MCH. DK. KIMARO AMSHAURI RAIS MAGUFULI IKULU: BADALA YA MAAFA SASA NI NEEMA YA KUVUNA MAJI YA MVUA.

  Рет қаралды 70,026

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

5 жыл бұрын

Mch. Dk. Eliona Kimaro, tare 23 January 2019 amemshauri rais wa Tanzania Dk. J.P Magufuli jinsi ya kuzuia maafa yaletwayo na maji ya mvua badala yake ianzishwe miradi ya kuvuna maji ya mvua yatayosaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia umwagiliaji na kazi zingene nchini ikiwa ni namna pia ya kukabiriana na upungufu wa maji unaoweza ukalikumba bara la Africa.
Ameongea hayo Ikulu jijini Dar es Salaam tar 23 Januari 2019 wakati wa Mkutano wa Mh. Rais Magufuli na Viongozi wa dini.
Hata hivyo Mch. Dk Kimaro amezungumzia juu ya masoko ya nje ya bidhaa ya mazao yalimwayo Tanzania.

Пікірлер: 46
@stellalyimo2107
@stellalyimo2107 5 жыл бұрын
Mchungaji, Mungu akubariki Sana na ikimpendeza Mungu ubaki duniani mpaka kusudi lake litimie,.wajukuu wetu wafaidi pia haya matunda.
@janekamugisha117
@janekamugisha117 5 жыл бұрын
Nimesikiliza nikakumbuka ule mstari wa Roho wa Bwana yu juu yangu nimesikiliza watumishi wengi kwenye hii hafla wengi wameongea ila wewe umezungumza" my pray upon you my pastor for sure you inspired me a lot
@phinahsooi8027
@phinahsooi8027 5 жыл бұрын
Ni point nzuri xana mchungaji Eliona Mungu akubariki sana
@arubalydia224
@arubalydia224 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie sana kwa hekima uliyonayo mchungaji Barikiwa mnoo
@consdancejmwangorwa2300
@consdancejmwangorwa2300 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji ELIONA Amen.
@tunumbamange2516
@tunumbamange2516 5 жыл бұрын
Tunakombolewa kiroho, kiakili, na kiuchumi because of this man of God
@faithli3426
@faithli3426 5 жыл бұрын
My mentor uncle Mungu akubariki sana Mch Kimaro point kubwa sana
@vitalislyimo3126
@vitalislyimo3126 Жыл бұрын
Your speech has a positive economic sense
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 5 жыл бұрын
Uko na point muchunganji hapo sana mungu akubariki
@lilliansimiyu6328
@lilliansimiyu6328 5 жыл бұрын
GOD was really preparing you for this n honestly i just luv how GOD wrk. It's so beautiful to stand before the nation's president n speak. It's needs grace. N being a yr of 3 MINUTES OF FAVOUR, here u are servant of d Most High God. 😁😍😁 one item solved by JEHOVAH, hallelujah. GOD is so gracious, yo going far, yo blessed👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🙏🏼
@florashauri9228
@florashauri9228 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana Mchungaji wangu Dr.Eliona kwa upeo mkubwa ulio nao
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Leo wazo lake ndio linafanyiwa kazinna mh waziri wa kilimo safi sana
@robertpatrice3038
@robertpatrice3038 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji Taifa linahitaji watu kama wewe
@carenkachecheba5538
@carenkachecheba5538 3 жыл бұрын
Love u man of God ...pastor Kimaro..wow you're Great man ..be blessed
@uriotv9989
@uriotv9989 4 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi Mchungaji Kimaro
@valerianasoko5975
@valerianasoko5975 3 жыл бұрын
Usema kweli Mchungaji, Mungu Akubariki sana
@camillakiango8666
@camillakiango8666 5 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
I love this Man of GOD
@catherinesamwely3797
@catherinesamwely3797 Жыл бұрын
Mungu na akuangazie njiia zako MTUMISHI
@dorisluseka9634
@dorisluseka9634 Жыл бұрын
I have listen to your clips on KZbin, this one is awesome. You are all round. Not only a preacher but a consultant in works investments. Well put Dr.
@salomecosmas4367
@salomecosmas4367 5 жыл бұрын
Excellent you present good my pastor
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Amen Amen baba Mungu akubariki sana
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Dah jamaa kichwa sana huyu nandio mana wamemletea mizengwe
@selinalawala2270
@selinalawala2270 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ana uwezo mkubwa wa akili, Kwa hakika anafaa sana, ndio maana wengi wanahitaji mawazo yake.
@maryamjumah
@maryamjumah Жыл бұрын
Baba magu sauty yako imefanya nilie pumzika kwa aman mzee wetu
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 Жыл бұрын
MTI wenye marunda mengi ndo unaopigwa Mawe. Mungu atakuinua upate nafasi ya juu katika kanisa.
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Kwel hata tuliko huku utasikia vyakula kutoka Tanzania nawatu wanajaa sana yaani ni baraka sana kutoka kwa Mungu taifa letu la Tanzania na Afrika zima 🙏
@alexsambia3046
@alexsambia3046 Жыл бұрын
MAGUFURI angekupa kazi but now hatunae RIP JPM but be strong mchungaji wangu hauna baya
@paulbundala7207
@paulbundala7207 Жыл бұрын
blessed
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 4 жыл бұрын
Maombi yamejibiwa mtumishi mabwawa yamejaa zaidi na zaidi mwaka huu 2020
@henrygabriel2892
@henrygabriel2892 Жыл бұрын
Mchungaji Dr Eliona Kimaro ni kichwa Kanisa limwangalie vzr ni hazina hii ya Nchi yetu
@roviykamage5423
@roviykamage5423 Жыл бұрын
Ulinena sn baba jpm alikua mwamba haswa
@ezrafashion1683
@ezrafashion1683 4 жыл бұрын
Walio na uwezo wa kufikir hii ni meipenda
@glorykibona3761
@glorykibona3761 3 жыл бұрын
Whawhoooo nakuelewa kama ninavyo muelwa mwalimu mwakasege
@silvanolenjima2213
@silvanolenjima2213 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@chiomanonso274
@chiomanonso274 5 жыл бұрын
Ndiooooooooo yaaani jaman Mungu asante kwaajili ya huyu Mchungaji
@antnykimario8132
@antnykimario8132 5 жыл бұрын
upo vizuri pastor
@fulkohyera104
@fulkohyera104 4 жыл бұрын
May i talk to you please 0765591272
@rosembwambo6079
@rosembwambo6079 Жыл бұрын
I salute you👍👍👍
@aludomakori4230
@aludomakori4230 4 жыл бұрын
Kama mwaka huu ndo barabara zimeharibika hadi basi
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Huyu mtu yupo vizuri Sana
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 Жыл бұрын
Ushauri wa maamuzi magumu.
@jeremiahagrrey1147
@jeremiahagrrey1147 2 жыл бұрын
FACT
@roviykamage5423
@roviykamage5423 Жыл бұрын
Mchumi kimaro ndoto yako kubwa kwantaifa letu ila kwa sasa mhuuu , jpm nitakukumbu sna baba
@juliananalimi9698
@juliananalimi9698 5 жыл бұрын
ubarikiwe baba angu jamani ,mchungaji mwema ..kamaalivyo mchungaji ndivyo watakavyo kuwa na kondoo wake
@kelvinvenance1483
@kelvinvenance1483 5 жыл бұрын
Eliona Kimaro sasa nimeukumbuka ule mstari usemao "Tupate Wapi MTU kama huyu ambae ROHO ya MUNGU imo ndani yake" Nakuona kama Mussa ktk safari ya ukombozi wa watanzania.
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WA 'HOUSEGIRL' ALIYEKUJA KUWA PROFESA
7:29
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 766 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,4 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
MJADALA MZITO, MASWALI MAGUMU MAGUMU ALIOUENDESHA RAIS MAGUFULI
58:04
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 209 М.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHENZI WA PROFESA KWA WANAFUNZI WA KIKE CHUO KIKUU
11:33
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 61 М.
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 4,7 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН