No video

Ana miaka 18, yupo kidato cha 5, anamiliki duka kubwa la nguo, hiki ndicho wazazi wake walimfanyia

  Рет қаралды 19,104

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Пікірлер: 101
@mialanomanqobo6639
@mialanomanqobo6639 6 ай бұрын
She is smart lady Even her smoothly speaking Wazazi wanaweza kua na mali halafu watoto wasiwe na akili ya kuziendeleza Wakawa wakula bata tu
@user-cz1jl8rc4u
@user-cz1jl8rc4u 6 ай бұрын
Nilicho gundua watanzania tunapenda kulaumu kuliko kujifunza huyu mtoto ndio amepewa mtaji na familia ila tumejiuliza kwa umri wake amewezaje kua na mawazo ya kukuza biashara yake ikafika hapo ili cha kujifunza tunacho ila mnalaumu tu eti sky umetuleteya nini
@dennismongi8970
@dennismongi8970 6 ай бұрын
Sio kila baba tajiri lazima mtoto awe tajiri,akili ya mtu jamani,kuna watoto wangapi wa matajiri wameishia kula unga tu.
@Usertatu11683
@Usertatu11683 6 ай бұрын
Duka kafunguliwa hapo tungependa kujua Amezalisha Nini baada ya kufunguliwa Hilo duka .Tunataka kujua matunda
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
MALEZI BORA NA KUMUEKA MUUMBA MBELE HUKINGA KIZAZ CHAKO NA KUTUMIA MADAW UNGA
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
​@@Usertatu11683pambana uje kujua ya wanao... Masikini mnakuaga na nongwa sana
@mrkitaa7938
@mrkitaa7938 6 ай бұрын
Hii interview NZURI SANA, NIMEKUWA INSPIRED NA WAZAZI WA HUYU BINTI, WAMEMTENGENEZEA MSINGII MZURI SANA. KUMBE UKIFANIKIWA INAWEZA IKAWA CHACHU KUBWA SANA YA MAFANIKIO YA WATOTO WAKO. LET'S KEEP FIGHT.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 ай бұрын
Mwanzo mzur sana Mungu awabariki wazazi wake wamemwandalia msingi mzuri anzia elim mpaka hapo kwenye biashara tukiweka pemben uzuri na ubora wa family yake uyu mrembo amebarikiwa akili na maono piya kwaiyo hatar angetoka family ya kawaida bado ningemuona mbali
@ongezamaarifa2526
@ongezamaarifa2526 6 ай бұрын
Safi sana, beauty with brains, kama mzazi nimepata kitu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 6 ай бұрын
Warda wangu ukue mama tupange maisha km hv,,,,eeh mwenyez Mungu nikuzie bint yngu awe wa kujitambua piah🤲🤲🤲
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 6 ай бұрын
Mimi si wa kishua Ila kumbe mwanangu kumpikisha maandazi kabla hajamaliza kusoma
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 6 ай бұрын
Kusema ukweli sky umetuletea mambo ya washuwa tu hapa ni mtu kakuta mali yeye anaendeleza tatufa Hustler alafu tuletee hapa huyu dada kwao Kuna mpungu wakutosha tu
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 6 ай бұрын
tatizo nini?kuna watoto wanazaliwa kwenye pesa na wanaishia kutumia pesa zote na kubaki na jina mjini tu, kwani hatu waoni watoto wa vigogo walivyo choka wamebaki na majina tu ya wazazi. Hili nalo na kujifunza, kwa matajili na masikini. acha kuwa na roho mbaya, toa maua ya mtu anapo fanya vizuri. Kuwa inspired sio lazima uwe inspired na mtu alite toka kwenye umasikini tu. kama sio somo lako litakufunza kukufungua macho wewe ukiwa tajiri na umezaa watoto je uta waandaa vipi ili ukiondoka kazi yako uliyo ianza iendelee. wajukuu zako wasitabikie. tatizo la weusi mna jipanga nyie tu hamppangi vizazi vyenu.
