No video

HISTORIA YA UMMY MWALIMU

  Рет қаралды 65,732

USIKU TV

USIKU TV

Күн бұрын

#ummy #mwalimu #usikutv #Ummymwalimu

Пікірлер: 69
@ericamkwena7736
@ericamkwena7736 Күн бұрын
Mimi kimeniuma sana ummi dada mzuri kwa sura utawala Mimi naona anaadaliwa kuwa WAZIRI MKUU maana ni mchapa kazi sana
@johnmkanza2847
@johnmkanza2847 18 сағат бұрын
Boss wake anamjua vizuri zaidi utendaji wake. Wengine ttunasema kwa hisia tu
@johnmkanza2847
@johnmkanza2847 18 сағат бұрын
Boss wake anamjua vizuri zaidi. No comment
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 6 күн бұрын
Uliitendea haki nafasi yako pumzika tu huwezi jua yajayo hukua na makuu dada🎉🎉🎉
@MrishoKondo
@MrishoKondo 3 күн бұрын
Daah maisha mungu ndiyo anaejuwa.ummy mama mungu yupo pamoja nawe,kuwa na subra
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 2 күн бұрын
Dada Ummy hongera sana kwa uliyoyafanya! Wonderful. Wewe ni mrembo na mzuri wa moyo. Historia yako bomba mno. Siku ukiwa likizo kwenu, natamani kuja kukuona na kuwasalimu watoto wako na Mr wako.
@USIKUTV
@USIKUTV 2 күн бұрын
Hahahahahahaha
@JoyceShafii-u5l
@JoyceShafii-u5l 9 күн бұрын
Kwanza wewe ni mzuri sana kiroho na kimwili umefanya vizuri sana ktk seckita ya afya tutakukumbuka sana mama ummy mwalimu asante mno
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 6 күн бұрын
Umkumbuke kwàni amekufa?
@USIKUTV
@USIKUTV 6 күн бұрын
@MilloWamilonga-ft8ir hahahahahahaha
@SabrinaSule
@SabrinaSule 4 күн бұрын
Mungu Yuko pamoja na wew mwalimu Umi ila kumbuka ukipigwa teke unaonge zewa hatua kingine usishindane na mwanadamu maana mungu mwenyewe hakushindana na mwanadamu.
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 күн бұрын
Mi nakukubali kiongozi wangu
@evandauka
@evandauka 2 күн бұрын
Hongera dada chapakazi ccm.
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 9 күн бұрын
Maguli alikupenda sana una moyo wapekee mama mwaaaa♥️♥️
@WiliamMasalu-gs2ov
@WiliamMasalu-gs2ov 7 күн бұрын
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mcha Mungu hawezi kumtengua huyu mama labda awe na nia ya kumpangia majukumu makubwa zaidi.
@drtheresiakaruhanga3543
@drtheresiakaruhanga3543 5 күн бұрын
Wanalalamika na bima ya afya hawajui.mfuko mzima umehujumiwa na waziri inawezekana Iko nje ya uwezo wake. Wanaombeza inawezekana wangeharibu zaidi ila Ummy ni shupavu na mchapa kazi.
@rehemailomov9648
@rehemailomov9648 5 күн бұрын
Uko vizuri sana dada unapenda kazi yako
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s 9 күн бұрын
Nakupenda sana dada angu mpambanaji na ni jembe letu kwa upande wa afya zetu duuúh tutakumiss sana🌹🌹🌹
@SaudaKazimoto
@SaudaKazimoto 9 күн бұрын
❤❤ ummy mwalimu ucvunjike moyo kila jambo linamakusudi yake my sister
@mwajabukessy3491
@mwajabukessy3491 5 күн бұрын
Nakukubali sana Mungu yu pamoja nawe
@WILSONNASARY
@WILSONNASARY 9 күн бұрын
Uko vizuro Daangu Endelea kupambania wanawake Mungu Akutunze
@MusaNhigula
@MusaNhigula 5 күн бұрын
Mungu AENDELEE KUKUTUNZA kama Taifa tunakuhitaji bado
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 7 күн бұрын
Oddo Ummy binti wa Mwana Bakari sintokusahau maishani mwangu kwa roho yako ubinaadamu kwa msaada ulionisaidia mimi Mzee wako. Mwenyezi Mungu atakufungulia mlango mwingine.
@user-kh8tr8xh4v
@user-kh8tr8xh4v 9 күн бұрын
Nakupenda sana cjawai kukuona lakini naangalia kazi zako tu uko vzr. Allah ana makusudi yake.
@NkambasPolepole
@NkambasPolepole Жыл бұрын
Hongera sana mama yetu ummy mwalimu mungu akubariki kwakila hatua unayo pitia kuitumikia serikali yetu
@user-oq4oo2xx5d
@user-oq4oo2xx5d 7 күн бұрын
Umepiga kazi Sana utafikiliwa kazi nyengine mungu yupo nawe utaludi tena kwenye uwazili wako
@Yassinseleman
@Yassinseleman 6 күн бұрын
@@user-oq4oo2xx5d yes wakimchafua tutamsafisha dada yetu Tanga na ummy ummy na sisi tena ndani ya ccm hii hii chama Bora tz
@Subiramwaijumba
@Subiramwaijumba 6 күн бұрын
Nakupenda Sana Ummy
@user-wj9mm1gk9d
@user-wj9mm1gk9d 6 күн бұрын
Hongera best uko vizuri
@user-jx9mt6gm8h
@user-jx9mt6gm8h 4 ай бұрын
Nakupenda saana mama mpambanaji !!!unanifunza mengiiii,,,hongera
@Marialaurentwalwa
@Marialaurentwalwa 3 күн бұрын
Hongera dada mungu akutunze
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 9 күн бұрын
Mabinti mkibahatika kusoma someni kwa bidii na msiogope kuthubutu ummy ni msomi wa elimu ya juu kabisa lakini ummy usiogope kama Mungu alikupa hiyo nafasi basi mwendee yeye atakupa nyingine ni wewe sasa kujiuliza nani alikuweka kwenye hiyo nafasi
@winifridabyesigwoa741
@winifridabyesigwoa741 8 күн бұрын
Kweli wakati wa corona ulitutoa hofu ukatuvusha asante sana.
@dominicusulikaye4412
@dominicusulikaye4412 7 күн бұрын
Ummy. nilikuwa natafuta mabaya yakk kwenye uongozi wako. lakini. sijaoana. mungu akulinde dada yangu
@user-kq8ec3yq1m
@user-kq8ec3yq1m 7 күн бұрын
Usijali umi huwezi kujua mungukakupangia nini
@raphaelchua6478
@raphaelchua6478 8 күн бұрын
Ummy Dada hakuwa na makuu tutamkumbuka kwa utendaji wake sana.
@upendoshuma-em4wd
@upendoshuma-em4wd 9 күн бұрын
Your tha best dada love u
@Yassinseleman
@Yassinseleman 9 күн бұрын
Ummy mwalim anajua kujishusha huyu dada anahuruma sana nimemuona mwaka 2007 akija mpaka kijijini kwetu pale mwisho wa shamba kitongoji cha kikwazu dada huyu nimnyenyekevu hata kwa kuongea
@user-fl7nz8kj1n
@user-fl7nz8kj1n 6 күн бұрын
MUNGU YU NAWE,mhe ummy kipenzi Cha wengi
@MosesKashinje
@MosesKashinje 3 күн бұрын
Dada uko vzt usife moyo
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 6 күн бұрын
Hongera sana dada!!!
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 9 күн бұрын
Wewe ni mama bora tena unafaa kuwa rais
@iddymvano6015
@iddymvano6015 Күн бұрын
Kazi umefanya hakuna linalo mfika mja ambalo halijapangws
@FloraChuma-hf1lu
@FloraChuma-hf1lu 11 ай бұрын
Hongera sana ummi mwalimu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 7 күн бұрын
wewe umy inaweza sana wewe najafo niwatuu nilikua nawakubali sana kama jafo nitui niliemuona angeweza kuja kushika nchii hiio
@AmosGiti
@AmosGiti 7 күн бұрын
Hii pangua pangua vp
@user-ux7vu8hz1w
@user-ux7vu8hz1w 3 күн бұрын
Yani atarudishwa tu, Odo sio wa kutenguliwa!
@florachogo243
@florachogo243 11 ай бұрын
Hongea sana
@athumanmmbaga5229
@athumanmmbaga5229 25 күн бұрын
Good 🎉🎉🎉
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 5 күн бұрын
HIVI WATU WANAPO POTEZWA,KUPIGWA,KUONEWA BILA UTETEZI UNAFIKIRI KUNA NINI? MAANA YAKE ANAYETENDA HAKI ATOKE ASIYETENDA HAKI AINGIE. MUNGU TUSAIDIE.
@matridamsambili7081
@matridamsambili7081 9 күн бұрын
Penda sana Dada huyu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 күн бұрын
Mwanasheria,mtetezi wa haki za binadamu aliyeshindwa kuwalinda,kuwajali na kuteteahaki za wagonjwa, akaegemea zaidi upande hasi wa serikali dhidi ya afya...
@MusaNhigula
@MusaNhigula 5 күн бұрын
Endelea kuwa mtulivu wewe ni hazina ya Taifa letu
@sarahmgana4343
@sarahmgana4343 7 күн бұрын
MUNGU MPE UTULIVU, NALIA KWA AJILI YAKO
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 5 күн бұрын
Hapo kwenye ndoa umeongea kwa kifupi mno!
@user-my4dr5oq6v
@user-my4dr5oq6v 6 күн бұрын
Mtot bado analipa axe
@mrishorajabunaniza4798
@mrishorajabunaniza4798 9 күн бұрын
LAHAULA!!!!!!!!!!!!!!
@ericamkwena7736
@ericamkwena7736 Күн бұрын
A
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Жыл бұрын
Safiiiiiiiii
@FadhiliNyassi
@FadhiliNyassi 6 күн бұрын
Hawa timu magufuri watapotea sana
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 2 күн бұрын
Nadhani mh. RAIS anataka kukupa wajibu mwingine, yani upumzike kwenye Afya.
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 6 күн бұрын
@rashidkinyasi5645
@rashidkinyasi5645 3 ай бұрын
Mchukuuni ipo Wilaya ya Tanga na siyo Handeni....
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 25 күн бұрын
Not handeni.
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 23 күн бұрын
@@rashidkinyasi5645 yaah mchukuuni is located left side.pangani Road is between mwambani and mwahako I'd I'm nor mistaken.
@Selemlaki132
@Selemlaki132 4 күн бұрын
Mime wako Ni nani
@HydaKassim
@HydaKassim 2 ай бұрын
Nakupenda sana na pambana nijekuwa kama your are my ROLE MODEL wangu
@JumaAbrahaman-p6k
@JumaAbrahaman-p6k 5 күн бұрын
Inalah Maswabirina. Ummiy Mwalimu kua na subra❤❤
Historia. Ya Kassim Majaliwa
8:03
USIKU TV
Рет қаралды 35 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 11 МЛН