UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 03|AFRICAN COUSIN(TASUBA)-SAUTI ZENYE LADHA

  Рет қаралды 173,845

UnitalentShow

UnitalentShow

Күн бұрын

Ni msimu wa Tatu wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M Pamoja na kwenda Uholanzi kujiendeleza Kitaaluma
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Alhamisi Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season03

Пікірлер: 120
@shyneafya2468
@shyneafya2468 24 күн бұрын
Huyu jamaa ananitoa machozi amazing voice ❤ narudia rudia mpaka leo 12/9/2024
@sayunilaizer7023
@sayunilaizer7023 2 жыл бұрын
jmn we kaka wa katikati unajua....cjui kwann hukuamua kuwa wewe kama wewe utapoteza kitu kikubwa brooh....wish ukue wewe kama wewe 😓🥰🥰.....
@imeldamtey8132
@imeldamtey8132 2 жыл бұрын
Yani kwakweli tusiwe waongo Kila mmoja hapo anasauti Kali sana ila iyo aliyeva koti jeusi nimeiyelewa sana👏👏👏👏👏👏
@wilsonmsilu1936
@wilsonmsilu1936 2 жыл бұрын
Daaah huyo mwana hapo kati ni 🔥🔥🔥🔥🔥 daah huu mziki kuna watu wanaudai sanaaaaa
@babadaboc2481
@babadaboc2481 5 ай бұрын
My brother wa Middle ure voice is blessed me Bella unniinspire
@ernestadriano9573
@ernestadriano9573 2 жыл бұрын
Nafikiri,,, amjajua Mana yakikundi kunasauti za kuitikia inamana wanajaza mziki uyo jamaha wakati Kati anajua lakin ao wengine lazima wawe wakwamana wanamsaidia uyo kuonekana anajua zaidi nazani anae fahamu mziki wanajua umuhimu wa ao wengine
@apostlepsalmsofficial
@apostlepsalmsofficial 2 жыл бұрын
Yani sauti hazija merge vile yafaa
@officialeunice7345
@officialeunice7345 2 жыл бұрын
Napenda huyo kaka anavoimba for sure anajua. 💘
@Joycenangonga
@Joycenangonga 11 ай бұрын
Yan hyu kaka wa katikati anaimba mpaka anakeraaa daah big up
@saraissa9327
@saraissa9327 5 ай бұрын
haujui muziki
@lavijacy3378
@lavijacy3378 2 жыл бұрын
The first boy nailed it🔥🔥🔥
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
Yes.
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 Жыл бұрын
Jamani kama sio mbongo maana unajua unajua mbaka unaniliza kwa raha dah mungu akutimizie ndoto zako zikatimie 🙏❤️🥰🥰
@jesselyimo3403
@jesselyimo3403 2 жыл бұрын
Unajitahidi saaana ila huyo jamaa na Coti jeusi daa viwango vyake sio vya hapa aisee anatisha hongera sana!
@abdulkabila787
@abdulkabila787 2 жыл бұрын
Mbona saut soul bien ni mnyama ila aipendez kuwajaji ivyo unafanya mmoja ajisikie
@beverlyndavids
@beverlyndavids 2 жыл бұрын
Brought here by TikTok♥️♥️
@niyisyegekitta6160
@niyisyegekitta6160 2 жыл бұрын
He knows yet so humble mweeeh🔥
@mcwaya1
@mcwaya1 2 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye base aachwe mwenyewe unless sion hilo group linatoboa
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
I repeat and repeat,,, everyone there is unique 😩❤️❤️
@teddymaliatabu2039
@teddymaliatabu2039 2 жыл бұрын
Jamaa anakuaga na sauti ya radi...!!
@vinisondaudi2912
@vinisondaudi2912 2 жыл бұрын
Talented Bro Black Coat 🤣
@shohamagutu6165
@shohamagutu6165 2 жыл бұрын
Sema Jamaa wa kat anajuaa🤗🤗
@Samwelezekiel001
@Samwelezekiel001 2 жыл бұрын
Uyo jamaa nimuuwaj aisee noma sana mr kimaso maso
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 2 жыл бұрын
Damn wat de faaack vocal imekaa hii crew ipo Good
@fredrickmsomba4123
@fredrickmsomba4123 2 жыл бұрын
The second boy killed it 🔥🔥🔥
@princeajiraathedn8750
@princeajiraathedn8750 2 жыл бұрын
Amazing vocal
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 2 жыл бұрын
Weweweweweeee dogo unaua sanaaaaa🔥🔥🔥🔥
@YolandaMahenge-nf2gf
@YolandaMahenge-nf2gf 5 ай бұрын
Wacha wee huyo kaka wa ktkt htr ❤
@DablickSimkoko-fp5bc
@DablickSimkoko-fp5bc Жыл бұрын
Kak mkubwa wew nibaraa haufah uo moto cio wakitoto sas inabidi unifundishe uo ufund kidog naongea na wew vocalist
@Ranjozkenya214
@Ranjozkenya214 10 ай бұрын
The two middle guys are just another thing🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥I don't trust the ladys voice at this level of singing but nice they are
@aggiephen
@aggiephen 2 жыл бұрын
Wa katikati ndo anajua nyie wawili wawili wa pembeni muacheni mwenzenu aimbe peke yake
@catherinejoram776
@catherinejoram776 Жыл бұрын
Gifted and talented bro keep it up Kikund kinakutegemea wewe
@mussahkilango5990
@mussahkilango5990 2 жыл бұрын
I can't stop listening dis performance gives me goosebumps
@naomikaaya4798
@naomikaaya4798 2 жыл бұрын
Even me🔥🔥
@winfridakavishe3539
@winfridakavishe3539 2 жыл бұрын
Jamn mmwaaaaah
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
Same ❤️
@ElishajosephNjeje
@ElishajosephNjeje 6 ай бұрын
❤ nimependa
@Rozeey610
@Rozeey610 2 жыл бұрын
Alie vaa miwani n uyo mdada🥺🥺🥺
@issaathuman2447
@issaathuman2447 2 жыл бұрын
Oy weeeeeeee watoto wa baga alf moyo TASUBA👏🏿👏🏿✊🏿
@queenbhanji4152
@queenbhanji4152 2 жыл бұрын
Akiendelea na hilo group atoboi may be awe alone
@cashhommy91
@cashhommy91 2 жыл бұрын
Huu mfumo wa ma judge sio mzuri kwa kwelii
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
Sure
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
I’m so moved😩❤️
@barakachiboni3973
@barakachiboni3973 Жыл бұрын
Naujua mziki ila huyo jamaa wa kati nyeusi ni fire
@gracemjungu9244
@gracemjungu9244 Жыл бұрын
So talented, stay blessed guy's
@sayunigoodluck3516
@sayunigoodluck3516 2 жыл бұрын
Am in love with them surely 🥰
@mariasalomelukosi6846
@mariasalomelukosi6846 10 ай бұрын
That's great ❤
@brinnalevison7926
@brinnalevison7926 2 жыл бұрын
Wana voco wanajuaa🇹🇿🇹🇿🥰🥰
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 2 жыл бұрын
Jamaa aimbe peke yake anaweza la sivyo atapoteza nafasi hyo.
@faidahalisi2336
@faidahalisi2336 2 жыл бұрын
AmnA waimbaj hapoooo,labda huyo mdog na huyo koti la black
@rasoolymsafi3896
@rasoolymsafi3896 11 ай бұрын
We akili hauna
@normanleslie4248
@normanleslie4248 2 жыл бұрын
Majaji waongo kinoma duh
@catherinejoram776
@catherinejoram776 2 жыл бұрын
Noma sana hiyo brother
@labigal280
@labigal280 2 жыл бұрын
Especially dada anaharibu so poa
@normanleslie4248
@normanleslie4248 2 жыл бұрын
Anaimba off sanaaa
@angellwehela4303
@angellwehela4303 2 жыл бұрын
Umeona eeh😀
@zawadilutufyo231
@zawadilutufyo231 2 жыл бұрын
Kabisaa
@husnalema2069
@husnalema2069 2 жыл бұрын
Good work..nmependa sana
@emmilianlukaye3125
@emmilianlukaye3125 6 ай бұрын
Huo sio uimbaji mzuri. Hapo kuna rushwa tu au mchongo. Anaimbia kwenye mapua,eti jaji anashangilia. Uongo
@saraissa9327
@saraissa9327 5 ай бұрын
haujui muziki
@aggiephen
@aggiephen 2 жыл бұрын
Hilo group hamna kituuuu😐Muacheni huyo talented aimbe peke yake lah sivyo hamtotoboa
@karimchindema9823
@karimchindema9823 2 жыл бұрын
Unajua maana ya group dada
@deejeydaev
@deejeydaev 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkaliiiiiiiii asee
@agustinogeorge776
@agustinogeorge776 2 жыл бұрын
Very talented tongues 🔥🔥
@teklakihade136
@teklakihade136 2 жыл бұрын
Leonard we hatar jaman
@FridaJohn-y4y
@FridaJohn-y4y 9 ай бұрын
waooooo❤❤❤
@MwakaHassan
@MwakaHassan 6 ай бұрын
Umeua-leornad
@Kizzymelody722
@Kizzymelody722 5 ай бұрын
👏💥💥💥
@Kizzymelody722
@Kizzymelody722 5 ай бұрын
Good song
@benfo4716
@benfo4716 2 жыл бұрын
Great job 👍
@rubaofficial7695
@rubaofficial7695 2 жыл бұрын
Rayvan kakaaaaaaa
@wahabuabdul1569
@wahabuabdul1569 2 жыл бұрын
Very good
@jacklinemackline7512
@jacklinemackline7512 2 жыл бұрын
Dogo anajua
@ledrummertv2267
@ledrummertv2267 2 жыл бұрын
this is awesome 👌 n lit 🔥
@mohammedyahya972
@mohammedyahya972 Жыл бұрын
Ni kweli jamaa ni mkali ila lazima vipaji vingine vipewe nafasi
@EnockKayanda
@EnockKayanda 9 ай бұрын
Kweliii
@Mizikyauswazi.
@Mizikyauswazi. 2 жыл бұрын
nzuri
@twalibuabillah-tm5nj
@twalibuabillah-tm5nj Жыл бұрын
Huyo aliyevaa alizaliwa kuja kuimba duniani
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 2 жыл бұрын
Nmeirudia na kurudia tena. No these people knows. All of them wanajua 🥲❤️❤️❤️
@janethmosses9820
@janethmosses9820 2 жыл бұрын
Yaan huyu wa black coti angeiimba mwenywe
@Magisc
@Magisc Жыл бұрын
Saruty sana
@Rozeey610
@Rozeey610 2 жыл бұрын
Uyo alievaa mawani🤔🤔🤔
@sayimasanja5421
@sayimasanja5421 2 жыл бұрын
Mnaharbu nyimbo za watu
@achynyawale397
@achynyawale397 2 жыл бұрын
Kaharibu na ww
@Joycenangonga
@Joycenangonga 11 ай бұрын
Kaharibu wap na wew 😟
@hamisasuman5717
@hamisasuman5717 2 жыл бұрын
Grand final season3 lini
@munyarugondabarishe2130
@munyarugondabarishe2130 Жыл бұрын
What's this guy like
@esterabely2959
@esterabely2959 2 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo off key ni nyingi......anae weza hapo ni mmoja
@janethmosses9820
@janethmosses9820 2 жыл бұрын
Hasa wanaoback vocal
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 жыл бұрын
Huyo Leonard ni Shida
@chrispinchrisant1540
@chrispinchrisant1540 2 жыл бұрын
Huyu dogo ni balaa sana
@patricemmuni7919
@patricemmuni7919 10 ай бұрын
Mdada mweny blauz ya njano anafeel kinoma saut ya jamaa wa black koti😂😂
@MwakaHassan
@MwakaHassan 6 ай бұрын
acha kuwakatixha tamaa lo kama xiy Binadam
@jenfridachasuka4462
@jenfridachasuka4462 2 жыл бұрын
I like that
@normanleslie4248
@normanleslie4248 2 жыл бұрын
Naomba harmony yenu muifanyie zoezi bado haijakaa poa
@mariamhinda6710
@mariamhinda6710 2 жыл бұрын
Brother katisha sana
@preciousmohmed7372
@preciousmohmed7372 2 жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🥳🥳
@abelharry_tz
@abelharry_tz 2 жыл бұрын
Broh najua kuwa upo na hii group labda Tu ni hukuamini ktk ww mwenyew hapo mwanzo. Lakini nnaamini Kwa SASA unaiona tofauti yako na hao wengine kabisa . Chaguo ni lako NOW. YU have a Thing Buddah
@barakaligoha978
@barakaligoha978 2 жыл бұрын
Waimbaji wa gospel utawajua tu jamaa anafanya gospel
@Joycenangonga
@Joycenangonga 11 ай бұрын
Umeona eeeh? ni gosper
@robertdominiko2667
@robertdominiko2667 2 жыл бұрын
Hawa wastahili kuwa wadhindi,kuwa 1 haki yao
@mohammedmolali8281
@mohammedmolali8281 2 жыл бұрын
💥💥💥
@danielmlaponi9235
@danielmlaponi9235 2 жыл бұрын
Uyo demu ni empty kabisa
@meshacknassary8023
@meshacknassary8023 2 жыл бұрын
Ahahahaha empty bottle
@esthersilas6580
@esthersilas6580 2 жыл бұрын
uwiii na kwel anahama key kinyama
@mariasalomelukosi6846
@mariasalomelukosi6846 10 ай бұрын
Kaimba nani hii nyimbo jamani
@esthersilas6580
@esthersilas6580 2 жыл бұрын
uyo wa koti la black kabeba group
@yusuphsimon575
@yusuphsimon575 2 жыл бұрын
dah huyu jamaaa anafaa aimbe gospel Yuko viziri
@Joycenangonga
@Joycenangonga 11 ай бұрын
yan wew ndo umeongea point
@rodgerskombo4403
@rodgerskombo4403 10 ай бұрын
Great voice tasuba...but backup ndio inaangusha
@hajimainde1508
@hajimainde1508 2 жыл бұрын
Nc
@mpokiibrahim8926
@mpokiibrahim8926 2 жыл бұрын
Black kot 🔥🔥
@mussahkilango5990
@mussahkilango5990 2 жыл бұрын
You can't judge one person in crue you decline dat cruel judge as cruel and giv dem marks
@clarisatieno708
@clarisatieno708 2 жыл бұрын
Simwoni Mercy jamani kaenda wapi?
@cashhommy91
@cashhommy91 2 жыл бұрын
Synchronisation of the vocals 😣😣😣😣
@kihozanakilimobiashara7969
@kihozanakilimobiashara7969 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZDFfqGHZq6pp7c. Lima KILIMO chenye tija na SUPERGRO. NB:Tunakufikia popote ULIPO
@tayaripato762
@tayaripato762 2 жыл бұрын
Can someone tell me even it's the name of that boy plz I like this guy if I can get even her number I will be happy
@nasrazubery4391
@nasrazubery4391 2 жыл бұрын
😘
@deodatuspolla8272
@deodatuspolla8272 2 жыл бұрын
Mmetixha bigup xan
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 03|AZIRA MARTIN (UDSM)-SUKARI
7:43
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 03|AFRICAN COUSINS(TASUBA)-NEREA
14:42
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
Mimi Mars - KODOO (Official Video)
3:17
MIMI MARS
Рет қаралды 650 М.
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 03|AFRICAN COUSINS(TASUBA)-MBALI SANA
8:33
Magambo- Hili gari ( UNITALENT SHOW )
2:50
Brain Tv
Рет қаралды 1,3 М.
SO GOOD they got Bruno's Golden Buzzer MID-PERFORMANCE | Auditions | BGT 2023
8:37
Israel Mbonyi - Sikiliza
11:29
Israel Mbonyi
Рет қаралды 13 МЛН
UNITALENTSHOW|GRAND FINALE|SEASON 03|AFRICAN COUSINS|GOSPEL TRACKS
7:57