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
KILA KITU NI MWANZO MZURI SANA
@ZarinatKarim
@ZarinatKarim 6 ай бұрын
Nimepata bahati ya ku sapotiwa na wazazi wangu and I’m grateful , the real hard work inakuja kuendeleza biashara na kuifanya isimame Unaweza ukaipambania mtaji ukaanza biashara lakini usiwe unajua jinsi ya kufanya biashara indelee na ikue Consistency is everything That’s where the real hustle lies
@francisnyalali
@francisnyalali 6 ай бұрын
Sio kila mtu anatumia hela ya washua vizuri🤣kuna watu wanatoka familia za kishua na wanaishia kuwa mavuta bangi na mateja! Usi kremu maisha
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Pambana na wewe watoto wako wawe washua.... kuanzia 0 sio sifa
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 6 ай бұрын
Wakishua ao sky misingi wamepewa na wazee wao
@ZarinatKarim
@ZarinatKarim 6 ай бұрын
Thank you so much for your lovely comments ❤️
@momocolman
@momocolman 6 ай бұрын
Big up sis
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 5 ай бұрын
Congratulations Achana na hao waliocomment negative,,ni uwezo tu wa kufikiria mambo
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 5 ай бұрын
Cheers to you baby girl. I wish you much better ,I love you Keep moving ❤
@dennismongi8970
@dennismongi8970 6 ай бұрын
Acheni comment za kitoto,kuna wazazi wangapi hapa duniani wanapesa za kutosha angalia watoto wao walivyo hali mbaya,kwa hiyo mwacheni dada yetu ana roho ya uthubutu na maono
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Ndugu nlichojifunza humu kwenye mitandao asilimia kubwa ni watu wenye very tiny visions ndio maana kuna comments unauliza Hivi Huyu mtu anafikra kweli.
@anastaziamehadi9143
@anastaziamehadi9143 6 ай бұрын
This is very good. As mom it has inspired me. Sio kwamba Nina hela nyingi, lkn kumbe tunaweza kuendeleza ndoto za watt wetu tangu wadogo. Huyu atakuja kuwa mjaririamali mkubwa. Ana uwezo mkubwa sana wa kuniamini. Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa kiongozo mkubwa sana miaka inayo.
@prophetichealer100
@prophetichealer100 6 ай бұрын
Proud of you baby girl ..keep going
@user-du4yg5cj3v
@user-du4yg5cj3v 6 ай бұрын
Asant kwa Kipindi kizur tunapata kusoma sana kaka tumo kukufatilia
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Big up kipenz na Mungu aendelee kukusimia zaid ❤😊
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 6 ай бұрын
Safi sana binti mdogo akili kubwa, keep it up!🥳👌
@gibbs1320
@gibbs1320 6 ай бұрын
Zaina nataka nikuoe nime kupenda.
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 6 ай бұрын
@@gibbs1320 😂😂😂😂lete mahari kwetu
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 ай бұрын
Wabongo kwa roho mbaya na wivu salute 🫡 kaekezewa na wazaz wake na ww wekeza kwa watoto wako na wanajifanya wamekasirishwa na hii interview ndo wale wasihudumia watot wao
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 6 ай бұрын
Niko hapa kujifunza
@omarsalum4052
@omarsalum4052 4 ай бұрын
Hongera sana sky hongera pia binti Upo vzuri sana but you have to learn so that you can improve on speaking unaongea kwa ufupi sana huongei kitu kwa upana zaidi
@gaudenceassenga1900
@gaudenceassenga1900 6 ай бұрын
Very good
@amospagala6347
@amospagala6347 6 ай бұрын
Hizi interview zinanunuliwa sky asingemtafuta huyu hana content yyt, hela imetembea
@GideonKelvin-cm5pp
@GideonKelvin-cm5pp 6 ай бұрын
Toa huyu usituletee, sio hustler. Kwnz tutaach fatlia ujnga wenu huu, sas watt wakxhua c weng, ebu mtuit na sis weny isa kweny makampun makubw tulzowekew na wazaz wet, mbn hamtuit
@VanessarXavery-iu3rd
@VanessarXavery-iu3rd 6 ай бұрын
Congrats ❤
@ruwaydaali5144
@ruwaydaali5144 5 ай бұрын
Welldone
@neemamollel840
@neemamollel840 26 күн бұрын
Mimi kila siku nawaambia ukitakakupata shabiki kibao acha kutuletea watu ambao kwao ni matajiri njoo tukupe story zetu changamoto tulizopitia na tumetoboa
@atomphoton5000
@atomphoton5000 6 ай бұрын
Hii ni mali safi, huko Ukerewe wanaitaga "Beauty&Brain". Sky tutunzie hii mali
@jacforti3091
@jacforti3091 6 ай бұрын
Ukerewe wanajua uchawi mambo ya elimu sio mambo yao
@mybedroom9984
@mybedroom9984 6 ай бұрын
Tatizo watu wanakalili kua kufanikiwa ni mpaka kuhustle, hata kusimamia kazi ikasimama ni zaidi ya utajiri.
@RealG-ie7sv
@RealG-ie7sv 6 ай бұрын
Kama Ni Chakula Wanasema WITH NO SEASONING, Hakuna Depth / Substance Still Has A Lot More To Learn Kukalia Hichi Kiti Bro, But Nice Stuff Supporting The Younger Genration, Hii Ilifaa Iwe Interview Ya Kawaida Sio Hustlers Diary.. To Be In The Hustlers Diary You Need To Have Couple Pages On Yo Hustle Diary Too.
@SnuglyLingerie1
@SnuglyLingerie1 6 ай бұрын
She is young, that’s already a hustle, juggling between school and business is tough,biashara ni ngumu nyie jamani, haijalishi mtu ana pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu kwa Businesss bali running a business ni ngumu.Business is not easy, but amestruggle mpk kucreate a profit na kuendelea kukua kibiashara mpaka hapo alipofika. So I believe this is a right title and platform for her
@khamisshee803
@khamisshee803 6 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤ AKA BACHUCHU Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 6 ай бұрын
Hajui kiswahilie
@estermuganda9298
@estermuganda9298 6 ай бұрын
Sasa kwani wa kishua hawastahili au nini mbona sijaelewa baadhi ya comments kama za makasiriko hivi.muhimu tujifunze kama wazazi kuwafunza watoto maisha wajielewe haijalishi ni maskini au tajiri.
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 6 ай бұрын
Mbona mtoto wangu ana miaka 18 yuko form six huo umri si sawa tu.
@gibbs1320
@gibbs1320 6 ай бұрын
Una zungumzia yule mtoto tuliye zaa wote Victoria ?! Mhhh mtoto wetu kafikisha miaka 18 kumbe jamani...
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 6 ай бұрын
Sky umetuzingua sana tena sana,Huyo kakuta utajiri hana cha kutwambia tuletee Muhustler
@user-ib7ow2zq6r
@user-ib7ow2zq6r 4 ай бұрын
Uyo kwao mpunga upo tuleteee mtu aliyefight kwa akili yake
@willymaulidi3991
@willymaulidi3991 6 ай бұрын
Mimi hiyo ahinipi shida .Niko USA. Kampuni minayo fanyiya kazi .BOSS wangu alisha nunua uwanja wapili anaandaa kampuni ya pili kwa niaba ya mtoto wake wapili tena mwanamke.hona sasa baba anakutegemea wewe ale hapo vipi?
