USHUHUDA WA BINTI ALIYEKUWA MCHAWI KITENGO CHA KUWAANGUSHA WACHUNGAJI•Chanzo ni Bibi,Kafara ya Mama

  Рет қаралды 23,707

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 94
@user-iy9oj5fn8l
@user-iy9oj5fn8l 3 ай бұрын
PIA HIZI SHUHUDA KUWENI NAZO MAKINI KUZICHUNGUZA KABLA HAZIJATUMWA KWA HADHARA, PIA MSHIRIKISHENI ROHO MTAKATIFU,AMEN
@fayreen
@fayreen 2 ай бұрын
Mungu atusaidie sijui mengii ila wengine hutoa shuhuda za kuongezea chumvi lakini kama kweli nishuhuda isiyo na chumvi bc mungu mwema na atusaidie kukaa kwenye pindo lake ameen🙏🏿🙏🏿
@edgarfaustus6379
@edgarfaustus6379 Жыл бұрын
Jitahidi kuweka distance na msimuliaji apate confidence ya kuongea
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@godisable2098
@godisable2098 Жыл бұрын
Ji
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Ee kabisa
@marionoti5760
@marionoti5760 Жыл бұрын
Huyu hapa ni mwongo aliyepitiliza, wengi wa watu wanaojitangaza kuwa watakatifu, ni wachumia tumbo, hawaogopi kutunga hadithi za uwongo,wanadhani utakatifu ni kuchonga mdomo badala ya Matendo. Anayempenda mungu hajiinui, huinuliwa na wanao mzunguka/majirani.
@barikiwa22
@barikiwa22 5 ай бұрын
Cha msingi ni kuwa na IMANI na kumpenda Mungu. Unaweza ukakesha lakini huna IMANI so ni kazi bure. Unaweza ukasali kidogo lakini una IMANI KALI, hakuna atakaye kukaribia. Tukuze imani zetu wapendwa
@joycegeorge-mf5kn
@joycegeorge-mf5kn Жыл бұрын
Bado anahitaji maombi ya ukombozi Zaid na kuvunja hayo maagano Bado hayupo vizur
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Promover TV naipenda INJILI na shuhuda za UKWELI. Kazi YENU ikue iwafikie WENGI wapone na waacha kutesa viumbe WENGINE bure hakuna faida kwani siku moja MUNGU ataichukua roho yako kabla hujatubu na kumkabali kuwa Jesus is lord and non other. Amen mtumishi
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Asante Tunakupenda pia
@Brasolebasoto
@Brasolebasoto Жыл бұрын
Nimempenda Sana mtangazaji anauliza maswali mazuri
@gerardineakima1766
@gerardineakima1766 Жыл бұрын
Muulizaji uko professionnel kwakazi yako kbsa hakukuwa rahisi kumuhoji ila umejitahidi utazani anakigugumizi Mungu atubariki sote kwapamoja
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu kwa binti huyu kuokolewa...
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Wanaomba wanafunga wanaemfungia hana nguvu nampenda.Mungu.maana.roho.hutusaidia kutuombea
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asente yesu kwa usuhuda wa nguvu ya mungu shatani hutesa watu wa mungu pole Sana Dada kwa hiyo yote
@juliethswai4263
@juliethswai4263 Жыл бұрын
ila bado anahitaji ukombozi hayuko sawa
@silasnatir7915
@silasnatir7915 Жыл бұрын
Nashukuru kwa ushuhuda nzuri promover TV ushuhuda zenu ulinifanya nikaokoka namshukuru mungu
@messimessi7255
@messimessi7255 Жыл бұрын
Jina la Bwana litukuzwe
@silasnatir7915
@silasnatir7915 Жыл бұрын
@@messimessi7255 Amen
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
Aise
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 Жыл бұрын
Samahani mtangazaji, usipende kuuliza maswali. Muache mtoa ushuhuda wake mfululizo alafu akimaliza ndio umuhoji maswali kwenye vipengele ambayo havijaeleweka nahisi itapendeza zaidi. Maoni yangu
@pudensianamhasi5364
@pudensianamhasi5364 Жыл бұрын
Mtu mwenyewe siunamuona kujieleza hawezi?asipoulizwa hawezi jiongoza huyu,.
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 Жыл бұрын
@@pudensianamhasi5364 Asante ni kweli, hawezi kujieleza kwasababu ni kama amebanwa flani hivi. Angekua huru nahisi angejieleza vizuri.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe Sana kwa kumtoa mtoto huyu kwenye vifungo vya uchawi ila Mama ake angemwambia uenda naye ataokoka nakujihami pia na uyo bibi
@flavianarwebangira6726
@flavianarwebangira6726 Жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu wasaidie watoto wetu wakujue ww pekee na kukutumikia ww pekee. Hongera sana Promover Tv kwa kazi nzuri sana ya kumwaibisha shetani.
@haldhatonmoha5858
@haldhatonmoha5858 Жыл бұрын
Tumsifu Yesu huyu dada Bado ako na spirit of confusion anatakiwa kukaa chini ya maombi ya ukombozi...na maombi ya utakaso na Toba...Kwa maana anavamivamia anapotaka kutoa Siri ..
@evermayala5817
@evermayala5817 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu. Asnte kwa wokovu na wachawi wanazidi kumbuka Sasa tunawajua hawatu ababaishi
@selafinlisiely6009
@selafinlisiely6009 Жыл бұрын
Definitely God is good, Ila Kuna hatari ninayo hiona hapa"sisi wakristo wengi wetu tunapenda kusikiliza shuhuda za watu,ingawa Ndani nyingine Zina mitego, wache watapata ushindi kwa shuhuda Ila wengi wataangamizwa" Ukichua nafasi kumtazama huyu bint bado mapepo yana muongoza Nini Cha kusema na Nini Cha kuficha, wapenda tuwaombee wenye hii channel, wasije wakanaswa na chombo hii kikatumiwa na mashetani Kama lilivyo jina lake promo, Tunahitaji maombi na Elimu zaidi Ila huyo binti bado yupo Chini ya mamlaka ya Giza, Ili unielewe ninacho sema unahitajika kuwa rohoni, utaona Amani iwe nanyi nyote
@catherineawinja7417
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Ni kweli hata mm sijakuwa na amani
@selafinlisiely6009
@selafinlisiely6009 Жыл бұрын
@catherinewinja Bwana Yesu akutunze
@catherineawinja7417
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Amina
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Kuna watu hawaamini.uchawi.ndugu zangu.wakristo.kuja.yesu.dunian alilijia giza ukiwemo.uchawi ma'ana ndo vita ya kanisa kushindana.kwetu ss si kwA mwili ni lohon.ndo ukiingia.lohon.unakutana na uganga uchawi
@norahabuyeka9617
@norahabuyeka9617 Жыл бұрын
Ahsante sanà kabla nione nione umeandika nini nimeshangaa kuhisi hivyo,anavyomwangalia
@AnnaDastan
@AnnaDastan 8 ай бұрын
Mungu awalinde sana watoto wetu
@ashambena6910
@ashambena6910 Жыл бұрын
Mungu ni mwenye uweza
@messimessi7255
@messimessi7255 Жыл бұрын
Umekaa karibu sana na msimuliaji, ebu jitahid kuweka umbali
@flomaje1J
@flomaje1J Жыл бұрын
Loudspeaker ni moja
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Anataka kumtowa pepo
@deomajuva2432
@deomajuva2432 Жыл бұрын
Ongeza nguvu ya maombi utamkomboa tu Mungu hashindwi kitu
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 8 ай бұрын
Nyoa vizur kama jactani hanakasoro bingu yake
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Huyu dada ni afanye bidii akamuone mtumishi katekela aliyekua Chief star wakichawi atasaidika
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
si Lazima
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq Жыл бұрын
Hakika Bwana Yesu ni Bwana wa Bwana atuokoae wote!
@ashambena6910
@ashambena6910 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@cuthbertsebastian9626
@cuthbertsebastian9626 Жыл бұрын
Jitahidi kuweka distance na watoto wazuri huwa wanshindwa kufocus na kusimulia.
@messimessi7255
@messimessi7255 Жыл бұрын
Kweli amekaa nae karibu Sana ..sio mkao wa kimahojiano
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 Жыл бұрын
Huyu binti sidhani kama amefunguka vizuri atakuwa bado wanamfatilia
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Endelea kumwombea. Na anahitaji mafundisho sahihi ya Biblia ya Kuukulia Wokovu. Mungu ni mwema. Amina.
@pudensianamhasi5364
@pudensianamhasi5364 Жыл бұрын
Anaonekana bado kuna vitu vinamsumbua huyu,,Mungu amsaidie kwakuwa yeye mwenyewe anatamani kabisa kuacha
@kikosibenderajehovanisitea9688
@kikosibenderajehovanisitea9688 Жыл бұрын
Ni kweli bado hayupo sawa
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 Жыл бұрын
@@pudensianamhasi5364 anatamani kutoka ila bado ameshikiliwa ila hakuna linalomshinda Mungu akitaka kuachiliwa atatoka
@jovinjones4777
@jovinjones4777 Жыл бұрын
uko sahihi, anahitaji mchungaji mwenye upako mkubwa amfungue
@bankanievicent9181
@bankanievicent9181 Жыл бұрын
Kwa wachungaji wa sasa walivyo kisiasasiasa na kimadilimadili, uwezo wao ni mdogo sana wa kiroho wa kupambana na uchawi
@ruthmdassa633
@ruthmdassa633 Жыл бұрын
Huyo binti bado ana Chembe za uchawi ajitahidi kuomba na kufunga
@MeshackKajela
@MeshackKajela 20 күн бұрын
Mchingaji hana cha kumsaidia mtu anaetaka kukombolewa 😂😂
@atulindakanuma4144
@atulindakanuma4144 8 ай бұрын
Oooooh
@JoshuaMnyanjoka
@JoshuaMnyanjoka 4 ай бұрын
Elisha majaliwa
@Yudawise
@Yudawise Жыл бұрын
BWANA YESU naomba uniokoe , na wasichana wazur
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 Жыл бұрын
Tuko pamoja na mimi pia naomba hilo pia ndo mapungf yangu hayo
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Sijawaelewa lakini we mwanaume unamwita yesu bwana wako kisha akuokowe na wanawake Sijawaelewa
@obedcosmas1649
@obedcosmas1649 Жыл бұрын
​@@alzawahirabdallah2299BWANA MAANA YAKE NI HESHIMA ANAYOPEWA MTU ANAEKUMILIKI KWA KILA KITU
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@obedcosmas1649 sasa yeye anamilikiwa na yesu kwa kila kitu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
Hivi kila mbinti anapewa uchawi na Bibi yake??Mpaka naogopa Wabibi wengine
@norahabuyeka9617
@norahabuyeka9617 Жыл бұрын
Huyu Binti nikama anafiçha mengi,Hana myiriko wa ushuhuda
@annkim2690
@annkim2690 Жыл бұрын
Nilisikia mtumishi mwingine akisema kuhusu hio mambo ya kufunga tukifunga Tatu wao wanafunga saba
@NellyRebiam-tu8uf
@NellyRebiam-tu8uf Жыл бұрын
Anauliza maswali mengi kabla ya ushuhuda kupangiliwa.mi hata sielewi.amwache maswali kidogo
@cuthbertsebastian9626
@cuthbertsebastian9626 Жыл бұрын
Mbona kama unamtongoza ???? Eeee😊😊 cheki anavyo hema dah
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
Hii nayo ni kali mambo na uchawi hii MUNGU ATUSAIDIE
@annkim2690
@annkim2690 Жыл бұрын
Maskini pastor alikua nawakati Mugumu kweli Yani watoto wote ni wachawi
@daxmediaupdates
@daxmediaupdates Жыл бұрын
Jina la bwana lihimidiwe
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 Жыл бұрын
Mtihani kwakweli nimejifunza kitu japo msimuliaji tumenampata kwa tabu yaani anaongea kama hajiamini vile sijui tatizo ni nn
@JifunzeNenoLaMungu
@JifunzeNenoLaMungu Жыл бұрын
Ni Mtu wa Arusha na kupiga story kwenye mic kazi kama hujazoea kwanza..
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 Жыл бұрын
@@JifunzeNenoLaMungu ahh Sawa nashukuru Kwa kunifaamisha
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Brooh acha dada asimulie ndipo upate MUda wa maswalĩ?🖐️
@atulindakanuma4144
@atulindakanuma4144 8 ай бұрын
Wenyewe wanafungaje et mbn tunaona wanakula
@davidtry4ne
@davidtry4ne Ай бұрын
haha
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 Жыл бұрын
Sorry mtangaji. Hiyo distance sio sawa.
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 6 ай бұрын
Kipaza sauti ni kimoja
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 6 ай бұрын
sawa asante@@victorianchimbi8640
@charlespeter580
@charlespeter580 Жыл бұрын
Hiyo distance inaondoa uwepo wa Mungu, wewe kaka umekosa hekima kabisa siku nyingine usirudie kufanya hivyo, wewe ni kaka na huyo ni binti unapo fanya hivyo unalitukanisha jina la Yesu. Hiyo distance unapaswa kukaa na mkeo sio mabinti wengine
@graceshayo5763
@graceshayo5763 Жыл бұрын
Heeeh jmn mna mawazo ya ajabu na nyie
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Jamn ni Kwa kajili ya kutumia kinasa sauti sasa akiwa mbl ataongea naye vp?mawazo mabaya hayo tukisaokoka na kutisha miili yetu, YESU akae ndani yetu
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 6 ай бұрын
Kuna watu muda wote mnawaza uzinzi tu, kipaza sauti ni kimoja afanyaje
@Shalom2018
@Shalom2018 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
My friends said I embarrassed them for marrying such a man.  | Tuko TV
40:08
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 47 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 11 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 27 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 47 МЛН