UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 02|UNITED KINGS|DANCERS WAMOTO TANZANIA

  Рет қаралды 923,431

UnitalentShow

UnitalentShow

Күн бұрын

Пікірлер: 373
@jokesasidecomedy4233
@jokesasidecomedy4233 3 жыл бұрын
I enjoy watching this fro..kenya wapi likes za kenya
@jobarigamotari327
@jobarigamotari327 3 жыл бұрын
This is really encouraging this boys will go far..wapi likes kutoka Kenya lakini
@ramadhaniallylugazo2240
@ramadhaniallylugazo2240 3 жыл бұрын
Noma saana
@jaygwaymic1597
@jaygwaymic1597 6 ай бұрын
😂😂
@mikejulius2188
@mikejulius2188 3 жыл бұрын
Yaani hadi majaji wanakosa la kusema😂😂😂 hongera kwao, kazi nzuri ila wajiepushe na vijimakosa vidogo vidogo🇰🇪
@mtamilanyambalo9261
@mtamilanyambalo9261 3 жыл бұрын
Vijana hawa ni Hatariii sanaaaaaa. Jamani Wadau Wote tuwape Support ktk Vipaji hivi vya Tanzania. 🤴🤴
@toastysn
@toastysn 3 жыл бұрын
Hawa wasiruhusiwe kushiriki mashindano yote kuna watu wengine pia wanataka kushinda 😂😂 Wasiposhinda hawa tutakao andamana tujuane hapa tuanze mipango mikakati 👇
@bentube4787
@bentube4787 3 жыл бұрын
Kweliii wasipo shindaaa tuandamaneni
@ashirafkhamis2368
@ashirafkhamis2368 3 жыл бұрын
mmoja wapo mm nitakaeandamana
@kennix6457
@kennix6457 3 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 3 жыл бұрын
Kudadadeki wasiposhinda hawa tuandanane jamaaniiiiii eeeeeeeeeee
@mwanaashashokowa2151
@mwanaashashokowa2151 3 жыл бұрын
Unistue tunaweka vurugu kutakuwa hapakaliki kabsa naja na vilipuzi kabsa
@ashirafkhamis2368
@ashirafkhamis2368 3 жыл бұрын
Yan kiukwel hawa jamaa wanajua san zaidi ya sana yenyewe,natoa TAMKO RASMI hawa jamaa wasiposhinda naandamanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 me kama jaji mkuu sina la kusema tukutane FINAL 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@joansenjulius7773
@joansenjulius7773 3 жыл бұрын
Yan mm nailudia kila muda gonga like ambao tunailudia hii
@RonnieRoyan-zp1ek
@RonnieRoyan-zp1ek Жыл бұрын
Tuko pamoja n mm nailudia
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 3 жыл бұрын
Mmmmmm hawa jamaa ni world classic, Tanzania tujivunie kuwa na treasure like this, kama sio mabigwa hawa basi sio bahati yao tu nawafatilia sana ndio maana wanaongoza kwa views wanatushawishi mashabiki, daaaa Good luck
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Sikupingi Mr ibr, guys are very talented,, apa naludia kuiangalia
@nazilshaban173
@nazilshaban173 3 жыл бұрын
Kwel kumbe umeliona hilo
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Daaaah hizi jamaa ziko Moto 🔥🔥🔥, balaaaaaaaaaaaa UNITED KING YOUR THE KING BR🤙🇹🇿🤙
@peterngowi6804
@peterngowi6804 3 жыл бұрын
Mjumbe niletee hao wote kwenye harusi yangu jumamosi ijayo
@malley041tv9
@malley041tv9 3 жыл бұрын
Wanangu fanyeni zaidi ya mlichofanya apo,,,, ndy principle ya kaz na mafanikio for sure nyie ni international levels Tanzania to the world Watching frm babatiii
@oscarmungaa
@oscarmungaa 3 жыл бұрын
Much love from Kenya🇰🇪
@salmangereza5587
@salmangereza5587 3 жыл бұрын
Hamna mpinzan yaan BIG YES
@olivermfinanga1268
@olivermfinanga1268 3 жыл бұрын
Sio India tu hata tz kuna vpaj🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿love my country
@bosconjoroge8985
@bosconjoroge8985 Жыл бұрын
An amazing dance guys,,,but kwa maoni yangu before the end "samapangala song vunja mifupa" would have killed it even more,,,😃😃 mob love from 🇰🇪
@bigisaac9199
@bigisaac9199 3 жыл бұрын
From 🇰🇪🇰🇪love this guy 💯✌️
@zipporahkasyoka21
@zipporahkasyoka21 3 жыл бұрын
I really enjoy you guys you are the really Kings...keep it up..UNITED KINGS ..much love frm 🇰🇪🇰🇪wapi likes jamani....👊👊👊
@naomimavura7305
@naomimavura7305 3 жыл бұрын
Niwabunifu ...Mara nying mnakuja na story..mpyaaa ....you guys n 🔥🔥
@ninialzahrani4098
@ninialzahrani4098 3 жыл бұрын
Nimerudilia mal kumi ❤😍😍😍😍
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 3 жыл бұрын
Old is Gold aseee yaan Mziki tu mtu unaanza kutabasamu kabla ya shoo kuanza🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@issasuperimooo551
@issasuperimooo551 3 жыл бұрын
Hongeren kwa ushindii big up san tok pande za mara borega city
@officialmweusi8664
@officialmweusi8664 3 жыл бұрын
Daaaa wauni wanawezaaaaa
@lazzR1935
@lazzR1935 3 жыл бұрын
Na watolea Kofia Aya Maajama ni Mabonge kwa juuku la Dance love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮na 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@zhangshadow5080
@zhangshadow5080 3 жыл бұрын
hii shoo ni kali ilitakiwa kupigwa mambelee aisee hii show ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@kimaugymnast
@kimaugymnast 3 жыл бұрын
Joining from Kenya. I swear I love you guys. Tanzania got talent. Big up
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Hakuna Kama HAWA Tanzania ata kina moze iyobo wa wcb hawawez wafikia hawa jamaa ata robo
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Iyobo hii show haiwezi,,, yeye akakate Mauno mabichi TU😂
@stanleykagoa6190
@stanleykagoa6190 3 жыл бұрын
Hawa ni kisanga Tz nzima hakuna wakuwafikia wako firee ile mbaya
@peterkitura5946
@peterkitura5946 3 жыл бұрын
Ndugu msiseme tz nzima kwani kabla ya hii show mlikuwa mnawajua tembeeni muone wapo wengi tu zaidi ya hao sema hawana sehemu ya kuonesha kipaji chao
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Wcb ata wasisubutuu kujifananisha wee
@renatusmatungwa6506
@renatusmatungwa6506 3 жыл бұрын
Ww acheni mambo yenu nyinyi mmezunguka Tanzania nzima?
@mwinyiadno9495
@mwinyiadno9495 3 жыл бұрын
They are amazing talented 💪👏👏👏👏👏
@GeorgeOndari
@GeorgeOndari 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣these guys killed it, mob love from Kenya.
@wismanwilly7657
@wismanwilly7657 3 жыл бұрын
Washkaji wapo creative kinoma. Real talent 🔥🔥👍
@georgewamaya5375
@georgewamaya5375 3 жыл бұрын
these guys deserve a perfomance on america got talent🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 3 жыл бұрын
From 254 mauwezo wadau
@siramwangongobe8696
@siramwangongobe8696 Жыл бұрын
N amaizing awa guys wapo gud xana ad me nataman niwe nadance Kama wao
@Edwinekarume-jj6dy
@Edwinekarume-jj6dy Жыл бұрын
G.O.T dancers you deserve United Kings of Africa 👑
@hermanbonitus866
@hermanbonitus866 3 жыл бұрын
United kings of African sincerely i real appreciate your performance
@dadychaps7527
@dadychaps7527 3 жыл бұрын
Zaidi ya hawa vijana sioni, Mungu Tu🙏🙏🙏🇰🇪✅🔥🔥🔥
@officiallyrics7530
@officiallyrics7530 3 жыл бұрын
Whaaaaaaaaat I've been waiting this for so long its really amazing united kingz 👑 u killed it one love unitalent u brought us the really dance kings
@johnnkya8839
@johnnkya8839 3 жыл бұрын
Kwanza naomba jina kamili la jina mliloanza nalo 😁😁 sanguloo mamaaa hatari sanaa 🔥🔥 U deserve to win
@officiallyrics7530
@officiallyrics7530 3 жыл бұрын
@@johnnkya8839 for sureeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sarapreciousbryson1236
@sarapreciousbryson1236 3 жыл бұрын
I came for sth else in KZbin but after i found an Update for these guys..Hail To them..I Bow×3 They Really Nailed It.
@nruth7829
@nruth7829 3 жыл бұрын
From Uganda.....these young guys are good👌
@farukukimaro9739
@farukukimaro9739 3 жыл бұрын
Daah hawa jamaa wanauwa sanaaaa hongerenii sanaaa
@asmetkevtz
@asmetkevtz 3 жыл бұрын
Madogo wako vizuri!!💥💥💥🚀
@nassolorose
@nassolorose Жыл бұрын
Wawoo am from Saudi Arabia bat i love you so much guys 👆👈👈👈👈
@Bonekby
@Bonekby 3 жыл бұрын
🇨🇩👁️👁️SAFI SANA THAT ONE IS 🔥 FIRE BRO
@wardahzajly3149
@wardahzajly3149 3 жыл бұрын
Hawa ndo top yaooooooo
@drifacalus8770
@drifacalus8770 3 жыл бұрын
Siwapewe tu hizo milion hamsin tunasubiri nn wanajuaa
@bentube4787
@bentube4787 3 жыл бұрын
Kweliii maana na ona Kama mpira league ingekua washa chukua kombe
@geraldbajile7564
@geraldbajile7564 2 жыл бұрын
Aisee Hawa madogo ma King 👑 of dancer Africa
@40kstore
@40kstore 3 жыл бұрын
T.I.D ni judge mzuri.
@amdaviso9416
@amdaviso9416 3 жыл бұрын
What a good performance....😍😍 OMG very impressed for sure...big up.💪💪🙌
@m1000Tx
@m1000Tx 3 жыл бұрын
Aaaah wanangu eeeh ... Mmeua sanaaa mmetishaaa... Endeleeni hivo hivo wanangu ... Big up sana 👍
@dadychaps7527
@dadychaps7527 3 жыл бұрын
Wanyama sana 🔥🔥🔥🇰🇪✅
@rehemawaweru5373
@rehemawaweru5373 2 жыл бұрын
Aki your talented guys penda nyinyi sana
@leonardoscarkitime145
@leonardoscarkitime145 3 жыл бұрын
Very very very Talented.!!!
@scolakalindu8077
@scolakalindu8077 3 жыл бұрын
Hongereni Mungu awatangulie hichi ndicho madamu Vanessa mdee ankiitaka
@restivermiho3326
@restivermiho3326 3 жыл бұрын
Congratulations we are waiting for finals 🔥🤗
@munyenyerobert1634
@munyenyerobert1634 3 жыл бұрын
Amazing talents in Africa.🤗👌😱😱😱
@Zagotora
@Zagotora 3 жыл бұрын
I’M PROUD💪 WELL DONE
@preciousmohmed7372
@preciousmohmed7372 3 жыл бұрын
Am proud of yoh for making them who they're today....I love the spirit yoh gat dada zawadi🥰🥳
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Hongera kwa kuunganisha masuper ster wa dancing
@constantineemmanuel3315
@constantineemmanuel3315 3 жыл бұрын
This show deserves more viewers, these people are awesome
@KOMEDYENDJOLSPH-ww5ex
@KOMEDYENDJOLSPH-ww5ex Жыл бұрын
Bon travay timesye SPH 509 avèw
@aminasilvia4345
@aminasilvia4345 2 жыл бұрын
Love ❤️ from 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
@code_x_dancecrew8338
@code_x_dancecrew8338 3 жыл бұрын
Wah💯💯💯litt
@rodgersmoni4153
@rodgersmoni4153 2 жыл бұрын
It said a picture is a thousand of words,I say a dance particularly these is a thousand of words raised to power of infinity. My kind regards from Nairobi.
@sheilahjeptum5858
@sheilahjeptum5858 3 жыл бұрын
This guys are really amazing for real I love them
@chuoltapchuol8167
@chuoltapchuol8167 2 жыл бұрын
Wow I mean I really appreciate you guys for your nice talent thanks for your ambition God bless you Africa heartful kids
@Bonekby
@Bonekby 3 жыл бұрын
AFROCONGO 🇨🇩👀 MUSIC IS FIRE 🔥😎🇨🇬
@muusmile4419
@muusmile4419 3 жыл бұрын
Jmn wasiposhinda hawa kuna figisu 😂 😂
@billalimbasha
@billalimbasha Жыл бұрын
noma sana mabroo wanaijua Kaz nzur sana
@abdulnkingwa6083
@abdulnkingwa6083 3 жыл бұрын
Wanajua design dancer
@movilannegermina7385
@movilannegermina7385 2 жыл бұрын
Good job me amours😘😘😘😘😘
@fabiolamshana6143
@fabiolamshana6143 3 жыл бұрын
Men at work Fireeee
@PeterMloha
@PeterMloha 3 жыл бұрын
Msipowapa hawa watoto hiyo hela, mtakua mmezingua sana
@kenedymwamagemo1066
@kenedymwamagemo1066 3 жыл бұрын
I have been waiting for this homies. Msilale vichwa visivimbe mkairithika keep on woking hard its not over yet i really wish u bring it all in the finals,i really hope u win thissssss ish dont relax until its finaly done. Respect
@jamalcarlos9780
@jamalcarlos9780 3 жыл бұрын
i guess Im asking randomly but does anybody know a way to log back into an Instagram account..? I was dumb forgot my account password. I appreciate any assistance you can offer me.
