Halleluyah 🙌🙌🙌,... Yesu ndie mwanzilishi wa Imani yangu
@lilianwanje9185 Жыл бұрын
Woow utukufu kwa mungu maana kwa hakika nitashinda ❤
@nurumsani85996 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki aendelee kukuinua viwango hata viwangu Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu unanitia moyo sana sana na ninakuwa kiroho kila Siku kupitia ujumbe wa nyimbo zako Barikiwa
@julienabayiga87915 жыл бұрын
Anybody still watching this song
@chrismarco79003 жыл бұрын
Hakika nitashinda ,sitarudi nyuma💋💋💋 nice song
@janetshao24208 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu zaid mama kwan nyimbo zako zote zinamafundisho mazur sa naaa. ubarkiwe ktk jina LA Yesu!Nakupenda sa a mama
@iucienbahizire89446 жыл бұрын
Mungu akuzidishiye na akuongezeya karama Mama yetu.
@casineobote99897 жыл бұрын
tukumbuke shadrack meshack abeneko🙋🙋🙋🙋 ktk moto pamoja na mateso walimutumaini mungu hakika walishindaaaaa💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@divinesvesonia8547 жыл бұрын
Nafurahishwa na nyimbo zako dada ,, Mungu azidi kukupigania