VICKY APIGWA CHINI NA MR RIGHT/ EX ATAKA KUHARIBU PENZI JIPYA LA CAREEN

  Рет қаралды 561,045

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 336
@nervashonza587
@nervashonza587 9 ай бұрын
Alichokisema golden girl ni sahihi huyu jamaa anaonekana wa hovyo ndyo maana kamchagua huyo mwenye sura bandia yenye mikope ..vick yupo natural anahitaji mwanaume mwenye smart brain ...nimefurahi kwakuwa Vick yupo salama Sasa...
@salomevenance9555
@salomevenance9555 Жыл бұрын
Wakitoka hapo na hao wanaume wanaendaga kulala au😢maana sijui hata Kama wana Pima Ukimwi😭😭😭pia mbona huwa hamtupi mrejesho wa ndoa? Hapo mnatuchanganya
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚
@queenofwales
@queenofwales Жыл бұрын
😂😂😂😂
@salomevenance9555
@salomevenance9555 Жыл бұрын
@@queenofwales 😂😂😂kweli watupe mrejesho sio kutuacha hewani na tunataka kujua wakichukuana hapo usiku huo wanaendaga kulala au inakuwaje
@cosmwanri4532
@cosmwanri4532 Жыл бұрын
mwisho wa mwaka wanawaitaga wale waliofanikiwa kuoana au kuingia kwenye uchumba na wanawahoji
@salomevenance9555
@salomevenance9555 Жыл бұрын
@@cosmwanri4532 Kama hivyo Sawa maana nilikuwa sielewi,alafu wanakaa uchi sana hata kama nikutafuta mume sio kihivyo 🤐wanakuwa kama wadangaji
@SaadiaHamumi
@SaadiaHamumi Жыл бұрын
Allah atulinde kwa kila hatua.
@danielsimon9007
@danielsimon9007 Жыл бұрын
Lulu vaa nguo za heshima
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Жыл бұрын
Yaani Mungu inawezekana amewapa afya njema,pesa,muda,hewa na siku za kuishi..lkn leo mnatimia neema za Yesu kufanya ushenzi huu!Tubuni kabla hamjafa!
@jacksoneverlist5073
@jacksoneverlist5073 Жыл бұрын
Amina
@peterdavid4230
@peterdavid4230 Жыл бұрын
Daah kweli dunia inaenda kasi sana yaan wadada wamefikia uku yaan mnapelekwa mnadani kama mbuzi kweli yatapuswa kuombea kizazi chetu mno kwa Muumba wetu
@madamhappymwalongo3653
@madamhappymwalongo3653 Жыл бұрын
Siyo jambo jipya
@faustinahugo9621
@faustinahugo9621 Жыл бұрын
Hahahahaha mnadan kwakweli 🤣
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 Жыл бұрын
Amina 🙏
@jacklinaman4219
@jacklinaman4219 Жыл бұрын
Haya jakukuta ya kikukutq hata ww tutakukuta hapo hapo
@shamsaalrahbi7593
@shamsaalrahbi7593 Жыл бұрын
Sad😢😢😢
@isunga1964
@isunga1964 Жыл бұрын
Nilijua Vick 😂😂😂 kwanza huyo rafiki wa ex duh anatamani hata kurukia hiki kipendi kingekuwa live youtube Mwarabu angenipunguza mshahara😂😂
@englishman9855
@englishman9855 Жыл бұрын
😂😂
@FatumaOthman-hb1ug
@FatumaOthman-hb1ug Жыл бұрын
Mambo
@isunga1964
@isunga1964 Жыл бұрын
@@FatumaOthman-hb1ug poa vp
@FatumaOthman-hb1ug
@FatumaOthman-hb1ug Жыл бұрын
Upo oman
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Жыл бұрын
Subuhanalla alla mungu atusimamie Kwa hali yeyote ile maana sio mwanamke wala mwanaume wote wamechorwa tunajua watoto wakitanzania akiwa mzuri lazima achore too yake ili aonekane pia hasa sisi watoto wakiislam ndo balaa yake ewe mungu mliganiaji wa waja wako tusamehe sisi waja wako
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 Жыл бұрын
Kusamehewa pekee kunakuja kwa kumwamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako akupe uwezo wa kushinda dhambi zako zote
@penithaarchard
@penithaarchard Жыл бұрын
Ila siku zote naangalia chanzo ninin kama mkuu WA nchi hii angelisitisha hii setion nahisi isingeendelea nisawa na wanaokataza uvutaji WA sigara ni hatari Kwa afya ya binadamu je washakataza viwanda vya sigara kuzalisha bidhaa hy? Kama chanzo hakijakaa sawa kamwe tabia haiwezi kuisha.
@FrancisTawa
@FrancisTawa Ай бұрын
I like this show, what are considerations for 1 to participate?
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Жыл бұрын
Kwakweli Dunia imeisha!!! YAANI imefika hapa!!! Loooo!!!!
@NaahSdd
@NaahSdd Жыл бұрын
Hatali Mungu atusaidie sana
@stumaisanga9519
@stumaisanga9519 11 ай бұрын
Hellow.....Mr right...... Napenda sana kufatilia hiki kipindi na enjoy sana.
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 10 ай бұрын
😅😅😅Lulu yupo uchi sana leo 😮😮😮😢
@GladysIsiaho
@GladysIsiaho Жыл бұрын
Lulu nina ombi jamani kama inaezekana...show yenu iwe ndefu kiasi ili tuenjoy vizuri jamani😊😊😍😍
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 Жыл бұрын
Kwakweli hapo hata majambazi watapata wake bila shaka 🙄
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Hahaha 😂
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu Жыл бұрын
​@@khadidjasuleiman8006 sasa kwani jambazi si ana pipi pia au shoga yule astahili kupata mke😂😂
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
😂😂😂😂Maana Kaz wengne n wafanyabiashara kumbe behind the scene
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
@@ibrahimngulungu hatari saana 🤣
@yusuphmwanza507
@yusuphmwanza507 Жыл бұрын
Dunia Iko kasi sana nikumuomba MWENYEZI MUNGU tu we unaweza ukaamini kweli ao wanaokwenda apo hawana wapenz wao????
@MauwaSuleiman
@MauwaSuleiman Жыл бұрын
Au wanajiuzaga 😢😢 subhanaallah naona uyo mkaka yp kila seemu😢😢
@labannewharvestmedia4052
@labannewharvestmedia4052 2 ай бұрын
Mungu akihulumie kizazi chetu. Tulipofikia Ni hatari sana.
@vincentgazire7212
@vincentgazire7212 8 ай бұрын
Plz guys sisi tupo inje ya inchi tunaomba muwe mnatumalizia videos plz
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 Жыл бұрын
Mtoto wa kiislam mapaja waziu wee lulu diva muogope mola wako
@CharlesLeoMgaya
@CharlesLeoMgaya Жыл бұрын
Ndo ujue dini sio sabab ya hekima ya mtu. Kama filauni ni filauni tu.
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 Жыл бұрын
Hayo masiara ni vichekesho ni kupima, mapenzi ni hatua ukivuka stage moja basi msingi aufai ata kidogo, yaani process ya mahari ni ipi,je kupima kama wanao uwezo wakudunga mimba au kubeba mimba? Je ukimwi maana Tanzania, Uganda, Kenya na South Africa VVU wanaongoza barani Africa...
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
Yaaaani naaanza kuu feel wale wanaume wasio takaaa kuzaaa watoto wa kike imagine akiwa ni mtoto wako yuko haaaapa mpaka machozi yatakutoka. Mbona tu wazuri Kuna shida gani
@esterjofreyforey3663
@esterjofreyforey3663 Жыл бұрын
tengua kauli ya kukataa kuzaa watoto wakike
@madamshifaa8503
@madamshifaa8503 Жыл бұрын
Lazima uelewe, kuolewa ni bahati na nyota ya mtu na sio uzur, asilimia kubwa wanawake wanaojiuza ni wazur na warembo kwahyo sisi tiliokauka mashaallah tupo ndoani
@esterjofreyforey3663
@esterjofreyforey3663 Жыл бұрын
@@madamshifaa8503 nilitaka nimueleweshe huyo eti wanaume wanakataa watoto wakike wanao kataa kuwazaa hawana hakili maana haya mnayo yaonani nidunia tu maana hata mashoga na ndoa za jinsia moja zipo kama nihivo hatutazaa kabisa napia mkumbuke kua nyuma ya hao wanao jiuza kuna wanaume ambao niwanunuzi tena wenye ndoa zao ko jamani wakati tunashangaa haya tuombee pia vizazi vyetu
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
@@madamshifaa8503 na watajuta
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 Жыл бұрын
​@@levisdiamond4797😅😅na ww unaongezeka kwa wanaume wanaokataa watt wa kike? Akishazaliwa amezaliwa tu, hata baba amkatae vip hataondoka kwenye historia yake. Hapo ni kumuomba Mungu asimamie tu hilo. Maana pia kuna ushoga na tabia ngum wanazofanya watt wa kiume kuhatarisha uhai, vip tuogope kuzaa kabisa??
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 Жыл бұрын
Sio kwamba hayo mavaz lulu yanakupendeza ni upuzi ndani ya upuz mtupu
@ramsomnanka8688
@ramsomnanka8688 Жыл бұрын
Kikubwa upendo
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Жыл бұрын
Hivi huyu kaka si anaigiza na kina bailam au macho yangu na vile nilikua nampenda 😊 ila siyo mbaya kapata chaguo lake na wameendana congratulations to them
@WardaSruj
@WardaSruj Жыл бұрын
Muwe mnatupa mrejesho wa ndoa❤
@LeilaRashid-mz3bl
@LeilaRashid-mz3bl 8 ай бұрын
Duuuuh ama kwel hamjierew woteee naona mmeamua kufanya Dunia yenu hongeren nyny wadad mbuz 😅😅😅
@BJM-j2t
@BJM-j2t 11 ай бұрын
Halloooooo siku hizi matamko mengi waume hawapendi nyooo😂😂
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Very nice 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@sikitunathing9429
@sikitunathing9429 Жыл бұрын
Vicki mshukuru Mungu hajakuchaguwa usije enda tapeliwa kama mwenzio wa zamani
@emilykimeta
@emilykimeta Жыл бұрын
Sasa huyo lady Yuko uchi....aiiii ata kama .....dress well Sio kuonyeshana matako.
@sikitunathing9429
@sikitunathing9429 Жыл бұрын
Njo mana kutafuta mme apo sio vizuri, wengi wanakija na vijitabia viao eti wanataka mke mwengine
@lissaIrene
@lissaIrene 11 ай бұрын
Oooh nahitaji mume ntapataje jmn
@ethanethan4437
@ethanethan4437 9 ай бұрын
niko hapa
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Lulu acha kuanika utupu wako
@chelagatchelaa8859
@chelagatchelaa8859 Жыл бұрын
This Vicky looks cool aki❤
@marynjeri8277
@marynjeri8277 Жыл бұрын
Sure
@LinahRwambali
@LinahRwambali 15 күн бұрын
Yan kwel kuna watu wamejikatia tamaa, unaskia mtu ana matabia mabaya still unamtaka tu.aiseh wanawake achen kuwa desperate hivyo
@issahmanyenye6267
@issahmanyenye6267 Жыл бұрын
Hv apa huwa wanalipia au sagula sagura jikadilie mweny zari anabeba
@sarawambo3595
@sarawambo3595 Жыл бұрын
Mm ni 32 bt sijafika hp kutafutiwa mxee apana
@sauka9622
@sauka9622 Жыл бұрын
Jaman iv haya mambo huwa ni mtu huchaguliwa kuja kutafta mtu hapo au hatamimi naweza kuja kuchagua
@maimunaussi-lr3ze
@maimunaussi-lr3ze Жыл бұрын
mbn mm niko single alf niko tu ndani 😮😮😮
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 Жыл бұрын
kupata mtu aliye sahihi ktk mazingira kama haya ni changamoto maana hapa utakuta watu wny tabia zote washirikina,malaya,,wauwaji,,walevi nk..
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 Жыл бұрын
Upo sahihi
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 Жыл бұрын
On point ☝️
@allytwahir2305
@allytwahir2305 Жыл бұрын
Mbona kama umalaya vpndi gn vy kisenge hiviiiii
@MarryYusuph-y9w
@MarryYusuph-y9w Жыл бұрын
Jamani hichikipindi mi cjakielewa kinaanzaje
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Жыл бұрын
Huyu mwinjaku ANA halibu program
@mwajohari4385
@mwajohari4385 Жыл бұрын
Lulu mjue alokuumba na ukapata pumzi,hilo vazi na hayo uyafanyayo muogope mungu
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Lulu Diva katuvalia nn 😊😊
@christinejuma526
