Hongera dada kwa kutufafanunulia kutupa elimu juu ya kuja ulaya mungu akubariki .Ndoto yangu nikuja ulaya kufanya kazi
@HawaAbell6 ай бұрын
Asante sana dada Amina ninandoto yakuja kufanya kazi huko je unaweza kunitajia kazi nakupenda❤
@samanthalyimo4598 Жыл бұрын
Asante sana dada Amina kwa maelezo mazuri na ya uwazi ,ndoto yangu ni kufika ulaya kufanya kazi kwa njia sahihi
@florathomas62343 жыл бұрын
Asante dada Amina kwa ushauri mzuri,well received and noted
@lilliansalvatory8183 Жыл бұрын
Asanteh sana dada Amina.. samahani naomba niwaeleze vizuri hiko chuo kipo posta pale karibu na holland house CRDB au ilipokua steers zamani pale posta .
@DaudiKunambi-z2x9 ай бұрын
Dada Amina asante sana kwa kipindi chako kizuri na Mungu wa mbinguni akubariki sana
@saidrusuma85233 жыл бұрын
Bi. Aminah kwakweli leoo umenikosha saana, kuanzia jinsi unavyoongea hadi pia unavyotufikishia ujumbe Mzuuri kabisa, yaani wewee ni LULU ambayo hatupaswi kuipotezaa!! Namuomba mwenyezi akutunze na akulinde, piaa watu wabaya wakupitie mbaali Mama.!! 🥰😍😘
@paskalishida7525 Жыл бұрын
Mi mtanzania naweza pata kazi
@aminakupila3079 Жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu Namshukuru MUNGU kwa kukupa moyo ulionao na Samahani sijui a comment yangu ni vigumu kuona zote na kuzijibu nakushukuru sana🥂🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@Mosesy_Bright2 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa na Mungu aliye hai.... Na roho mtakatifu azidi kukuongoza....🙏🇹🇿🌦️❤️
@kisalaTV3 жыл бұрын
Asante, kwa ukweli unao tupa, lakini mimi naacha tangazo wara sifanyi next, nakupenda dada unajuwa kufumbua macho ya watu
@Francis-kx1sb Жыл бұрын
Safi sana dada yangu yangu wengi tuna ndondo za kufanya kazi huko asante umetuelimisha
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA2 ай бұрын
Naomba unisaidie nifike ulaya❤❤❤❤ I'm struts you my mom
@VeronicaJanuary-lf5io5 ай бұрын
asante naitaji kazi najua lugha ya kiswahili tu
@Witnessvlog Жыл бұрын
Asante dada kutwambia Ukweli. Mwenyew nimewahi kuokota chupa. Walioko ulaya nao wengine wanafeki maisha ndio maana wanaombwa Hela
@asmahtamla474910 ай бұрын
nimekupenda sana dada kwa ushauri wako mzuri ,thanks be blessed sister.
@deborahrehema58193 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kweli nipo Miaka 16 ulaya niliishi Holland na hivi naishi Ireland unasema kweli keep telling them the truth wengi sana wana wadanganya na wengine kuwaogopesha wengine sababu hawataki wake nao wa enjoy maisha ya huku 🥰🥰🥰
@aminakupila30793 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu 👍☝️💕💕💕💕😘☝️🙏🙏🙏
@lydiagabrielshirima4717 Жыл бұрын
Waaaoooooo asante dada kwa ushauri wako nitaftie nami kazi huko
@agnescarlos8868 Жыл бұрын
@@aminakupila3079asante kw ushauli
@frankplatinam Жыл бұрын
Safi nahogera dada. Pia natamani nihishi ulaya lakini sina njisi please nisahidiyeni
@brownjoseph5154 Жыл бұрын
@@frankplatinam dada ubarikiwe Sana dada nimeipenda maelzo Yako mungu akubariki sana
@reginaoyugi7283 Жыл бұрын
Amina nimekupenda Buree. Na pia nakuheshimu. Unaongea mambo muhimu sana kutoka moyoni mwako. Unaupendo Kwa watu wako. Mungu akubariki🙏🙏
@aminakupila3079 Жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@blackninjaentertainmentssh80762 жыл бұрын
Hongera Sana Amina Kwa mafundisho yako Kwa wengine walio hawajui na mengine hawaja wapata god bless you big thanks Emmanuel from Italy milano
@waukweelinikkon65553 жыл бұрын
Leo umeongea vizuri sana amina,nimekuelewa kuliko siku nyingine,mimi niko ujerumani,waafrika wapo wengi wanaishi kwa tabu mnooo,siyo rahisi kwa kweli,
@gracekaniki7893 жыл бұрын
Tujuane ndugu yangu
@evarramdhani539 Жыл бұрын
Asante sana dada, nafurahi sana kukutana nawe.naomba ukipata Muda tuongee unisaidie asante sana.
@aishamsandawe30292 жыл бұрын
Dada amina nitafutie kazi ya usafi na mumewa.ngu nidereva Dada nifanyie msaadana amini mungu amekusimamisha utusaidie
@newtonnyembe8228 Жыл бұрын
Nimekumiss sanaaa nakumbuka tu Mandela 😀
@mog791 Жыл бұрын
Mungu atusaidie San kwa vizazi vyetu vya ss
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Nakuita Dada wa Ulaya kwa sababu wapo wengi wanafurahi kusifiwa tu ila wewe umejitolea kutueleza uhalisia ...unatusaidia sana coz kuna vingi hujui umuulize nani for better advice...Mungu akubariki sana🙏😍🇩🇪
@aminakupila30793 жыл бұрын
Asante ndugu yangu 💗💕☝️🙏🙏
@abdallahmagera91603 жыл бұрын
@@aminakupila3079 MUNGU akulinde sana Dada yangu kwakutueleza ukweli
@shohamuwokovuhalisi.26483 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU BABA kwa mafunzo yako. Barikiwa
@chalzsenior90753 жыл бұрын
Asante Mungu wangu kuweza kunikutanisha na uyu Dada... Ntakupenda maisha yang yote
@loirucklaizer523 жыл бұрын
Samahani Kuna swali nimekuuliza hujanijibu Dada Amina,swali langu nauli ya kuja na kurudi ni sh ngapi? Pia nyumba ya kulipia kwa miezi mi3 Ina gharimu kiasi gani? Naomba usichoke kutoa darasa.
@mohamedkitwiko3675 Жыл бұрын
Safi kabisaaaaa dada
@baharesavip-yu8zk Жыл бұрын
Dada nimekuelewa
@mohamedsuleiman8991 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana usemavyo upo sahihi
@mohammedbonero8 ай бұрын
Ukwel ni mzur sana mimi nataka kujua kwa mtu akitaka kuja huko kwa ajili ya kutafuta maisha vipi kuhusu vibali vya kuishi huko zinapatikana
@zainabibrahim41833 жыл бұрын
Yote uliyosema ni kweli it's not easy than it's look, na sio kukurupuka.Ahsante dada 😍😍❤💕💖👍
@emelesianaluambano59002 жыл бұрын
Amina sijui niseme ninimimi nimekuelewa sanaaa maneno yako ushauli wako nimefika mbali sana
@aminakupila30792 жыл бұрын
Shukurani ndugu yangu 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@adammussa2730 Жыл бұрын
Asante sana Dada asiye kuelewa unayo ongea uyo ni mfu
@reginaoyugi7283 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu Kwa kuniunganisha na chanel yako... Amina nitakutafuta maana naitaji sana ushirikiano wako... Naisi moyoni mwangu nimekuelewa sana. 🙏🙏🙏🙏
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada❤
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Asante sana ant somozuli sana mungu atakulipa nimekuelewa vizuli
@mjukuuwakabonga20313 жыл бұрын
Amina ,,asante my dear somo zuri
@aminakupila30793 жыл бұрын
Thank you 🙏 ❤️☝️🙏
@ameliawayua1423 жыл бұрын
Mungu akubariki Amina nilikua nataka kukuja kutafuta kazi, ila nimeogopa watu wanakatwa kichwa, wacha nikae na umasikini wangu
Oh hhhhhhhhh my God kila nikisikiza video za huu dadangu nazidi kumupenda mungu akubaliki kwa roho yako nzuri mashallah
@aminakupila30793 жыл бұрын
Shukurani ndugu yangu 💗☝️💕💕🙏
@allanquaterman98 Жыл бұрын
Dada hakika mungu yuko nawe, nakushukuru sana ,umenifundisha kitu kikubwa sana ambacho nimekua naumiza kichwa maana mpaka nikawa naseach nitafute nijue taratibu, nilikua na ndoto kama hizo za kubadilisha maisha yangu, hapo ngoja niendelee kufwatilia umenipa mwongozo mkubwa sana mAana niliona simple
@rishidihamza77823 жыл бұрын
Amina kupila nataka kukumbusha usiji pasuwe kichwa kuwajibu walala Hoi ambao hawana maisha rasmi. Wengi maisha magumu. Nawa natamani sana wewe uwe kama wenyewe. Kwaiyo usijisimbue Bure. Wooooote Hao ikibidi wa block hawajui Maendeleo. Mimi nipo nawewe team mmoja. All the way Australia 🇦🇺🇦🇺👍👍 take care
@aminakupila3079 Жыл бұрын
Thank you dear 🥰🥰🥰🥰🥂🙏
@tupilikeallan8990 Жыл бұрын
Asante,kwa maelekezo mazuri,Mungu akubariki sana! natamani sana kufanya kazi ya uuguzi huko Uk, nilifanya IELTS hapa british Counsel Dar es salam nikapata 4,ila pia ilikuwa general training, UK inaitajika UKIV IELTS! so msaada wako please,
@BwizzaChufu-ig7ux Жыл бұрын
Amina naomba nisaidie namba yako nikuulize vizuri
@joycemuhoja47297 ай бұрын
Kama Kuna Mateso mbona huludi Afrika Mimi Naishi Poland Karibuni sana
@pueblo1489 ай бұрын
Hello Amina.pls we communicate
@amosmbugulu730110 ай бұрын
safi sana dada
@kbdesgners Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kwa kila mda unaotenga kwajil yawatu wengine nauzid kufanikiwa
@mjanaheriyusuph27083 жыл бұрын
Amina nimependa sana ushauri wako sana nina tamani nipate na mba yako lli nipate kuongea na wewe parayiveti nina ona una weza kunisaidia
@mariamtumwebaze3893 жыл бұрын
Shukulan Sana dadangu Unanifurahisha Sana Allah akubaliki
@sarahjohn77723 жыл бұрын
Jaman❤️❤️❤️ Nakupenda Sana Na Ntazidi Kukupenda Sana Kiukweli❤️❤️❤️😀🙏🙏🙏🙏🙏
@piliitelewe2826 Жыл бұрын
Dada Amina nimependa sana kipindi chako!naomba mawasiliano yako
@mog791 Жыл бұрын
Dada amin mm nimekupenda San musema kweli ni mupenzi wa mungu mm nipo Oman kwa ss miaka 4 ukimwambia mtu ukwel hawezi kuamin ila kisema uongo ndiyo wanaamin
@HalfaniChande Жыл бұрын
Ahsante dada amina
@kilimba6872 жыл бұрын
Ahsante Sana sister Amina nimekuelewa Sana me pia nina ndoto ya kuja kutafuta maisha huko nje! Kwa ajili ya kuwasaidia Ndugu zangu na wazazi wangu!
@khamisjuma392 жыл бұрын
dada nakushiru mungu akupe wepesi nitafitie kazitu
@rose_Winchester863 жыл бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Oga😹😹🚴♀️🚴♀️🚴♀️
@aminakupila30793 жыл бұрын
Nakupenda sana my🌹🌹🌹❤️💕☝️🙏😘
@naomiwambua71839 ай бұрын
Mungu akizidishie kwa majinq n khadija kutoka kenya
@mathiascharles6073 ай бұрын
Asante dada kwa ushauri
@yusrtv2622 Жыл бұрын
Hongera sana dada allah akuhifazi kwa kutuelewesha kwani nna ndoto kuja nje sana
@fatumafarrah25472 жыл бұрын
Asante sana dada amina ...
@khababuabdallah8078 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada
@marthamlove13423 жыл бұрын
Dada Amina Mungu Mungu akubariki sana kwa kueleza ukweli ni watu wachache sana wenye moyo kama wako wengi hawaelezi ukweli juu ya Njia za kuja ulaya.Namshukuru Mungu leo nimepata channel yako kwa mara ya kwanza na nimesubscribe channel yako ili nipate mafundisho zaidi.🙏
@wilsonlorry6948 Жыл бұрын
uko vema sana ubarikiwe sana
@oliverhaule-i6v11 ай бұрын
Dada kwaiyo uk kazi zakawaida zinapatikana
@deboramhanga9142 жыл бұрын
Amina ubarikiwe mnyalukolo wewe
@SofiaMhoma3 ай бұрын
Asante kwa ushauri
@JimmyMbobo8 ай бұрын
Dada amina leo umenipa elimu kubwa sana mungo akubariki sana mm nna ndoto za kwenda nje kutafuta maisha naomba cjui ntawasiliana na ww kivipi duh umenigusa sana kiukweli nmeenda sehemu kuongea nao tuh elf 50 jmn tuwe makini cjui dada ntakupata vip hili tuongee private Amina
@subbyluckson623110 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@joyceisaka7394 Жыл бұрын
Mungu akubarikiiii mnoo dada
@abdallahmagera91603 жыл бұрын
Dada nashukuru sana Leo Mara yangu yakwanza kuona habari zako nimezipenda sana sijawahi kuona habari za kumjenga mtu kiimani upendo na kutuakikishia namna ya kufika, wengi wametasoeliwa sana
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Leo nimependa umeongelea topic moja big up sana. Uzuri wabongo wanapenda udaku saana, hizi story zakufanyishwa umalaya ulaya zipo sana wazitafute KZbin wadada na wakaka wanalia kwikwi, wamekaa ulaya miaka hawana hata mia wanaishi kama watumwa au wafungwa.
@SalomeKhalfani-cm9xy6 ай бұрын
Amina tumekumusi sana
@HermanPetro-j5y Жыл бұрын
Ubarikiwe Dada
@emmanuelamkinga78282 жыл бұрын
asante dada nimesikiliza leo lakini nimeona kama umeongea leoivi God bless you
@aminakupila30792 жыл бұрын
Thank you amen 🙏
@annexemmanuel77713 жыл бұрын
umesema kwel amina nakupenda😘
@aminakupila30793 жыл бұрын
Me to dear💕☝️🙏
@victoriaandrew93983 жыл бұрын
Dada Amina nimekuwa mlevi wa masomo yako nikianza kuangalia video huwa sitaman kuacha. Ubarikiwe mnooooo
@allyjuma4795 Жыл бұрын
Dada m nakufatiria sana naomba namba yako ya whsp nikuombe maelekezo
@emmymatigula48703 жыл бұрын
Amina,MUNGU BABA ALIYEHAI azidi kukupa maono kazi kubwa unafanya,mwenye masikio na asikie,barikiwa sana.
@aminakupila30793 жыл бұрын
Amen 🙏❤️❤️💕💕🙏☝️❤️🙏
@josephirambona3433 ай бұрын
Jambo sana
@khadijamgaya36393 жыл бұрын
Anty...yangu..Mimi natamani sana sana kuja ulaya..naomba nitakupigia... Ili tuongee vizur..In shaallah.
@aminakupila30793 жыл бұрын
InshaAllah ☝️❤️🙏
@neemaswai2767 Жыл бұрын
naomba namba ya Amina kama unayo pls
@mugisha5803 жыл бұрын
Uyu maman ni mungu arimureta nakupenda malaika😍😍😍👍🥰
@dotosalim50903 жыл бұрын
We dada mungu akujaze afya umeongea kwel
@elesiaamasha14293 жыл бұрын
asante mama kwa ushaur hakika umenitoa mahali fulani Mungu akubariki sana
@T.W30223 жыл бұрын
Asante sana Dada Amina, Mimi napambana kutafuta scholarship kusoma nje, hii channel yako inafundisha vingi sana, nakupenda sana.
@ashamtoro66193 жыл бұрын
Asante sana bi amina niushauri mzuri sana mungu akubariki
@kombohamad56152 жыл бұрын
Heeee Allah akupe kheri na nguvu. Na Imani pia
@SalomeKhalfani-cm9xy8 ай бұрын
Mungu akubariki
@roseney577910 ай бұрын
Nipo London pia nipe namba yako nikutafute tujuane
@lillianeriksson81833 жыл бұрын
Yaani hii itasaidia sana sana hafadhali umeleta hii topic
@mpawenimanacharline5363 Жыл бұрын
Mungu akubariki mamy
@khadijahmadua48113 жыл бұрын
Leo nimesikializa,nakuwaga siangalii vidio zako mpaka mwisho,wallh leo umeongea point nimesikilza kwa umakin,shukran love you❤❤
@AthumaniNgeleza Жыл бұрын
Nakuelewa sana Dada yangu Mimi ni druck driver nipo Tanzania ndoto zangu kufanya kazi nnje unanisaidiaje??
@JosephatYatosh7 ай бұрын
Asante sana Dada Amina
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
"Hakuna kazi ngumu Kama kuwa msema kweli, maana uongo ni bidhaa yenye wateja wengi ili hali ndani yake hamna Faida"" Safi sana dada yangu, tembea kifua mbele kwa kuzidi kutumbua majipu Wala usione haya ikiwa kusema kweli ndiyo Fungu lako salaam toka Mwanza 🐟🇹🇿. Pongezi pia leo kwa vazi rililo kustiri na utulivu wa pekee katika kuzungumza.
@aminakupila30793 жыл бұрын
Asante ndugu yangu☝️🙏
@mbekwamughenya95563 жыл бұрын
Pongezi sana dada kwenye hii Mada umeelezea kwa umakini mkubwa na utulivu wa hali ya juu ,umeeleweka vizuri sana . Usife moyo endelea kuelimisha jamii .sisi tuko pamoja na wewe.
@aminakupila30793 жыл бұрын
@@mbekwamughenya9556 Namshukuru sana ndugu yangu ☝️💕💕💕💕🙏🙏🙏
@alla13253 жыл бұрын
Nimekupenda dada kwa ushauri wako mungu akubariki sana
@aishaabdalllah41493 жыл бұрын
Ahsant sana dada mung akujalie kila la kheli nimejifunza kitu kimpya leo
@clarasima54473 жыл бұрын
Sijutii kukufahamu kupitia mtandao Dada Amina❤️❤️❤️
@JimmyMbobo8 ай бұрын
Leo nmepata kitu kikubwa sana asante Mungu
@nasraabdi15293 жыл бұрын
Asante dada yangu mm naishi holland nakuelewa sana tunapita changamoto nyingi sana
@stellatogolai1633 Жыл бұрын
Dada Santee na kingine Tanzania kuna wazungu wanatapeli uku wanaanza kudanganya Et nimekutumia zawadi
@jacksonmusimo83553 жыл бұрын
dada nimekuelewa sana firsttime nakusikiliza kwenye interview yako na sky nimevutiwa sana na wewe kwa maono yako wewe huko very smart nimekukubali na kukupenda bure
@zainabumohamed8541 Жыл бұрын
Nimependa ushauri wako nitakua nawe ili nizidi kuelewa ubarikiwe sana