😢😢😢😢😢😢jaman marco mpka sai huwa unaniuma sana akiiiiiiii
@eunicesimion4890Ай бұрын
Hawa watu wanaimba vizuri jamani. Mungu awabariki sana ❤❤❤
@ShirohShazzy2 ай бұрын
😢😢😢😢😢 Marco Marco kweli huu wimbo ulimanisha nini kabisa kweli Kifo ni Siri kubwa mno ni nani amesikiliza huu wimbo zaidi ya mara moja kama Mimi huu wimbo uko na maana kubwa sana Marco 😢😢😢💔💔💔💔 uliandika akida mungu akuponye aki kweli mungu mbona uliruhusu haya yatupate ata kibla ajashout mwenyewe marco kweli ulienda na ulituwacha vinywa wazi continue resting in peace baba joan you did a great job indeed na uliwacha good massage lakini n huzuni sana forever in our hearts 💔💔💔💔 our hero you serve God indeed rest easy till we meet again 😢😢😢😢😢
@perezokeyo40832 ай бұрын
Marco jamani pole ndugu , umeondoka mapema sana ila kwa yote Mungu aliyeruhusu naye atufariji kwa njia zake.naombea familia yako waweze kutiwa nguvu kwa maisha yajayo
@NancyMweta2 ай бұрын
Amen mungu awabari tunabarikiwa xna na mwimbo zenu barikiweni xna mungu awatie nguvu uzushi wamitandao watabaki nauzushi songeni mbele mungu yu pamoja nanyi musimruhusu shetani awavuruge
@RehemaJoseph-r8q14 күн бұрын
Jaman poleni wimbo mzuri sana nmekutana nao tiktok nikaamua kuja youtube kuusearch mzuri sana wapendwa mungu yupamoja na nyinyi atawazidishia nguvu na baraka Luka 11:13.
@RamadhaniBakari-v9f16 күн бұрын
Huu wimbo unanikumbusha niliugua nikawa nausikizi niko hospital nimewekewa dilipu mungu nimuweza wabaliki waimbaji
@EstherMongare-re7djАй бұрын
Ameen🙏🙏🙏nice song....continue resting in peace Marco 😭😭😭aky kifo ipo siku nawe utakufa
@sharonchelangat18102 ай бұрын
Marco alimwambia Japheth niombee nipone nije tushoot wote wimbo huu"AKIDA" Lakini ni kama mungu alikua na mpango zake keep resting in peace marco😢😢 we shall meet again in a beautiful shore
@ClemenceSekarera2 ай бұрын
Hakika tuna huzunika mungu awe mu fariji kwa familia ya zabron
@LouiseLove-up8fg2 ай бұрын
It's sad and painful 😢😢😢
@harrietajiambo2292 ай бұрын
Sioni kifo cha Mungu hapo hio ni kazi ya shetani
@alimasha70172 ай бұрын
Marco kala salama tutakutana mbinguni
@evakabete2944Ай бұрын
@@harrietajiambo229kweli kabisa make shetani ndo alisababisha kifo kiwepo kwa binadamu
@LovelyArmadillo-zu7xy3 күн бұрын
Napenda sana nyimbo zenu
@LovelyArmadillo-zu7xy2 күн бұрын
Ani jaman Marco ttaendelea kukuenzi jamani pengo lako nani atakae liziba
@MagrethVisent2 ай бұрын
Ttakukumbuka daima Marko mtumishi wa Mungu pumzika bro kwa amani
@lutumbinduta17025 күн бұрын
Nawapenda ❤
@edwarddaniel74592 ай бұрын
Huu wimboo nimeusikiliza kutwa nzima,hongereni sanaaa tumemwachia mungu yote yaliyotokea,zabronii tuko pamoja sanaaa
@DaduNiyonzima2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 roho yangu inaumia sana lakini amnagisi yakusema mungu amlaze mahalipema pepuni Marco tutakumiss sana kipenzi chawengi zabron mungu azidi kuwatiya nguvu muka shoot hiyonyimbo Akida itabaki nikumbukumbu
@jacklinesililo974915 күн бұрын
Mzuriiii sana Kila ck lazimaa niuckilize🎉
@CalebBillio-vl2tm2 ай бұрын
Walai kifo chako ni pigo kubwa sana kwa familia nzima la Zabron na pia sisi fans. Continue resting in peace. You are a legend. I salute you.
@lilianmwangangi74582 ай бұрын
Hongera wana Zabron singers kwa nyimbo nzuri. Marco we miss you, endelea kupumzika kwa amani
@gracemalugu5407Ай бұрын
Hakika Mungu ansjua sk zetu za kuwa hapa duniani, hakika Marcos ametuumuza sana ni kama yupo bado, ni mapema sana kwake na akatuacha hata watoa huduma za Afya tukiwa na machungu maxito kea op iliyofanyika na tena ukapotea mbele yetu. Mungu awashike mkono wana Zabron muwe pamoja tena❤
@AgripinaGervas-i7i15 күн бұрын
Duh Marco jmn, pumzika kwaaman kaka😢
@christinemusau71442 ай бұрын
A very good song. Mungu tamuka neno shinda zangu zitakoma
@aderanderwa76232 ай бұрын
MUNGU awabariki sana nami kama akida YESU KRISTO tamka neno tu kwenye maisha yangu
@charleswilson9098Ай бұрын
Mhhhh yaani duhhh haya bhana mungu ndo majibu anayo kanini huruhusu yote yawe Mimi sielewi
@Roseline-ld8ed5 күн бұрын
Jamani Marco bado huwa ananiuma mbaka wa leo😭😭😭😭
@GraceGwajima-ed4uk2 ай бұрын
Songambele Zabron Singers, From zero to hero ni huyu Yesu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@MariaDawite2 ай бұрын
😭😭😭😭moyo wangununaniuma sana bado tena sana nina maumivu mungu awatie nguv mpya lkin ngumu mjikazee nduguu maana hakuna aliepnda kumpoteza kipenz chet lkn hongerenii pia kwa kuendeleza akida ya marcoo nawapendaaa❤️❤️
@SainaMwampamba2 ай бұрын
Mubarikiwe sana wapendwa da! Marco ndo anaumiza😭😭😭
@fainesKigahe2 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki na kuwapa nguvu zaidi huduma yenu ni nzuri sana .
@EmmanuelKasongo-dl5zmАй бұрын
Mungu awabariki mimi nabarikiwa na nyimbo wenu❤ 🇨🇩🇨🇩
@wiliminaboke43972 ай бұрын
❤❤❤❤hongera Sana keep shining. Na miss tuu Sauti ya marko 😢😢😢
@janethmnali72612 ай бұрын
Tujuane tuliorudiarudia kuitazama hii video
@graceeleneus3958Ай бұрын
Yani hapa hata sijui kwa jinsi ninavyorudia huu wimbo na bado haujatoka rasmi
@AdelaCharles-h1u2 ай бұрын
Wimbo ni mzuri na unabariki sana kwenye mioyo ya watu ama kweli mungu atabaki kuwa mungu na azidi kuwatia nguvu
@LoiceSunday2 ай бұрын
Wow, nyimbo yenu ni 🔥🔥. Mungu azidi kuwainua viwango hadi viwango. Mpendwa wetu Marcos aendelee kupumzika kwa amani, from Kenya, mob love.
@NaomyDaudi2 ай бұрын
Woooh hongereni wapendwa mungu aendelee kuwa pamoja nanyi na kuwatia nguvu❤❤❤❤🎉
@jesnatinega77762 ай бұрын
😭😭😭 roho yangu inaumia Mungu wangu, mungu awape nguvu Zabron singers 😢, familia na wa Tz wote. Marco RIP 😭😭😭
@Deborahndunge-q1cАй бұрын
Japheth jipe moyo na mungu akupe nguvu kuishikiria hao waimbaji kuineza injili ya Bwana
@SalomeMisana2 ай бұрын
Ni vema mkashoot huu wimbo kama mwenyewe Marco alivyotaka iwe ili kumuenzi. Ni wimbo mzuri sana. RIP Marco, tutakumiss.
@MaureenOyoo-b6p19 күн бұрын
Hii Wimbo inabariki sana
@MiriamMukasa2 ай бұрын
😭😭😭😭😭nimeamini mtu akiwa mtumishi wa mungu hujua siku yake ya kufa let brother Marco reap may God keep his soul in eternal life ❤️ 🙏 🙌 😢
@SataraChakomamanzi-zo4xp2 ай бұрын
Msirudi nyuma watu wa mungu yupamoja nanyi mnatakiwa muyashinde majaribu. ❤❤
@emakulathjmkhai3736Ай бұрын
Mungu awatie nguvu ya kuendelea mbele 🥰
@LeahMasibayi2 ай бұрын
Wimbo mzuri inshallah jmn nataman Yale maombi ambayo alimuomba japheth yangejibiwa lakin haikuwezekekan bas acha tushukuru maan ni mapenz yake muumba🙏🙏🙏
@JuliethMabugaАй бұрын
Nakupenda sana huu wimbo
@SamsonMateso2 ай бұрын
Lakin huu wimbo wameimba kwa hii sia Kali Sana huu ndo zaidi Sana tu
@AnnaChatiАй бұрын
Jaman nakupenda huu wimbo daah
@GraceNgao2 ай бұрын
❤🎉 nice voice and song Marco Mungu akupunzishe kwa amani
@UpendoMlelwa-s5vАй бұрын
Mungu,awabariki.
@georgeoduor92332 ай бұрын
Through Marcos death I have known you Zabron singers and for real when I listen to your songs I feel like crying or cry when it hits my mind that Marco is dead. I can't explain it farther because I am crying as I write these message. Please zabron singers don't allow your singing to come to an end I believe it will and one day I will meat you face to face through God's grace❤❤❤❤love you so much
@TeddyBabayo-h6v2 ай бұрын
Wimbo mzuriii MUNGU awabariki🎉🎉
@ChrisoventMtwangiriАй бұрын
Ila huyu Japhet ....ni anaandika nyimbo ...tunarikiwa sana na utunzi wako....RIP marco
@LydiahNasimiyu-qq9cb2 ай бұрын
Waaaaau....wimbo mzuriii sana..hongera wana zabron🙏🙏🙏
@rosechrizant28502 ай бұрын
Mungu akawe kiongozi mkuu katika nyakati zote mnazopitia, Mungu awatie nguvu mpyaaa wapendwa
@viviankemunto44352 ай бұрын
Walikuwa hawajashoot official videos ,mulibak na mungu ,tufanye kazi ya mungu marco anafurahia Sana
@JaneMakemo2 ай бұрын
Heehee jamani mungu mkumbuke marco katika ufal.e wako naisi iyo nyimbo siku ya ufufuo marco ataamka kaburini akiwa ni mshindi naataamka akiuimba huo wimbo
@viviankemunto44352 ай бұрын
@@JaneMakemo kabisa kazi ya mungu hudumu milele
@MwikaBebz-ky9wc2 ай бұрын
AMEN MUNGU AKUBARIKI SANA JAPHEN MAANA HII NYIMBO UMEITENDEA HAKI MUNGU AWATIE NGUVU WAKATI HUU MGUMU
@CharlesNyamwanda2 ай бұрын
Hakika wimbo mzuri,,ni vyema mkaushuti ili use kumbkumbu ya mpendwa wetu marco
@paulinalohay3413Ай бұрын
Mungu wabariki Sana na awatia moyo
@prexidiesngunyi416819 күн бұрын
Marco 😢pumzika kwa amani
@zawadimuhindo37952 ай бұрын
Amina kubwa. Marco pumzika kwa Amani mtumishi wa Mungu
@irenejonas-q2w2 ай бұрын
Ni kweli alipagalo MUNGU mwanadamu hawezi kupiga
@irenejonas-q2w2 ай бұрын
Inatakiwa tufanye mapenzi ya MUNGU kwa juhudi ili tukiondoka Duniani tukiuulizwa Duniani tulikuwa tunawaelezea watu ukuu wa MUNGU ili kila mmoja awe na chakusema mbele za MUNGU hao wezetu walio tutangulia waoo teal wameshamaliza kazi
@TaraKh-jw1pd2 ай бұрын
Jaman mungu ailaze roho yake peponi mwenyew alitaman ashuti lakin mungu akakatisha safar yake mungu awatie nguvu
@gracealexander1450Ай бұрын
AMEEEN AMEEEN MUNGU AWABARIKI sana
@danielKessy-o4c2 ай бұрын
Jamn mbariki Sana , MUNGU awabariki sada❤❤
@Betty-k1x2 ай бұрын
Nice song God bless you my sisters and brothers na Marco alale Kwa Amani sitawai sahau hii sauti
@MagrethThomas-f4o2 ай бұрын
Kila nikijaribu kutafakari sipati jibu.Amani ya Kristo na iwe nanyi,mnatubariki na Mungu wa mbinguni aendelee kuwabariki na kuwatunza.
@shangwefisima542 ай бұрын
Wimbo mzuri sana na mtamu jamani sauti ya Marco atakaa nani mweeeh 😭
@FlorenceAseru-rj1fv2 ай бұрын
Neema ya Baba iwe nanyi mzidi kumtumikia. Roho ya Mtumishi wake ilale kwa utulivu 🙏
@justusnyangai2 ай бұрын
Sorry for the loss bretheren but in deed you are doing great job..GOD bless
@carolinegichaba95532 ай бұрын
This song is blessings me... Ooh dear God
@MariaMichael-rp7zf2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mungu awabariki kwa uimbaji mzuri umenibarki sana
@AminaelMgonjiАй бұрын
Amen zabron singer
@rhodawangui-c7d2 ай бұрын
@wangui Amen. Zabron choir Wimbo mzuri sana
@LilianMwasaga2 ай бұрын
Hakika wananibarik sana,huwa najiskia vizir nisikilizapo nyimbo zao
@nshimirimanaisaie33512 ай бұрын
YESU KRISTO NDIVYO ALIVYO NDIE NENO
@user-yu4lf3uh8d2 ай бұрын
Kwanini Marco kaenda mbio ?? Hapa Congo nasikitika Sana pole sana Kwa jamaa ya zabron nenda Salama Marco
@JayjayJamal-h8d2 ай бұрын
So painful 😢😢kumukosa marco
@GeraldMahanga2 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua katika viwango vyajuu sana nimebarikiwa sna nawimbo huu sana
@faustinajacob45952 ай бұрын
MUNGU azidi kuwatia nguvu, nawapenda sana.❤❤❤❤
@selphineakinyi2 ай бұрын
We appreciate you and pray for Zabron family. Glory and honour to amighty
@MadukaAlphonce-ts5hh2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana jmn daaa❤
@purityjepchirchir47862 ай бұрын
Say hi to Asham shadrack Zabron singers you're a blessing .. May Marco's soul continue Resting in peace
@AyubuBarnabaАй бұрын
Mhbalikiwe sana wapendwa
@sheillahmakori2 ай бұрын
Amen wimbo mtamu kweli akida🎉🎉🎉🎉
@jacklineloyani26882 ай бұрын
Nyimbo inabarki sana Mungu awe pamoja nanyie
@BrendaKhayasi-vy1xg2 ай бұрын
Wimbo mpya n nimeona Marco Kwan mlitoa kama angalia hai,mbarikiwe
@SILIVANUSFORTUNATUSBAMBANZA2 ай бұрын
Haujashutiwa bado ndo aliuandaa maico inzi za uhai wake.
@AngelaIsack2 ай бұрын
Yale yaliyofunuliwa kwetu ni kwa ajili yetu na watoto wetu na tuliyofichwa ni ya Mungu mwenyewe
@winniekisindo1632 ай бұрын
Imebariki kwa kweli.Muinuliwe na Mungu
@dorcascherono67172 ай бұрын
Huu wimbo! can't get enough of it ,Narewind every time.God bless you Wanazabron.
@edithiayolanda98192 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kubariki,,, shida zitagoma
@RoselineKemuma2 ай бұрын
Continue resting in peace Marco😢😢😢you had good plans for zabron choir bt God took you away 💔💔lala Salama kaka 🇰🇪🇰🇪
@GraciousSimon-v8w2 ай бұрын
Jaman kaka marco mungu aendelee kukupumzisha mahali pema pepo i🙏
@EveAbuya2 ай бұрын
Only God knows why,rip marco.agreat song,all glory to God.