Kazi Nzuri SANA from Bukoba Kagera Tanzania commenting
@vestinenininahazwe58122 жыл бұрын
Ameeeeen Jiamini unaweza Kama wengine💪💪💓
@joakimhakeem96452 жыл бұрын
Fika mbali dada nyimbo ya viwango mi najiamini nikiwa Kongo ubarikiwe sana karibu sana nchini kwetu
@fanuelgabriel566211 ай бұрын
Hallelujah balikiwa sanaa kamanda wa YESU kristo
@uhainjola64382 жыл бұрын
Mmeupiga mwingi Sana mapacha nyie Yesu awaongezee miaka ya kuishi ujumbe mzur sanaa huuu
@AshaMwambona-v6i9 ай бұрын
Hongera Sana mzungu wa kinyakyusa nakupendaje mtoto wa Mungu
@lindynendaya30342 жыл бұрын
Ameen a very nice song wacha mungu akusongeze viwango vingine barikiweni Sana dadazanguni
@makwalelazaro64662 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mwangupili Kwa ujumbe mzuri songa mbele zaidi
@winniekennedy80662 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa MUNGU upendo karb sana nchini kwetu nairobi
@SarahMaweu Жыл бұрын
Kazi kubwa God bless you 🇰🇪🇰🇪
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Thanks my friend 🙏🙏
@kaundakipagatie1102 жыл бұрын
Mungu azidi kukupandisha viwango dada kwa hatua hii mmeupiga mwingi sanaaaa
@BLESSINGSMUSICMWANZA Жыл бұрын
Upendo kazi nzuri dada
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen mtumish utukufu kwa YESU 🙏🙏
@teresiajonas Жыл бұрын
Waoo ubarikiwe sana mtumishi wimbo umebamba
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@hamdanslim77422 жыл бұрын
Ubarikiwe sana upendo nyimbo zako zinabariki sana karb kanisani kwetu
@kyungudaisy1633 Жыл бұрын
Ameen,najiamini kabisa Sina hofu,Mungu ataniwezesha kama wengine#TRM
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
🙏🙏
@zephaniatvmedia57202 жыл бұрын
Upendo hongera sana kwakazi nzur mngu zidi kukupa kipaji zaidi by producer devi geita
@mrnickmusician71392 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi keep it up 🇰🇪 nimebarikiwa sana 🇰🇪
@upendomwangupili49562 ай бұрын
@@mrnickmusician7139 Emen utukufu kwa YESU pia Asante kuniombea MUNGU awaongezee miaka ya kuishi
@johnmwasot17212 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana hii fika mbali kwa jina la YESU alie hai kongo tunabarikiwa sana na ujumbe huu nipe mwezi wa saba tunamkutano dada upendo nitakupigia tuongee vizuri ubarikiwe mnoo
@Musaemmanuel-ks5st5 ай бұрын
Dada barikiwa Sana naomba nitakutafuta bwana
@upendomwangupili49565 ай бұрын
@@Musaemmanuel-ks5st utukufu kwa YESU pia Asante kuniombea
@Musaemmanuel-ks5st5 ай бұрын
@@upendomwangupili4956 amina
@isaya.m.mwakapesa9808 Жыл бұрын
MIMI isaya Mwakapesa nimebarikiwa sana wimbo umenigusa sana
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen utukufu kwa YESU 👏👏
@ivodecatarinanapula-gx8ky Жыл бұрын
Barikiwa sana watumishi wa Bwana, Mungu awatunze zaidi🙏🙏🙏🙏
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@ivodecatarinanapula-gx8ky Жыл бұрын
Amina Shalom 👏👏👏
@AlexNzioka-Sir Жыл бұрын
Huu wimbo ni wimbo wenye baraka sana and Revelation ya ROHO mtakatifu
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen mpendwa utukufu kwa YESU 🙏🙏
@SamSido Жыл бұрын
Najipa moyo daily juu najua naweza fika pale kama wale🙏💯🔥🔥🔥
@TUMAINIMBEMBELA73 жыл бұрын
Hongera sana dada wimbo mzuri Sana
@upendomwangupili49563 жыл бұрын
Amen mtumish 👏👏
@davidmsanganzila Жыл бұрын
Mungu akukumbuke Katika uduma yako🎉
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen napokea🙏🙏
@jrbitama2 жыл бұрын
Hongera sana dada yangu
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU
@Lazalo-g4m5 ай бұрын
Ubalikiwe sana dada kwa nyimbo nzuli akika me zinanibaliki sana nyimbo zako
@viasco0019 Жыл бұрын
Wow ❤️ nice melody congratulations
@Lazalo-g4m2 ай бұрын
Hongera sana akika ninabarikiwa san na kazi yako dadaangu umeupiga mwingi we ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@imelidastevesteve51272 жыл бұрын
Hongera sana dada upendo KAZI nzuriiii San hakika napaswa kujiamini
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtumish ubarikiwe sana
@kingstar25452 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bro keep it up
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU 👏👏
@kyungudaisy16332 жыл бұрын
Najiamini Sina hofu, nitaweza kama wengine,nitajipa moyo sana sababu najua Kuna Mungu, Hallelujah 🙌#TRM Kenya☝️💪
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU ubarikiwe sana
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen naiwe hivyo 🙏🙏
@producertondo7316 Жыл бұрын
God bless you
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Thanks my friend 🙏🙏🙏
@joshuasitta293 Жыл бұрын
Hakika nikujiamini
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@janechengula60573 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wimbo mnzuri sana.Jiamini unaweza Kama wenginge💪💪🔥🔥🔥🔥❤️❤️
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen👏👏👏
@chawallamathew5055 ай бұрын
Amen kazi Nzuri MUNGU akubariki Sana video na Sauti na ujumbe umevitendea haki
@franklinekikete95453 жыл бұрын
Amen Upendo your friend Frankey from bungoma kenya
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Thanks 👏👏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen 👏👏👏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaaa 👏👏👏
@EazyBless2 жыл бұрын
Amen Bless sana 💯
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Thanks my friend 👏👏👏
@wahabysingano883 Жыл бұрын
💯😃
@OfficialLameck2553 жыл бұрын
Naiona nguvu kubwa💪
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU
@Graduation2024Live Жыл бұрын
Listen keenly, this is a very empowering song
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@shangweremiofficial41242 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi ujumbe mzuri Sana 🙏🙏🙏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
👏👏👏
@kyungudaisy16332 жыл бұрын
Najiamini kabisa,wimbo wenye imizo nzuri Halleluja! Barikiwa sana Upendo pamoja na Malkia Rose
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
👏👏👏
@AdonisSifa3 жыл бұрын
Mafunzo mazuri ndo maana sisi vijana tunawapenda mama zetu ❤️❤️❤️🔥🙏🏿
@upendomwangupili49563 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU
@DanielSafari-wm8ur10 ай бұрын
Haleluyaaaaaa,naweza km wengine kula ujumbe mzito huooooo
@razalomashaka46732 жыл бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu mungu akuzidishie kipaji uwendale kutubaliki
@abdulbansa23172 жыл бұрын
Najivunia wewe Tanzania gospel thanks all Africa
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU ubarikiwe sana 👏👏👏
@johnnemiti2877 Жыл бұрын
AMEN 🙏🙏🙏 baraka sana JOHN MANDEY FROM DRC KINSHASA 🇨🇩
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen 👏👏👏
@francismgallah Жыл бұрын
Kazi nzuri mtumishi barikiwa sana lazm tuniamin vifua mbele kuitangaza habari njema ya yesu kristo kuwa n bwana na mwokozi wa maisha yetu
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU
@Lazalo-g4m2 ай бұрын
Nimoto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongera sana dada kwa nyimbo nzuri MUNG akurinde na akuinue viwango vya juu
@kyungudaisy16332 жыл бұрын
Najiamini najipa moyo nitaweza kama wengine,Yesu nitendee hallelujaah 🙌#TRM Kenya💪
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa wang ubarikiwe
@vaisicharles19522 жыл бұрын
Hey hey hey hey hey yeah jiamin we people 🕺🕺🕺🕺 tuimbe namna hii🕺🕺🕺kwa Yesu kristo
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa 👏👏👏
@julietliru8352 жыл бұрын
Jiamini👏👏👏👏 utashinda
@mosesmwangosi22282 жыл бұрын
ubarikiwe sana mwanangu mwangupili na pacha wako Ros muhando nawapenda sana
@soita2542 жыл бұрын
Kazi nzuri sana dadangu, najiamini katika jina la Yesu hata nami nitafika mbali
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtumish ubarikiwe
@mrbrakityflowbrk4525 Жыл бұрын
Wow..súper.. bless x You 🙏🏾💎🔊🎶🎵🙏🏾🆕
@princessvimala14242 жыл бұрын
Amen!! Ninaweza bila shaka!!natamani tufanye collabo wote siku moja.
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtumish ucjar
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen 👏👏
@princessvimala14242 жыл бұрын
Amen.Acha mungu atujalie uzima.Hayo mengine yatawezekana.
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Sawa mkuu
@lukamkongwi92342 жыл бұрын
Jiamiiiiiiiiniiii utatenda Mambo makubwa safii dada Mungu akutumie kwa viwango vya juu
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa
@fredricksikukuu27435 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mtumishi mungu ikufunike kazi nzuri
@upendomwangupili49565 ай бұрын
@@fredricksikukuu2743 utukufu kwa YESU pia Asante kuniombea
@TabithaMahenge-zq7wl Жыл бұрын
Nice song
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Thank
@Lazalo-g4m5 ай бұрын
Ubalikiwe sana kwa wimbo Mzul mtumishi
@philimonsinkamba60722 жыл бұрын
Ongera sana sana ni bonge moja la nyimbo lina ujumbe nzuri linameja nguvu za Mungu
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU ubarikiwe sana 👏👏
@joshuasitta2932 жыл бұрын
Umetia moyo Safi Sana UJUMBE Mzuri
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa wang ubarikiwe
@abrahamnyangwa32982 жыл бұрын
Ukisikia vimeumana ndo hii kolabo, rose ndo pacha wako kabisa, kazi nzuri, sipati picha jukwaani kunakuwaje ipigwapo track hii
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa sifa kwa YESU
@petlomalamla23142 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mwanang mwangupili na pacha wako mtumish rose
@rehemasadala63686 ай бұрын
Ubarikiwe Dadayangu Wimbo mzur sna Nakupenda sna Mungu azidi kukuweka juu Kwa Baraka zake❤️🌺💞
@frenkmwakibete-hawawezikuz41122 жыл бұрын
Hongera Sana Mungu Akufanikishe Ufike mbali kiudumaa
@yusuphmosessichone69842 жыл бұрын
Ubarikiwe Kwa kazi nzuri Hakika yatupasa jiamini daima mambo tote yanawezekana
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@enockmbwiloofficialy78652 жыл бұрын
Ooooooow waoooooooo, very anointed song barikiwa sana mtumishiii
@masterkey5365 ай бұрын
Kazi kubwa ❤❤
@upendomwangupili49565 ай бұрын
@@masterkey536 AMEN UTUKUFU KWA YESU PIA ASANTE KUNIOMBEA MUNGU AKUTUNZE
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
Kazi kubwa kabisa
@berthaclement8905 Жыл бұрын
Nafurahia na kazi yako Mungu akubaliki zaidi❤❤❤❤
@johnndengoofficial Жыл бұрын
Wow tujiamini tutafanya zaidi utukufu ni kwa Bwana
@titusmuthianih24732 жыл бұрын
Queen of the gospel has been a source of blessings to many. Only God can pay you Rose 🙏🙏🙏🙏🙏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
👏👏👏👏
@cityboykijanawayesu30812 жыл бұрын
@@upendomwangupili4956 umetisha sana mama barikiwa sana
@jofreymwakyula3095 Жыл бұрын
ubalikiwe mtumishi
@dominickbugerula3523 жыл бұрын
Kazi nzuriiiiii sanaaa mbarikiwee sanaaa collabo safiiii melody safi vedio Kali 🔥🔥 congratulations Upendo kwa kumshirikisha Rose Muhando 🎧🎶🎶🎵🎵🎵🎤🎤🎤🎻🎻🎻🎧🎧🎧🎶🙏🙏🙏🙏🙏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU 👏👏
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU 👏👏
@dominickbugerula3522 жыл бұрын
Mungu akulindeee zaidii 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏sina mengi yakukwambiaaa ilaaaa songa mbeleeeee mama 🎧🎤🎶🎤🎵🎵🎵
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen utukufu kwa YESU
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mpendwa wang sifa kwa YESU
@mariamapile80 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 wimbo mzuri sna dada
@abrahammwangomango19302 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mwanangu nyimbo inabariki
@AMochi-uo1ld Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana'a mungu azidi kubariki
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
👏👏👏
@AMochi-uo1ld Жыл бұрын
@@upendomwangupili4956 Sana'a tuzidi kumutumaaini yeye
@Madam_preacher_official11 ай бұрын
The song is very blessing and inspiring, hongera sana dada upendo
@JohnEzekiel-qs7xm Жыл бұрын
Kazi nzuri sana,, jiamini,,, inatupasa tujiamini kweli
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
Amen mpendwa sifa kwa YESU
@saidomary84882 жыл бұрын
Nakuballi KAZI ya dada. . mungu amuongoze
@fundishatv34142 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hakika Bwana anakutumia
@philemonlusimbi852610 ай бұрын
Perfectly said servants of God mama Rose God bless you nakuaminia
@kyungudaisy16332 жыл бұрын
Najiamini,najipa moyo nikiwa KENYA NAIROBI # TRM
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU 👏👏👏
@modemwantalufu4663 Жыл бұрын
Kazi nzuriiiii barikiwa sana
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
👏👏👏
@sikujuakashimeli53252 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dadaangu nyimbo kali balaa
@hogitemusic20732 жыл бұрын
This a great song nimeipenda imenibariki najipa moyo
@marthaanton69673 жыл бұрын
Ubarikiwe sn hakika kupitia wimbo umenipa hatua yakujiamini zaidi
@upendomwangupili49563 жыл бұрын
Amen mtumish ubarikiwe pia
@jumachango Жыл бұрын
What a nice song barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@sistertoartistmaboiller23712 жыл бұрын
Maboiller was here congratulations 🔥 fine music 🔥
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@mosesntakisigaye56382 жыл бұрын
Ipo vizuri sana. Mungu akubariki sana.
@eliud_sanya8 ай бұрын
Safiii jamn wimbo mzuriii sanaaaaaa
@retlawthewizzah3425 Жыл бұрын
Alafu umefanana na rose muhando asee 💯❤😊
@upendomwangupili4956 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jeremiamtafya40153 жыл бұрын
Safi Sana dada upendo
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU
@upendomwangupili49562 жыл бұрын
Amen mtu wa MUNGU sifa kwa YESU
@saleheburhan39672 жыл бұрын
Umetisha sana Dada nimewapenda bule
@barakamwakilema36502 жыл бұрын
Video kali balaa meseji kali ubarikiwe sana upendo fika mbali