@christinejuma526 Жыл бұрын
😂❤
@lilianlucas3893
@lilianlucas3893 Ай бұрын
skutegemea kwakwel😂😂🙌
@agriparose3942
@agriparose3942 Жыл бұрын
Wanaume washaanza kujua kua wanawake wenye makalio makubwa akili hawana
@gracegrace6510
@gracegrace6510 Жыл бұрын
We tutake radhi kha kwan akili ipo kichwan au kwenye makalio🤣🤣
@BintiGMnini-gv6by
@BintiGMnini-gv6by Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@willydasilver69
@willydasilver69 Жыл бұрын
Vicky anaonekana mrembo expensive wanaume wanamuogoa😢
@iddykidito6441
@iddykidito6441 Жыл бұрын
Uyo Vicky alikua anakaa kinondoni nijirani tu anatamaa huyo baraa labda kama ameamua kubadlika sasa hv
@ZaifathMustafa
@ZaifathMustafa 9 ай бұрын
Kumbe shape sio bahati bas Sina haraka 😅😅😅😅😅😅😅😅
@Assay-gn1wv
@Assay-gn1wv 2 ай бұрын
Uyo dada mwenye top nyeusi kabana nywele nyuma na vibaby hair hakutakiwi kuwa hapo kabisaaa, hakuna mwanaume wa kumfaa hapo, maana ni chombo haswaaa
@roseisaya1436
@roseisaya1436 Жыл бұрын
😃😃😃😃na mimi Ngoja nitafute wangu😊
@AbdullahOmar-fv3ld
@AbdullahOmar-fv3ld Жыл бұрын
Ndio nipo hapa
@Aminabakari-y5n
@Aminabakari-y5n Жыл бұрын
Toka umeanza kipindi sijawahi ona ndoa zao zaidi ya kupotezeana muda
@evalumumba5513
@evalumumba5513 Жыл бұрын
Love sana hii sesion
@FamtamAli-vl2wx
@FamtamAli-vl2wx Жыл бұрын
Kuna watu wana mkufuru Mungu jaman kwani wakiomba kwa Mungu watakosa ndoa mmh dunia 🙄🙄😳😳😳😏😏😏🙆🙆akuna kitu apo
@MauwaSuleiman
@MauwaSuleiman Жыл бұрын
Uyo mkaka anaitaj warembo wangp naona kila kweny mista ✔️ yupo
@everyaman4260
@everyaman4260 Жыл бұрын
Mwana umezingua 😂 kitu gani iyo umechaguaa.
@dakihamaluta4159
@dakihamaluta4159 Жыл бұрын
Cjaelewa somo la Mr Right
@silamshana6249
@silamshana6249 Жыл бұрын
Guys kwani shindano inakuaje Inakua unatafuta mpenz kweli au maigizo tu?
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 10 ай бұрын
😂😂😂Et anamnywete ana madevu garab na lulu. Aminaga akili
@faudollary9177
@faudollary9177 Жыл бұрын
Huyo Vicky nae akaogelee baharini🤣🤣🤣atoe nuksi
@EmmamatogoFredy
@EmmamatogoFredy Жыл бұрын
Namm naweza kuja kushiriki kumutafuta nimpendae
@nervashonza587
@nervashonza587 6 ай бұрын
Huyu jamaa type zake ni zile akina dada poa golden girl yupo sahihi Sana
@wilsonndoro5816
@wilsonndoro5816 Жыл бұрын
Hii kitu bila DR Ofweneke it's kinda boring
@salimkulua904
@salimkulua904 Жыл бұрын
Kila mwana dam anamapujguf yak uyu ana kihereher
@SwiratyKweka-iv7qp
@SwiratyKweka-iv7qp Жыл бұрын
Ivi ni kweli au
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 Жыл бұрын
Golden girl wivu unamsumbua tu
@zaudolutambi9895
@zaudolutambi9895 Жыл бұрын
Jaman huyu mdada alie achwa mbn chombo xana uwiii
@AmaniMollel-m1b
@AmaniMollel-m1b 11 ай бұрын
haya mahusiano kweli Huwa yanadumu?? au wakishatoka hapo ndio bac Tena?
@everlyne8595
@everlyne8595 Жыл бұрын
Huyo ht xio wivu n kwel wanaume washenz
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 Жыл бұрын
Kwani hy vick shp si uremboo😂😂😂
@brigitamathias4043
@brigitamathias4043 Жыл бұрын
Gara B kanichekesha 😂 eti Eeeeh,,!
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 11 ай бұрын
Ila mwijakuuu😂😂😂😂
@MarthaSimoni-c5m
@MarthaSimoni-c5m 9 ай бұрын
An huyo mwanaume ni chizi jaman
@jumahumbo8625
@jumahumbo8625 Жыл бұрын
Mwendo bado mjamaliza😢😢😢😢
@violethulomi329
@violethulomi329 Жыл бұрын
Da!kwani uzuri ni mpaka kuvaa uchi?wanawake tunajidhalilisha sana
@samsonmwakyembe4499
@samsonmwakyembe4499 Жыл бұрын
Mwendeshaj wakipindi anakaa uchi
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 8 ай бұрын
Vijana tafuten pesa mambo ya kutongoza sio mpango kwenye dunia hii yaleo kila k2 kpo sokoni ni ww na pesa yako
@HarrisOthman-p7i
@HarrisOthman-p7i Жыл бұрын
Kwanz mwanaume au mwanamke hatafutw ivo ,hata kujistir haipo nashangaa sana
@CASFETATIADSM
@CASFETATIADSM Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢 to vickie
@odiliagwivaha6326
@odiliagwivaha6326 Жыл бұрын
Mhhh 🤔 MUNGU tusaidiyee Sana Sisi vijana wako
@Tangirafamily
@Tangirafamily Жыл бұрын
Kwr kbsa
@NasraNasa-mp7mf
@NasraNasa-mp7mf Жыл бұрын
Watu wembamba ni hatarii kwa mvutoo
@msostenes2079
@msostenes2079 Жыл бұрын
Inakuaje x nae anaingia kwenye mashindano au mr right anakua hiden??
@HassanMwiru-x7v
@HassanMwiru-x7v Жыл бұрын
Lulu muogope mungu kama na wewe wataka mume si upange folen ovyo sana wanawake kama nyanya
@HappySteven-ue5bx
@HappySteven-ue5bx Жыл бұрын
wakiondoka nahao wanaume huwa wanaenda wapi maana sizani Kama wanipima afya zao kwanza
@penithaarchard
@penithaarchard Жыл бұрын
Hv hii inatofuti gani na anaejiuza? Na kwanini hii inaruhusiwa na serikari haiingilii kati? Pia kuhusu mavazi Nadhan kama serikali wangekataz mavaz yasiyo ya heshima yasivaliwe nahisi ndo watu wangerekebika kwasababu nikudhalilishana
@penithaarchard
@penithaarchard Жыл бұрын
Wadada tunatumika ka vyombo vya starehe ukiangalia hata kwenye baa wanataka uwe unavaa nguo fupi yaani nusu uchi hv biashara bila nusu uchi haiendi? Mbnnaooa hamtafti watu wadizaini hy. Hii ni MKUKI KWA NGURUWE......
@kennethbaslsias1043
@kennethbaslsias1043 Жыл бұрын
Dunia imeisha
@SelemanAhule
@SelemanAhule Жыл бұрын
Hivi mnapima kweli ukimwi maana nawaonea huruma😂😂
@LovenessPaskali
@LovenessPaskali Жыл бұрын
Duh
@HelenamjanjaMakende
@HelenamjanjaMakende Жыл бұрын
Vicky 😢😢😢😢
@LeilaRashid-mz3bl
@LeilaRashid-mz3bl 8 ай бұрын
Mashetan nyiny 2naangaika kutafuta wachaw kumbe ndo nyny na wew lulu dvaa ulyekosa vyote kamaa mi mbngu utaskia kwe2
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Basi wadada vaeni vyema kukaa uchi siyo ndo kupendwa
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd Ай бұрын
Tunakimbizana na dunia
@serasera8413
@serasera8413 Жыл бұрын
Vicky ako n shida Gani jamani
@enockabumba7513
@enockabumba7513 Жыл бұрын
Apunguze matako ake
@Lewinglovbi6699
@Lewinglovbi6699 Жыл бұрын
Huyo lulu diva anatuvalia uchi Kwa nini ? anawapa mafuzo ngani watoto under age ?😂😂😂😂😂😂
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Hata hajapendeza mwanamke anapendeza akivaa vizuri na sio kukaa uchi
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hatarii. Wataoto hawaruhusiwi kuangali
@MussaAndongile
@MussaAndongile 2 ай бұрын
Dada lulu mavaz ayo yanasisimua watu jitaidi kuvaa nguo ndefu
@happynessmwenda
@happynessmwenda Жыл бұрын
HUWA inakuwaje😅
@lilianemeena768
@lilianemeena768 Жыл бұрын
Huyo Vivian ni wivu unamsumbua hana lolote anataka kumwaribia mwenzake
@wangotoadam3875
@wangotoadam3875 Жыл бұрын
Kwani hui mchezo ni live au maigizo
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Munafcha upuuz yaan mnataka m2 abebeshwe bomu.
@PawaMasunga-t5t
@PawaMasunga-t5t Жыл бұрын
Mmmmh
@bentetakalekye9787
@bentetakalekye9787 Жыл бұрын
Hili shape haikukalishi vzuri dada km n ya kuongezwa enda utolewe dada
MREMBO HUYU KATOKA RWANDA KUJA KUTAFUTA MCHUMBA MR.RIGHT
0:51
ST BONGO TV
Рет қаралды 16 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 441 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН