Hakika Mungu ni mwema na tunayaweza mambo yote ktk yy atutiae nguvu na hakuna aliewahi kumtumainia yy akaaibika, hivyo mpendwa ktk Bwana japo umepitia mengi magumu usirudi nyuma kamwe endelea kumtumikia Mungu tuu achana kabisa na waganga wa kichawi
@swahiliandculture65995 жыл бұрын
Mungu si mwanadamu fadhili zake zadumu milele. Usimwache Yesu daima. Utakuja kuwa mtu mkubwa sana.Mungu ni mkuu, mfalme wa wafalme ..Bwana wa mabwana... hongera sana kwa uamumzi mzuri hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
@devothabishagazi23115 жыл бұрын
Utapona na utazidi kushuhudia matendo ya Mungu,usijali mi mtoto wangu alisota tangu kuzaliwa hakuwahi tambaa wala kusimama lkn kwa Mungu hakuna lisilowezekana alitembea baada ya miaka 6,now ni mkaka anaenda shule ana miaka 10,YESU HUYU MUACHENI AITWE MUNGU,Ee Mungu nitetee hata ktk madeni yanayonisumbua
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Amen atazidi kukupigania
@johnmkama53565 жыл бұрын
Pore sana mpwndwa Bwana akutie nguvu zaid na zaid Amen
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Hakuna kama Mungu wapendwa tusimame imara wala tusirudi nyuma ,pole kwa majaribu, Mungu azidi kukupigania utapona kwa jina la Yesu
@samuelnduati97925 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema kwako kaka kakuokoa kutoka kuzimu.