No video

Ushuhuda wa aliyekua muislamu.

  Рет қаралды 244,951

END TIME  LOUDCRY TV

END TIME LOUDCRY TV

4 жыл бұрын

Ameokoka na sasa anamuhubiri Yesu Kristo kila sehemu.

Пікірлер: 2 900
@JesusOwn1
@JesusOwn1 4 жыл бұрын
Jesus is the Way, the Truth and the Life. Mtafuteni Mungu. God bless u brother for the testimony.
@yusuphujaffar2154
@yusuphujaffar2154 3 жыл бұрын
Hakuwa muslam
@rehemajoseph1264
@rehemajoseph1264 3 жыл бұрын
Amen yesu alifufuka hayumo kaburini tena *we ngine walikufa bado wako kaburini yesu yuaja tena kunyakua walio wake *asiye mpokea yesu okoka usiachwe na yesu 🙏🙏
@daisylangat820
@daisylangat820 2 жыл бұрын
Amen,damu ya Yesu Ina nguvu na uzima,Yesu azidi kukulinda na kukupaka mafuta zaidi,nguvu za Roho mtakatifu zikujaze upya katika kina kuu la Yesu Kristo,Asante Yesu Kwa kumwokoa huyu kaka
@kingdonald3312
@kingdonald3312 2 жыл бұрын
God BLESS you Brother of mine🙏 Welcome to JESUS. KWA YESU KUNA RAHA-AMANI- NA UTULIVU. I NEVER REGRET BEING A CHRISTIAN 👌❤❤
@anisiamwaniki4153
@anisiamwaniki4153 3 жыл бұрын
Praise the Lord, Mungu wetu ni mwaminifu sana. Asante Yesu kwa wokovu mkuu namna hii.
@thadeusmathiews2564
@thadeusmathiews2564 4 жыл бұрын
Amen JAMANI NIME JENGEKA KWA YESU KUNA AMANI I'm team JESUS ONE Mission One Church Glory to JESUS
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 3 жыл бұрын
Alikuwa mshirikina leo amekuwa kafiri aishie huko huko
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 3 жыл бұрын
@@mshanaakbar3687 MPK MAKAFIRI PIA WASHIRIKINA KAKA WANAMUITA YESU MUNGU WENGINE MWANA WA MUNGU NK WENGINE KTK IBADA ZAO AZIFANYIKI MPK MBELE WAEKE SANAMU YA MARIAM AU YA YESU
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Wapi imani kwa Yesu acheni usharati nyie. Kujidai kumpenda Yesu na kumsifu saana, na hakuna hata kimoja alichokifanya Yesu wakiristo wanalifata. Yesu hakuwa mkiristo wala hajafunza ukiristo wala haujui ukiristo. Mnafikiria Yesu anapokea Rushwa ya maneno?. Bila kufata sheria za Mungu, hakuna uokovu. Ni kujidanganya nafsi. Bibilia yako inasema wanaoabudu masanamu (kama Sanam la Yesu na Maria) na walevi, wazinzi, hawaingii ufalme wa Mungu (peponi). Soma: [ 1Wakorintho 6:9-10] " Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Kama kuabudu sanamu na kunywa ulevi unakwenda motoni, vipi utadai wewe uko katika njia ya kweli?. ONDOKA HUKO KUNAHATARI UKIFA UTAJUTIA MAISHA YAKO UMEYATUMIA BILA FAIDA. Kanisa ni kwenye kiti cha Enzi cha Shetani. Soma bibilia yako. [Ufunuo wa Yohana 2:12-13] " Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili (msalaba). 13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani. Mapepo wachafu (mashetani) ndio walioleta itikadi ya kumwita Yesu ni mtoto wa Mungu. Soma Bibilia : [Marko 3:11] " Na pepo wachafu (mashetani) , kila walipomwona (Yesu), walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. Sasa wewe vipi utamfuata Shetani na Shetani ni Muongo mkubwa?.
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
Hakika bro amani tele milele
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
@@wazirikhamisi4828 wewe haujui yesu ni roho Wa mungu mungu ni moja yesu ni njia kila maali uwendako lazima ufate njia hivo yesu ni njia na sio mwanadamu karibu uwokoke
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Waaaa ,majabu haya ,,kweli Jehovah anaweza ,and sisi WA kristo we save a living God 🔥🔥🔥🔥🙏
@prettylove5295
@prettylove5295 3 жыл бұрын
Kila siku huwa namshukuru mungu kuzaliwa mkirsto nampenda sana YESU mwana wa mungu
@isaackkitumbo3976
@isaackkitumbo3976 3 жыл бұрын
Kabisaaaa
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
Pole
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Tumenusurika Kuwa Wachawi Wa Kiimani, Asante Bwana Yesu.
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
@@yakobomkristo872 soma bibilia 3, 11 marko
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
@@abduomar8438 Soma Quran 72 : 1 - 3
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 10 ай бұрын
Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa mno ISAYA 54 17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa, huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana Amen !!!
@goodlucklendey1722
@goodlucklendey1722 3 жыл бұрын
Sawaaa mungu akujalie muombe mungu akusaidi umjue yesu na uombe na kufunga umpokee roho mtakatifu ili umuabudu mungu kwa roho na kweli uta yashinda yote na akuna nguvu za kukushinda na mwisho urithi ufarume wa mungu
@Godisgreat20243
@Godisgreat20243 2 жыл бұрын
Amen.Barikiwa sana ndugu,asanta kwa ushuhuda.Bwana Yesu akulinde daima,ushuhuda huu ubadili wengi.
@domnicowele5384
@domnicowele5384 2 жыл бұрын
There is contentment in serving the true yahwe in Jesus name we overcome..I love you jesus
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 4 жыл бұрын
Every knee shall bow before Him and every tongue shall confess Jesus is Lord, praise Jesus
@happynessmarki2780
@happynessmarki2780 4 жыл бұрын
Violine Nyakara Amen Amen Amen
@winskitchen.602
@winskitchen.602 3 жыл бұрын
Amen
@somoiabdullah4906
@somoiabdullah4906 3 жыл бұрын
Singii iyodini
@jjss4493
@jjss4493 3 жыл бұрын
Amen amen
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Labda washirikina
@firdausmariri3506
@firdausmariri3506 3 жыл бұрын
Tatizo haukufindishwa juu ya tawhidy umpwekesha Allah nandio maana weye pamoya na maalim wako mkajikuta mnamshirikisha Allah ,,na Allah anasema kuwa yeye amejiweka mbali na ushirikina kutokana na shikri ,na yeyote atakayefanya shikiyaan akamshirikisha Allah kwa asiye kuwa yeye Allah Basi Allah mtukufu atamuacha mshirikina huyo na ushirika wake ,,,naweye ulifanya shikri na hakika dhambi ya shirki haisamehewi mbele ya Allah Hadi mtu afanye tawba ,nakusihi nakujihisia nafsi yangu juu ya kurejea katika kamba ya Allah ,,juu ya kutubu kabla milango ya tawba haijafungwa ,,,Allah atuepushe juu ya kuziporomosha amal zetu njema kwa kuliwa na shirki ,,,oooh Allah
@liventibenda3280
@liventibenda3280 2 жыл бұрын
Wasilamu wengi washirikina sana na dini inayomkataa yesu itapat hukumu ya milele
@saidmzee2554
@saidmzee2554 2 жыл бұрын
@@liventibenda3280 nyny ndo mtokwenda motoni Sana nyny ss mafrimanso wakubwa makafiri wakikristo
@liventibenda3280
@liventibenda3280 2 жыл бұрын
@@saidmzee2554 inashangaza mtume anaingiliwa na pepo na anasema maneno anayoambiwa na anayaandika kwa qurani sisem uwongo iyo ni surah iko na pia Muhammad alimwingilia Aisha wkt wa hedhi ukisoma hadith ya sahihi al buhari
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 8 ай бұрын
@@saidmzee2554 wasimamizi na wakuu waki filmasoni niwa sheh uyo mkristo ana kuja kwenu kutafuta nguvu... Ila ukristo ufundishi uchawi ila uweslam unafundisha uchawi. Uweslam ni Dini yamajini
@michaelmaina990
@michaelmaina990 2 ай бұрын
Sasa wewe wakimbia kuandika badala kuskiza shuhuda kisha utagundua uislamu sio dini..?
