USIPUUZIE JICHO Lako LIKICHEZA KULIA au KUSHOTO,hii ndio MAANA yake

  Рет қаралды 410,787

NGUVU ZA UNIVERSE

NGUVU ZA UNIVERSE

Күн бұрын

Пікірлер: 555
@Thumaommy
@Thumaommy 5 ай бұрын
Yanu nkweli kabisa dada ..mm huyo kabisa wiki yote hii jicho lakushoto kucheza...much love 4rom Saudi ❤❤🎉🎉
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 5 ай бұрын
❤️❤️❤️🤗
@edithmasakwa1645
@edithmasakwa1645 6 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri,mimi ni week iliopita jicho langu upande kushoto linicheza sana kutoka asubuhi adi jioni bila pumziko
@fadhilaahmed6639
@fadhilaahmed6639 4 ай бұрын
Hata mimi
@RahmaAmandusi-wd8fy
@RahmaAmandusi-wd8fy 2 ай бұрын
Uongo uwo acha uongo
@stephenshida4580
@stephenshida4580 5 ай бұрын
Imenichukua wiki mbili sasa na Bado jicho langu la kushoto upande wa chini Lina cheza Kwa masaa. Nini hiiii. From Kenya 🇰🇪
@KarolinaOman
@KarolinaOman 5 күн бұрын
Nikweli dada maana mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kwa muda marefu sana ,na nilikuwa napokkea taarifa mbaya sana na Nina shinda nalia kweli nimeamini ishara hizi ni za kweli kabisa , Asante sana dada❤❤❤
@kabulacharles3709
@kabulacharles3709 3 ай бұрын
Asante kwa somo lako Zuri,,mimi jicho langu la kushoto likicheza upande wa juu nitaona kitu kizuri au mtu atanpa kitu kizuri,likicheza upande wa Chini siku hiyo lazima nigombane na mtu au nitaona kitu kibaya,,kama ajali na vinginee,,mguu wangu wa kulia ukiwasha kwenye unyayo katikati kama ni safari naenda itakuwa ni nzuri sana lakini ukiwasha mguu wa kushoto hiyo safari ni mbaya sana yaan naalisha safari
@TatudamabakariTatudamabakari
@TatudamabakariTatudamabakari 21 күн бұрын
Kila SK hua naona ishara hizo mm waaa Asante dadangu kwa kunielimisha
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 3 ай бұрын
Nashukuru sana dada kwa elimu kubwa kabisa mm jicho lang wiki hii yote lilikua linacheza chini leo tarehe 20 linacheza juu naamini nguvu za ulimwengu
@TawosiTawosi
@TawosiTawosi 4 ай бұрын
Shukrani inanitokea sana japo ndo hua sielewi
@halfanabdallah6553
@halfanabdallah6553 27 күн бұрын
Napenda Sana taarifa za wanasayansi maana sio za kusadikika nyinyi wengine hapana
@tumainikilembe1008
@tumainikilembe1008 2 ай бұрын
Nimekuelewa sana . Mungu akubariki. Hali hii hiwa inanitokea.
@kanyisowazinde9430
@kanyisowazinde9430 5 ай бұрын
Dadayangu mimi niko South Africa 🇿🇦 jicho langu lakushoto nilashesa sana kazini ngwangu nimwezi sasa
@ThiiruMiriti
@ThiiruMiriti 2 ай бұрын
Mungu namwachia ajibu
@aminaibrahim7438
@aminaibrahim7438 6 ай бұрын
Yangu ya juu ni kulia ntapsta kitu mzuri ya chini ya kushoto ni mbaya sana kweli
@salmawintrader5142
@salmawintrader5142 6 ай бұрын
Asante sana dadangu nimesubiri sana somo hili kwani kila mtu ana maana yake ubarikiwe sana kipenzy umefafanua vizur somo hili. Asante sana
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 6 ай бұрын
🤝❤️
@malietamaliet
@malietamaliet 3 ай бұрын
na vip sio jicho ila ni kope ikicheza kushoto ama kulia inamaana sawa na hii uliyoiyoa mimi kope sana sana ucheza
@ireneurassa9757
@ireneurassa9757 4 ай бұрын
