Nampenda huyu mwalim hakika anajua maandiko kweli Mungu amzidishie
@joylynenalija47954 жыл бұрын
Nmempenda sn huyu mtumish,kuna kauli kaongea hapo nmecheka lkn ina maana kubwa sn,ukishaokoka tafuta cha kufanya mbele za Mungu uckae bure heman mwa Bwana,ukikaa bila kazi shetan atakupa kaz ukiwa hvyohvyo umeokoka na humohumo kanisan.unajikuta we ndo mchonganish,mbea,muongo n.k. Ubarikiwe sn mtumish wa Mungu kwa ushuhuda mkuu.Mungu akakutane na haja ya moyo wko,Yeye ndiye atakayepigana vita yko na mtakuwa salama na familia yko. Hakika Yesu ni mzuri🙏
@omaebarongo18924 жыл бұрын
Ni barikiwa Sana kwa ushuhuda bwana Yesu Kristo akutie nguvu kwa kazi yake Amina
@josephomuto32402 жыл бұрын
Natazama kutoka Kenya. Asante sana kwa ushuhuda huu mzito na wakutia moyo sana. Nimeuniliwa sana na ushuhuda huu wote kwa jumla. Huyu mwalimu amekolea katika Neno. 💯.
@happykajeli54534 жыл бұрын
Nazidi kufunguka kupitia shuhuda mbali mbali mbalikiwe mnao pitia magumu km hayo binafsi yananisogeza zaidi kwenye imani ya kumuamini mungu pekee shetani hana nafasi
@beatricemakanga69563 жыл бұрын
Hakika huyu ni Mhubiri na Mwenyes Mungu akuongoze nmejifunza kitu kubwa hapo
@barnabasmboya76884 жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu kwa huu ushuhuda aisee ni wa ajabu sana. Kuna vitu vingi sisi kama kanisa la Bwana Yesu kristo ni lazima tujifunze. Mungu anisaidie.
@sarahjacobs88144 жыл бұрын
MTU wa Mungu umesema ukweli mtupu.nami nitaangalia kutenda Yale yanipasayo kutenda katika Mungu Kenya
@rojacfc324 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda wako unanifanya kuwa karibu sana na mungu
@isayanyingi66222 жыл бұрын
Mzidi kubalikiwa promover tv
@mariamidrisa13594 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu ushuhuda. Na huyu mtumishi ni wa kweli. Kuna baadhi wanatoa ushuhuda wa uongo kwako wewe wewe Jacktan. Sijui Ni kutafuta umaarufu, pesa ama nini lakini wanatoa ushuhuda wa uongo.
@monicabh16683 жыл бұрын
Sasa uongo uko wapi hapa
@pastorjamesmajaliwa78433 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana mtumishi
@omaebarongo18924 жыл бұрын
Ukweli kabisaaa haya yanatokea kanisani
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda kwa kweli unazidi kunifungua
@tulibumisalu88124 жыл бұрын
Amina mtumishi. Hakika neno limekaa kwa wingi ndani yako. Umewezaje kuweka Biblia yote kichwani kwako. Yaani natamani sana.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Juhudi na Kuomba tuu
@ruthalberts81994 жыл бұрын
Thank you for such a great testimony
@arjunnickolas87913 жыл бұрын
i guess Im randomly asking but does anybody know of a tool to log back into an instagram account?? I somehow lost the account password. I would appreciate any help you can give me.
@joziahroyce62263 жыл бұрын
@Arjun Nickolas instablaster :)
@arjunnickolas87913 жыл бұрын
@Joziah Royce Thanks so much for your reply. I got to the site through google and im in the hacking process now. Takes quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@arjunnickolas87913 жыл бұрын
@Joziah Royce It did the trick and I finally got access to my account again. I am so happy:D Thank you so much, you really help me out !
@joziahroyce62263 жыл бұрын
@Arjun Nickolas You are welcome :D
@kelvindaudi1063 Жыл бұрын
Amina sana baba kweri mungu ni mwema
@ameulmontan67534 жыл бұрын
ni watumishi wachache sana wanaosema kweli kama wewe nyakati hizi ubarikiwe sana
@milley71852 жыл бұрын
Powerful testimony
@Turyatunga534 жыл бұрын
GROLY BE TO GOD, THANK YOU FOR THAT WONDERFUL TESTIMONY.
@navokisembo4 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ushuhuda mzuri saana
@neemamwalende3044 жыл бұрын
Jactan doctor wa roho upo vizuri na bwana,mn maswali yak yaendana na mtu wa rohoni .
@josephatjoseph17554 жыл бұрын
mpaka naona wivu ulivyoshika hio mistar yoyote
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Glory to God always may God protect yu always what God can do nobody can do .
@mocranaburugi34864 жыл бұрын
Na watumishi wengi wanavyowapa kipaumbele wenye pesa, akitokea mtu anatoa sadaka kubwa anapewa uzee wa kanisa, anapewa madaraka kisa pesa
@juniorkalinge5861 Жыл бұрын
Hapo umenena dada yangu katika YESU KRISTO
@agnesschirstian92264 жыл бұрын
Aaaaemen mtumishi nimekueleewa vizuri saana
@ester.k.68374 жыл бұрын
Amen! Hakika YESU KRISTO ni BWANA!
@bonifasiemanueli27084 жыл бұрын
Kwa sasa unatumika wapi
@upendomtui65449 ай бұрын
Ushuhuda huu unazidi kuniimarisha, ashukuriwe BWANA aliye juu ya vyote
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Hizi shuda zote tunapewa nizakutuleta kwa uzima wamilele tukome dhambi
@josephatjoseph17554 жыл бұрын
nmependa una jina la kiarabu ila unamkubali Yesu
@loveaikade65344 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ushuda wako mtumishi
@abellmainge26024 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@jessicamorrison2894 жыл бұрын
Hebu ongelea hizo nguvu za watumishi wanaotumia nguvu za giza
@trophywilson72112 жыл бұрын
Amezisema Part 1 rudi usikilize
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Asante
@pericykiko61984 жыл бұрын
Jiba la Bwana lihimidiwe
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
Kabisa shetani ameteka ulimwengu sana
@marygolesi29664 жыл бұрын
Glory to God!!!!!
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mbona wenzetu wanasema hata Mtume wao atawafikisha kwa Mungu,??iko je hii??
@mamanchuchu79692 жыл бұрын
Niko burundi nasikiliza MUNGU akubarikisana
@aminaally41634 жыл бұрын
Mm nipo nnje ya nchi ya Tanzania kanisa sijawahi kulijua apa nahitaji Sala ya Toba mtumishi uniongoze
@ester.k.68374 жыл бұрын
Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni BWANA na kumwamini moyoni mwako, utaokolewa. Anza kusoma Neno la Mungu kila siku na pia muombe akuongoze kwenye kanisa la kiroho wanaosoma Biblia na kumtumikia MUNGU wa Kweli. Roho Mtakatifu atakuongoza. Tenga muda kila siku kwa ajili ya maombi na kusoma Neno la Mungu kila. Ni kuzichukia na kuziacha kabisa dhambi.