@kadereclaire.
@kadereclaire. 3 жыл бұрын
This boys nah kill me oooh. ...no wahala. ..big up guys
@bentube4787
@bentube4787 3 жыл бұрын
Frenkkk naonaa kiwango chako keep it up brother
@preciousmohmed7372
@preciousmohmed7372 3 жыл бұрын
I would like to thank zawadi ( zagotora ) who made them who they're today.....we enjoying from yoh guys ,I love the energy⁦♥️⁩🥳
@unitalentshow
@unitalentshow 3 жыл бұрын
Thanks for watching
@suleimanfaki2740
@suleimanfaki2740 3 жыл бұрын
We.. Nitakupiga wewe.. More fire
@emanuelmoherai5775
@emanuelmoherai5775 3 жыл бұрын
Dr. Tuuga from Kenya. Love it guys.
@ykee250
@ykee250 3 жыл бұрын
MA BOYZ
@erickelia9826
@erickelia9826 3 жыл бұрын
Mmetisha Sana kazi safi sana
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 3 жыл бұрын
Safii sana wana iko poa hiyo
@kwezisaid6655
@kwezisaid6655 3 жыл бұрын
Akiiii 😊😊jamaa wanajua had wanakeraaaaaaa🙌🙌much love
@tshegofatsocoster6745
@tshegofatsocoster6745 2 жыл бұрын
That's really amazing
@ejthatdancer0138
@ejthatdancer0138 3 жыл бұрын
Holly shiet💥💥💥I love this I have already copy paste some of the moves🤭 I wanna meet you guys
@khanwizzy
@khanwizzy Жыл бұрын
Mmmmh mnaweza sanaaaa
@josephinelekartiwa2920
@josephinelekartiwa2920 3 жыл бұрын
And this one is really amazing 😍😍😍 cheers ❤️ keep the fire 🔥 burning young ones
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 Жыл бұрын
daar ni noma Sanaa sichoki kuwaangalia Hawa jamaa
@jacobmagesa4437
@jacobmagesa4437 Жыл бұрын
Wameuwa much love
@salynoirt6953
@salynoirt6953 3 жыл бұрын
What will you do to be come a young? Amazing dance
@angelaayuma9529
@angelaayuma9529 3 жыл бұрын
Cant believe this......wooow
@atoum1707
@atoum1707 3 жыл бұрын
Wow trop forts ce qui m'étonne c comment ils ont fait pour se retrouver et former ce groupe de choc
@tumpaledaniel8991
@tumpaledaniel8991 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Am.308
@Am.308 3 жыл бұрын
Invisible dance moves cool than never
@ramadhaniadam7303
@ramadhaniadam7303 2 жыл бұрын
I like that creativity
@rileystylebender8478
@rileystylebender8478 3 жыл бұрын
Kenya massive,tuko ndani ndani,straight fire
@bobbytales
@bobbytales 2 жыл бұрын
I feel like you guys deserve to be on the biggest stage which AGT. @AGT
@nanduleramadhan8801
@nanduleramadhan8801 2 жыл бұрын
Wameuwaaa 🔥🔥🔥🔥
@josephinelekartiwa2920
@josephinelekartiwa2920 3 жыл бұрын
You are the best of all
@LITERATURETV-b8o
@LITERATURETV-b8o 2 жыл бұрын
Greatest!
@pierreaginel7448
@pierreaginel7448 2 жыл бұрын
Congratulations 🙏🙏💯💯
@rahmamussa8871
@rahmamussa8871 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 this made my day better😅
@sarkiyafisarki6106
@sarkiyafisarki6106 Жыл бұрын
Real sarki yafi sarki ✅
@sue_morei
@sue_morei 2 жыл бұрын
Wueeeh..you people manzeee 💖💖💖💖lots of loveee .you killed the show❣️❣️💯💯
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 53 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,9 МЛН
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
Magambo- Hili gari ( UNITALENT SHOW )
2:50
Brain Tv
Рет қаралды 1,3 М.
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 02|TGUN TOZZY - WOSIA WA BABU
9:03
UnitalentShow
Рет қаралды 615 М.
BELLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU
6:50
BongoStarSearch
Рет қаралды 456 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 74 МЛН