Historia. Ya Kassim Majaliwa

  Рет қаралды 28,181

USIKU TV

USIKU TV

Жыл бұрын

#waziri #mkuu #watanzania #usikutv #kassim_Majaliwq

Пікірлер: 22
@epimackjohn461
@epimackjohn461 10 күн бұрын
Kufahamu historia ya huyu MAJALIWA ni safi kabisa , Mtendaji MAKINI , asiye na matambo , mkweli , anayejali haki za watu ,mwalimu mtaalaam wa UALIMU , Mwenye HURUMA na sifa nzuri LUKUKI . Ni tofauti na wengine wanaolazimisha wapate sifa nzuri ambazo hawafanani nazo .
@Kainga47
@Kainga47 Ай бұрын
Safi sana
@paulhando6286
@paulhando6286 10 ай бұрын
Nampenda sana majaliwa,utendaji wake wa kazi ulivyokuwa hapo nwanzo, na wrote tulimheshimu sana kwa kauli zake thabiti, mambo hayaendi siku zote unavyotaka.Mungu ambariki
@user-cv1ye7sx2d
@user-cv1ye7sx2d 9 ай бұрын
Ubarkiwe na mwenyez Mungu nakuombea kwa utendaji wako makini nipo Kahama shinyanga
@aminaomary5567
@aminaomary5567 9 ай бұрын
Hapo shemeji yangu pa kuwa timu simba nimekupenda hiyo aina jina.Simba hoyoooo❤❤❤👍👍
@CharlesMembo
@CharlesMembo 10 ай бұрын
Namkubari majaliwa agombee urais 2025
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga 10 ай бұрын
Safi saaaaana.❤ ✔️🇹🇿
@anraneamisse9243
@anraneamisse9243 2 күн бұрын
Nandagala moja a.k.a mnacho
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz 9 ай бұрын
Waziri mkuu hongera Kwa wasifu wako mzuri usiokinzana na utendaji KAZI wako.... Endelea kuwaongoza vyema mawaziri wako
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz 9 ай бұрын
EATV Stay blessed!
@mann9460
@mann9460 Жыл бұрын
mwana kaigo mwenzangu 🥰🥰🥰🥰
@RobertsKibasa-wi9mf
@RobertsKibasa-wi9mf 10 ай бұрын
Ni kweli, tukipiga kitabu Kigonsera pamoja miaka hiyo.
@petermboje5839
@petermboje5839 10 ай бұрын
Unafaa mxee kuwa rais wetu baba nakuombea
@ghuhenjasper8666
@ghuhenjasper8666 9 ай бұрын
Sasa apewe nafasi ya kuwa RAIS wa NCHI yetu ya Tanzania maana anafaa kwa UONGOZI.
@nickjuma6020
@nickjuma6020 Жыл бұрын
Upuuzi sana! Historia huwa haipo hivyo! mambo mengi huyajui! umepitisha juu juu tu! eti ana watoto wala hata idadi hujasema! eti alikuwa Katibu wa chama cha walimu wa mkoa hujataja ni mkoa gani! kwa ufupi hujui kitu chochote!🤷
@USIKUTV
@USIKUTV Жыл бұрын
We acha kudanganya
@USIKUTV
@USIKUTV Жыл бұрын
Tulifanya utafit kabla ya kuipost Ulicho sema toa ushaidi wako wa kile ulicho sema
@isamony58
@isamony58 Жыл бұрын
safi sana
@RaymondMahundi
@RaymondMahundi 7 күн бұрын
Unajitambua kweli wewe.historia inasomwa hivyo kweli jana .hebu waachieni waandiahi habari Kazi yao
@USIKUTV
@USIKUTV 6 күн бұрын
Kipi kilicho kosewa hapo
@USIKUTV
@USIKUTV 6 күн бұрын
Fafanua
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Safi sana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyohamia na familia yake Dodoma
8:28
HISTORIA YA UMMY MWALIMU
8:02
USIKU TV
Рет қаралды 20 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
MFAHAMU DK. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MTEULE
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 91 М.
Historia Ya Humphrey Polepole
8:59
USIKU TV
Рет қаралды 359
Mh Kassim Majaliwa Ateuliwa Kuwa Waziri Mkuu
6:24
SIMU. Tv
Рет қаралды 62 М.
Historia Ya Nape Nauye
8:57
USIKU TV
Рет қаралды 221
HISTORIA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE
5:51
USIKU TV
Рет қаралды 12 М.
HISTORIA YA KASSIM MAJALIWA
3:37
USIKU TV
Рет қаралды 1,2 М.
все завёл и убежал #питбайк #dirtbike
0:25
дед сломал мотоцикл за 5млн🤯❗️ @Motogochi
0:31
sila_pelmeney💪
Рет қаралды 2,8 МЛН
Proses Buat Spoiler Hino Lohan
0:55
MR. JUBRIT
Рет қаралды 18 МЛН
Skyfall mit dem Auto 💨💥 #crash #pov
0:26
tomhansenmedia
Рет қаралды 4,1 МЛН