@bythegrace8087
@bythegrace8087 3 жыл бұрын
Amen🙏🙏their is power in name Jesus
@gracebalaboy4849
@gracebalaboy4849 3 жыл бұрын
Yesu ndiyo msaada wetu ktk maisha yetu, wanaompinga yesu wanahitaji msaada wa maombi.
@apostlebenny5319
@apostlebenny5319 3 жыл бұрын
Yesu ni Bwana wa ma Bwana.. Mm nampenda sana. Mwamba hyu haaaaa!!
@bakariamour6024
@bakariamour6024 3 жыл бұрын
Yesu ni msaada wako wewe sio wengine
@issamohd9955
@issamohd9955 3 жыл бұрын
Kwani yuko mtu ana mpinga yesu kwani
@issamohd9955
@issamohd9955 3 жыл бұрын
Mm napenda nikwambie tu ww kijana tangu mwanzo hukua na imani ya dini ulikua mshirikina nasasa umeacha dini ya kweli ya Mungu sasa unaenda kwenye dini ya wataliano aibu yako mana umejifichulia siri mwenyeo kua pande za wazee wako wote mama na baba muna mambo ya mizimu je uislamu unawakubali waislamu kama nyinyi jibu ni hapana nyinyi muko mbali sana na uislamu kwamaana Mungu anasema katika Qur'an waislamu wakweli hawana kuamini mizimu hawana kuomba katika makaburi na mapango Mungu alijua kama mtakuako watu kama nyinyi ndomana akaiweka mbali dini yake nahayo mambo wewe ni mshirikina mpenda pesa mwenye pupa na dunia kwahio ndomana hao wakaamua kukununua ili wakakutie motoni vizuri tena umesema wazi kua ulikua ukichukua watoto wa watu mahospitalini kama serikali munanipata chonde chonde huyu mtu katili akamatwe afunguliwe mashtaka
@maryammohd5994
@maryammohd5994 3 жыл бұрын
Kuumbe eehh?🙄🙄🙄
@omwoyoonchweri6933
@omwoyoonchweri6933 4 жыл бұрын
Great message!There is Great victory in Jesus Christ......Amen.
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 4 жыл бұрын
Exactly brother
@salmakiame9864
@salmakiame9864 4 жыл бұрын
omwoyo onchweri acha unafki ulisoma kitabu vzl Kwanni uliacha Qoroani tukufu ukafata mambomaovu yakuzurumu nafsi zawatu wengi mungu hakuagiza hivyo wwe ulimfata shetan maana mlikua wanafuz weng lakn ulichaguliwa wwe naulikubali pasipo kujiuliza kitabugan chamungu kinachagua mtu wakumfundisha hicho si kitabu chamungu omba msamaha wakweli lakin wwe unaendelea kupotosha watu angalia kesho kuna jaanam maana mungu ni1 tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
@@salmakiame9864, Inaonekana kwao wna mila za kishirikina hakuna mwalimu wala nani mshirikina huyo Allah amemrejesha panapostahili
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Kajambe mbele huko imani yako zibala tu. Tena usijifanye unaijua qr aan. Punye weeee. Kila aliye hai anajichagulia makazi yake akifa.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Eti mkakutana msikitini, mnaenda kuchafua wiislam wachafu nyie.
@officialjaxwizard2877
@officialjaxwizard2877 4 жыл бұрын
From Mozambique ubalikie kwa jina la Yesu..! Amen
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
ivi nyinyi wakristo imani mnatoa wapi? minashindwa kuelewa ivi dalili mnaitoa wapi? ujasiri huo mnautoa wapi yakusema yesu yesu mnatoa wapi
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 жыл бұрын
Upumbavu tuuumewajaa mfyuuu
@kakumakenya6784
@kakumakenya6784 3 жыл бұрын
Glory be to God.Amen
@clementmwampash168
@clementmwampash168 3 жыл бұрын
Asante yesu kwa uzao wako huu mtunze mtumishi wako akutumaini ww ktk maisha yake yote
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
poleni sana nawahurumia sana lkn ndio ni mipango ya الله ﷻ
@monicaelias3801
@monicaelias3801 3 жыл бұрын
ENDELEA kuusema Ukweli na Yesu akutie Nguvu nakukuepusha na Adui zako Bwana Ate na wanaoteta nawe Mtumishi Zaburi 35 Intense Kazi KWA Maisha yako yote na Zaburi 23 na Mungu akubariki Sana kujitia MHANGA KWA AJILI ya Kirsto tupo Pamoja Mtumishi wa Bwna
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
ENDELEENI KUPEANA UJINGA MPAKA YAWAFIKIE MAUTI ,MUTMJUWA MUUME WA BIBIZENU HUKO AKHERA
@neemarichard1256
@neemarichard1256 3 жыл бұрын
Amen God bless you
@rayanaabdallah473
@rayanaabdallah473 3 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu Inshallah huenda ukaja zinduka...Shukran
@channynsabimana1997
@channynsabimana1997 3 жыл бұрын
@Somali Bajun99 nikwasababu anatoa silizenu ndomaana unasema ivo
@vickybest6296
@vickybest6296 Жыл бұрын
Alishazinduka na kumjua Yesu
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 5 ай бұрын
Kweli kabisa anaweza zinduka . Mmmh Mwenyezi Mungu amsaidie kwa kweli
@twobrothers8228
@twobrothers8228 3 жыл бұрын
Sifa Nautukufu Zikurudie Wewe. Karibu Ndungu Ndani Ya Yesu Yoote Yanawezekana, Tazama yakale yamipita yamekuwa Mapya🙏🏿
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Kwani kwa Yesu wapi na Kuna nini huko?. Kwani Yesu alikuwa Mkiristo au kafundisha ukiristo?. Huyo ni mkiristo toka mwanzo unamkaribisha nini? Alama za ukiristo anazo wala uisilamu haujui anazungumza yasikuwemo katika Uisilamu. Acheni kutengeneza Waislamu Fake kama mnavyotengeneza vilema fake ili muonyeshe maajabu. Nyingi ndio wale aliotabili Yesu mwenyewe akasema. (Mathayo 24:24) " Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule (Waislamu). Acheni uongo Dini haisambazwi kwa kupitia khila za uongo. UKIRISTO ingelikuwa Dini ya Mungu basi sheria za Mungu mngelizifuata. Wangelikwisha walevi, wezi wazinifu, ulawati, unyang'anyi. Watu wangliishi kwa Amani kabisa. Kwanza vipi Mwenyezi Mungu kakuumbeni ili mumwabudu yeye halafu Mnaabudu Sanam la Mariya na Sanam la Yesu?. Bibilia yenyewe inasema watu kama Hao hawaingii PEPO (Ufalme wa Mungu).. Soma: [1 Wakorintho 6:9-10] " Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala WAABUDU SANAMU , wala WAZINZI , wala WAFIRAJI, wala WALAWITI, 10 wala WEVI, wala WATAMANIO, wala WALEVI , wala WATUKANAJI, wala WANYANG'ANYI. NA HAYO YOTE YAMEJAA HATA KANISANI. Endeleeni ndio mnafichua njama za ukiristo kubomoa Uisilam. Wala sio kitu kimpa lakini matokeo Uisilamu unazidi kuenea. Hamuwezi kumshinda Allah (Mwenyezi Mungu) aliekuumbeni. (Qur'an 61:8) " Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa MAKAFIRI WATACHUKIA.
