MUNGU AKUSAIDIE SANA MTANGAZAJI UBARIKIWE 😍😍😘👏👏👏👏👏congratulations eee 💭💭💭💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾 Mungu yupo ❤️💗 HABARI ADIMU SANA MAMBO YA KIROHO UBARIKIWE MWAYA
@plastidiacasmiry2234 Жыл бұрын
Wewe ambaye hutoam8ni baso ..uburudike tu! Twakupenda mtumishi wa Mungu.
@dreamcity94414 жыл бұрын
Yesu nifundishe kuacha dhambi nije kwako mwokozi
@wilsonmapesa7986 жыл бұрын
Mtangazaji tunakupenda sana maana unatupa vitu admu sana.
@blessedlovedandfavoured41296 жыл бұрын
Yani hi stori ya msikule nimeiskia Mara ya Kwanza katika hizi testmonies .. so many people don't know about those things especially in Kenya uchawi ujakolea sana hapa ....but now am now suspecting my few neighbors walikufa wadogo Tena kiajabu inaezekana wako msikuleni pia?? Sijui niwaite njoo Kama Gwajima😕😕
@josephatjoseph17555 жыл бұрын
everyday when ur praying call the misukules just njoo when praying
@mabulamasunga73785 жыл бұрын
Very good narrations
@lilyrose40665 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Kaka Jacktan.
@PromovertvTz5 жыл бұрын
Ameen
@polinepoline28636 жыл бұрын
Na damu ya yesu ikulinde jacktan kwa kutuletea shuhuda hizi aliye na maskio ajifunze.
@PromovertvTz6 жыл бұрын
Amina Kubwa
@SAYFANMUSSA6 жыл бұрын
safi sana bro kwahivyo saluti tupe vitu adimu hivyo
@mafinamaizez25146 жыл бұрын
Mungu atupiganie yarab
@sarahmanase24426 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@mariamfritsi97616 жыл бұрын
Mhh jamani yaani nimeduwaa hasa hizi simulizi,hivi ni kweli kabisa.sasa Mungu ndie muumbaji ila kuna watu wanaoharibu.hiyo power wanaipata wapi?22.02.19.
Majogoro hajapatikana,bado tunaendelea kumtafta,pia tunaendelea kupokea michango ya pesa kwaajili ya kumtafta
@fadhiliswalehe95546 жыл бұрын
ni story ya kweli au kutangaza ulokole tu
@sadockapronary97376 жыл бұрын
OKOKA
@zenassylvester1256 жыл бұрын
Kua mchawi alafu utajua kama story au ukweli
@giftielinganga67076 жыл бұрын
Nikweli we achakuangalia ulokole jifunze dunia iłivyo
@barakajacobs54856 жыл бұрын
Napenda majibu yenu
@dorsandollah33845 жыл бұрын
Hakunaga kutangaza ulokole tunashuhudia matendo makuu ya MUNGU
@alphoncemichael57984 жыл бұрын
Huko kuzimu alikokuwa akiishi ni wapi sasa?
@jennjaja15866 жыл бұрын
Story poa. Musukule ni mutu gani? Not so good with TZ swa!!
@matridalule46646 жыл бұрын
zombi
@jennjaja15866 жыл бұрын
Lo
@jennjaja15866 жыл бұрын
@@matridalule4664 thanks Boo
@hanceedward32436 жыл бұрын
The people who dead in miracle way
@robertgeofrey41185 жыл бұрын
Musukule is the person whose death is staged by witchcraft means In human world the person is seeing dead by any cause but reality is that his/her spirit is taken by witches so that his/her spirit may be used in World darkness(spiritual World) They become invisible to normal human,Their mind is blinded by power of darkness and are used as slaves to serve witches wishes.
@mwalimumhunzi66946 жыл бұрын
Hapo bila uficho unatangaza Kanisa. Kweli Uchawi upo, majini wapo Ila mtoa mada anaposema ameokoka aaa! Wakati hakuna kuokoka duniani kuoka ni cku ya mwisho cku ya Kiama ndo kunawatakaookoka baaada kuonekana hawanadhambi. Unasema unasali Kanisani kwamaana ww ni Mkristo lkn Biblia inasema Ukristo ni jina la kupangwa limepangwa na Wapagani (MATENDO YA MITUME 11:18-21) sasa kama ndivyo Ukriso nijina (dini) la kupanga sasa Unaabudu dini na Mungu wakupanga na Watu(Wapagani)?! Nia kuu ya shetani mikumpoteza mja hata kama shetani ataingia ukweli lkn kunauwongo uliojigivha japo uwonngo kiduchu lkn unamadhara makubwa uwongo huo. Uwongo uliopo hapo uonekane Ulokole/kuokoka kupitia Uktisto ni ndo Suruhisho pekee wakati c kweli unaendeleaje Upagani na UKAFIRI ili kupoteza watu kiujanjaujanja. Mtafute MUNGU wa kweli kupitia dini ya Ukweli ili upate kuabudu kwa haki.
@channychachamick43995 жыл бұрын
Usipo okoka duniani utakuja kuwokoka wap kaka unajidanganya
@benbaraka94755 жыл бұрын
Kuokoka ni duniani sio mbinguni au uelewi nn maana ya kuokoka
@benbaraka94755 жыл бұрын
Kuokoka ni duniani sio mbinguni au uelewi nn maana ya kuokoka
@salvatorysponda76025 жыл бұрын
Subili tuone hapo mwisho
@fetrishakaza14735 жыл бұрын
dini yamajini uslamu nani aje ukitakakujua dini yakweli kuwa mchawi