@Usertatu11683
@Usertatu11683 6 ай бұрын
Mnatuletea wakishua Sasa huyo kapambana vp. Kwanza anasoma shule tu analipa milion saba na kitu.wengine kusoma secondary tumepitisha daftari tukachangiwa Ada elfu arobaini. Kujakupatikana miezi mitatu wenzako walishasoma wewe ndio unaenda. Labda mtangazaji utuambie amekuja kutangaza biashara yake,. Labda hapo tumejifunza ukitokea familia ya kishua kutoboa ni rahisi
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Pambana wanao wawe wa kishua pia.. halafu watoboe kirahisi.
@pendothomas7258
@pendothomas7258 6 ай бұрын
Huelewi hata umeongea nini. Mungu akusaidie 😢
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 5 ай бұрын
Acha izo ww,,,ila mwisho wa siku wafanyabiashara wote wanahitaj wateja ili kupata pesa
@DoreenMwanga-ne1dt
@DoreenMwanga-ne1dt 6 ай бұрын
Upuuzi huu😮 mtu amefunguliwa tayari tuletee watu waliojitafuta wenyewe sio my mom my mom🙁
@SnuglyLingerie1
@SnuglyLingerie1 6 ай бұрын
Mungu aje akusaidie na ww mwanao aweze kuja kukusifia kama ivo, apo ndo utaona raha ya kua mama ni nini. Lakini hutokuja kusikia iyo raha kama hujamtengenezea mtoto wako msingi mzuri😊
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Mpuuuzi ni wewe dada.... Pambana na wewe wanao waseme my mom my mom.
@pendothomas7258
@pendothomas7258 6 ай бұрын
Nenda wewe uliyejitafuta ukatoe story yako 😂😂
@user-jp7ix6fc6y
@user-jp7ix6fc6y 6 ай бұрын
Hee kumbe huyu ana udongo wa kizungu hapo alipo ana miaka 18 kwel sky jamani 😅 ah sawa me namuombea dua
@songweairport7602
@songweairport7602 6 ай бұрын
NC
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 6 ай бұрын
Uyo kapewa pesa bn
@ijsound5149
@ijsound5149 6 ай бұрын
Unatuletea watu washaandaliwa maisha na wazee wao washua sky acha uduanzi bhana hamn cha kujifunz hapa
@jumakhamis226
@jumakhamis226 6 ай бұрын
Kabisaaaa
@rexstudio4303
@rexstudio4303 6 ай бұрын
Wewe ndo ujifunze kuwekeza kwa mtoto wako😅, sio mzazi unauwezo alafu kizazi chako kinakua maskini, ndo familia nyingi za hapa nyumbani
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Cha kujifunza pambana na wewe wanao wawe wakishua, uwafungulie wanao biashara au waje wafanye kazi kwenye kampuni yako. Lakini kwako hazikutoshi, huwezi kuona hilo
@didasseveline9013
@didasseveline9013 5 ай бұрын
Hamna cha kujifunza hapa!
@trillionthamani
@trillionthamani 6 ай бұрын
Mtu anasoma feza si wakishua jamani huyo
@ZainabJolie
@ZainabJolie 6 ай бұрын
Angeongea kiswahili ingependeza zaidi🙃
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
Umeniuzi bhana mtangazaji tuletee watu ambao kweli wanatafuta wenyewe
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Anzisha channel yako na wewe ulete wa kwako...... umasikini sio sifa
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
@@rebbywealth9869 hunaakili wewe kila MTU akiwa na Chanel yake kuna MTU ataangalia Kama MTU amefanya makosa asiambiwe ??? Asiambiwe .mfano hata selikali ikikosolewa na kutoa maoni Kwa wananchi .selikali itajibu wananchi wanzishe selikali yao??.hunaakili kabisa wewe Sisi tunAcoment kulingana na kichwa cha habari kilivyo na kuangalia habari NI tofauti na kichwa cha habari.ss siyo mbumbumbu Kama wewe lazma MTU aambiwe kweli .Kama hataki ukweli aache au afunge channel yake
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
@@rebbywealth9869 kwani yeye angesema mtoto WA miaka 18 amefungiliwa Duka na wazazi wake Sisi tungeongea???
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 6 ай бұрын
Jifunze apo ili umuandalie mtt mambo mazriii . Mnapenda umasikini tu🤌
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
@@mwanaidimussa huna akili wewe Mimi nimekwambia hivo kuwa napenda umasikini Nani amekwambia Mimi masikini???tutaongea kichwa cha habari alichokiwwka nitofauti na maana halisi
@omanmct135
@omanmct135 6 ай бұрын
Naic❤
@OnaTimestv
@OnaTimestv 6 ай бұрын
Ameshaandaliwa maisha apo anatangaza duka tu wakishua huyo hajui Njaaa huyo.
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
😅😅
@SnuglyLingerie1
@SnuglyLingerie1 6 ай бұрын
Wazazi wake wamemuandalia msingi mzuri ili hiyo njaa asipate kuijua maishani mwake. Sio mpk kila mtu ateseke bana
@dontilapaschal2278
@dontilapaschal2278 6 ай бұрын
Wakishua huyu😮
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 6 ай бұрын
nauliza kama naweza kupata kwa wholesale
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 6 ай бұрын
naomba tuwasiliane mimi ni mama nauza nguo pia. nimependa nguo zako sana
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 6 ай бұрын
Watoto wengine ndomana wanafanikiwa ungezaliwa kwenye familia zetu daaaaaaah unanza kujipambania at the same time unapambania familia wakati capital yenye hujapata unabahati sanaaaaaa aise unakua ulishafanyiwa savings na wazazi aiseeeeee
@user-bb2lz9fx4e
@user-bb2lz9fx4e 6 ай бұрын
Ni kweli tafuta watu low class
@pendothomas7258
@pendothomas7258 6 ай бұрын
Kwakuwa na wewe ni low class😢
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 6 ай бұрын
Kunawatto wengi wakishua hawana ata uwezo wakuendesha walichopewa na wazaz wao … jifunze kotekote wew fyuuuu
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 6 ай бұрын
Kwan kunawatoto wangapi wakishuaa wajingaaa hawajui ata kuendesha miradi ya wazazi wao !! Wapo wapo tu wanatumia pesaa hovyooo !!!!!! Jifunzeni na kwamatajiriiiiii ili watoto wenu muwafanyieee hayooooooo piaaaaa mnajua kuchamba tu …. Fyuuuuuuu
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
Yani unaleta mtu ambaye kafunguliwa duka
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 6 ай бұрын
Ili ujifunze uje mfungulia mwanao
@user-jf3zz7ql1y
@user-jf3zz7ql1y 6 ай бұрын
kama huyo ana miaka 18 basi mim nina minne😂
@giztony2009
@giztony2009 6 ай бұрын
Kifua kimejaa kama mbena vyuma
@SnuglyLingerie1
@SnuglyLingerie1 6 ай бұрын
@@giztony2009 be respectful! She is a child. Hujafa, hujaumbika . Mungu alinde kizazi chako cha leo na cha baadae
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Kichwa chako kimejaa kamasi
@OnaTimestv
@OnaTimestv 6 ай бұрын
Maelekezo yapo home tayar kitonga tu
@mrkitaa7938
@mrkitaa7938 6 ай бұрын
Hii interview NZURI SANA, NIMEKUWA INSPIRED NA WAZAZI WA HUYU BINTI, WAMEMTENGENEZEA MSINGII MZURI SANA. KUMBE UKIFANIKIWA INAWEZA IKAWA CHACHU KUBWA SANA YA MAFANIKIO YA WATOTO WAKO. LET'S KEEP FIGHT.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 15 М.
KIPI BORA KATIKA UANZAJI WA BIASHARA YA MTUMBA!
14:11
SLAY WITH LOARA MWANZA
Рет қаралды 1,2 М.
GLAMOUROUS WEDDING (ALYA + YUSSUF)
12:02
SANDMAN PICTURES
Рет қаралды 12 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН