tambua thamani ya damu ya Yesu katika maisha yako, inenayo mema kuliko ile ya Habili
Пікірлер: 403
@juliusenock72894 ай бұрын
2024 kama unasikiliza wimbo huu fumba macho umuone mungu
@hannymontana99162 ай бұрын
Amen 🙏
@user-uf9jb8py9i11 ай бұрын
Oooh yesu damu ya yesu inanena mema jina hili tu ndio lenye uwezo tuu
@NoahLucia-ur2er6 ай бұрын
Napata upako sana na huu mwimbo thanks God
@marygee7966 Жыл бұрын
Nyimbo inanisogeza karibu kabisa na mungu na roho wa mungu anashuka mzima mzima wangapi wanafeel hiyo nguvu👏👏👏👏🙌 2023 happy new year to all of you
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
Aminaaaa 👏❤️🌷🌹
@everadamfuna990411 ай бұрын
Mimi dear
@chatuchriss53625 ай бұрын
Jina la aloimba huu wimbo pls kama una mfahamu
@user-ec4br4pd3o7 ай бұрын
Ho haleluya ❤❤ Yesu nakupenda
@jerubetjoan202 жыл бұрын
Tuko wangapi tukisikia huu wimbo tunachazwa na roho mtakatifu mpaka tunalia.
@luismalole2 жыл бұрын
Aise
@luismalole2 жыл бұрын
Motrooooo
@naldclever Жыл бұрын
hakika tuko wengi sana
@luismalole Жыл бұрын
Tupo hapa
@tumainisampeta5570 Жыл бұрын
Mm na watoto wangu tunapokea afya ulizi amani na kuinuliwa kweli damu ya Yesu Ina nguvu ya kuponya kutunza kulinda🙏🙏🙏
@pascaliatkalekye9336 Жыл бұрын
Damu ya yesu inene mema kwa maisha na familia yangu na inifunike milele na milele Amen
@DanMutiso-um7uv4 ай бұрын
So what are we going for today
@eliudbalige95725 ай бұрын
Jina la Yesu linaweza yote,, Damu ya Yesu inanene mema
@GracePaulo-mq8mb10 ай бұрын
Jaman nabarakiwa sana nikiusikia huu wimbo hata kanisan
@aminathakiwele64038 күн бұрын
Oooh haleluyaaa DAMU YA YESU inanena mema 🙏 kila naposikia wimbo huu Roho Mtakatifu anashuka na nguvu ya maombi nasikia uwepo wa MUNGU 🧎♀️🙏🙏
@user-zf6sk3hm1v8 ай бұрын
Damu ya Yesu kweli ni kila kitu be blessed the man of God
@esthermoindi709711 күн бұрын
Damu ya yesu inanena mema inene mema juu maisha yangu siku ya leo Amen
@user-vp3pg9mt1z4 ай бұрын
Hallelujah
@elizabethkuthi2728 Жыл бұрын
Damu yako Yesu inanena mema kwetu ..na itupiganie ya yote tunapitia🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏😢😢😢 I worship you Jesus 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😢😢😢
@esthermoindi709713 күн бұрын
Damu ya yesu inene mema juu ya maisha yangu nifunguliwe nipate kazi yenye mshahara mzuri
@LeahWanjala-ws4eg2 ай бұрын
Nmeona kubarikiwa kupitia kwenye huu wimbo,hakina jina yesu linaweza yote,mwenye aliimba acha neema ya mungu ikutawale na ukaweze kuimba zaidi ili tubarikiwe🙏🙏🙏
@ednahmusau79348 ай бұрын
Damu ya yesu inanena mema kwa maisha yangu
@SPELINAANDREWmwamasage-ie9nq10 ай бұрын
Amina damu yayesu inanena mema maishani mwangu❤ 8:31
@winfredngei208113 күн бұрын
Hallelujah what a beautiful song ,,damu ya YESU inanena mema na milele itanena mema,, very powerful Amina
@MaryKisitu-pw4ub2 ай бұрын
Ninakiri hii damu ya Yesu inanena mema siyo sawa na habiri ni damu yenye nguvu na mamlaka ikanene mema kwa familiya yangu ikaponye mioyo yao namiili yao ni damu iokoayo ikawaokowe ktk maisha yao ktk jina la Yesu
@user-bo9ge7gh6p4 ай бұрын
Amen amen damu yake yatuokoa siku zote
@joycentekigwa96482 ай бұрын
Najisikia kuhudumiwa na Roho mtakatifu ninaposikiliza wimbo huu
@JoshuaMwakamila4 ай бұрын
Roho mtakatifu amenena ndan ya familia yangu naona nguvu ya mungu imeejaa ndani ya moyo wangu nabarikiwa sana huu wimbo
@user-mn3ik1rx1e9 ай бұрын
Jina la yesu lina nguvu🙏🙏🙏🙏
@sharifaabdallah5657 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu hapa dunian nabarikiwa xana kupitia nyimbo zako
@leonardkelya11276 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@luismalole5 ай бұрын
Amen
@user-fi3xx9uw3s4 ай бұрын
Usifiwe Yesu kristo 🔥🔥🙏🙏🙏
@FredMushi2549 ай бұрын
This song is powerful
@dennisadala7872 жыл бұрын
I love this song so much nikiwa chini napata nguvu ya kuomba .. Barikiwa
@luismalole2 жыл бұрын
Amen
@RhodaMwenda-by7thАй бұрын
Damu ya yesu ikanifunike Mimi nafamilia yangu, amen
@luismaloleАй бұрын
Amen
@sharletmapenzi7256 Жыл бұрын
Damu ya yesu ni ukombozi Asante yesu kwa kumwaga damu Yako msalabani kwa akili yangu .thanks God
@GeorgemwangeWilson4 күн бұрын
Nabarikiwa sana nikisikiliza huu wimbo,,,,,,wacha atende mema kwa alie imba poa
@HassaniMsulwa-dw8rf2 ай бұрын
Kwakweli hii worship oooh my Lord
@joycentekigwa96482 ай бұрын
Damu yako Yesu ikanene mema juu ya Familia yote ya ntekigwa
@JosephMarwaChandi6 ай бұрын
Eeeh Mwenyezi Mungu na mim kwangu Nena mema hasa nyama za moyo wangu huu Mwaka 2024 ukawe heri kwangu❤
@elizabethkiema72874 ай бұрын
Damu ya Yesu, damu ya agano Jipya, imenifanya mwana na mrithi katika ka ufalme wa Mungu
@ismasilayo66009 ай бұрын
Wimbo unaniweka uweponi mwa Bwana Yesu sana
@winfredngei208113 күн бұрын
Blood of Jesus gives hope to those who are hopeless en desperate forever Amen
@SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE Жыл бұрын
Damu y yesu inanena mema 🔥🧎♀️ good Friday 🙌damu inatosha yote 🌍🔥🌟👏🙏🙏
@PraxedakogaMulla5 ай бұрын
Amen
@ZIPPORAHMWENDE-bb5ze4 ай бұрын
Huu wimbo unachucha uwepo wa roho mtakatifu,kweli wimbo uko na uhai..
@user-jk9zg9ti9q10 ай бұрын
Amen damu ya yesu inanena mema kwa familia yangu god is great more
@luismalole10 ай бұрын
Amen amen
@paschalinastephano58083 жыл бұрын
Mungu anapenda wale wampendao nakuutafuta USO wake 🙏🖐️🇹🇿
@luismalole3 жыл бұрын
Amen amen....karibu Sana mpendwa
@jqos47682 жыл бұрын
Dsq
@user-cq7lq2kp5tАй бұрын
Jamani huu wimbo uwa unanisogeza. Moja kwa moja rohoni najikuta naanza kukumbuka matendo makubwa aliyo nitendea mungu kwakweli nampenda sana uyu muimbaji
@user-yc3tk4sm3k3 ай бұрын
Amina sana huu wimbo unanibarik san❤❤❤❤
@DoraWatima11 күн бұрын
Indeed it,s such a blessing song🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-ce2pl5pb9y9 ай бұрын
Huu wimbo unaupako hatali
@angelitamally70189 ай бұрын
Inanena mema
@SayuniJila-jh2hk Жыл бұрын
Barikiwa watumishi wa bhana
@angelinamillcent6063 Жыл бұрын
🙇🙇🙇😭 there's know like you Jesus,huu wimbo ninapo uzikilisa hua nakuta nmezama kwa maombi, may God bless you man of God 🙏🙏🙏
@erastoernest6145 Жыл бұрын
Amen
@elizabethkiema72874 ай бұрын
Damu ya Yesu inanena mema kushinda damu ya abel.. Naikiri hii damu inifunike na kunitetea pamoja na familia yangu. Inene mema kila mahali
@tabbyaseyo14415 ай бұрын
Kakamega mpo ? Wonderful whorship
@user-yo8pw5ds9u Жыл бұрын
Damu inanena mema
@mariammake5298 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏 wimbo huu nisikiza roho mutakatifu anashuka yesu kiristo utukuzwe daima moyo mwangu 😭🙌🙌🙌🙌🙌❤️
@shilabavincent84475 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 barikiwa sana
@renaldamchaki330611 ай бұрын
Ubarikiwe sana siiachi kuimba kila siku mara 6
@luismalole11 ай бұрын
amen
@irenegeorge3501 Жыл бұрын
Eee yesu ninenee mema katika maisha yang.Your blood is so powerfully🙏😭❤️.
@luismalole Жыл бұрын
Amina
@user-nr9cs3ms7y10 ай бұрын
Ee yesu nineneee mema kwa haya majarbu ninayoptia
@luismalole10 ай бұрын
Amen amen . Mungu akufanyie wepesi
@user-fp2yd8ic6s Жыл бұрын
Walioimba huu wimbo barikiwe sana
@maulidiiddi8717 Жыл бұрын
Inanipa wito wa kuwa kalib na mungu🙏🙏
@luismalole Жыл бұрын
Amen
@sizalaiser194711 күн бұрын
Thank you Jesus Christ for your blood for me
@AlisiaAgostinal8 ай бұрын
At mmi kweli nakupend sa
@LucasMathias-wt6iu2 күн бұрын
Damu inene mema maishan mwetu
@juliussenkunde42043 жыл бұрын
Damu ya yesu ni ukombozi wetu
@luismalole3 жыл бұрын
Amen amen
@happybarack1780 Жыл бұрын
Damu ya Yesu inashida Yote barikiwa sana
@InfoMac-fd8co2 ай бұрын
Imenibariki sana
@yustersimkwai614018 күн бұрын
Hallelujah Jehovah asante sana Mungu wangu Kwa ajili yangu na family yangu
@JosephKandonga13 күн бұрын
Hakika inanena mema. Nimefqnyiwa mambo ambayo kwa uwezo wangu nisinge
@JacklineBonareri6 ай бұрын
Thanks i love it very powerful❤
@user-zm6jp6op2z4 ай бұрын
Aminaa
@freedomlifeministry20162 жыл бұрын
WAPENDWA kila kinahitajika katika huu wimbo ni kuweka imani kwamba hyo damu inafanya makubwa....be blessed all and Almighty God loves u all
@luismalole2 жыл бұрын
amen amen mtumishi
@lucylineciambogonjoka5723 Жыл бұрын
Let it speak in my life this year ,wimbo huu unanitia nguvu ...sifa ee bwana 🙏🙏
@jolemerci21552 жыл бұрын
Damu ya YESU inanena mema ndio ndio bila shaka inanena mema Asante yesu kwa kujitowa musalabani ila mwanadamu amekataa😭😭
@luismalole2 жыл бұрын
Sure
@wemayisambi2772 жыл бұрын
Hua najikuta nalia ninapo sikiliza hii nyimbo mungu awabaliki sana hakika dam ya yesu inanena mema juu yangu naimani mungu ataniinua
@luismalole2 жыл бұрын
AMEN amen
@rosendile82352 жыл бұрын
Umesha inuliwa Yesu ndiye uzima ulio na nguvu za ajabu Kwa wote wanaomkubali 🙏🏾🙏🏾
@onesmojumanne24922 жыл бұрын
Hakika damu ya yesu inaweza
@user-cw6kk2rw8f8 ай бұрын
Damu ya Yesu inanena mema maishani mwangu
@victoriaowino28242 жыл бұрын
Wimbo wenye Upako Amen mtumishi umenibariki
@joyouma5316 Жыл бұрын
Niko hapa 🙏🙏😭😭
@HeavenJacob8 ай бұрын
Nani yuko hapa wakati tunamalizia mwaka November 2023
@marygorret28493 ай бұрын
Baba damu yako inanena mema
@phyllisneema6301Ай бұрын
Damu ya yesu unaweza yote..🙌💪👏👏👏🔥🔥🔥
@EstherKamuriko6 ай бұрын
Damu ya Yesu yatosha 🙏🙏🙏
@user-jj2ud8bv2j4 күн бұрын
kma damu ya yesu kristo inanena mema sema amen
@dgt.benladen72132 ай бұрын
Damu ya yesu inanena mema
@EdithaNovarthАй бұрын
asante kwa wimbo mungu hakubariki tuko pamoja
@RahamaMohamed-nv1bm5 ай бұрын
Damu ya yesu calvary inanena mema Amen,
@luismalole5 ай бұрын
Amen
@DanMutiso-um7uv4 ай бұрын
Do we need a lift back from the
@walterjofrey65982 жыл бұрын
Nyimbo nzuri imenigusa sana
@CarrenCheptoo-jk1xp8 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Anastadhi9 ай бұрын
Ina shinda yote ooho YESU KAMA SIO WEWE ANNA NINGEKUA WAPI😭😭😭🙏
@boazjohn30956 ай бұрын
Damu ya Yesu inashinda yote ❤❤❤❤❤
@stevenmalisa76096 ай бұрын
kweli kabisa
@liliannyangi63913 ай бұрын
Damu ina nguvu... Asante Kwa kutufia na kutupa wokovu.amina