Never to die a premature death but I will live to declare the goodness of God..that's why I have dedicated myself to Christ as a living sacrifice in exchange for life from God. uncle Nico: +254713845880
Пікірлер: 673
@PresenterSilah4 жыл бұрын
Baaas wimbo Tamu....gongeni tu likes Yesu apewe sifa
@vivianmuchiti12496 ай бұрын
I just found my 2024 prayer target❤❤❤
@perisatieno63732 жыл бұрын
Huu wimbo ndio ombi langu...mubarikiwe sana kaka Nico na mom Rose keep it up
@trizah4823 жыл бұрын
Amen Amen yaani nimetoka TikTok kuja kutfta huu wimbo ulinibariki Sana nice song bro🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
@okinyisav54874 жыл бұрын
Ongeza siku zangu Bwana nikuinue kweli watu hupitia majaribu. Tuwapeni likes hawa wenzetu Mungu apate kuabudiwa
@happypeter59554 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa na nyimbo zako mama ang kipenz,,,,, naupendo usioo elezeka kwako ,,,,MUNGU aendee kukubarik ♥️♥️♥️
@MaryAmaiza-th2fo2 ай бұрын
Yani huu wimbo unani nijenga zaidi,sichoki kuskiza 💃
@user-le3op2pd9c Жыл бұрын
Ongeza siku zangu yesu nikuinue maadui wachanganyikiwe bro unaangusha vitu safi na mama mubarikiwe sana gonga like za 2023
@dignatembatemba62584 жыл бұрын
Niwangapi wanasema Rozi Ailipitishwa kwenye jaribu ili azidi kukuwa kiroho?gonga like yako hapa !!
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Mungu apewe sifa
@mariesnjenga7404 жыл бұрын
Kabisa kama ayubu
@johnmungai50264 жыл бұрын
Digna Temba Temba ndio alisida Malibu amen
@johnmwania19674 жыл бұрын
Nadhani mungu alikua anataka kujua Rose anamuanini kiasi ngani.
@markkapolon77434 жыл бұрын
Hallelujah
@monicamusiambo42794 жыл бұрын
Ongeza siku zangu Bwana.....Mamaaa nakupenda bure....Nimebarikiwa saana
@dignatembatemba62584 жыл бұрын
Dhahabu ilipitishwa kwenye moto ili ing'ae hongera sana Rozi kwani Ingawa ulipitia majaribu hukukata tamaa umepiga hatua kubwa sana .Mungu akubariki.
@mikesoi4 жыл бұрын
Mziki mzuri, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kama unamkubali Uncle Nico gonga like hapa
@mikesoi Жыл бұрын
Likes shows true anointing
@akinyiolivet53172 жыл бұрын
This song is for me,am going through alot aki mungu ongeza siku zangu bwana nikuinue
@dancovicky-zj3to Жыл бұрын
Niongezee siku na miaka ili nikuinue,,,nitie nguvu ili nisiwe mzembe wa kukuinua ukatumia mawe yakusifu,,,🙏🙏🙏 nikuinue Baba Mungu
@nafulahelen60284 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana my boy continue burning fire nimefurahi Sana barikiwa Sana nyimbo zako ziponye mioyo ya wengine
@lilianmoraa19388 ай бұрын
2023 still this song sounds 😢😢
@metrinlavusa61434 жыл бұрын
Woow I love this one 👏👏👏ongeza siku zangu Jehovah nikuinue..🙏🙏
@josephinemideva84946 ай бұрын
Woow malikia mwenyewe huwa unabariki moyo wangu
@serahkibunja62214 жыл бұрын
Ata mimi mungu naomba uzidishe siku zangu nizidi kutangaza wema wako merry Christmas and prosperous year
@mercyambongo Жыл бұрын
Ongeza siku za maisha yangu nikuinue Yesu
@ciarasiyra94164 жыл бұрын
Umenifungia mwaka mama rose ...nakupenda bureee😘😘😘❣❣❣❣❣
@violacherimo77504 жыл бұрын
Niko hapa yesu. Pia uniinue kwa jina lako yesu..pikana na maadui zangu..wasinifikie wanapopanga njama yao.Amen🙏
@elizabethkadenyi3714 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana,Ongeza siku zangu bwana nikuinue
@amosamoo59513 жыл бұрын
As i turn another year old, nakuomba Mungu nizidishie miaka nikuabudu🙏🙏🙏🙏
@muchinahnicholas3 жыл бұрын
Mungu atatenda
@mosesnjerumoxexemf86514 ай бұрын
God just ministered to me through this song.....Glory to God
@elizabethvukusi45234 жыл бұрын
Kenyan tunajivunia Rose...mungu aongeza siku zako...hakika umerembeka
@jaeljuna70234 жыл бұрын
Uncle niko huwa wanibariki sana na nyimbo zako popote nipo, endelea kutubariki na nyimbo zako zadi
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Amina..barikiwa zaidi
@floramajor33813 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana nyimbo ina upako
@annitahkenya30634 жыл бұрын
Kama umaamini Mungu atakuongezea miaka za kuishi ili udance kama Mama hapo Goganga kalike na ushare these amazing song...Team Kubwa
@joshuatheblessed92523 жыл бұрын
God bless you Uncle Niko Mungu aongeze siku za maisha yangu nimuinue
@MagwayaNdani3 жыл бұрын
Ongeza siku zangu Bwanaaaaa.... Likes za mombasa hapa
@papaawiko4 жыл бұрын
Hapo sawa bro napenda vile unavyosonga hatuaa kwa hatua
@agneskadzo61054 жыл бұрын
Kilicho pandwa na Mungu kweli hakuna awezaye kukiuwa..Kitadhundumaa lakini kitainuka tena Ili kimtukuze Bwana
@toinatonia70354 жыл бұрын
Acha Mungu Azidii kukutumia my brother....Barakiwa
@brendabrenda2656 Жыл бұрын
Wooooooow......add my days Lord I want to serve you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@aggie41894 жыл бұрын
Amen bwana ongeza siku za maisha yangu nice song 254 kenya wapi likes
@elisantemateru90194 жыл бұрын
Mungu hufanya kazi na wamwaminio, Hata adui akikuchelewesha, bado Mungu hakuachi. Dada Rosy songa mbele kwa kuifanya injili ienee pote,Amen
@khadijahfrfranciss51013 жыл бұрын
Amen mbarikiwe sana kwa wimbo mzur, ongea siku zangu bwana nikuinue halleluyah 🙏🙏
@annmbatha65913 жыл бұрын
Amen,ongeza siku zangu yesu nikuinue
@jacintaondieki9497 Жыл бұрын
Nitakuinua ongeza siku zangu keep up bro
@morinejerono10592 жыл бұрын
Powerful song yesu nitawale niongezee siku zangu bwana nikuinue yesu
@hermesmsagath22704 жыл бұрын
Amen,ongeza Siku zangu na mimi Mungu nizidi kushuhudia matendo yako
@jerubetjoan202 ай бұрын
Niliona vile maisha yangu ilikuwa hapo nyuma na vile niko saa hii, huu wimbo ilinipata kwa magoti nikiabudu Mungu.
@keyhassan36294 жыл бұрын
Ongeza siku za watumishi wako Mungu Nice song votes tuwape jamani
@severammochi49194 жыл бұрын
Big up Rose
@menejameneja2364 жыл бұрын
Ongeza siku kwa wote wanaotangaza neno lako
@tumeitikamusic Жыл бұрын
Powerful sana mtumishi May the Lord lift from glory to glory
@deemaster45034 жыл бұрын
Da Rozi plz never give up siku zote Mungu anahitaji watu kama wewe japo watu watasema mengi mabaya ila Mungu ndiye ajuaye mengi zaidi kuhusu wewe,,,,, ng'ang'ania neno la msalaba keep it up my sister we love you
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Amen
@rembomary48108 ай бұрын
My prayer is to worship you lord forever,,,powerful song,,niinue yesu kama vile umeinua mum rose❤❤
@marynjoki77954 жыл бұрын
All the challenges Rose faced were a stepping stone to thresh her higher...She reminds me of Job stori...lost everything but will receive multiple of what she had...
