Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...
Пікірлер: 152
@muhammadmbaraka451513 сағат бұрын
Mrusi jeuri sana😂😂
@mtulivu-ir1nq12 сағат бұрын
Hiyo inaitwa mwana ukome mmmmmmk😂😂😂🙌🙌
@ray45king8413 сағат бұрын
Hii kali,funga mwaka
@rasvuaimarley404914 сағат бұрын
Leo ndo najua kna Disilioni
@mrsinia306415 сағат бұрын
Duuh! Kumbe kuna hela yote hiyo 🤔 ngoja nitafute za kula tu
@yaduniapeter9 сағат бұрын
😂😂😂😂
@christinewomanoffaith54797 сағат бұрын
😂😂
@neckaphotostudio72814 сағат бұрын
I think hiiii kibongo bongo tutaisoma kama zillion 😂😂😂
@Smithdaob112 сағат бұрын
Mamake😂😂
@shaviercharvinho1810 сағат бұрын
Inapita
@neckaphotostudio72810 сағат бұрын
@@shaviercharvinho18 ha ha haaaa oya hatari sana kaka
@neckaphotostudio72810 сағат бұрын
@@Smithdaob1 Noma kaka
@christinewomanoffaith54797 сағат бұрын
😂😂
@Saikalyasi5 сағат бұрын
Nmecheka sana sky kushindwa kutaja hicho kiasi kwa shilingi
@astroworld202116 сағат бұрын
nilikua sijui kama kuna sillion nikajua billion ndo tume maliza shughur duh kweli tuna safar ndefu sanaa
@Clever-l8v16 сағат бұрын
Zilion
@JYZJYZ1-k7k15 сағат бұрын
Haya Kuna Tillion
@ShukuruSemwenda15 сағат бұрын
Ata mm kweli nilikuwa sijuw uko
@juliusmix14 сағат бұрын
Kwa hiyo huijui Trilion na Quadilion?
@MohadiTv14 сағат бұрын
Mpaka unakufa uwezi kuta
@Mahene-w1l15 сағат бұрын
😁😁😁 Sawa bwana Sky Hivyo ndivyo zonavyoandikwa kama tunavyoziona😁😁
@justingodfrey82827 сағат бұрын
Kweli nmeamin urusi na marekani hawaji patana
@jacksonpallangyo13698 сағат бұрын
Miaka yote niliyoko nayo leo ndo naskia icho kiwango cha pesa decilion
@SamweliKitalula12 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 engineer soma hiyoooooooo😂😂😂😂😂
@JKQGAME10 сағат бұрын
Hahahaha yaani nimerudia kusoma hela huu ni ujinga au ni kutaka kujua tembo 🐘 anakunya vipe
@RamadhaniMohamedi-de2vc10 сағат бұрын
Mmmmh mm nimezisoma izo 555555 tu uko mbele nimeona niwachie maenjia wenyewe.
@salumabdallah299016 сағат бұрын
Urusi ana plan b,c,e n.k😂
@Puppycreative6 сағат бұрын
Nilikua natafuta utajiri wa dollars trillions 7, baada yakusoma hii nimechoka akili
@sixmelody434916 сағат бұрын
Noma sana hii
@MudhiryHassan-pq4se16 сағат бұрын
Wanalipiza pesa zao zilizozuiwa na marekani
@djseletz311214 сағат бұрын
Bad hazitatosha
@introverthustler8 сағат бұрын
Yanga bingwa
@JKQGAME10 сағат бұрын
Hahahaha yaani nimerudia kusoma hela huu ni ujinga au ni kutaka kujua tembo 🐘 anakunya vipe
@DouglasMassop12 сағат бұрын
Tizilioni 20000000
@salehbyussuf92496 сағат бұрын
Awa jama wanaela 😢
@HajiKlein-so1rk16 сағат бұрын
Safi sana
@EmmanuelChrispin-bo5xh16 сағат бұрын
Wanajindanganya hawa urusi
@Mumewangu15 сағат бұрын
Kama mama yako alivo mdanganya baba yako kukupata wewe.
@Timothymchomi15 сағат бұрын
@@Mumewanguyaan kivyovyote vile lkn kaa ukijua tu urusi wanajidanganya
@abuukajembe-to6sd15 сағат бұрын
@@Timothymchomi urusi wanamaana yao kufanya ivyo
@abuukajembe-to6sd15 сағат бұрын
@@Timothymchomi mda utaonga 2
@pengefeza256314 сағат бұрын
@@MumewanguKuna watoto wengine tukisha wazaa baadae tunajuta wewe ni mmoja wapo
@JombaJomba-w8c9 сағат бұрын
Soma kwenye Ramani
@SefuHabibu-sn8cx14 сағат бұрын
Hawalipi na hakuna chochote watafanya
@nicksonmusa34574 сағат бұрын
Decilionea wagonge like
@ibrahimmbilizi172612 сағат бұрын
Urusi ainachochote Google niya wamarekani
@NdovuDentalClinic_8 сағат бұрын
Mamae😂😂😂😂😂
@lameckbutanga23254 сағат бұрын
Itoshe tu mrusi kusema hamuitaji google nchini mwake sio kupigana faini ya pesa ambazo wengine ndo mara ya kwanza kuzisikia.
@stellanyamuhogota183210 сағат бұрын
😂😂😂ila urusi🎉🎉
@zclassicfashionz15737 сағат бұрын
Kaka PUTIN
@MichaelKavavila4 сағат бұрын
Google...the founder....inamilikiwa na watu 3 wenye asili ya Israeli...wanaishi ujerumani,uingereza na marekani.......Sasa ni vita za kiuchumi...sidhani kama watamlipa.
@alibinjuma79315 сағат бұрын
Ipo duniani hio pesa.
@martinndunguru710316 сағат бұрын
Dadekii🎉🎉🎉
@LoneWolf-ng8yg14 сағат бұрын
😂 nimecheka sana pesa nyingi hiv 😂😂😂
@Rylee_kerrueche14 сағат бұрын
Kumbe Kuna decillion jmn😂😂😂
@RaisiwaoRaisiwao13 сағат бұрын
Duh
@DjMswati14 сағат бұрын
kwaiy dunia inadaiw vip
@RonnieBertin5 сағат бұрын
Kwa google ni kitu kidogo sana
@Don.26Alien5 сағат бұрын
Unajua unachosema ww😢😅😅😅
@delsonandrea52237 сағат бұрын
Hiyo kibongo bongo ni zisionelea😂😂😂
@ShabanKafuluma14 сағат бұрын
Hapo umekosea ndio decilion ina figures 33 but ili iwe tsh kwa muktadha wa $ itakiwa izidishwe mara thamani ya dollar kwa tsh
@MasterOil-qm6vw15 сағат бұрын
Kudadeki wamelipa kisasi kwa marekani maana wao wamegawa mali za urusi kumpa ukrein sasa wamepigwa kwenye mshono
@GabrielSky6413 сағат бұрын
Sasa unafikili Kuna hasara kwao. Hawatolip.na mrusi Hana Cha kuwafanya
@champion-dz6kr9 сағат бұрын
Point mwamba mr Putin
@golebenson459714 сағат бұрын
😂😂😂 izzo nimazirooo
@bushboydonkeys7 сағат бұрын
😅😂Too much Joke in Russia.. Let's Russia develop it's own google.. alafu wewe jamaa wachana na tsh kabisa..
@FredWabwire-w3q11 сағат бұрын
Vizo hatulipi atawanyambe hatulipi.
@MathewNathan-yb2bz7 сағат бұрын
Urusi uchumi wake unayumba na anafilisika anataka kufidia kwa google.Na bado.
@lukafbbwebelof387416 сағат бұрын
Zile Pesa walizo chukuwa wa Mangaribi na Marekani wakimpatia Ukraine, zinahaza kurudia 😂😂😂
@EmmanuelChrispin-bo5xh16 сағат бұрын
Anawalipanani
@lukafbbwebelof387415 сағат бұрын
Faini inatozwa na nani, fuata habari kwa makini ili ujue Pesa zitalipwa wapi na kwa nani.
Hiyo ni comedy hamnaga madai kama hayo. Hapo wanaiongezea google umaarufu tu
@thehustlerafrica436812 сағат бұрын
Kitakachofanywa na google ni kuizima urusi😂😂😂
@KasmiriPaskali8 сағат бұрын
Na bado kuna chamilione😂😂😂😂
@mr_kajomba_og571914 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 warus 😂😂😂
@HearlyChunga-h4h16 сағат бұрын
Hizo pesa sihata Hiyo kampuni haina na-wala haijulikani watazipata lini
@abdulkarimabdallah953615 сағат бұрын
Ingeniear soma hiyooo😅😅😅😅😅
@ElijahOwino-xe2cd15 сағат бұрын
Urusi anapenda utani😂😂 hakuna anayemchukuliaga serious.. yeye aanzishe tu vita vya Nuclear mambo mengine baadae... Google ni ya wayahudi na hakuna kitu hela atakayopewa na hakuna chochote atakachofanya... kwani iko neenee 😂
@AmmyladhaSsleh-m4u12 сағат бұрын
Mmmmmhhh
@YamunguMatamya16 сағат бұрын
😂😂😂 decillion hizo ukizi convert hazisomeki
@Emanueli-vz6fd16 сағат бұрын
Dadek
@peteremmanuelymatwimatwiem325816 сағат бұрын
Manina
@salehkhamis-ob8ln13 сағат бұрын
Warusi wanalipiza kisasi kwa pesa zake zilizozuiwa na ulaya na marekani
@christinewomanoffaith54797 сағат бұрын
😂😂😂
@SelemaniMsuya-q8n16 сағат бұрын
Nadhani Russian yuko na plan B kupitia hilo deni kama halilipiki what next
@africanQueeny-u7o16 сағат бұрын
😂 sasa atafanya nn 😅😅😅
@MakameMbaruku-lz1jz15 сағат бұрын
Kuchukua Google 😂😂
@djseletz311214 сағат бұрын
Nazan nia yake nikumfukuza tu Google russia 🇷🇺 alaf aintroduce Google yake
@JosephMbagala6 сағат бұрын
Wadau nimekuelewa Google ndio Israel alafu Gogu ni urusi haaaaaaaa nime enjoy.
@champion-dz6kr9 сағат бұрын
Naona pananza kuchangamuka 😂
@tariqkhassim405913 сағат бұрын
KUMBE AFU 55
@chindemasoftware9 сағат бұрын
Inaitwaje😂😂😂😂
@iam_maglan1019 сағат бұрын
Google kwisha habari yake kama china
@abelhilonga109515 сағат бұрын
Kuna quadrillion msisahau
@jacksonstanley-d2v14 сағат бұрын
equations😅😅😅
@Timothymchomi15 сағат бұрын
yaan Russia ni kituko cha dunia 😅😅😅😅
@GeorgeBush-p1y15 сағат бұрын
Russian wamechemuka watahishia kuifungia tu nchini kwao hakuna la zaidi na google hata hawana shida ni kama TikTok na marekani,🤣🤣🤣
@anny1998813 сағат бұрын
Google mbona hata China haipo? Unaweza kuishi bila Google
@GeorgeBush-p1y10 сағат бұрын
@anny19988 na hata hao Google hawakulazimishi kutumia na ndomaana licha yakutokuwepo china Bado ni miongini mwa kampuni zenye hisa ghali zaid duniani kitendo cha makao makuu ya Google kuwepo marekani nisababu ya kwanza ya nchi kama Russia china Korea kuitosa hiyo kampuni sawa TU na ufaransa kuhishitaki teregram ambayo mumiriki ana hasiri ya urusi na marekani kuzika taaa kampuni za TikTok nk ambazo wamiliki ni wachina 🤔 lakini haimaanishi hizo kampuni zitakufa maana Dunia Ina nchi zaid ya 200 🤣🤣
@gabapentin807016 сағат бұрын
😂😂😂🙌🏾 red square
@InnocentZamkulu13 сағат бұрын
Haliwezi kutekelezeka, google is USA.
@MahadSatar11 сағат бұрын
Dadeeeeki😂😂
@rumdeesonsoa181116 сағат бұрын
Hapo hamna lolote ni Urusi wanaisadia Google kujitangaza na kuiongezea umaarufu
@FahadAbubakari-y3f15 сағат бұрын
Google wanahitaji kutangazwa? Tena na urusi
@rumdeesonsoa181113 сағат бұрын
@FahadAbubakari-y3f Ndio, matangazo hayanaga mwisho. Coca-Cola ni kampuni kubwa duniani lakn inajitangaza kila siku kama vile imeanzishwa leo.
@GabrielSky6413 сағат бұрын
@@rumdeesonsoa1811umeandika fact akiri mingi wewe
@FahadAbubakari-y3f13 сағат бұрын
@rumdeesonsoa1811 sio in such a move kingine Coca-Cola na Aina nyingine za biashara are pretty much different na hizi gigs za mitandao Nani alikutangazia utumie you tube au social networks nyingine , kingine gist ya hilo jambo la urusi na Google ni far more than kimatokeo na chanzo chake so unaweza kua na hoja nzuri ila context yake ni far from actuality.
@rumdeesonsoa181113 сағат бұрын
@FahadAbubakari-y3f Hiyo inaiongezea Google umaarufu acha ubishi. Husikii hapo umeambiwa hisa za Google zimepanda? Kwa akili yako unadhani Urusi itafaidika nn hapo hayo ni madai ambayo hawawezekani na ni ya kitoto hayamake sense
@africanQueeny-u7o16 сағат бұрын
😂😂 urus wame changanyikiwa
@AlexGwiha4 сағат бұрын
Kabisa
@Njiwamichael-km1dm8et9x16 сағат бұрын
Nazani urusi ameshaona watu makolo ko anafanya comed yani ni mkojani
@norfenvgeraldo949316 сағат бұрын
Ubaya ubwela 😂😂😂😂😂
@DjMswati14 сағат бұрын
sem pes siwanazo
@MejackPaul16 сағат бұрын
Sielew
@hijazhija31616 сағат бұрын
Pumzika
@Adinaci15 сағат бұрын
Safari bdo 😂 mana niijua mwisho ni tilion
@yassinhamic568316 сағат бұрын
Google akijiondoa urusi ina maan Urusi itabidi itengenez mitandao Yao yenyew yeny mfumo wao ni kitu ambacho kigumu saan
@MakameMbaruku-lz1jz15 сағат бұрын
Wanajua wanachofanya awajakurupuka
@jaymandy813615 сағат бұрын
😂kigumu vipi?? Kwani hawana uwezo wa kufanya?
@djseletz311214 сағат бұрын
Hakiwez kuwa kigum akat anasattelite zake
@lazaroemmanuel11964 сағат бұрын
plan nikuipoteza Google , wanzishe mfumo wao ambao utatumiwaa na nch za brics
@SefuHabibu-sn8cx15 сағат бұрын
Uchizi tu hapo
@Awatee9 сағат бұрын
Kama uo wako ilo jina lako haliendani na weye kbs pole kwa kuumizwa na maendeleo ya wengine 😂😂😂😂😂