Madhabahu yoyote yenye kunena kweli ni lazima watu wake wawe na mafanikio.Ahsante sana Rev Kimaro
@shideashidea55707 жыл бұрын
Amina baba sema watu wapone maono mema zaliwa mara ya pili siokuchonga kucha Amina Amina
@wilsonkimaro63756 жыл бұрын
Nashukuru sana baba mchungaji ndg yangu Kimaro
@maombinshedson59146 жыл бұрын
amen ubarikiwe mtumshii
@isabelavictor99643 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa somo zuri Amen 🙏
@shekhaalndebyshekhaalndeby87396 жыл бұрын
2019mahubiri zuri urabuni umetubariki thank mchunganji
@Papaahansmo4 жыл бұрын
Safi Sana my pastor uncle
@CosmasNzala-ef9vm11 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu kwa SoMo zuri bwana awe nawe
@MargaretVihenda-c4h10 ай бұрын
Sema tupo me Kwa Jina la Yesu
@aggygrace39886 жыл бұрын
Ninafurahia uamsho huu kwenye kanisa kama la kkkt maana hizi injili tumezoea kuzipata makanisa ya walokole barikiwa sana mtumishi nabarikiwa sana sana na Huduma yako !!!
@DeborahMeshack-p2c Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Amina aseee mkajiloweke kwenye sadolin
@bukuruluminatha51855 жыл бұрын
Kabisa mwambie maana kuna mdada au mama mkikutana unaweza kukimbia ukifikiri umekutana na jini, ubarikiwe sana.
@annanicole30067 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu
@sheilaclifford63626 жыл бұрын
Unanibariki sana mtumishi, karibu Arusha
@clarakimaro31416 жыл бұрын
Haha amen baba yangu mchungaji kimaro
@patrickbukweya72344 жыл бұрын
Amen pastor
@alindakilosa62266 жыл бұрын
ameni mch kimaro kalibu sana kagera
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Pastor Amen
@marynialivet74177 жыл бұрын
Kabisa kabisa kimaro umenena,lazima tuzaliwe mala ya pili
@rezegerezege6916 жыл бұрын
Hahaha Nichonge Tabia ameen Mungu Akubariki
@beatricelyimo65052 жыл бұрын
Amen. Kubwa
@mkalisimbatv19156 жыл бұрын
blessed
@samwelisaid50132 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Electri-ambi6 жыл бұрын
😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏amen Mungu akubariki
@nemysjackie30235 жыл бұрын
Amina
@hildaboaz74653 жыл бұрын
AMINA KUBWA
@airtelmaster43094 жыл бұрын
Wachungaji kama hawa ni wachache, wanao sema ukweli.