@Iamessliey2542 жыл бұрын
Once you sing with rose muhando mark yourself lucky you will go far broh, she is such a blessed woman
@priscasilayo80964 жыл бұрын
Naomba like nyingi kwan nimeulewa sana hu wimbo jaman
@doveshaz4755 ай бұрын
Mungu ulinipitisha kw majaribu mob ak asanti asanti mm n familia yngu tuongezee siku zetu tutoe testimonies ❤❤❤❤
@gisellekavira89664 жыл бұрын
Mungu wangu tazama watumisi wako wanasema uwainuwe sikia maombi yao na Mimi pia uniinuwe.
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Amina barikiwa
@nekesamoreen48273 жыл бұрын
Surely God add my years nikuinuwe May God continue lifting u am always blue when I listen to u mama Rose
@ruthmwake4580 Жыл бұрын
Amen...this song has really touched me barikiweni sana watumishi
@lilianmoraa19388 ай бұрын
Amen amen my song of the end of the year
@clemencewakesho77814 жыл бұрын
'Sitakufa nitaishi nikuinue Bwana'am blessed
@amedeusmodestikimey98885 ай бұрын
Najua Dunia imesha jipanga
@janetjanet86694 жыл бұрын
Amen wimbo mzuri sana kataka dunia hakuna watu ambao hawapendi wengine kama wachawi lakini wanaogopa sana mtu mwenye msimamo songa mbele mtumishi wa Mungu inua zaidi Bwana💃💃💃
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Nashukuru dada...lakini najua mungu yupo upande wetu
@donathakapinga63074 жыл бұрын
Ujumbe mzur,ila cjapenda tu ulivovaa mamangu Rose,barikiwa
@Victordanco Жыл бұрын
Add more days to me so I can keep on praising and lifting you God🙏🙏
@MaryWilson-vg2mm3 жыл бұрын
Uncle nico ana sauti nzuri yan akiimba utazani nipo paradiso vile mungu akujalie uwe na matendo sawasawa na nyimbo unazoimba
@user-qe1uu2li7h10 ай бұрын
Ongeza siku zangu eee bwana nikuinue❤❤❤,,,team uncle nico
@muchinahnicholas10 ай бұрын
Aminaa
@user-ew3pw8be6x8 ай бұрын
Nikuinue Bwani🎉🎉,,ongeza siku yetu na za maisha yetu,,blessed your savant uncle Nico add him your powers ,,ili azidi kukusifu na kutuhimiza kwako
@killionlango45534 жыл бұрын
Mungu akuzidishe miaka dunia hii maaduwi wako washangae much love mamangu Rose
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Utukufu kwa mungu
@phamineserica4 жыл бұрын
Wow wow this song .....God please
@raphaelmuthoka4 ай бұрын
Nice song..I like it
@dancovicky-zj3to Жыл бұрын
Nikiona reminds me nikiona Uncle Nico akidance songs za mama Rose sana na hata kuziimba always nyumbani kwake,,kumbe Mungu alikua asha andaa kitu baina yao
@robertmuhumuza93674 жыл бұрын
Wat!🤔 Mungu ni waajabu kweli🤔 ROSE amerudi Upya! Energetic💪, Beautiful🌺Healthy 🍅 OMG 🤔 Mungu Akubariki Dada ROSE 🌹
@jacksonmuchonji30353 жыл бұрын
Barikiwa sana wapendwa,sauti za upako na mguzo wa ajabu
@muchinahnicholas3 жыл бұрын
Amina
@kevynwrites2 ай бұрын
Uncle Nico we need something like this soon! may God guide you to another powerful worship song.
@warenggitari7819 Жыл бұрын
TEAM UNCLE NICO 🔥
@misswamboh95854 жыл бұрын
Great message, my lovely mum hapo umenibariki sana na nyimbo zako nakupenda🌷
@anniehadassah37904 жыл бұрын
Much love from Kenya,,gonga likes za Kenya hapa
@emmanuelmwaipaja54154 жыл бұрын
God bless u sister much thanks to u dear
@aliceanzemo7 ай бұрын
Very powerful and touching song be blessed mama❤❤❤
@brendabrenda2656 Жыл бұрын
Woooooow lovely 🌹🌹👏😌 you have done it better.... I like the song,,mungu awaongeze siku uncle na mamangu Rose🌹🥰🌹🥰🌹🥰aongeze miaka mara Saba zaidi ya mlionayo sasa🙏🙏🙏🙏🙏🙏barikiweni sanaaaaaaaaaa
@tahanealali914310 ай бұрын
Still the song hits 🔥🔥🔥team uncle nico 🙏 🙌
@carolinemadoya20084 жыл бұрын
God has answered your prayers mum. That's my prayers too.
@ndelemwalonde21454 жыл бұрын
Rose mbona Kama amenenepa Sana
@manziwakitale47022 жыл бұрын
Oh God,ongeza wema katika maisha yangu nikuinue
@evelinamwalyego2064 жыл бұрын
Amina ongeza siku zangu bwana nikuinue
@ambanimildred35542 жыл бұрын
Blessings. Powerful worship. Nikuinue 🙏🙏.
@ambanimildred35542 жыл бұрын
Stay blessed Uncle Nico and Rose muhando. As we live Mungu atuzidishie uzima aongeze siku zetu tuzidi kumuinua Mungu maisha yetu yote.
@janemuriukl6564 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU ongeza siku za maisha yangu nikuinue Amina nice song congratulations
@euniceeunice34853 жыл бұрын
Nice song llove it
@jescahmukoshi2560 Жыл бұрын
Taaaamu saaana🔥🔥🔥🥰
@martinkeli2089 Жыл бұрын
Rose youre talented
@abushnjenya26602 жыл бұрын
Ohh Lord thanks for this song 🎻🎧🎵🎶🎤🎷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@abushnjenya26602 жыл бұрын
Mungu nakuinuwa huu mwaka September 2021 ongeza siku zangu bwana💃💃💃💃💃🎷🎤🎶🎵🎧🎧🎧🎺🎸🎻
@marykimaro61844 жыл бұрын
Yesu gusa kila mmoja kwa hii nyimbo akapate kukuinua Katika maisha yake Ataona faida 🙏
@adiliwasanga45214 жыл бұрын
hizi ndo tunaziiiitaji eeebhaneee hapo umekonga moyo wangu
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Utukufu kwa mungu
@abushnjenya26602 жыл бұрын
Cant stop listening 🎧🎧🎧🎧🎧🎸🎻🎺🎷
@loveli18374 жыл бұрын
Love from USA people need to love Jesus my son named Jesus 🙏 because I love Jesus it's everything 🙏 for as
@phellowmmbunitv60774 жыл бұрын
Ukiona tu jina Rose Muhando wajua ni kibao cha nguvu
@lilianmachochomshai58084 жыл бұрын
Hii nyimbo imenitouch sana imenipa amani ndani ya moyo wangu
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Amina
@lilianmachochomshai58084 жыл бұрын
@@muchinahnicholas Mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu
@mutesiflorence41834 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi uzid kumwinua Bwana Yesu Rose mpenzi wetu😊😘
@blessedlady27413 жыл бұрын
Ongeza siku za maisha yangu nikuinue eeh baba yangu🙏🙏🙏
@davidjacobkministries12224 жыл бұрын
Aminaa mungu akuinue uende kiwango kingine
@muchinahnicholas4 жыл бұрын
Amina
@susanlikunda2200 Жыл бұрын
God bless you Rose without limits
@maryanzaya86682 жыл бұрын
Am blessed with this song ,is so powerful it's just talking about my life ,ongoze siku zangu bwana🙏🙏🙏
@dorcasN19234 жыл бұрын
Makes me Soo happy to see Rose muhando! Mungu ako for real!