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Wapi hiyo ahadi ukiwa mkiristo inakuwa umesamehewa madhambi na umekuwa mpya?. Mnakopia Ya Uisilamu. Hayo hakuna katika Ukiristo. Ukitoka kwenye uisilam basi unakwenda kwenye madhambi sio kuondosha madhambi. Kwani kwenda kuabudu Sanam la Mariya na Sanam la Yesu ndio kufutiwa madhambi?.
@twobrothers8228
@twobrothers8228 3 жыл бұрын
Wewe Abudu Dini Yako, Nauwache Kuhukumu ya Wenzio. Mwenye Hukumu Ni Mungu, Sisi Tuwaachie Imani Yetu Tuilinde Wewe. Amini Yako. Siku Ya Hukumu Tutajua Haki Ilopo.
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@twobrothers8228 : Ina maana ndugu uliezaliwa nae kwa baba na mama. Akimuasi mama yako au baba yako wewe utamuachia MBALI maana wewe haikushu?. Mbona bibilia yako huisomi inavyosema. [Luka 17:3] " Kwa hiyo, jihadharini. Ndugu yako akikukosea mwonye; akiomba msamaha, msamehe. Mimi nakuonya ndugu yangu Acha kuabudu Sanam la Mariya na sanamu la Yesu. Yesu sio Mungu. unamwabudu asiekuwa Mungu. Yesu kazaliwa na mama yake mwanadam. Na mwanadam hazai Mungu. Njoo huku umwabudu Allah alikuumba kwenye tumbo la mama katika mifuko mitatu na step Tatu. (Qur'an 16:78) " Na ALLAH (Mwenyezi MUNGU) amekutoeni matumboni mwa mama zenu, hali ya kuwa hamjui kitu, na amekujaalieni masikio na macho na nyoyo ili mpate kushukuru. (Qur'an 39:6)" Amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Kisha akamfanya mwenziwe katika nafsi ile ile. Na akakuleteeni wanyama wa mifugo jozi nane. Anakuumbeni katika matumbo ya mama zenu, umbo baada ya umbo, katika viza vitatu. Huyu ndiye Mwenyezi Mungu Mola wenu Mlezi. Ufalme ni wake. Hapana mungu isipo kuwa Yeye. Basi nyinyi mnageuzwa wapi?. ALLAH ndio anestahili kuabudiwa. Acha nakuonya ndugu yangu kwa ubinadamu.
@andrewmhagama629
@andrewmhagama629 3 жыл бұрын
Mungu akubari sana ndugu . wewe ni shujaa,kwani kutoka utumwani ni ushindi mkubwa.Ukimtumikia Mungu aliye hai ambaye sisi tunamwamini utashinda kila ubaya na hila za shetani na wafuasi wake woote.Jina la Yesu ni kubwa kupita majina yote kwa kila nguvu za giza liite ni zaidi ya chochote na utakombolewa.Amina
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Ameen...wapendwa huyu Yesu wetu ni mkubwa! Jamani Yesu yupooo tumeziona kazi zake
@thomasdaniel3834
@thomasdaniel3834 3 жыл бұрын
Jah is great
@berthairungu6746
@berthairungu6746 3 жыл бұрын
Amina
@mariamathuman2639
@mariamathuman2639 3 жыл бұрын
Acha kumshitikisha yesu ambae ni Issa kwa mambo yasio na maana
@neemasabure9061
@neemasabure9061 3 жыл бұрын
@@mariamathuman2639 mmmmh embu yesu ni Mwana wa Mungu
@mariamathuman2639
@mariamathuman2639 3 жыл бұрын
@@neemasabure9061 kama unajua ni mwana wa mungu mbn usimsifie mungu kwa kazi yake unasifia yesu ...yesu ni nabii wala si mungu ...mungu n mmja na afananishi n kitu chochote akuzaa na wala hakuzalia sasa niulize yesu alizaliwa au laah
@pknife88
@pknife88 Жыл бұрын
Inna lilahi waina ilaahi rajioun ww mtu hujui ata unachokisema yaani ww ni kama umepitia hayo mambo hivi hujaona dini ya kuipiga vita isipokua Uislaam? lakini si shangai haya yote yalishaandikwa ndani ya Quran tukufu kuwa watu watakuja na mikakati tofauti ya kuipoteza dini ya kiislam lkn watashindwa na hatimae watazidi watu kuingia katika dini ya kiislam makundi kwa makundu. Takbiri ....Allah Hu Akbar... Mtashidwa na mtaangamizwa kuanzia hapa dunia hadi Akhera .... Ya Rabbi tuongezee Imani katika Dini yetu ya kiisalm na tuongeze Elimu na nguvu zidi ya hawa viumbe vyako hivyo vibaya na ndo tunajua miongoni mwa mitahani uliyotuwekea na In shaa Allah tutafaulu. Hasbiya Allah wa neima wakil ... Ya Rab Rab husnul hatima Ameen
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
Karibu sana ndugu wetu,Yesu Kristo anakupenda sana.
@Swians
@Swians 3 жыл бұрын
Kiswahili kizuri bwana! Watched from Kenya.
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Maaskof wenyewe wanaamini mungu ni moja na uislam ndy njia pekee atakayokubaliwa na mungu na tayar washaclim sasa ww uciejielewa cjui uko wap
@vickybest6296
@vickybest6296 3 жыл бұрын
Yesu ndiye njia
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 21 күн бұрын
​@@alibell5246 kila mtu anashtuka kuhusu ukristo yeye anakuwa mjinga maana anachokizungumzia hajipo kwenye uislam.
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
ALLAH TUDUMISHE KTK UISLAMU HATA YUPATE MITIHANI YA AINA GANI KWANI DUNIA NI MATEMVEZI NA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI🙏🙏🙏🇰🇪
@fathimafathima4135
@fathimafathima4135 3 жыл бұрын
Eminn yarabbb islm din
@ambokileboniface3691
@ambokileboniface3691 4 жыл бұрын
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; MTU haji kwa Baba, ila kwa njia ya Mimi. Mungu akubariki kwa kuichagua njia ya kweli na uzima.
@suzieomega6356
@suzieomega6356 3 жыл бұрын
Hiyo ndiyo kweri, alipo yesu ndipo mungu alipo,
@omarymnola1011
@omarymnola1011 3 жыл бұрын
Kwenu nyie yesu sio njia bali ni jina la dini yenu Maana baada yake ndo mmejiita Wakristo sasa kabla mlikuwa akina nani
@ambokileboniface3691
@ambokileboniface3691 3 жыл бұрын
Omary mnola Neno LA Bwana katika kitabu cha Isaya 42:22 Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa ; wote wamenaswa katika mashimo , wamefichwa katika magereza ; wamekuwa mawindo ,wala hapana aokoaye , wamekuwa mateka , wala hapana asemaye Rudisha..Mungu alie hai katika Kristo Yesu anakupenda na kumbuka kila goti litapigwa kwake na kila kinywa kitakiri kuwa Yesu ni mfalme anayetawala milele. Yesu anakupenda kwake yeye hakuna lisilowezekana kwake , mpokee leo abadilishe historia ya maisha yako.
@suzieomega6356
@suzieomega6356 3 жыл бұрын
@@ambokileboniface3691 wamepofushwa, hawawez kuona yesu ndie njia yakwer nauzima wamilele sema amen
@suzieomega6356
@suzieomega6356 3 жыл бұрын
@@omarymnola1011 , kama kwetu si si wewe kinakukera Nini ama kukuuma Nini ?
@HappyChemistryExperiment-hp9mq
@HappyChemistryExperiment-hp9mq 7 ай бұрын
Amen Ashukuriwe Yesu Kristo kwa ukombozi wake.
@issarashid4296
@issarashid4296 3 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 ай бұрын
@cdramacovers Pumbavu wewe alie kwambia Allah ni jini ni nani?
@rizikimustapha3806
@rizikimustapha3806 3 жыл бұрын
SUBHANA ALLAH ALLAH AKUHDI KIJANA KABLA HUJAFA ATUBIE
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Huyu jamaa kasomea uchawi. Katoka kwenye dini kaingia kwenye uchawi.
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 8 ай бұрын
​@@RamadanPaulhuyu kasomea uganga na sio Uisilamu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 ай бұрын
@@abuuhafswamunsheedu5790 umeona ... Uchawi si Haram kabisa QUR'AN ipo wazi kabisa 😅
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 ай бұрын
Al Quran: 10:77 --- قَالَ مُوسَىٰ أَتَقُولُونَ لِلْحَقِّ لَمَّا جَاءَكُمْ ۖ أَسِحْرٌ هَٰذَا وَلَا يُفْلِحُ السَّاحِرُونَ Translations: --- Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi! -- Ali Muhsin Al-Barwani ---
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
​@@abuuhafswamunsheedu5790ndio nimeandika hata mimi yaani huyu pamoja na familia yao yote na huyo mwalimu walisomea uchawi sio uislamu
@vallembaya2708
@vallembaya2708 3 жыл бұрын
Yesu ndio njia ya kipekee ya kuenda Kwa Mungu 🙏
@andrewsmbeya6640
@andrewsmbeya6640 3 жыл бұрын
YESU NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA, KILA AMWAMINIYE HATA POTEA BALI ATAKUWA NA UZIMA WA MILELE.
@rehemadoreen3614
@rehemadoreen3614 3 жыл бұрын
Yesu alikuja kuokoa kile kilichopotea na kukiokoa hiyo ndiyo sababu Yesu alikufa na kufufuka💪💪💪💪
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Kwa sasaYesu SIO NJIA. Muhammad ndio njia. Yesu alikuwa ni njia kwa Wana wa Israeli tu. Ndiko alikotumwa. Angalia bibilia yake Yesu mwenyewe kasema. [Matayo 15 msitari wa 24] " Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". Yesu kasema Muhammad ndio Roho wa kweli (Ndio njia) Atakuja kukuingoza kwenye njia ya haki. [Yohana 16 msitari 12-15] " Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. 13 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. 14 Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari. 15 Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari. Muhammad anatuongoza kwenye kweli. Ndio Njia. Acheni kujidanganya UKIRISTO sio Dini ya Mungu ukiristo ni upagani wa Waroma.
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@rehemadoreen3614 : Nani kakwambia Yesu alikufa msalabani?. Mbona bibilia inakataa madai hayo ya wapagani wa Roma. Bibilia yako inasema Yesu hakufa aliokosewa na Mungu alichukulia mbinguni. Pilato ndio alisulubiwa sio Yesu
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
AMINA YESU ANARUDI TENA
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@thegospelmessage5039 Yesu anarudi Tena kuukana ukiristo. maana hakuwa mkiristo wala haujui UKIRISTO. Yesu alikuwa Muislamu. - Yesu aliswali kwa kusujudu sio kanisani kukaa kwenye benchi. - Yesu katahiriwa sio kama wa ukiristo wanagovi. - Yesu hakula Nguruwe wakiristo wala nguruwe.
@RehemaElias-el3jg
@RehemaElias-el3jg Күн бұрын
Mungu akutunze pia ubarkiwe kwa ushuhuda
@mamuually5579
@mamuually5579 4 жыл бұрын
In sha allah mungu atusame waja wake,,,,,nashindwa ata kuchangia nahisi kama nitamkufuru mungu tu
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Kuna watu watasema kanunuliwa.
@georgebugangazpoa4975
@georgebugangazpoa4975 3 жыл бұрын
Hakuna namna zaidi ya kutoka kwenye ushetani kama aliyekuwa kiongoz wako tena msomi wa hayo mambo kaondoka kuko
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 21 күн бұрын
Mimi sisemi kanunuliwa ila yeye amechanganya dini na uchawi maana hiko anachokizungumza hakuna kwenye dini ya uislam jamaniiiii hata wewe ungeshtuka tu maana huo ni uchawi unapigwa vita na uislam sasa mizimu na uislam wapi na wapi jamani, kapoteaaaaa huyoooo ​@@abbyadams8691
@juniorwadri4240
@juniorwadri4240 4 жыл бұрын
Da ujumbe mzuri sana mwalimu kasinah watu waujue pamoja na waislamu nahisi wata badilika nime amini yesu ni mkuu
@endtimeloudcrytv
@endtimeloudcrytv 4 жыл бұрын
Amen
@myongatwo4302
@myongatwo4302 4 жыл бұрын
Mungu akusmamie skuzoteeeeee!!
@happinessmonyenye9890
@happinessmonyenye9890 5 ай бұрын
Amen
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 жыл бұрын
Hakika Yesu Kristo ni yeye yule Jana leo na hata milele Jina la Bwana libalikiwe Ndugu zangu waislam Njooni Kwa YESU KRISTO Ili muokolewe na siku ya mwisho tuingie wote ktk ufalme wake wa Mbinguni.
@naomieliasmanyilizu761
@naomieliasmanyilizu761 3 жыл бұрын
Ameen Mungu aendelee kuwa mlinzi wako, na damu ya mwanaye Yesu Kristo ikufunike
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Amen and Amen Jina la Yesu lenye nguvu🙏🙏🙏🇰🇪
@martharmoranga2541
@martharmoranga2541 3 жыл бұрын
Glory be to God
@estherngowi8102
@estherngowi8102 3 жыл бұрын
Yesu ndiye njia,kweli na uzima,chagua uzima upate kuishi milele
@leahmujemula5387
@leahmujemula5387 Жыл бұрын
Nampenda huyu Yesu
@abuuhassani497
@abuuhassani497 Жыл бұрын
Ila hakujui
@combinedreview9517
@combinedreview9517 3 жыл бұрын
AMEN ,OH GOD ,POWERFUL TESTIMONY .
@mwalimuassaa1857
@mwalimuassaa1857 3 жыл бұрын
WHAT TESTIMONY ? THIS GUY IS JUST WITCHCRAFT ,THERE IS NO VERSES IN WHOLE QURAN SUPPORT WHAT HE SAYS.
@jemimanekesa2782
@jemimanekesa2782 2 жыл бұрын
God bless u
@peterallan6311
@peterallan6311 3 жыл бұрын
Glory to God for giving this soul another chance.
@paulomaona7627
@paulomaona7627 3 жыл бұрын
Yan kaka sula yako tu inaonesha wew ni mteule fanya kaz ya mungu ubalikiwe kaka
@bensononyango1426
@bensononyango1426 2 жыл бұрын
Praise the Lord God, the truth has set you free in Jesus Christ. Amen
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 4 жыл бұрын
Yesu Baba yangu unaishi mile na mile mwanzo mwisho Mimi nasema ni YESU TU.
@adinanijackobo1328
@adinanijackobo1328 3 жыл бұрын
Sura 2 - Aya 14 وَإِذَا لَقُواْ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ قَالُوٓاْ ءَامَنَّا وَإِذَا خَلَوْاْ إِلَىٰ شَيَـٰطِينِهِمْ قَالُوٓاْ إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِءُونَ
@fauzatisospita5053
@fauzatisospita5053 3 жыл бұрын
Swadaqallah alaliyyul adhiiim
@adinanijackobo1328
@adinanijackobo1328 3 жыл бұрын
@@fauzatisospita5053 manshaAllah
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana huyu kijana kwakweli kashakufa tuseme tu innalillahi wainna ilayhi rajiuna ni msiba mzito allah amuhidi yeye na wengine yaarabbi awajaaliye watubiye toba yakweli kumbe wanafiq wanaishi mpaka leo jamani subhanallah
@SAM_163
@SAM_163 Жыл бұрын
@@yasalaam590 ACHA KIBURI MPOKEE YESU. KUUKATAA UKWELI HAIBADILISHI UKWELI ANAUONGELEA KUHUSU UISLAM KAMA SIO KWELI TUAMBIE UKWELI HIVYO VITU HAVIPO KWA QURAN?
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 11 ай бұрын
@@yasalaam590 Acha taarabu jifuze ndugu Usiamini Majini
@nizaelluka627
@nizaelluka627 3 жыл бұрын
Mungu akulinde, kwa hapo ulipo fikia ni pagumu mno, ukitaka kuona majaribu okoka, mungu akulinde akutete, akufunike,
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 3 жыл бұрын
Wenye kupinga endeleeni kupinga lakini YESU NI BWANA NA ATAENDELEA KUOKOA TU HATA UPINGE...
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Kuokoa na nini? Kwani Yesu alikuwa Mkiristo au ukiristo ni Dini ya Yesu?. Nyinyi mnamwabudu sanamu wala hamfuati mafundisho ya Yesu. Sanam la Mariya na Sanam la Yesu. Wala sio Yesu Kila mmoja Ana Sanam lake. Mzungu Ana Yesu mweupe. Mwafrika Yesu black. Tazama huyu anampiga Yesu Mzungu. kzbin.info/www/bejne/o4m0nHePpb6rpLs
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 3 жыл бұрын
Wewe dini gani, je hujui kuwa Yesu ni njia kweli na uzima mtu haendi kwa Mungu ila kwa njia Ya Yesu?????, tuanzie hapo
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@calvinmchopa2222 : Alaa! kumbe Yesu ni njia tu sio Mungu? Kumbe Kuna Mungu ambae ni mwingine sio Yesu. Na Kuna Mungu wa Kweli ambaye ndiko wote tunakenda huko. Hiyo Sawa hata Yesu kasema hayo kwenye Bibilia Tumjue Mungu wa kweli na Yesu ni mtumwa katumwa na Mungu wa kweli. [Yohana 17:3] " Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye PEKEE NI MUNGU WA KWELI, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma. Lakini Sasa wewe unamjua Huyo Mungu wa PEKEE NA WA KWELI?
@emanuelbatholomeo5903
@emanuelbatholomeo5903 4 жыл бұрын
Innalilah waina ilah rajiun
@AndrewKundya
@AndrewKundya 9 ай бұрын
Mngepambana kwanza na Waganga wasifanye kazi zao kwa jina la dini yenu ikiwezekana mngekua mnawatenga kabisa lkn tuchoona hao waganga wanaheshimika kwelkweli kwenye jamii kisa wanapiga visomo kwa kitabu chenu
@carolinenatembeya6787
@carolinenatembeya6787 4 жыл бұрын
YESU ASIFIWE TAMBAAA KOTE UJAE JILA ENEO, YESU NDIO HABARI GEUKENI LEO MKAPINE. AMEN
@winniewambua1972
@winniewambua1972 6 ай бұрын
Hallelujah, Yesu jiwe lisilotigizika
@shikandaemelda3328
@shikandaemelda3328 3 жыл бұрын
Waislamu hua mnaumwa wapi mmoja wenu akiwa mkristu??we Christian never feel anything when one of us comes your way...Nwy karibu kwa yesu
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Waislamu hawashukhuliki nae huyo ni mkiristo toka mwanzo. Hayo anayoyaema kuhusu uisilam ni uongo mtupu hakuna Muislamu akatoa mtoto kama kafala. Kajifunza maneno mawili ya kiarabu Anataka kudaganya watu kama vile anajua. Tofauti ya ex-christian akija kwenye uisilam anakuwa mtu anazungumza yaliyo na hekima. Kama Dr. Sule, Iman Petro na wengineo. Lakini Ex-Muslim Ana join ukiristo anazungumza upumbavu na kashfa za matusi. Kwa sababu kanunuliwa kwa ajili hiyo. sio kafata imani. Kwa sababu Uisilamu na Qur'an hakuna shaka ndani yake. Qur'an yenyewe inaanzia kusema hivyo. (Qur'an 2:2) " Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, Na wanaokubali Uisilam ni watu wasomi wanaojua ukweli kwa elemu sio kufata pesa. Uisilam haumnunui mtu kwa pesa wala kwa hoja za uongo. Waisilam wanazungumza kwa hoja na proof. Wakiristo wanataka uamini tu Kama Yesu ni Mungu na uwe kama kipofu hukuna kuuliza. Wewe nikuulize sheria kwenye Bibilia utanijibu?.
@happinessmonyenye9890
@happinessmonyenye9890 5 ай бұрын
Shida yenu ni wivu,
@julianampanduji6000
@julianampanduji6000 3 жыл бұрын
Hallelujah...yuko Mungu mmoja na kila jicho litamuona,Amina.
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 4 жыл бұрын
Welcome to Jesus for salvation of ur soul in Jesus mighty name Amen
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 4 жыл бұрын
Amen
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Utakufa na ukafiri wako ukachomwe moto kama ni mvivu wa kutafuta ukweli mwenyewe
@raynerrasher1558
@raynerrasher1558 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 nani kakuzuia kuamin unachokiamini? Acha kuponda dini za watu wewe
@omarymnola1011
@omarymnola1011 3 жыл бұрын
Mm ctamani nife hali ya kuwa mkristo (KAFIRI ) Hakika Uislamu ni raha sana Huyo jamaa HATA KIARABU HAJUI NA KWA WAKRISTO NDO ANAWADANGANYA KABISAA
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
@@omarymnola1011 masha Allah
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 26 күн бұрын
Amen. God bless You
@edwardmanota998
@edwardmanota998 3 жыл бұрын
Amina. Asante kwakuijuwa kweli. Maana yesu ndie njia ya kweli na uzima amwaminie yesu hapotei wala ahukumiwi bali atakuwa na uzima wa milele, kijana piga injili tupe u kweli huo
@truth7796
@truth7796 3 жыл бұрын
There's power in the name of Jesus to beak every chain glory to God
@agneskenya3709
@agneskenya3709 3 жыл бұрын
A living testimony, God bless you Brother, hakika Yesu Bwana, Amen
@tumpenywapi8422
@tumpenywapi8422 3 жыл бұрын
Glory to Almighty Jesus who saved us on the cross....you matter to God
@rebeccampaki9647
@rebeccampaki9647 3 жыл бұрын
Amina MUNGU akujaalie ufike mbinguni
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 жыл бұрын
Yesu Kristo Ni njia kweli na uzima watu wote tumfuate yeye
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
ckia wewe nikuambie ukristo sio dini hakuna dini inaitwa ukristo nyinyi kama sio tamaa za dunia msingepotea huyo ni muongo hua walokole niwaongo huo ushuhuda niwauongo huyo alikua kafiri kaenda kusoma kiarabu ili aje awahadae wakristo ambao hamjui huo niuongo
@gracecharles2696
@gracecharles2696 3 жыл бұрын
@@rachelevarist70 Mbona wapo wengi mashekh wanaoushuhudia uchawi kwenye uislam..kama shekh anapaa ,anaua,anafuga majini sindo uchawi wenyewe huo ..Wachawi ata makanisani wapo utofauti wakanisani tamaa za pesa lkn Biblia haijafundisha hayo..Ila kwa wwnzetu mtu anafungua kabisa kitabu anamusomea dua upatwe na jambo baya hapo ndo sipaelewagi Mungu wetu anatuwazia mema iweje wewe uniwazie mabaya kwa kutumia kitabu unachosema cha Mungu ..Huyu anaweza kua muongo kwa sababu simfahamu lkn wapo nnaowaamin wametoka kwenye ushetani nawaona na wanashuhudia mengi tu ..kila shekh anafuga majini loooh huku sie twayaombea yatoke nyie mwayatafutia chumba yakae..Yesu ndie njia ya kweli na uzima tunafika kwa Mungu kupitia yeye....
@berthairungu6746
@berthairungu6746 3 жыл бұрын
Aminaaaaaaa
@christinamaston6585
@christinamaston6585 4 жыл бұрын
Jesus is great all the time
@mabletandawili4128
@mabletandawili4128 3 жыл бұрын
Una Sema ww ume wacha uislam lakini bado una vaa cazuu
@mdungially2342
@mdungially2342 3 жыл бұрын
INNALILAH WAINNAILAIH RAJIUN, ALLAH AKUONGOWE TENA UTOKE HUKO KABLA PUMZI HAZIJAFUNGA
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 жыл бұрын
Haswaaaa
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 жыл бұрын
Atoke aende wapi waislam mnafundisha uganga kwa Yesu hakuna uganga
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 жыл бұрын
@@lulanjamd3886 peleka upumbavu wakouko mbona wakristo nanyie nako niwanganga senge kabisawee
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 жыл бұрын
@@kuruthumuissa5539 Angalia wengi wanatokea upande gani
@ismaelinnocent6812
@ismaelinnocent6812 2 жыл бұрын
@@kuruthumuissa5539 unatumana hazarani mwamini Yesu una shida nakuombea
@johariyahaya8794
@johariyahaya8794 3 жыл бұрын
Aminaa, damu ya yesu inatosha kukusafisha
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Lo damu ya Yesu?. Na Yesu alikuwa na Lita ngapi za damu mbaka Leo 2020 mnakunywa kanisani?
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
Mimi naona bora ungeingia uisilam ili ujinga wa kanisani ukutoke. Unalishwa Mavi wanakwambia mkate nyama ya Yesu. Tena unaambiwa funga macho na usiteme mkate, ukitema umemtema Yesu. Hebu usome huo MKATE Kwanza katika bibilia kuwa ni MASHONDE (KINYESI). [Ezekieli 4:9-12] " Pia ujipatie ngano, na shayiri, na kunde, na dengu, na mtama, na kusemethi, ukavitie vyote katika chombo kimoja, ukajifanyie mkate kwa vitu hivyo; kwa kadiri ya hesabu ya siku utakazolala ubavuni mwako; yaani, siku mia tatu na tisini utaula. 10 Na chakula chako utakachokula kitapimwa, shekeli ishirini kwa siku moja; utakila kwa wakati wake. 11 Nawe utakunywa maji kwa kuyapima, sehemu ya sita ya hini; utayanywa kwa wakati wake. 12 Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu ya MASHONDE YATOKAYO KATIKA MWANADAMU.
@johariyahaya8794
@johariyahaya8794 3 жыл бұрын
Hata wewe ukiruhusu yesu akutakase dhambi zako utakua mweupe kama theluji,
@Truth771
@Truth771 3 жыл бұрын
@@johariyahaya8794 : Nitakuwa mweupe bila zambi au ndio nitazidi kudidimia kwenye mazambi?. Wapi imeandikwa kuwa wakiristo au Ukiwa mkiristo unakuwa huna zambi?. Ingelikuwa ukuristo unaepusha zambi au unakataza kufanya mazambi anatakaza zambi wakiristo msingekuwa wazinifu wala walevi, wala kula nguruwe.. mnafanya uzinifu mpaka makanisani kwa sababu kanisa ni kwenye kiti cha Enzi cha Shetani. Unataka kunipeleka kwa nyumba ya Shetani wewe?. Na Mimi nakutakia uepuke na Shetani! Wewe mbaya Sana Rafiki yangu! unafanya kazi ya Shetani?!. Na mimi nataka kukuondoa kwenye ushetani Soma bibilia yako itakuambia nini kanisa. [Ufunuo wa Yohana 2:12-13] " Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili. 13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo AKAAPO SHETANI Wewe njoo huku kwenye Usilamu unakaza mazambi kwa sababu walevi, wazinifu hawaingii peponi hata bibilia yako inasema hivyo. [1 Wakorintho 6:9-10] " Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na Yesu hakuwa mlevi Wala hakula nguruwe, wala hakuweka govi (alitairiwa) Njoo huku uache mazambi. Kwanza ukuiingia uisilamu unafutiwa madhambi ya mwanzo unaanza ukurasa mpya kama alivyo ahidi Mwenyezi Mungu. [Qur'an 8:38] " Waambie wale walio kufuru: Wakikoma (wakiacha) watasamehewa yaliyo kwisha pita. Na wakiyarudia basi imekwisha pita mifano ya wa zamani. Sasa vipi ndugu yangu unataka kwenda peponi?. Njoo huku kwenye uisilam kulikoahidiwa kwenda peponi. Ukiristo sio Dini ya Mungu. Wala Yesu hakuwa mkiristo wala hajafundisha Ukiristo. Ukiristo in imani wa wapagani wa Roma. Uisilam ndio Dini ya Yesu.
@kikakakijukuu3138
@kikakakijukuu3138 4 жыл бұрын
Yeye mwenyewe alikua mchawi atawezaje kua muislamu wa kweli, huyu jamaa alikua mchawi na mshirikina na amepata walimu wachawi kumfundisha uchawi,huwezi kua mchawi kesha ukawa muislamu wa kweli,
@likeothers2498
@likeothers2498 4 жыл бұрын
Kabisa
@paulndegwa9452
@paulndegwa9452 4 жыл бұрын
Kwasababu Muhammad pia alisilimisha shetani akawa muislamu
@Nims643
@Nims643 3 жыл бұрын
@@paulndegwa9452 mkunduo
@jamessakaya6231
@jamessakaya6231 3 жыл бұрын
We hayo maneno uyasikii yatoka kwenye kuraani sasa kama c uchawi uwo nn?
@mariamjumamariamjuma4331
@mariamjumamariamjuma4331 3 жыл бұрын
@@jamessakaya6231 we koma. Ongea yote. Kita kiache kama kilivyo. Tutakutana qiyama... ukweli utajulikana
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 3 жыл бұрын
Yesu diye njia ya kweli 🙏
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 3 жыл бұрын
Innalilahi Was Inna Laihi Rajiun
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Inna lilah wainna ilahi lajihun
@lucyolindo5732
@lucyolindo5732 3 жыл бұрын
I am the light and the peace of the world and you should believe I love you jesus thank you for making me understand your love is so abundant and no one can take it away from me
@hassanmwalle5628
@hassanmwalle5628 3 жыл бұрын
ULIKUWA MCHAWI,NA ULIJIFUNZA UCHAWI NA MWL MCHAWI,HAUKUWA MUISLAM BROTHER, ACHA UONGO.
@kazubakazuba7146
@kazubakazuba7146 3 жыл бұрын
Na kasema kuna erim dunia na erim akheraaa so yy kachaguwa erim dunia
@trizzahawinja2818
@trizzahawinja2818 3 жыл бұрын
Soo kumaanisha katika dini ya kiislamu hamna wachawi, and yet katika KZbin nawaona wengi waislamu mwaamini katika uganga na mwajianika wazi, ama huo si uganga
@apostlebenny5319
@apostlebenny5319 3 жыл бұрын
Ninyi waislamu mtakubali lini mtu yyte akishatoka mnasema sio muislamu. Na hta ww ukitoka watasema ivo ivo na wkt hpa unajiona muislamu..
@hmjunior8140
@hmjunior8140 3 жыл бұрын
@@apostlebenny5319 Dini ya uislamu ipo mbali na mambo ya uchawi zaidi ya umbali uliopo baina ya mashariki na magharibi/ mbingu na ardhi! Dini imetakata kutokana na mambo ya kishirikina yote unayoyajua... Anayelingania na kusupport mambo ya kishirikina fahamu huyo halinganii yale yaliyokuwa katika dini ya uislamu! hata kama unamuona ni mvaaji kanzu na kofia mzurii....jua kuwa hicho anachokilingania kipo mbali na dini ya uislamu.
@wanawamungu9166
@wanawamungu9166 3 жыл бұрын
@@hmjunior8140 Dini ya Uislamu Ipo mbali na uchawi kwa namna gani wakati uchawi Allah anatuma malaika wawili Haaruta na Maaruta kufundisha mashetani uchawi, na hiyo inadhihirika mashetani ni wanafunzi wa uchawi kwa mchawi Allah(Qur'ani 2:102), Ikiwa Qur'ani inaonesha wazi allah ni mchawi mkuu, Toa sababu kwanini asiwe Shetani mkuu.
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 3 жыл бұрын
POWERFULL GOD, THANK YOU JESUS,MIGHTGOD
@ikwabeinjilitv9758
@ikwabeinjilitv9758 3 жыл бұрын
Amen Mungu azidi kukubariki kijana wetu
@nuryatsaid6405
@nuryatsaid6405 2 жыл бұрын
Innalilahi wainna ilaih rajiun
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 3 жыл бұрын
Innalillah wainna illah rajiun pole yako Salam zao madhali ni chaguo lako nenda mwana kwenda kaendekeze ushirikiano huko uendako, Njaa mtihan
@gracejohn886
@gracejohn886 3 жыл бұрын
Angekuwa katoka kwenye ukirsto kaingia kwenye uislam ungesema alihamdurulai lkn kaondoka mapovu yanakutokaa acha udini MUNGU ni mmoja
@maimunamwaren5885
@maimunamwaren5885 3 жыл бұрын
Selikali ingekua yangu huyu ninge msweka jera kwanza kwa loho alizo uwa
@arafatmosha78
@arafatmosha78 3 жыл бұрын
Katoka kwenye moto wa mkaa anaenda kwenye moto wa gesi.inna lillah wainna lillah raajun
@maimunamwaren5885
@maimunamwaren5885 3 жыл бұрын
@@arafatmosha78 anaongea kwakujidai akiona sifa aloyafanya naako erekea nazan kapewa rushwa huyu
@arafatmosha78
@arafatmosha78 3 жыл бұрын
@@maimunamwaren5885 Bila shaka hawa ndio wanaandaliwa kutoa ushuhuda wa uongo.kwa kuichafua dini ya uislam
@mussa6990
@mussa6990 4 жыл бұрын
Kijana unapaswa kufanya toba kubwa sna na usiweke hasira kichwani mwako mana mtu akikuudhi unaweza kurudi tena huko na kumfanyia kitu kibaya kwhy utubu kwa toba ya kweli na Mungu akufungue kweny hicho kifungo na damu ya Yesu ikufungue na kukuweka huru kabisa watu wengi tunateseka kwasababu ya watu wenye vitendo kama hivyo wanatesa snaa maisha yetu.
@khalifahmtata8659
@khalifahmtata8659 4 жыл бұрын
Kijana kapotea
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
@@khalifahmtata8659 JESUS KING OF KING
@saidhomie3368
@saidhomie3368 3 жыл бұрын
Kijana yupo pale anapaswa kuwepo, kwenye nguvu za giza, na ndipo anapostahili kuepo, kwa yale alioyafanya, anaelezea kwa ustadi na kwa mapambo, kama vile abaelezea vipi kupika chakula, Mungu atunusuru kwa majanga hayo.
@mariamjumamariamjuma4331
@mariamjumamariamjuma4331 3 жыл бұрын
@@happynicholaus6474 na MUNGU NI NANI KAMA UYO JISUS NI KING. ACHA UJINGA WW
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 3 жыл бұрын
@@mariamjumamariamjuma4331 hayo ndio maoni yangu
@agapemtuli9175
@agapemtuli9175 3 жыл бұрын
Bwana Yesu hajawahi kushindwa kamwe. Asante Yesu kwa kumtoa utumwani. Hakika ndo tunapata mwanga kumbe upande wa pili Kuna Mambo mengi.
@johnpangalas9687
@johnpangalas9687 2 жыл бұрын
Yesu ni njia ya kweli na ya uzima
@thedyassenga477
@thedyassenga477 3 жыл бұрын
Karibu kwa Yesu
@annamrima5507
@annamrima5507 4 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu na atabaki kuw mungu, ubarkiwe san kakaangu ieneze injili
@janekamau6189
@janekamau6189 3 жыл бұрын
I just love how waislamu wana tetea dini yao. They are trying their best. Kila muslamu aliokoka wanasema hakua muslamu. But mchristo akienda kwa waislamu inakua ni mungu amemuonyesha njia. Woooiye. Heri kwa Yesu. Yesu anakutetea.
@bayujaphary.9086
@bayujaphary.9086 3 жыл бұрын
Wewe ni mshirikina kama washirikina wengine! Uislamu haufundishi huu ushirikina/uchawi.
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 3 жыл бұрын
Najua mtakataaa lakini ukweli ndo huo
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 3 жыл бұрын
Neno la mungu nifimbo pia nimoto ulao
@issacngaile6822
@issacngaile6822 3 жыл бұрын
Ulaaniwe we unaemshirikisha mungu kweny shrki Iman yak inayumba . Innalillah waina ilaihbrajiun.
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 3 жыл бұрын
hahahah isack umeemlaani hahah anacheza na imani za watu
@daudiibrahim75
@daudiibrahim75 3 жыл бұрын
Mjingawee dunia nishuleyamsingo elimuahera kolahani
@zainabuhassan6042
@zainabuhassan6042 3 жыл бұрын
Wewe laana mjinga mkumba komaaaaaaaa nyoko mbwa shetwani wewe
@mohamediramadhani6120
@mohamediramadhani6120 3 жыл бұрын
Kwel haswaa kak
@wanawamungu9166
@wanawamungu9166 3 жыл бұрын
@@mohamediramadhani6120 Waislamu ndio watu wa kwanza kulalamika Allah anafanyiwa shirki, wakati Allah surah ya 89-90 kuendelea anajishirikisha hadi na matunda, inafika hatua Allah anaapa hadi kwa zabibu sijui zaituni, Huyo ndio mnamtetea waislamu???
@sylviakenyanya4038
@sylviakenyanya4038 3 жыл бұрын
Ndugu pongezi sana may God be on your way kila wakati i like the way umejitolea kufanya kazi ya mungu na ninaomba akuebushe na mikosi yote ya uislam be blessed alot bro
@abdallahmilaba5407
@abdallahmilaba5407 3 жыл бұрын
Wewe umenunuliwe ili ukashfu uislamu. Uchawi na uislamu ni vitu viwili tofaut kabaisa. Mafundisho yako ni ya kupotosha jamii. Hayo unayosema yanapingwa na Mwenyeenzi Mungu.
@psalm2346
@psalm2346 3 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha , hallelujah
@samuelmoses9243
@samuelmoses9243 4 жыл бұрын
Kaseana Mungu awarinde maana mnapigwa sn vita sbb mnaifunua dini ya majini na imewateka wengi.
@endtimeloudcrytv
@endtimeloudcrytv 4 жыл бұрын
Amen
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Neema ya Bwana iwe juu yenyu
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 3 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa.Haleluyaa
@pastoreliamsika9355
@pastoreliamsika9355 3 жыл бұрын
Well done Songambele mwamba! Najua ushauona ushujaa wa YESU Upo mahali sahihi sana sana huku Sinaga shaka na mageuzi ya Yesu hata mimi nimeyaona mageuzi ya YESU, anidanganyi mtu kwa habari ya uwezo wa YESU KRISTO. 2008 mpaka now 2020 najua umeshakomaa kabisa Mtu akitaka aamini au asipotaka asiamini YESU hajawahi mlazimisha mtu kuingia kwenye neema hii ya WOKOVU ni suala la muda tu na wakati sahihi.
@godwinsamwel3937
@godwinsamwel3937 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@user-ky2do8fn1w
@user-ky2do8fn1w 4 ай бұрын
Yesu akulinde saaaana
@paulmssoma6006
@paulmssoma6006 3 жыл бұрын
Bwn Yesu asifiwe sana
@fathimamialii8519
@fathimamialii8519 3 жыл бұрын
Mungu akuonyeshe njia ya haki lshaallh 😩😩Ina lilah waina lilah rajun
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Ndo Tayari Tena, Kashaonyeshwa.
@vickybest6296
@vickybest6296 Жыл бұрын
Njia ya haki ni Yesu
@ashahaji6786
@ashahaji6786 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun Ya Rabbi tuhifadhi na utuepeshe na mambo km haya ss na vizazi vyetu
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 3 жыл бұрын
Ameen ya Rabbi
@hawakiza6067
@hawakiza6067 3 жыл бұрын
Innalilah wainnailaih rajiun
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 3 жыл бұрын
Kwa Yesu kila goti litapigwa. Amen
@totodavis1949
@totodavis1949 3 жыл бұрын
Amen amen
@majariwagift1498
@majariwagift1498 4 жыл бұрын
Ameen yesu ndie njia ya ukweli na unzima
@BintiEpapy
@BintiEpapy Ай бұрын
Asante sana kwa ushuhuda mzuru
@ibraa1157
@ibraa1157 3 жыл бұрын
Umelipwa pesa ngapi ndugu Yangu ...kumbuka dunia tunapita tu ...Jaribu urudi kwa Mola wako hali ya kua Amekuridhia
@azizasaid7660
@azizasaid7660 3 жыл бұрын
Allah amsameh kwakwel
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 3 жыл бұрын
Ndugu zangu Mungu awasaidie Sana Kuna siri kubwa nyuma ya dini ya kiislam ...laiti Kama mngemchagua Yesu Leo hii🙏
@hajihamisi6778
@hajihamisi6778 3 жыл бұрын
Daaahhh....eti elimu duniyah ni mambo yakishirkina jamani jamani, elimu duniyah sini pale shule ya msing, sekondari na hta chuo kikuu, sasa iyo ya uchawi ni wew ulijifunza uchawi sio dini
@azizasaid7660
@azizasaid7660 3 жыл бұрын
@@hajihamisi6778 utawaweza hawa wanafiq
@abdullahiabdirahman2301
@abdullahiabdirahman2301 3 жыл бұрын
Ww utakufa mbaya kuliko sheitani
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 43 М.
Tazama wachawi wanavyo aibishwa (Fahamu ufalme wa giza)....Episode 1
29:29
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 59 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 30 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
USHUHUDA WA ALIYEKUWA SHEHE - OMARY MNYESHANI 4/4 - bonyeza SUBSCRIBE
31:47
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 122 М.
#LIVE: Mnakasha Salafi na Tabligh || masaa matatu ya HOJA za moto
2:51:04
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 821 М.
Part_1 USHUHUDA WA ALIYEKUTANA NA  YESU NA SHETANI LIVE
49:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 101 М.
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 29 М.
DEBATE KATI YA UST HAMZA ISSA NA WAHADHIRI WA KIISLAM KUHUSU UKOMBOZI WA YESU
2:50:25
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН