KAMATI ya ULINZI KISARAWE YASHTUKIZA USIKU MNENE KWENYE MSIKITI UNAOLAZA WATOTO 156 -''WARUDI KWAO''

  Рет қаралды 50,506

Global TV  Online

Global TV Online

19 күн бұрын

KAMATI ya ULINZI KISARAWE YASHTUKIZA USIKU MNENE KWENYE MSIKITI UNAOLAZA WATOTO 156 -''WARUDI KWAO''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 784
@globaltv_online
@globaltv_online 18 күн бұрын
​​Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@fetychina3969
@fetychina3969 17 күн бұрын
Jamani shekh tunaomba upitishe michango tutatoa tunacho jaliiwa lengo sio baya ila mazingira ndio si rafiki
@ummiawess2772
@ummiawess2772 17 күн бұрын
Hasbiyallah waneemal wakeel
@iambeat2430
@iambeat2430 17 күн бұрын
Mimi ni mkiristo ila huyu sheikh ana busara sana..Mungu ampe nguvu lengo lake ni jema mno...
@HalimaDerua
@HalimaDerua 17 күн бұрын
mungu akubariki kwa kutokuwa na kinyongo na dini yoyote na akujaalie uwe muisilam
@frankchipasura1814
@frankchipasura1814 17 күн бұрын
Daah! Mh. DC Magoti umetisha sana, Safi sana
@DM_15
@DM_15 17 күн бұрын
Dc mtu mwema kabisa huyu Mungu akubariki sana sana Dc
@briankatani6770
@briankatani6770 17 күн бұрын
Pole sana shekh lakini nimekusifia kwa busara zako na uwezo wako.huo ni mwanzo endelea kurekebisha kituo then utaruhusiwa.
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 18 күн бұрын
Hongera mkuu
@MohamedSharif-s8c
@MohamedSharif-s8c 16 күн бұрын
Mwenye kupewa hekima Kwa Hakika amepewa kheri nyingi,hongera ustadh wangu Kwa busara na unyenyekevu wako.
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 17 күн бұрын
Aliyemsikia Mh Dc akisema kuna Watu wanatafuta Watoto,Magodoro yanaishaa lakini hawapati Watoto....!! Tutambuane hapo.. Big up Maggoti Big up Samia.
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 17 күн бұрын
Kuwaza ujinga tuu kuoga aaa!!!😂
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 17 күн бұрын
😂😂😂
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 17 күн бұрын
Mkuu wa wilaya chapa uko vizuri sana unamwaakilisha mama samia vizuri,chapa KAZI watoto wanaitaji ulinzi na usalma ninaimani pia mkuu wa wilaya ulilidwa na wazazi ndio maana uko hapo Leo
@UlfaRashid
@UlfaRashid 17 күн бұрын
Hasbia llah wa neema waqill
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 17 күн бұрын
Magoti sikulaumu ila tumia hikma ktk baadhi ya mambo uongozi una mwisho wake. Ila kikubwa zaid nawalaumu matajiri wa kiislamu endeleeni tu kufadhili mipira na mambo ya kidunia yasiokua na faida ktk dunia hii hakika. Allah anawaoana
@shinipapaya846
@shinipapaya846 17 күн бұрын
Ni mwendo wa fulsa ndugu yangu amka usingizini jiongeze kama binaadamu 😭😭😭
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 17 күн бұрын
Ww naye ndezi kweli Hawa watoto wanatakiwa wawe shule
@adamhashim3352
@adamhashim3352 17 күн бұрын
​@@user-so3gy2io8l Kwahyo hapo walipo sio shule. Km unahuruma kweli ungewachukua wanaoranda katiakoo uwapeleke shule
@saidshalo
@saidshalo 17 күн бұрын
Mkuu kazinguwa kama ana huruma na hao watoto kwani bwei nikiasi gani kujenga au shimo la choo m😂bona vyoo nivizuri si ange towa msaada kama nia kaiona mzuri .
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 17 күн бұрын
@@user-so3gy2io8l WAMEFELI SHULE GANI UNAONGELEA WEWE KIKUBWA NI MAZINGIRA TU YAWEKWE SAWA.
@BinkanaKinyasi
@BinkanaKinyasi 18 күн бұрын
Kiukweli tuache unafiki mazingira sio salama
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 14 күн бұрын
Akitoka hapo Tito azungukie na shule za wilaya yake kazi nzuri Tito ameanza vyema
@mussaelias3535
@mussaelias3535 18 күн бұрын
Shekhe kweli umeonyesha unyenyekevu wa Hali ya juu sana
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 17 күн бұрын
Lazima iwe hivyo maana amekosea
@TroubleOwner
@TroubleOwner 17 күн бұрын
Kwani atafanya nn mbele ya serikali ?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
​@@TroubleOwneracheni chuki
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 17 күн бұрын
​@@TroubleOwner makosa anayoyafany kwa akili zako za kimavi huwez kuelewa mpk ipite miak zaid ya 10 ndo ujue
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 17 күн бұрын
Shekhe wa mkoa mwenyew hajui, Mufti hajui ni zaid ya upuuzi tu
@JamesMlingilwa
@JamesMlingilwa 17 күн бұрын
Asalam alaykum nashukuru sana uislam ndo ndo din yenye maadili mema kweli inafundisha uwepo wa allah shekh kaonesha unyenyekevu juu ya hili na kajielezea vizuri na mh dc pia na yy kaweza kulitambua hivyo niwatakie rehma na aman juu ya uislam kwa mitihan tunayo pitia m/mungu atufanyie wepes nashukuru kwa hili lililofanywa na kamati ya ulinzi nawaomba msiishi pande moja njoon na upande wa pili huku viwanja vya pekas kawe huenda kuna madhaifu maana sheria ni msumeno wabillah taufiq asalam alaykum arhmatullah wabarakatuh
@hamisibishe3612
@hamisibishe3612 17 күн бұрын
Muheshimiwa umetumia hekma ya hali ya juu Allah akuongoze
@Official83640
@Official83640 18 күн бұрын
Mtamlaumu mkuu wa Wilaya kuingilia hili swala lkn ukiangalia wanamakosa hawana kibali chakulaza watoto sie wote Waislam na tunajua dini inafundishwa lkn muhimu kituo kujulikana kwahy tusione tumeonewa Waislam dunia imeharibika siku hizi
@BabaSuhayl
@BabaSuhayl 17 күн бұрын
Ww hujamuelewa au vp kasema misikiti ni sehemu ya kuswali tu au hujaelewa alafu unafananisha msikiti na kanisa haitoshi anasema bora nguruwe analala sehemu mzuri kwelii makafiri hao
@user-um5uw9yo5q
@user-um5uw9yo5q 17 күн бұрын
Atakaye mlaumu kuu wa wilaya atakosea tatizo ni mazingira wanayoishi mungu amjaaliye
@mayaniphilipo9256
@mayaniphilipo9256 17 күн бұрын
Sawa Mazingira, Ila Intention Yake Sio Mazingira Maelezo Yana Contradict!
@ericksimba7836
@ericksimba7836 17 күн бұрын
Ni kweli mkuu wa wilaya yupo sawa. Inakuaje huduma kama hii pasipo hata shekhe wa mkoa hatambui. Mkuu wa wilaya ana info zote ndo manaa
@mayaniphilipo9256
@mayaniphilipo9256 17 күн бұрын
@@ericksimba7836 Mimi Shida Yangu Ni Lugha Tu Hapo
@seyfullahonlinetv
@seyfullahonlinetv 17 күн бұрын
Mafunzo ganiii mbn umekazania mafunzo hayo shida ni mafunzo shida ni mazingira
@mayaniphilipo9256
@mayaniphilipo9256 17 күн бұрын
Hv Kiongoz Kwel Watoto Wamelala Mazingira Machafu Na Mabaya Kuliko Ya Nguruwe Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun 😢😢😢
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Naam lazima utratibu ufatwe hakuna uislam wa holela kama huo
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 17 күн бұрын
We nae tiini Sheria za nchi Jambo lilikua zuri ila maarifa zero,acheni kufanya mambo Kienyej we hayo mazingira unayaona saw,tupo tayari kuchanga ili tuilinde dini nasohivi kuidharirisha aibuii hiii nakuidhalilisha manhaj
@RehemaSalum-vp6rf
@RehemaSalum-vp6rf 17 күн бұрын
Uislam nidhaifu na sio uchafu acha amwmbie ukweli
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 17 күн бұрын
Tanzania tunahitaji viongozi wanaowajibika Kama mh. DC Magoti
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 17 күн бұрын
Ila shehe naye ni mtiifu Sana hongera zake Sana kuwa msikivu na muelewa
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 17 күн бұрын
😮😢We Dc mungu acha kudhihak dini na zawenzio kwa kauli zako chafu, hakika Allah yuwakuona
@Keyjop
@Keyjop 17 күн бұрын
😏😏
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 17 күн бұрын
Yupo chini ya rais mama samia
@robertempire9542
@robertempire9542 17 күн бұрын
Amedhihaki Nini hapo?? Huku amesema ukweli hii nchi inaongwozwa kwa sheria na Kila mmoja wetu afate utaratibu wa nchi ili kila Jambo lifanyike kwa amani na ustadi..
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t 17 күн бұрын
Nmefeliiiii
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 15 күн бұрын
Tutakutafuta utupe ufafanuzi wako kwa ulichokiandika.
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 18 күн бұрын
Funga icho kituo ugaidi unaanza ivo uyo shekh ana mamlaka gani kukusanya watoto ivo kizazi cha kesho kupitia miamvuli ya dini sisi wote tunampenda mungu waludi kwao uyo mzee anatafuta pakupatia misaada
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 18 күн бұрын
Sasa we hutaki apate msada au ndio chuki ya kidini kwanza wewe kadiri inakuuma nini
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 18 күн бұрын
Nipo Zanzibar,,,,pumbavu
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 17 күн бұрын
Acha chuki za kijinga unasema ugadi ukiambiwa utoe dalili za ugaidi utaweza
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 17 күн бұрын
@@davidanselmo4041 gaidi namba Moja duniani ni marekani anatengeneza makundi ya kigaidi anayapa siraha kwa masilahi yake ya kiuchumi na kisiasa halafu huyo huyo anaidanganya Dunia kujifanya kama anapigana nayo makundi yote ya kigaidi unayoyajua duniani yanafadhiliwa na yameundwa na mmarekani lakini Dunia walivyo wanafiki. Wako kimya kama vile hawajui hata trampo 2019 aliongea kwa ushahidi kumwambia Obama kuwa ndio aliunda kundi la kigaidi la ais la Syria ili kumuondoa raisi. asadi madarakani
@buremalyatabu3517
@buremalyatabu3517 17 күн бұрын
Na kwenye makanisa huwa mnaenda kukagua?
@ummiawess2772
@ummiawess2772 17 күн бұрын
Kila linalokufika ujue mungu ana sababu zake huu mtihani toeni namba tutoe michango ili watoto wapate ilmu ya ahera
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 15 күн бұрын
Namba imeshatolewa mpaka DC analeta Simenti hakuna aliyechangia mnajusemesha tu.
@CivilTechTutor
@CivilTechTutor 17 күн бұрын
Salafy hatujawahi kuwa na shida na serikali alhamdulillah Tutarudi tukiwa strong zaidi Pengine DC hakuwa na info nzuri juu ya salafy
@aishathabit3732
@aishathabit3732 16 күн бұрын
Hajui kama salafy ni UVCCM ninahakika mtarudi Na kwa mara ya kwanza unatoboa siri Kwamba nyie ni sehemu ya utawala unao mkana mungu katika sheria Lo!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 15 күн бұрын
Salafy wanasomeka
@ibucom12tv56
@ibucom12tv56 16 күн бұрын
Huyu dogo hajui kazi za msikiti, amechanganyikiwa.
@user-mg8ew2sz8k
@user-mg8ew2sz8k 18 күн бұрын
Ambia mungu asante amekutetea
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 17 күн бұрын
Wazazi Mungu kawajali watoto muwalee wenyewe. Kwa nini mnawakosesha watoto wenu haki ya msingi ya malezi?😢 Kuwakabidhi watoto kwa wachungaji na mashehe huko ni kufeli maisha. *Kwa mazingira hayo mtoto anakuwa na akili njema kweli?* Huo ndio mwanzo wa ugonjwa wa afya ya akili.
@sauda4505
@sauda4505 17 күн бұрын
Mungu kwani Una mapungufu Sana nikukumbushe Tu hakuna dunia bila dini
@NdizeyeSaidi
@NdizeyeSaidi 17 күн бұрын
Mwanzo umetaja Mungu, kama sio hao wanaopelekewa hao watoto, ungemjuwa Mungu
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 18 күн бұрын
Walantardhwa ankalyahuudu Wala nnaswaraaaaaaaaaaa
@alexkabogo6865
@alexkabogo6865 17 күн бұрын
Jamani elimu ya dini tunaipenda ila ukweli shehe hapa ameyakanyaga mtoto yupo darasa la nne kweli ameacha shule mtoto angekuwa kidato cha pili lakini inasikitisha kuona wapo hapo ushauri wawekewe utaratibu mzuri ndipo warudishwe kwenye darasa
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 17 күн бұрын
Tuko tayari kutoa mchango, sheikh tangaza namba. Kiukweli mazingira sio salama. Ila DC amekusudia nn kuuliza wanafadhiliwa na nani???
@AbouAzzaam
@AbouAzzaam 16 күн бұрын
Huyo mtoto wa darasa la nne pia shule anasoma sio kwamba kaachishwa shule. Sikiliza vizuri hiyo video rafiki.
@Umbea_tv
@Umbea_tv 17 күн бұрын
Nimempenda DC
@saadallah6287
@saadallah6287 18 күн бұрын
Ivi unajuwa watoto hao mazingira wanapo tokea ? Hao watoto wa walala hoi wanaletwa kusoma dini ili waepuke uvutaji wa bangi na madawa ya kulevya
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 18 күн бұрын
Hamna kibali na hakuna iman yakulea watoto wadogo kama hawa kuwalaza kwakuwapa mafunzo usikun
@mayaniphilipo9256
@mayaniphilipo9256 17 күн бұрын
@@itsyourboy1407 Ndugu Hujui Elimu Inatafutwaje Hii Na Kwa Taarifa Yako Bila Hicho Unachokikashfu Huenda Hao Watoto Wangekuwa Chokoraaa Hv TunavyoZungumza
@samwelombeni6850
@samwelombeni6850 17 күн бұрын
Swala hapo ni utaratibu umefwatwa, Nia ni njema lakini utaratibu umefwata!? Sheikh mwenyewe anakiri ametenda kosa sasa ukitaka kufananisha standards za wanakotoka na waliko serekali inaweza kushindwa kutekeleza Mambo kadha wa kadha kwa viwango kubalika; Kwahiyo Nadhan utaratibu ukikamilishwa wanaweza kuendelea Tena kwa kushirikiana na serekali maana ndio regulator;
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Kweli kabisa wengi ni watoto wa n'nje ya ndoa, maswala ya uzazi yatazamwe sana
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Wahuni tu hao
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 18 күн бұрын
Akili za Mkuu wa Wilaya zinamtuma Hawa vijana wanafundishwa Ugaidi..!! Acheni kunyanyasa Imani za watu.
@deograsiassteven9262
@deograsiassteven9262 18 күн бұрын
Huyo hajakurupuka kuna taarifa anazijua...huyu ni afisa usalama wa taifa mda mrefu sana na alikua ikulu kwa zaidi ya miaka 20 usimchukulie poa hapo anajua kila kitu kinachoendelea..
@georgegasper220
@georgegasper220 18 күн бұрын
Ni kweli mpk unaona kiongozi amefika eneo Fulani ujue Kuna changamoto hapo.
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w 18 күн бұрын
Watoto wadogo ni rahisi sana kufundishwa ugaidi wakatazwe kuweka kambi hao
@tasianacosmass4446
@tasianacosmass4446 18 күн бұрын
Wote mnaosema kaonewa wewe unaeza kumpeleka mwanao mazingira kama ayo
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 18 күн бұрын
@@deograsiassteven9262 hakuna lolote hapo.nakumbuka Hata. Dodoma vijana kama Hawa walikutwa wanafundishwa elimu ya dini na mkuu wa Wilaya na kamati yake ya ulinzi walifungia hivyo vituo wakihusisha na mafunzo ya Ugaidi.Mwishp wa siku shehe wa mkoa akakanusha na kusema Hata yeye anavitambua hivyo vituo ni vya mafunzo ya dini,hii Ili kuwa aibu Kwa mkuu wa Wilaya.
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 17 күн бұрын
Ama kweli watoto wetu wanapotezwa uuwi. Tuweke udini pembeni jameni watoto ni wetu sote, hawatendewi haki. Shekhe hapo kakosea.
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 17 күн бұрын
Mungu WANGU eti tuweke udini pembeni soma Ayubu 4;6 jamani dini NDIO funguo ya maisha .inafundisha kuwaheshimu wakubwa na binadamu kwa ujjmla.pia dini inakaza zinaa wizi ulevi KAMARI kuabudia mizimu makaburi na mengineo sasa unaposema dini tuweke pembeni unamanisha WATOTO wawe washenzi??? Sasa muwasaidie wapate malazi salama WATU wanahali ngumu kila mmja muwatembelee hao WATOTO bajumbani kwao mkaangalie maisha ya wazazi wao hali zao ni ngumu NDIO mana MZAZI anaamuwa mwanae akajifunze dini asije akawa teja au mwizi hakuna MZAZI anayependa mwanae ateseke ila ninhali ya kiuchumi anaona NIBORA akalale chini ila apate kumjua muumba wake asifanye mambo yabuwalifu sasa ukiwarudisha makwao wanakwenda kufanya nini nawazazi wao HAWANA kitu.WATOTO mkiwanyima elimu ya kumjua mola wao itakuwa HABARI SIKU za usoni siunaona Kenya vijana wanachokifanya HAWANA hofu ya MUNGU.DC WANGU NAKUOMBA MIDHALI UMELIGUNDUA HILO WAFANYIE UTARATIBU ILI WAPATE KUSOMANELIMU YA DINI .SIO KUWARUDISHA MAKWAO MTIHANI.ALLAH AWAPE SUBIRA MASHEKH AMBAO ULIOWEZA KUWASAIDIA KUWAPA ELIMU YA DINI BAADA YA KUSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO YA SHULE YA MSINGI.
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 17 күн бұрын
​@HamisAbdallah-cj2sc very true, H
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 10 күн бұрын
​@@HamisAbdallah-cj2schuyo Dc mdini tu
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Safi sana kiongozi wetu mungu akubariki❤❤❤
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Mkuu umefanya kazi kubwa sana Fanta kazi kaka angu mungu atakusaidia.hayo sio mazingira mazuri kwa watoto wadogo kama hao. Watoto wengine wana haribika sehemu kama hizo kwa sababu hakuna uwangalizi mzuri.😢
@jojolens6027
@jojolens6027 17 күн бұрын
Huyu shkhe ndio ana makosa , elimu ya madrasa ni simple sana tatizo mnatenganisha na elimu ya mazingira ..Watoto hao walitakiwa kupata elimu zote kwa wakati bila ya kutenganisha . Hakuna ulazima wa kufundisha watu kama mazingira sio rafiki , vipo vyuo kibao ambavyo vina mazingira mnaweza kuwapeleka wakasoma , sheria za nchi zifuatwe hakuna uislamu wa hivyo zaidi ya kutafuta vurugu na serikali ..Mamlake ya waislamu yapo tatizo mnajifanya mnaendesha mafunzo kienyeji mngeenda hata kujiandikisha BAKWATA pale mjulikane . Shule lazima wasome bado wadogo wengine na elimu ya madrasa wasome pia .
@omarimasimba4663
@omarimasimba4663 17 күн бұрын
Allah akuongoze Sana ni vile tu sio muislam Allah siku akikufanya ukawa mwislmu utaelewa tu vizuri kwanini wako hapo
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 17 күн бұрын
Mungu hakukisea kukuomba hivyo ulivyo Maana ingekuwa hatariiii
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 17 күн бұрын
WATOTO WADOGO WAMEELEZEA WENYEWE KUWA WANASOMA HAPO KILUVYA HAPO HAMNA KOSA LABDA VYOO NA ILO NIJAMBO LA KULEKEBISHWATU
@mohamedally6992
@mohamedally6992 17 күн бұрын
SASA WATOTO WAMEFILI . WAFANYE NINI. LA MSINGI NI KUREKEBISHA MAZINGIRA TU. ALAFU WARUDI
@billimambo9517
@billimambo9517 17 күн бұрын
Mtoto wa miaka 6 kafeli wapi?
@FestoLalata
@FestoLalata 17 күн бұрын
Hatutaki ugaidi ktk taifa letu ,ukiona hali ya hatali popote toa taarifa ikiwa nielimu nijambo zuri lakini kuwaandaa vijana kwaajili ya ugaidi Tanzania hatutakubali
@mwinjumakimweri6486
@mwinjumakimweri6486 17 күн бұрын
Ugaidi ni Nini?
@tonybrighter3878
@tonybrighter3878 15 күн бұрын
Aseee Hii ni Hatari Sana Sana Mtu wa kawaida hawezi kuku elewa kabisa, Hii Hatari Sana
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 15 күн бұрын
Hivi wewe hadi sasa unawaza ugaidi na chuki zako kwa Uislam! Nani kakwambia hapo wanafundisha ugaidi? Kila mtu alishagundua hizo ni propaganda kuuita uislam ugaidi na ilhali duniani wanaoongoza kwa mauwaji ni nyie mikafiri. Acha ushamba badilika mbuzi ww😢
@twahambowe440
@twahambowe440 15 күн бұрын
Kwani kujifunza uislam umechukulia ndo kujifunza ugaidi sio! Hizo ni fikra potofu tena zilizojaa chuki dhidi ya uislam. Ndo Maana leo uislam umenasibishwa na ugaidi, TUACHE CHUKI ZA KIDINI KWA KUJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA ugaidi.
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 14 күн бұрын
Wakristo wengi wajinga na ndio punda wa propaganda zote katika dunia hii… we angalia tu mahubiri yao utajua wengi hawana akili.
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 17 күн бұрын
Hata maisha hayafanani wako kwao wanalala chini na serikali haijui shida zao kama wamefeli Kwa hiyo wangezurura wawe mashoga?
@samweli7985
@samweli7985 17 күн бұрын
Acha ujinga na mahaba, ikiwa kwao wanalala chini? Siyo wengi hivyo, mnapo kuwa wengi kunamagonjwa na choo kimoja nishida
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il 17 күн бұрын
​​@@samweli7985Mjinga ni ww kwan hizo hela zinazotolewa na serikali (milion 65)kwa ajili ya elimu hawakupeleka wakawekea vyoo vingi baada ya kubaini kuna choo kimoja
@mountkilimanjaroguide
@mountkilimanjaroguide 17 күн бұрын
Maneno ya sawa Kabisa
@abubakkarjumaseif-fb8wp
@abubakkarjumaseif-fb8wp 17 күн бұрын
​@@samweli7985Wewe ndio MJINGA na ni wazi kuwa UNATETEA USHOGA WEWE
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 17 күн бұрын
Huyu DC namuhesabia siku na mtakuja muniambie hapa hapa...mbona kwny church wadada wanakwenda uchi na vipensi mbona haendi kusema wanavaa uchi na waondolewe...
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 17 күн бұрын
@hamadsuleiman5177 😂😅 Unachekesha sana, yaani unalinganisha yale mazingira ya watoto 96 kulala msikitini, kujipikia, choo cha tabu na wavaa vipence na vimini? hao waovaa hivyo wanalala makwao na kanisani wanakwenda tu kama wanaingia DISCO na si kwenye nyumba yenye nidhamu ukiwa na hedhi, janaba, Uchi, umevaa hukuvaa HAINA SHIDA, usifananishe na msikitini, kama unajitambua UNGESIKITIKA mazingira waliokutwa nayo hao watoto si sifa ya U-Islam lazima tukubali kuwa hatukufanya sawa, ni lazima TUJIREKEBISHE.
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 17 күн бұрын
Ukiangalia wote ni choka mbaya maisha magumu, elimu duni, watoto wanafeli sibora wakae hapo wapate Imani, sasa nyinyi mnataka warudi mtaani Tena wakavute Bangi na unga
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 16 күн бұрын
Serikali inamjengo kibao yasiyo na kazi kwanini msiwape wakae kwa muda ili wasirudi nyumbani kuvuta bangi na unga ,please RC wape mjengo kwamuda wakati wakiendelea na ujenzi wao
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 15 күн бұрын
Walienda kuomba? Bila huyu DC haya yote tusingeyaona.​@@user-ob2ik5gy1b
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu 17 күн бұрын
Yuko sawa yuko shule Iyendee Ila Kwa kuweka Misingi ya kiusalama zaidi kulala Malazi na ubilawao👍
@AmirAbdallah-pr4uq
@AmirAbdallah-pr4uq 18 күн бұрын
Uislamu abadani hautapotea hata kidogo
@ShabaniRashid-ln3tj
@ShabaniRashid-ln3tj 17 күн бұрын
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri kwa kina ulipoishia. Kila nchi inaendeshwa kwa Sheria ,hakuna mtu mwenye Nia ya kujua ustawi wa dini fulani. Kama una akili timamu unawalazaje watoto karibu 100 msikitini kwa mfano?
@fredducaunt
@fredducaunt 17 күн бұрын
Tahira kweli wewe Hoja haihusiani
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 17 күн бұрын
Pumbavuuuuu! Uislamu ni dini ya mwenyezi mungu tuajua sasa vinahusiana nini na kulaza watoto 100 chumba kimoja!
@zainakingwele9228
@zainakingwele9228 15 күн бұрын
​@@ShabaniRashid-ln3tju najipendekeza
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 14 күн бұрын
Ndugu yangu katika Imani uislam sisi wenyewe ndio tunauangusha uislam angalia watoto wanavyolala ni hatari lakini sisi ni matajili sana ndio tunamiliki maviwanda makubwa sana ila kuifadhi dini yetu tunashidwa DC Yuko sahihi sana kufungua kituo
@kingtawile7702
@kingtawile7702 16 күн бұрын
Mkuu wa wilaya Kuna sehem nawewe haupo sawa japo nia yako ninjema pia
@johnmessi6831
@johnmessi6831 17 күн бұрын
Badala ya kuwafundisha watoto maarifa tujenge taifa mnawajaza ma Quran ndio yatawasaidia huu ni uhalifu ndio maana nchi ni masikini
@omarysuleyman5016
@omarysuleyman5016 17 күн бұрын
Hujitambui
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 17 күн бұрын
Nchi yako ni masikini Kwa sababu ya viongozi kma uyu anayeongea hapa
@user-cu6ol4zb8e
@user-cu6ol4zb8e 17 күн бұрын
Acha ujinga wewe
@ashelyngulugulu8425
@ashelyngulugulu8425 17 күн бұрын
Shekh ana hekima sana ishallah
@daslamonline4665
@daslamonline4665 17 күн бұрын
Hiyo elimu kama elimu zingine usiingilie Imani za watu,
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 17 күн бұрын
Hapo hamna cha Imani wala nn. Shida ipo hapo si Bure... Wahisani wanahusikaa... Na usilolijua tumeshachelewaa Waislam tumeshapigwa baooo.. Sio Dini tu hapo inayopandikizwa kwa Watoto wetu ukweli ndio huo.
@amandusmazimba6443
@amandusmazimba6443 13 күн бұрын
Ww unaelewa DC anaongelea nn hapo tunazungumzia afya za hao vijana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 17 күн бұрын
😂😂😂😂😅huyu Dc nmempenda sana...eti unaumwa macho na upo humu UTAPOFUKA😅
@Globalpeace123
@Globalpeace123 17 күн бұрын
Kuweni wa kweli inakuwaje mtu kufungua shule kama anavyodai bila kuwa na madarasa na mahali pa kulala wanafunzi? He is not serious he has his own agenda Watoto wanatakiwa kuwekwa mahali pazuri na salama Period.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 17 күн бұрын
Poleni sana kufanya kazi pasipo maarifa ni mzigo Roma ni Serikali paroko atashilikiana na waumini kwanzia jumuiya Hivyo hakuna kitu kitafanyika pasipo uongozi kujuwa na ata kiongozi lazima ashilikishe waumini Mungu atusaidie tusiangamie kwa kukosa maarifa
@FestoLalata
@FestoLalata 17 күн бұрын
Imani tufundishe kwa utalatibu,siyo kuwaweka kwenye manzingira hayo kwavyovyote lazima wanapandiwa elimu mbaya.
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 17 күн бұрын
Sahihi kabisa wanafundishwa ukatili
@NdizeyeSaidi
@NdizeyeSaidi 17 күн бұрын
Mgefatilia kwanza elimu inaofundishwa ndo mtowe comments. Zungumzeni kwa data na uadilifu
@zunguzungu6068
@zunguzungu6068 17 күн бұрын
Inchi hii mie huwa nashindwa kuierewa mtu kachukua watoto anawasaidia serikali ineshindwa kuwalipia ada na mahitaji menfine wakasone srekondar
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 17 күн бұрын
@@zunguzungu6068 Ile hali ndio msaada? Ukawarunde watoto 96 msikitini hawalali pahahali salama, mazingira ndio yale tumeyaona waziii useme huo ni msaada, na unaposema serikali imeshindwa kuwalipia ada suluhisho ni kuwaweka watoto kwenye hali duni??? Mbona kuna watoto wengi tu wameshindwa kusoma kwa kukosa ada na wako kwa wazazi wao sasa wooooote wakakae msikitini?????AMKA AMKA KUMEKUCHAAAAA sisi Wa-Islam tuko wapi?? Kuna matajiri wangapi wa Ki-Islam nchi hii ....... sisemi mengi kama mtambuzi TAMBUA........
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 18 күн бұрын
Nyie wakiristo ni makafiri,,,,acheni kusema uislam ni ugaidi ila si nyote mnaoamini hivo na ndo maana mnakuja ktk haki
@AlbinJames-bj5xz
@AlbinJames-bj5xz 17 күн бұрын
Acha matusi wewe walikuwa wanafundishwa nini?
@AlbinJames-bj5xz
@AlbinJames-bj5xz 17 күн бұрын
Ukafiri wetu ni nini? Kutowafuga watoto kama nguruwe ndio ukafiri wetu? Toa ujinga wako hapa, huna elimu ndio maana unasema hivyo, ninyi ndio makafiri na matendo yenu yanadhihirisha ukafiri wenu
@upendogreutert199
@upendogreutert199 17 күн бұрын
@@AlbinJames-bj5xzKaka sema lakini Mhmh hawa jamaa zetu ukisema kitu kuhusu dini wanatamani hata wakukatekate
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 17 күн бұрын
​@@AlbinJames-bj5xzukafiri ni kupinga mafundisho ya uislam na kuubandika majina mabaya tofauti na ulivyo uislam
@paulmushi2428
@paulmushi2428 17 күн бұрын
​@@topfreelancer5151 Hata Mwislamu mbele ya Mkristo ni Kafiri Kwa sababu Uislamu nao unapinga Mafundisho ya YESU KRISTO
@AmiriShemaginde-nn1zc
@AmiriShemaginde-nn1zc 17 күн бұрын
Innalillah waina ilahi laajiun msiba nilitegemea mkuu atatoa suluhu suluhu yake kubwa nikufukuza wanafunzi kwanini asiwawezeshe
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 14 күн бұрын
Dc big up hapo cha msingi kwanza ungekata kama m hv alafu nasi tuchangie watoto wasome ,maalim harambee ili maalim kaonyesha kuwa ana kipaji cha kufundisha,,,,,wapo wadhamin dunia mzima ,,,,maalim tembeza bakuli
@josephminja7953
@josephminja7953 17 күн бұрын
Sema mh magoti anao unyenyekevu, hongera
@briankatani6770
@briankatani6770 17 күн бұрын
Hongera Saba mura mh magoti,kwani watu wa ustawi wa jamii walikuwa wapi Hadi yote yanatokea!?
@aminaomary5567
@aminaomary5567 17 күн бұрын
Hongera sana DC. Kwanza hawo vijana wanajifunza dini hapo baadae wanaingia porini kujifunza ngumu na kuwa magaid. Yaan hapo hata kwa baadae wasiruhusiwe tu kukaa watoto kusoma. Hakuna dini hapo. Mara nyingi shule za Kiislam zinajulikana.Kwa mfano kwetu huku ipo ocean.
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 17 күн бұрын
DC samahani msikiti SIO sehemu yankuswali tu Kama tulivyozoea nimahali pa kupata elimu pia sio kuswali tu.
@abubakkarjumaseif-fb8wp
@abubakkarjumaseif-fb8wp 17 күн бұрын
Wewe bakia na UJINGA ULIONAO.
@zunguzungu6068
@zunguzungu6068 17 күн бұрын
Yee mkuu wa wilaya SI awasaidie hao watoto awachukue awape ajira😊
@samweli7985
@samweli7985 17 күн бұрын
Kunawatu hawaelewagi, hawo siyo watoto wa mtaani, Hawa niwatoto wameletwa chuoni, nawanalipiwa nawazazi waoo
@user-cc6dx4kn7w
@user-cc6dx4kn7w 17 күн бұрын
DC unaongea maneno magumu sana kwa watoto izo lugha unazotumia sio sawa, huwezi kuita mafundisho ya dini ya uislam ni ugaidi, unatukosea sana waislam , unatufanya tumkumbuke joket wewe, huna sifa za kuwa DC unawanyanyasa watoto kisaikolojia hata elimi ya dini ni elimu
@josephminja7953
@josephminja7953 17 күн бұрын
Vyanzo vya hayo ndomlundikano kama huo,umejiuliza wanaishi hapo Ili iweje?😮
@shijaenock7638
@shijaenock7638 17 күн бұрын
​@@josephminja7953hawez kutambua huyo hii dalili kwa mtu anaetambua dalili za maandaliz ya gaid huwez kukataa hili tukio
@user-ej9of7ol6e
@user-ej9of7ol6e 17 күн бұрын
Ww nae ni kichaaa😂😂😂
@arthurdonnietello9691
@arthurdonnietello9691 17 күн бұрын
Kwahiyo wewe una akili na information kuliko mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa wilaya? Acha upunguwani
@JamesMlingilwa
@JamesMlingilwa 17 күн бұрын
Jaman tujielewe maana ya mpini na makali ni nani alie alie shika mpin kwa hiyo ukimjua alie shikari mpin inatakiwa usimuuzi maana atakuumiza bas mi niombe tusiishie hapa twenden na viwanja vya pekasi na kama tunahitaji maadili mema twendeni na kwenye nyumba za ibada kwa ukweli shekhe kajielezea kajibu kiufasaha kwa unyenyekevu bila roho mtakafujo maana ungekua upande ule nazani tungeona mtu anavonena kwa rugha nahis mh dc huenda na yy angechenj namshukuru sana Allah kuliwekea jambo hili wepesi hadi dc kutamka iwapo utakosa nauri ya kuwasafirisha( unipigie cm mh dc) kweli uislam unafanyika jambo lakin huku wengine wakiomba dua njema ili jambo liwe jepes 😂😂😂 ewe m/mungu tuzidishie rahman ktk uislam ili nawengine waweze kuingia wakujue ww ndo kila kitu ktk ulimwengu huu
@joshuahassanmwamsangu9542
@joshuahassanmwamsangu9542 17 күн бұрын
Wazee wa I'm proud to be mmelowa sana. Kumbe mnaweza kutulia bana😅
@shabaniadam7015
@shabaniadam7015 17 күн бұрын
Acha ujinga ww huna unachokijua
@sifunisamwel8830
@sifunisamwel8830 17 күн бұрын
Hapo ni ugaidi tu unafundishwa hamna kingine
@twahambowe440
@twahambowe440 15 күн бұрын
Mfano wako mpo wengi mno duniani, ndo maana hadi leo waliyopo magereza yote duniani kwa tuhuma za ugaidi asilimia 99.9999 ni waislamu. HONGERA SANA.
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 18 күн бұрын
Serikali hakuna kulala. Ugonjwa utibiwe mapema
@hassanjuma3703
@hassanjuma3703 9 күн бұрын
We mwambie atembelee na sehemu ya pili sio kukandamiza
@hassanikaawizy2597
@hassanikaawizy2597 17 күн бұрын
Na taasisi zingine uende usichague dini
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 17 күн бұрын
HII NDIYO TANZANIA YETU. HATUTHAMINI ELIMU. WAZAZI WAKIWA NA ELIMU WANATHAMINI ELIMU KWA WATOTO WAWO Hakuna mzazi mwenye elimu anaweza kukubali Kutowa Mtoto wake, kumutekeleza na kuishi maisha kama haya. Huu ni uhalifu mkubwa kwa watoto. Kiafya, kiuutu, hata kidini. Huu ni uhalifu mkubwa. Akichunguzwa itangunduliwa hii ni zaidi ya dini.
@jumaasungwi6574
@jumaasungwi6574 17 күн бұрын
Dunia imekuwa mbovu siku hizi mim ni muislam lkn mwanangu cwezi kumruhusu ktk mazingira hatarishi .
@barakasabimana6726
@barakasabimana6726 17 күн бұрын
Pole sana Mwalimu
@johnpeter3406
@johnpeter3406 17 күн бұрын
11:59 safi sana mkuu wa wilaya mazingira gani hayo,kazi iendelee
@hassanjuma3703
@hassanjuma3703 9 күн бұрын
Serekali muwezesheni shekhe aweze kuelimisha jamii namna ya kuishi maisha ya amani DC toa mfano Kwa kuanzisha mchango mabweni yajengwe haraka Ili Sasa
@LloydsTech
@LloydsTech 17 күн бұрын
Hongera sana Mh. DC
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Ndio safi sana
@abbaskhamis3407
@abbaskhamis3407 17 күн бұрын
UDINI UANGALIWE SANA KWENYE HII ISHU MAANA MACHOKORAA WANGAPI AMBAO WAPO HAWASOMI SHULE???
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 17 күн бұрын
Ni sawa afanye tafiti achukue watoto wote ambao hawaendi shule apeleke.
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 17 күн бұрын
Hapa Mkuu wa Wilaya amefanya jambo la Busara Mlitakiwa mjenge Hostel na utaratibu wa chakula ili iwe salama kwao
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 18 күн бұрын
Wtt wamefeli kumbe Wakae vijiweni Lkn hapo wanasoma
@worldherotv
@worldherotv 18 күн бұрын
Mm nadhani bora kijiwe kuliko hili
@tasianacosmass4446
@tasianacosmass4446 18 күн бұрын
Minaimani wazazi hawajui mazingira wanayoishi watoto wao
@fredrickjoseph2907
@fredrickjoseph2907 17 күн бұрын
hawajafeli wezi hawa
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 17 күн бұрын
Sasa hapo wanapokaa sasa hivi ndio sawa?
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 17 күн бұрын
Wanasoma nini hapo!?. Wanakariri kurani bila kuelewa chochoto. Sana sana anatengeneza religious radicals na fanatics.
@husseinmrisho8601
@husseinmrisho8601 17 күн бұрын
Mungu akubariki
@BrandonAngelo-ux8bu
@BrandonAngelo-ux8bu 15 күн бұрын
Husimbane sana kama kuna utaratibu mwambie nakama kuna msaada wakifedha mpen lengo lake nijema nahuyo kachomeshwa nawenzie
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 17 күн бұрын
Majibu mazuri ya shekh ma sha allah,,
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu 17 күн бұрын
Kanzi njema mkee MashaAllah 🤲ww nikiongozi Mungu Akulinde
@daarularqammkaku153
@daarularqammkaku153 17 күн бұрын
Hata nabii Muhammad alipata tabu pindi akitaka kuifahamu Qur'an 😢😢😢
@Asamtz360
@Asamtz360 18 күн бұрын
Waislam fungueni akilizenu na muweze kupambanua mambo!! hata kama ni dini Mungu hawezi kufurahia watoto kuishi kwenye mazingira machafu na yasiyo salama inashangaza sana kuona waislam wanaumia kuona watoto wanaokolewa kutoka ktk mazingira hatarishi kwa afya zao!! Musielewe mukapitiliza maana Mungu hapendi kuona waja wake wakipotea kwa kukosa maarifa!!!
@khadijaalimohd1320
@khadijaalimohd1320 17 күн бұрын
UMETEMBEYA BAADHI YA HOSPITAL ZA SERIKALI UKAONA WAGONJWA WANALALA WAPI NA WANA LALA VIPI? USIONGEE UJINGATU BILA YA KUFANYA RESEARCH 😉😉
@user-ej9of7ol6e
@user-ej9of7ol6e 17 күн бұрын
​@@khadijaalimohd1320sasa mbona una makasiriko😂😂😂
@user-ej9of7ol6e
@user-ej9of7ol6e 17 күн бұрын
Hayo mazingira sio rafiki ndo ukwel usiopingika na misikiti si ipo kila mkoa kwa nn wasijifunze huko kwenye mikoa yao? Na ujiulize ww ungekua kiongozi wa serikali ungeweza kufanya kila kitu? Kazi ni kuhukumu watu waislam cjui nan kawaloga nyie mna lawama sana
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 17 күн бұрын
Kwa hiyo mkuu wa wilaya ana mapenzi zaidi ya hao watoto kuliko wazazi wao?
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 17 күн бұрын
Mungeanza kufungua nyinyi kwanza munaoamini kuna mtu anawabebea dhambi zenu
@user-wg5so4sd1e
@user-wg5so4sd1e 17 күн бұрын
Hongera Dc kwakweli hii mwavuli wa dini umepelekea watoto kukosa haki zao za msingi na wengine wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya ukatili wakijinsia kuna mtoto wa rafiki yangu aliacha shule akafadhiliwa na watuflani wanaojiita wanadini mtoto alikuwa analala huko akahamia huko kigezo chakusoma elem ya dini leo hii mtoto amekuwa na tabia xakishoga akirudi kwao usiku anawalazimisha bibam zake wadogo wamlawiti huko alikutana watu wabaya wamemuharibu mtoto
@user-ex7if1wq4t
@user-ex7if1wq4t 17 күн бұрын
Ustadhi toa namba tuchangie hayo mabweni fasta
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 17 күн бұрын
Hayo mambo ya kuchangia tunaweza wakristo jitahidini kuiga viongozi wanamashaka kulingana na tabia zenu za ubahili kwenye mambo ya msingi
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 17 күн бұрын
Kiukweli, kuna vitu tu havijakaa sawa. Nia ya sheikh ni nzuri na ana hekima sana huyu jamaa. Wampe muda aweke mazingira mazuri watoto warudi kuendelea na masomo yao.
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 18 күн бұрын
Uisilam hausomeshwi kwenye sofá DC wewe hujui alafu usitutishe hicho nidhamanatu wewe nidhaifu sana
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w 18 күн бұрын
Wewee acheni kufundishwa watoto ugaidi ndo maana vinakuaga viburi vya dini yao
@Ambwene
@Ambwene 17 күн бұрын
Vinafundishwa ugaidi vimbwa hivyo acha waondoke
@TroubleOwner
@TroubleOwner 17 күн бұрын
😂😂😂
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 17 күн бұрын
​@@Ambwenemh, mbona tunafika mbali kiasi hiki...?? Tunatarajia kunufaika na nini kuchukiana na kutoleana matusi kutokana miamvuli ya itikadi za dini????????!!!!!!!?
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 17 күн бұрын
​@@Ambwenejaribu kua na kauli nzuri ni nani vimbwa jee unaujua mwisho wako utakufia wapi acha chuki bakia na imani yako tuu bas
@medinaser9712
@medinaser9712 17 күн бұрын
Kweli lazima mazingira yawe mazuri....lakini wasiyaone hayo tu kuna watu waliuza mafuta ya mafuta ya upoko arusha walisababisha vifo hakina hatuwa ilio chukuliwa
@emmadora7848
@emmadora7848 17 күн бұрын
Pumbafu we ,wale wa mafuta Kuna mtu aliwapeleka pale ? Je ni watoto wale au watu wazima walioamua wenyewe?
@amnotzinho3621
@amnotzinho3621 17 күн бұрын
safi sana
@karamakarama-f1e
@karamakarama-f1e 17 күн бұрын
NENDENI SHULE ZENU ZA SERIKALI MUKAANGALIE,MUTUONESHE.MUMENIELEWA? Naomba mushare😂
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 18 күн бұрын
Soma vizuri
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 18 күн бұрын
Huna upendo wewe umetoa maneno mengi yakashfa sana nina hasira sana
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Kunywa sumu mjinga wewe mnazaa haram kisha hamna pa kuwapleka watoto wasio na hatia ujinga tu uislam gani huo bid'aa hio
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 17 күн бұрын
Kaka DC katumia busara sana hapo wote walitakiwa wakae rokapu tena shekh nae katumia busara kuomba radhi unaweza kuta hao wazazi pia c wakweli wanawezasema wamefeli kumbe c kweli wakamponza Shekh bure
@arthurdonnietello9691
@arthurdonnietello9691 17 күн бұрын
Kajilupie
@salumalriyamy
@salumalriyamy 18 күн бұрын
Hivi mpaka lini madarasa itaendelea kuonekana kama sio shule?..
@worldherotv
@worldherotv 18 күн бұрын
Haukuletewa dini uwe kipofu
@TroubleOwner
@TroubleOwner 17 күн бұрын
Tanzania sio nchi ya kiislam kwahiyo madrasa haiwezi kuwa shule labda Afghanistan huko
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 17 күн бұрын
​@@TroubleOwnermbona maana ya neno madrasa ndio shule? Au huna ELIMU ya lugha?
@salumalriyamy
@salumalriyamy 16 күн бұрын
@@TroubleOwner ujinga ni mtu kutokujua kitu na akawa hajijui kwamba hajui, Kisha badala ya kuuliza, akajifanya ajua zaidi. Kisha niulize, kwa Nini umeitaja Afghanistan pekee?.. kwa Nini usingeanza na Zanzibar?
@salumalriyamy
@salumalriyamy 16 күн бұрын
@@worldherotv of course, dini zimeletwa ili watu wajitambue.
@yaizfamily6615
@yaizfamily6615 17 күн бұрын
Kwani huko jela mnawapanga vipi na vyoo vyao vikoje? Ama wale ni matumbili? Au watu wakubwa?
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 10 күн бұрын
Mbona hafungi Sunday school hawa watu wana nn lakini😢😢😢
@amandusmazimba6443
@amandusmazimba6443 13 күн бұрын
Dc yuko sahh sana
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 17 күн бұрын
Kuna watu wa Aina hii ya mkuu wa Wilaya Wana matatizo kuliko kawaida 😅
@khatimushabani3941
@khatimushabani3941 18 күн бұрын
Analeta udini uyo
@user-ej9of7ol6e
@user-ej9of7ol6e 17 күн бұрын
Mbona leo sio proud to be Muslim 😂😂
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 17 күн бұрын
Basi wewe proud to be kafiri
@abubakkarjumaseif-fb8wp
@abubakkarjumaseif-fb8wp 17 күн бұрын
Bakia na UKAFIRI WAKO 🤔
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 17 күн бұрын
Dah mungu anawaonaa jamaan
@timetravellor5367
@timetravellor5367 17 күн бұрын
Alafu hao watoto waliofeli la saba wakazurure? Wawe wezi
@shijaenock7638
@shijaenock7638 17 күн бұрын
Bora tu wakazurure siyo kuwajengea iman kali ya kuja kuleta shida baadae
@tonybrighter3878
@tonybrighter3878 15 күн бұрын
Aseee Hawa Watoto wanakuwa Trained kufanya Nini? Hii ni Hatari Sana sana sana sana. Hawa sio Watoto tena kwanza nima kauzu sijawahi Ona. Aseee Hii kitu haifai kabisa
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 17 күн бұрын
Ni kweli kwamba mungu anaweza kumbariki mtu mmoja kuwaua watu wengine kwa sababu yoyote ile?
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 811 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /16/ #love
50:05
BabaJoan
Рет қаралды 457 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН