USIPITWE! Duka Linalouza Magari ya Kifahari ya Watoto, Lazua Gumzo Kariakoo

  Рет қаралды 11,507

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

USIPITWE! Duka Linalouza Magari ya Kifahari ya Watoto,Lazua Gumzo Kariakoo
Prince Stationery ni Maduka yanayoongoza kuuza Magari Mazuri ya Watoto, Drone, Camera za watoto, Dressing table za watoto wa kike, nguo mbalimbali za watoto, Michezo Mbalimbali ya watoto pamoja na vifaa vya watoto vya shule.
Kutokana na ubora pamoja na uzuri wa Bidhaa zao zinazopatikana kwa jumla na rejareja hali inayofanya kuwa gumzo kila kukicha kutokana na watu mbalimbali kutoka pande zote za Tanzania na Visiwani Zanzibar kufurika kwenye maduka hayo na kujipatia bidhaa hizo.
Hata hivyo Prince Stationery wametangaza punguzo kubwa sana la Mauzo ya bidhaa zao ikiwemo vifaa vya shule hivyo kuwapa fursa wamiliki mbalimbali wa shule pamoja na wazazi kufika kwenye Maduka yao na kujipatia bidhaa hizo kwa jumla na rejareja hasa ndani ya mwanzo wa mwaka huu 2019 ,Tazama video hii ili ujionee mwenyewe mambo yalivyo Konki.
Kwa mawasiliano nao kwa namba za simu 0774 880 082 kwa Duka la Mtaa wa Congo na 0686 942 978 kwa Duka la Mtaa wa Lindi, au unaweza kuwatembelea kwenye mitandao ya kijamii; Instagram: prince_stationery_tz, Facebook: prince stationery, Twitter: prince_ssb_tz au watumie barua pepe kwa anuani ya info@princesecretaria.co.tz.
Waweza pia kuwatembelea kwenye mtandao wao kwa anuani ya www.princesecretarial.co.tz .
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

Пікірлер: 8
@monasadi7629
@monasadi7629 5 жыл бұрын
Mashaallah vitu vzur ya watoto
@hildamushi1861
@hildamushi1861 Жыл бұрын
Hello nahitaji kwa bei ya jumla
@BettyAbsalum
@BettyAbsalum 2 ай бұрын
Gari shingap?
@soranali7367
@soranali7367 4 жыл бұрын
Mnapatikan wapi mm nahitaji
@hildamushi1861
@hildamushi1861 Жыл бұрын
Nahitaji mzigo wa jumla
@evedianasaile6811
@evedianasaile6811 5 жыл бұрын
Nakama upo nje yamkoa unapataje kaka Kama baby oka
@salmatowainda5229
@salmatowainda5229 11 ай бұрын
Naweza pata kwa bei ya jumla
@MwanaishaSaid-kq8zp
@MwanaishaSaid-kq8zp 25 күн бұрын
Naitaji dromsi.bai
BRIJBAZAAR SERIES 2  kids table chair assembly video
14:58
Saurav Kumar
Рет қаралды 388 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 2,7 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 11 МЛН
DR KUMBUKA AFUNGUA DUKA LA WATOTO
2:04
MG TV
Рет қаралды 1,6 М.
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
VIDEO HII IMEWALIZA ALIKIBA, MAKONDA WAKIMUAGA RUGE
5:41
Global TV Online
Рет қаралды 729 М.
ANGALIA MICHEZO YA WATOTO KUTOKA D.F.I BY SPESHO KABWANGA
10:01
Spesho Kabwanga Online
Рет қаралды 16 М.
TOBY Kids Study table and Chair Assembly video
12:10
ddp enterprises
Рет қаралды 14 М.