UPENDO PENEZA HUYOOO CCM -AMBWAGA MANYANGA CHADEMA! -AFUNGUKA MAZITO -"MAANDAMANO ni KUTAFUTA MTAJI"

  Рет қаралды 10,082

Global TV  Online

Global TV Online

6 ай бұрын

UPENDO PENEZA HUYOOO CCM -AMBWAGA MANYANGA CHADEMA! -AFUNGUKA MAZITO -"MAANDAMANO ni KUTAFUTA MTAJI"...
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema,Mweka hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Comrade Upendo Peneza ,amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ambapo amesema kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ni kutafuta mtaji wa kisiasa baada ya kupoteza mvuto
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 98
@globaltv_online
@globaltv_online 6 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 6 ай бұрын
Nimesikitika sana , kweli huu ni usaliti mkubwa kwa CHADEMA. Si nzuri
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 6 ай бұрын
Sijui ccm wamempatia ahadi gani. She is a strong girl. Anyway ndiyo siasa za Tanzania. Bila shaka wamemuahidi something, let us wait and see.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 6 ай бұрын
Hapo ni vyeo sio kingine, time will tell
@DuniaCharles-qr3ed
@DuniaCharles-qr3ed 6 ай бұрын
Upendo mungu anakuona malipo ni hapahapa mbinguni hukumu
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 6 ай бұрын
Pole sana PENEZA.CHADEMA imekulea na kukuza.
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 6 ай бұрын
Peneza,peneza mungu anakuona tamaaa ulio nayo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 4 ай бұрын
Uchaguzi umekaribia mtanunuliwa sana vibaraka wa ccm!
@chazyteshakimaro4659
@chazyteshakimaro4659 6 ай бұрын
eneza peneza peneza nimekuita mara tatu, MUNGU anakuona na malipo ni hapa hapa duniani!!! blessed
@angelmteli611
@angelmteli611 6 ай бұрын
Huyu ni Chadema! Ccm kuwen makini!
@JaphetLameck-kw4yq
@JaphetLameck-kw4yq 2 ай бұрын
Upendo uko sawa maana siasa za Tanzania nitumbo TU. Umechoka kubeba watanzania wasiojitambua hata ningekua Mimi chadema ingekua sabuni ya kunisafisha tumbo likajae sisiem.
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 6 ай бұрын
WanaCCM wenyewe wanakushangaa 🤣🤣🤣🤣
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 6 ай бұрын
Ccm wanawanunua chadema tu ndio chama makini ila ulaaniwe na malipo hapahapa
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 6 ай бұрын
Akuna mungu wa chadema Mungu wawote ongela dada
@J.WEZATv
@J.WEZATv 6 ай бұрын
So emotional
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 6 ай бұрын
Yupo sawa nimemuelewa mimi ni binti huyu ..tumepata mbunge Geita .. mungu yupo..
@thomsanga7956
@thomsanga7956 6 ай бұрын
Yaani amtoe msukuma huyu 😁😁😁 haiwezekani
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 6 ай бұрын
Huyo dada njaa hana jipya, chadema imemsaidia kujulikana pia alipata pesa sasa zineisha, kaona ccm ndio kuna pesa za kumwaga
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 6 ай бұрын
Huyu hana akili huyu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 6 ай бұрын
Duh, maisha magumu kwa kweli, huyu dada sikuwahi kumwamini kamwe...itakuwa ahadi ya cheo
@dottomatola5905
@dottomatola5905 6 ай бұрын
Na Bado mtasema mmeibiwa
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 6 ай бұрын
Ama kweli Njaa haina adabu
@neemanziku5403
@neemanziku5403 17 күн бұрын
Kweli wanafiki wapo na vigeugeu
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 Ай бұрын
Huyu dada yuko vizuri sana nilimfuatilia sana kampeni zake za kugombea ubunge geita mjini CHADEMA.
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 6 ай бұрын
Upendo umechelewa sana kujipendekeza ccm sasa. Weka akiba ya maneno.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Uyo dada yuko vizur atapata kazi ,bola huyo kuliko akina halima
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 6 ай бұрын
Dada wala usijali tunajua unatafuta fursa CCM.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Uamuzi mzuri chadema cha wachaga
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 6 ай бұрын
Daaaah naumia sanaa kukisema chama vibaya ambacho kimekulea
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 6 ай бұрын
Kwan wao hawakulelewa na ccm lakini wakaisema na kuilaani na hailaaniwi ww vp
@adammbuba7230
@adammbuba7230 6 ай бұрын
Hongera sana kamandaaa
@andrewnyaisa4445
@andrewnyaisa4445 6 ай бұрын
Huyu kaogopa vitisho babaake alitaka kuwawa
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 6 ай бұрын
Respect upendo❤❤
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 15 күн бұрын
Tanganganyika tatizo Leo tamaa mnaweka pesa mbele nandomana viongozi wanakula bata raiya wanazalilika
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 6 ай бұрын
Dada umekosea Sana ccm watakupoteza hutojulikana
@MoiseDilengaOfficiel
@MoiseDilengaOfficiel 6 ай бұрын
Bien 🎉🎉🎉🎉🎉
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 6 ай бұрын
Wanaomsikiliza huyu Upendo wanapotezewa muda wao hana jipya anatafuta ulaji wa tumbo lake wala hajui kuongea
@dennisungonella205
@dennisungonella205 6 ай бұрын
Alikoenda ccm kaharibu kabisaaaa.
@EliaEgbert
@EliaEgbert 6 ай бұрын
Karibu sana
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 6 ай бұрын
Yaani umekubali kununuliwa Unaungaje mkono wakat Sukari Nyama n Nauli Mafuta vimepanda Umeme hakuna Maji hakuna Na qw unakubali kununuliwa kweli mjinga ni mjinga
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 6 ай бұрын
Dunia nzima maisha yamepanda mara mbili mpaka tatu mwamba.. tafuteni point Nyengine
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 6 ай бұрын
@@axmedcumar6196 nambie nchi gani vitu vimepanda bei zitaje kwa majina
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 6 ай бұрын
Mwanangu Upendo ....kama Furaha Peneza amekubari rudi ccm ...ameona mbali. Nakutakia kila la kheri lakini usitumiwe. Mengine utashindwa kuyatetea......kumbuka kesho unaweza kurudi pia kwa baraka za Mzee Furaha Peneza .
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 6 ай бұрын
Ccm oyeeeeeeeee Dada ongela kalibu ccm
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 6 ай бұрын
Kweli anataka nafasi lakini naamini anacho kiongea ni ukweli mtupu mana hapo anayatoa yele ya ndani ya chama
@BenezethBwikizo
@BenezethBwikizo 6 ай бұрын
Hongera umechagua kilicho chema dada
@emanweljohn1240
@emanweljohn1240 22 күн бұрын
Wewe dada hubakia ya kizalendo wewe pole sana
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 6 ай бұрын
Njaa
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 6 ай бұрын
Wanachadema wote mnaomtakia mabaya upendo ubaya utawakuta nyie kwa jina la yesu hayamfik upendo
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 6 ай бұрын
Upendo mimi naona akili zimekuondoka
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 6 ай бұрын
😂kwanini bro?
@user-lx2lo2lp8m
@user-lx2lo2lp8m 6 ай бұрын
Nakuhurumia pumbaf,ndio umeisha,kweli ndio mana wanajeshi kwa wasaliti Kama hawa hukumu yao ni kunyongwa,!..
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Nenda kaandamane
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 6 ай бұрын
Huyu mpuuzi tu njaaa inamla
@JaphetLameck-kw4yq
@JaphetLameck-kw4yq 2 ай бұрын
Pendeza kumbuka ccm imepora majengo ya selikali na kuyageuza kua ofic za ccm.
@ChrispiniBuruchard
@ChrispiniBuruchard 2 ай бұрын
Hata vitabu vinasema tuishi nanyie KWA hakili we niyuda
@mussathomas7421
@mussathomas7421 6 ай бұрын
Bado siaminiiii
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 6 ай бұрын
Upendo wa Maisha Plus kipindi cha Masoud enzi zilee nani anakumbuka alivyofanya jini mmoja akapandisha mashetani akapiga vibao
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 20 күн бұрын
Njaa inamsumbua
@muurasilas
@muurasilas 2 ай бұрын
Ukiamua kuhamia CCM akili unaiacha pembeni na kwenda kichwa tupu. Ukiangalia hoja ya kwa nini amehama chadema hana, anarudia maelezo yaleyale ya watu wananunuliwa na ccm na kumezeshwa mambo ya kukichafua chama. Jua ya kuwa hata upige kelele aje wananchi wanajua hali ya maisha ilivyo na ujinga huo ulikuwa enzi za mkapa ila sasa watu wanajitambua.
@victaboy7273
@victaboy7273 6 ай бұрын
Siamini wanasiasa tenah
@user-ek4ed8yp1m
@user-ek4ed8yp1m 2 ай бұрын
Wanao mdharau Upendo watamwona akingarra kama dhahabi
@gangan4618
@gangan4618 2 ай бұрын
Kweli atang'aa kama dhahabi.
@annapeter-wb6iv
@annapeter-wb6iv 6 ай бұрын
Siasa sayansi kilimo
@afropatriot7769
@afropatriot7769 6 ай бұрын
Kagame/aic recruit
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 6 ай бұрын
Cheki wanaccm walivokodoa macho mwenzenu anakuwa mkuu wa mkoa
@jesuinababili2280
@jesuinababili2280 6 ай бұрын
Maskini Pendo ni wa kuonea huruma... maneno yanayomtoka sio yake... Siasa ngumu 🇹🇿 yahitajika msuli
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 4 ай бұрын
Chadema hatubembelezi wahuni huki tunaishi makamanda tupi
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 6 ай бұрын
Dada ulisoma ulee familia yako sio kushabikia mbowe na group lake umefunguliwa dada Mungu amekuona sasa tafuta ridhiki ulee watoto wako na wazazi. Wewe ni mwanamke shujaa awezi kuwa wanakutumia tu bila ata aibu wao na familia zao ni kujinufaisha. Mama atakusaidia na elimu unayo njoo utulie ccm
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 6 ай бұрын
Chadema hamna ktu kumbe ofis mmejenga kwa ruzuku ya ccm😂😂😂
@AlphaMartine
@AlphaMartine 2 ай бұрын
Chadema inalea Ccm Inavuna
@gangan4618
@gangan4618 2 ай бұрын
Huna lolote wewe Upendo, ni wakati Watanganyika tutafanya maamuzi yetu. CCM MIAKA 60 IMEWATOSHA SASA KUMEPAMBAZUKA ETI NDO UPENDO A AKUMBUKA SHUKA AYA KAUNGANE NA WENZIO COVID-19.
@marcokanyama4533
@marcokanyama4533 4 ай бұрын
Anaongea upuuzi TU Japo karibu chama kubwa ambalo Huwa hata wanafiki kama wewe linaishi nao tu...
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 6 ай бұрын
Fala na toa njaa zako hapo.
@hoseamagawa9088
@hoseamagawa9088 6 ай бұрын
Chadema kama inawauma chomoen
@mashakaalfred7827
@mashakaalfred7827 3 ай бұрын
Chadema wasikujibu maana wewe nimujinga
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 5 ай бұрын
Sio nchi Yako SEMA pesa zaidi
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Huyu dogo ni mnyamaru kagame One Their bone to rule
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Hima empire tusi empire
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Sasa elimu yako unaenda kufanya kazi
@castromemba6311
@castromemba6311 6 ай бұрын
Huyu Dada ni Mtanzania kweli mbona Kama Mnyarwanda.
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Swaligani Sasa Tusi their bone to rule
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 6 ай бұрын
Pumbafu kabisa huyu
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 6 ай бұрын
Mimi katibu wa kata ya ludete nakutakia safari njema lakini mkumbuke mawazo aliye uwawa kikatili sana dada yetu upendo umesahau ni?
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 3 ай бұрын
Kinachokuhamisha ni njaa tuu hauna jipya
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Tayari ubunge unao dada usijali
@adammbuba7230
@adammbuba7230 6 ай бұрын
CCM NI KUBWAAAAAAAAAAAAAAA😂😂😂😂
@user-qv2hj9rc3f
@user-qv2hj9rc3f 20 күн бұрын
Anakula matapushi yake mwenyewe
@ChrispiniBuruchard
@ChrispiniBuruchard 2 ай бұрын
Hunajipya wewe dada.,.
@mashakaalfred7827
@mashakaalfred7827 3 ай бұрын
Wewe mujinga
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 ай бұрын
Kwendraaa tetea tumbo lako unadhan kwa akili mgando kama zako unauwezo wa kulbadili hili taifa
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo 24 күн бұрын
Mnafki mkubwa wewe,malaya wa kisiasa wewe,bila chadema nani angekujuwa Malaya wewe,njaa na tamaa ya pesa ndio inawasumbuwa mpaka mkauza utu wenu,na ukae ukijuwa ndio umeshajiuwa mwenyewe kisiasa,umalaya umekuponza
@zunnually5886
@zunnually5886 6 ай бұрын
Asiwe katumwa na Chadema huyu dada!!
@danielndam5997
@danielndam5997 6 ай бұрын
Upendo peneza ametumia haki yake yakikatiba kuchagua chama anacho kitaka hongera sana Lakini umechagua ccm kweli? Ccm hii ya tanzania? Kwwli? Hapana lazima kuna akili zimefeli
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 ай бұрын
Wewe dr.wiblod silaa nyote hamuna chama nyote mulikua makada wa ccm Tanzania hamuna chama ila vyama vitakuja vibaraka mutapata shida
@FratteMlay
@FratteMlay 2 ай бұрын
Ajielewi huyo umeamua kuondo funga mdomo wako ipo cku utajutia maneno yako
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 118 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 12 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН