhh bwana yesu akuomba ututendee sasa
@suzzymrema87582 жыл бұрын
Amen kubwa
@JosephYohanna-hn4sx2 ай бұрын
Kila uchawi ulio Wai kufanyika kwenye maisha yako ninautekesa leo kwa jina la yes kiristo
@janeboniface21484 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@nasramwanga91894 жыл бұрын
God bless you more!
@bialowmghamba40072 жыл бұрын
Kila uchawi utoke ktk familia yangu
@joycemutatina77503 жыл бұрын
Kila uchawi urudi kwa wenyewe tena wafe wenyewe amina
@bialowmghamba40072 жыл бұрын
Roho zakichasi mauti minaeli ziondoke
@teddymushi38822 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wamungu umefungua weng walio fungwa ww nishujaa ww ni nyota iliyo tumwa kuangaza mwanga kwawalio poteza matumain yakuishi ubarikiwe mwalimu mtumish na msemakwel