Balikiwa sana Mutumishi na kufatiliya toka Congo Butembo 🎉🎉🎉
@reginaldalexander11427 ай бұрын
Amina mtumishi
@praisejublathurassa77897 ай бұрын
Amina.Hiyo ndio injili ya kweli Mtumishi.Barikiwa
@PascalChowe7 ай бұрын
Unasema ukweli Mtumish wa mungu
@vicentgodda33577 ай бұрын
Ninampa Mungu utukufu kwa ujumbe huu. Mwenye dhamira ya mbingu ataelewa
@allymwampaka96047 ай бұрын
Hongela masanja uko sawa hao watumishi waongo wapigwe kwa Nina la yesu
@DaudiMwangati-id1tk7 ай бұрын
Amen ni kweli
@ombenijady84097 ай бұрын
To be honestly....Naelewa Sana Mahubiri ya Mtumishi anahubiri Kwa lugha nyepesi na inaeleweka vzr Sana. Sasaiv ni postor namba Moja Kwangu Kwa kumskiliza na kunisaidia kumjua Mungu
@MTUMEROBERTWENERA015 ай бұрын
Very very unique leason
@barakaboazi59386 ай бұрын
Barikiwa Dady Mungu Akuinue
@ibrahimucharlessatto34497 ай бұрын
Amina mtumishi wa BWANA YESU, Ujumbe wako ni mzuri sana tena ni injiri ya kweli na ulivyoanza sivyo ulivyo sasa, nakuombea neema kwa BWANA YESU uendelee kunyenyekea mbele za YEHOVA.
@ZEPHANIANIKODEMUS7 ай бұрын
Hakika huu ni ujumbe mzuri Sana, MUNGU ambariki mtumishi wake❤❤
@agnesyjoseph39067 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mnzuri umenisaidia mengi
@innocentkimory6 ай бұрын
aisee umetisha sana big point watu wanamchezea sana mungu makanisa yamekuwa nalamli zauganga wachungaji wanekuwa matapeli tu wanatafuta pesa kwakutapeli wajinga wanao jiita waumini wenye akili ndogo watu duniani wanaangamia kwakukosa maalifa
@lilianmbeyu7 ай бұрын
nimeikubali injili hii,Mungu akupe kudumu katika kweli yake,isipokuwa kanisa limepotoka kwa kiwango kikubwa mno,cku hizi wachungaji wanaajiri hadi watu wafanye vituko kwa jina la miujiza,kizazi kilicholaaniwa,watoto wa majoka.watu wamekataa garama ya kumtafuta Mungu wanakimbilia undanganyifu wa shetani.
@MuhinaMruma-lu2vj7 ай бұрын
Saafi mtumishi
@duacheketela9595 ай бұрын
da! nimecheka sana naa nimebarikiwa yan nimebarikiwa huku na enjoy asanteee my pastor
@noelyephraim68747 ай бұрын
Umenena baba
@allymwampaka96047 ай бұрын
Endelea masanja na injili ya kweli mungu akutie nguvu
@elizabethbarasa47273 ай бұрын
Amen pastor very true Mungu hasaidiwi kazi
@janemabada33577 ай бұрын
HAKIKA YESU aendelee kukunoa nmeipenda hii sifa na utukufu ni kwa Mungu Emanuel endelea kukaa barazan kwa Mungu tuendelee kupokea damu ya YESU iendelee kukutunza
@IvanChaula-xz9ne7 ай бұрын
Safi sanaaaaaa God bless you
@yoelimwiwa68277 ай бұрын
Masanja kagusa maeneo ya watu Mungu akulinde
@renatusmichael79487 ай бұрын
God bless you❤
@salvatorybakilana23787 ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumish wa Mungu
@NellyInocent7 ай бұрын
Chuma la JEHOVA 🙏
@faustinkabene9716 ай бұрын
Amina amina
@christianchando70418 ай бұрын
Safi sana Emmanuel, wewe siyo Masanja Mkandamizaji tena, Mungu amekubadilisha jina, Wewe ni Emmanuel Mungu pamoja nasi
@abednegomwamsyan87467 ай бұрын
Ni wakati wa kusema ukweli
@BarakaMwalukasa-jz9ut4 ай бұрын
Barkiwa mtumishi wa mungu
@Commentsplus7 ай бұрын
Emmanuel
@NicodemusMwalumwe7 ай бұрын
Hakika Mungu anakutumia, Aman of God
@suzandavd52137 ай бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi waambie hao wataka sifa na wapiga hela.
@izamahmasaki4795Ай бұрын
Hiyo baba nakupa zote miamia ,wape neno
@samsonhamery38097 ай бұрын
Hongera Sana Mtumishi. "Hizi shuhuda zinaua Kanisa la Kiroho na kujenga Kanisa la mwili" Maana yake tunaua Kiroho ambacho ndilo Kanisa la kweli la Kiroho na tunatoa shuhuda za uongo kujenga Kanisa la mwili yaani kujaza majengo yamakanisa yetu kupata sadaka nyingi na kupata sifa za wingi wa Watu katika madhehebu yetu.
@patrickpastory62167 ай бұрын
Amen Mtumishi ubarikiwe sana kwa neno zuri hayo maigizo yanayoendelea yanaua mioyo ya watu wanaompenda Mungu. Kutokana Mtu anampenda Mungu vile alivyo na anatarajia kupokea lolote kutoka kwa Bwana na ndilo litakuwa sahihi kwakua Mungu anajibu kwa wakati wake na ndio sahihi lakini watumishi wasiowaaminifu hudanganya wengi kanakwamba wana ratiba ya Mungu matokeo yake watu wanaanza kutangatanga miaka hadi miaka hawajibiwi wengine mpaka wanakufa kwa udanganyifu.
@JoshuaSanka7 ай бұрын
Pastor masanja nimekuelewa waambie Baba waache ukanjanja"
@NsiyaDaudi2 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kweli maan unaongea ukweli kabisa
@goodlucksenyagwaofficial22997 ай бұрын
Hii ya Leo kwinini. Imenikaa kisawa sawa. Umeningezea maarifa pastor masanja. Umenipa wimbo hapo nanitakuja nayo huko redio kwako. Amen😅
@diegoshanga81847 ай бұрын
Sawa mtumishi ila ila hayo mavazi uliyo vaa sina uhakika kama kama unauelewa nayoo!!
@johnmgalilwa91367 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@patsonkyando17327 ай бұрын
Kuna watumishi Mungu anawatumia kwa viwango vya juu Sana na hao hawana muda wa kuongea Mambo ya wengine
@jescarwegoshola17547 ай бұрын
Ooh yes 💪, Mtumishi hana mbingu yakunipeleka,na hili swala la uongo Mungu ingilia kati maana uongo umezidi🙏
@johnmalembo64647 ай бұрын
Umenikumbusha mengi....iwe heri Kwa wengi
@Life100617 ай бұрын
UTUKUFU KWA BWANA ,,AMINA LEO NIMEPATA kikubwa Sana kwamba Mungu asaidiwi ,UONGO MBAYA SANA
@tulimwaipopo-eq3be7 ай бұрын
Mwanangu uko vizuri
@bonifasiemanueli217 ай бұрын
Huyu anaweza kuwa mchungaji wangu,
@AnnaChris-f5i7 ай бұрын
Yani sisi tunamchungaji mwongo kweli natamani hata ungekuwa na kanisa Dodoma ,ubarikiwe sana,🙏
@eligiuselias44697 ай бұрын
Siuondoke hapo kwenye hiyo madhabahu ndugu?, Yaani umeshajua kuna shida bado upo hapo?,utakuwa umefungwa,hapo siyo pa kukaa kimbia na naamini dodoma hapo kuna madhabahu nyingi za kweli.
@peterjames71617 ай бұрын
Kandamija Ng'wanawaneee
@novatuschaula16357 ай бұрын
Ujumbe ulionyooka kama rula ni ukweli mtupu Uzidi kubarikiwa mtumishi kwa Jina la Yesu Kristo
@israeluronu99587 ай бұрын
Glory Glory to God🙏
@lovenessjoseph57187 ай бұрын
Glory to God leo nmepata kitu kikubwa Sana kwamba Mungu asaidiwi we need to live with the truth God bless you pastor