Mimi mara nyingi jicho langu lajuu lakushoto likinicheza tu basi napata pesa nyingi kwawakati mmoja najiandaaga tu kupokea nakumshukuru Mungu.
@NICENGAILO
@NICENGAILO 5 ай бұрын
Dada Yani upo sahihi kabsa Yani asilimia zoteee imenikuta sana sana Tena Sana tu na ni kweliiiii ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 5 ай бұрын
🤝❤️
@bettymariga
@bettymariga 6 ай бұрын
Asante Sana huo ni ukweli
@KaizaMtabingwa
@KaizaMtabingwa Ай бұрын
Daah Asante sana nimefaham mengi me macho yang yote yanechezag mala kwa mala
@sorayaabass8683
@sorayaabass8683 6 ай бұрын
It’s true mie jicho yakushoto ikicheza chini lazma nitapata taarifa yakunitoa machoz lakulia huwa nifurahaa kwangu ila lakushoto linacheza mara kwa mara hakuna time maalum for me lakini
@YUSUPHMASOLWA
@YUSUPHMASOLWA 2 ай бұрын
Ishara hizi ninazo umenipa mwanga ahsante
@PoloRamadhani
@PoloRamadhani 4 ай бұрын
Asante nilikuwa sijui naona nikweli nayapitiya ayo
@petergiesi
@petergiesi 2 ай бұрын
Asante kwa Taarifa Nzuri kama wewe'
@VivianePolepole
@VivianePolepole Ай бұрын
Shuran kwa mafundisho aye muzuri❤ubarikiwe
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 6 ай бұрын
Ahsante kipezi changu
@ObediLwendoLwendo
@ObediLwendoLwendo Ай бұрын
Nimeshukuru Sana kwa maelezo haya kuhusu kutikisika kwa jicho. Hongera sana ndugu .
@Asiyedjali
@Asiyedjali 6 ай бұрын
Asante dd mimi jicho langu la kushoto lilikuwa nacheza sana pendi nilikuwa nafanya meditation.asante kwamafuzo yote
@UmmuNgawano
@UmmuNgawano 6 ай бұрын
Mimi jicho linancheza kushoto
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 5 ай бұрын
100/% nimekubali!! 🙏🙏
@MikeliElen-rf5gn
@MikeliElen-rf5gn 3 ай бұрын
Umeongea vizuri sana
@marykifue1469
@marykifue1469 Ай бұрын
Mimi Kwa kweli nimesha choka My right eye Ina cheza juu chini karibu kila mara mchana usiku .. some times kushoto
@Ts-cf3vw
@Ts-cf3vw 3 ай бұрын
Asante sisy ni ukweri kabisa
@joycekimambo1602
@joycekimambo1602 6 ай бұрын
Ahsante sana kwa maelekezo my dear❤
@sebastiankioko1576
@sebastiankioko1576 2 ай бұрын
Jicho la rafiki yangu lilikuwa linacheza akaambiwa na pasta wao ati atakifa na ilikuwa on monday akaambiwa atakufa on wednesday ati hatakuja shuleni.Wednesday kufika alikuja.lilikuwa lina cheza kwa muda wa wiki moja
@RayKissa
@RayKissa 3 ай бұрын
Asante sana nina week ya pili sasa jicho la kushoto linacheza
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa dia
@FrolaLeonard-jz5wv
@FrolaLeonard-jz5wv 6 ай бұрын
Amina
@arostoboy
@arostoboy 23 күн бұрын
Langu liki cheza juu lazima nimwagiwe maji kwa njia yeyote either mvua, mfereji, mtu kunirushia. Likicheza Hua lazima Kuna habari yakifo na nimeona mara nyingi
@ElizabethDeusi-sx8di
@ElizabethDeusi-sx8di 6 ай бұрын
No 2 🎉
@RachaelKihiko-nb6cl
@RachaelKihiko-nb6cl 3 ай бұрын
Pia langu lilicheza muda mrefu sana but cku mtoto wangu alipokufa hiyo shinda ya jicho ikasimama Kabisaaa cku hizi linatingika kidogo nkikemea linasimama
@rispersalame2933
@rispersalame2933 4 ай бұрын
Ukweli kabisa hizi zote ni mmi aki
@ChristinaCharles-py1ct
@ChristinaCharles-py1ct 5 ай бұрын
Dada mm nafahamu tofauti kidogo jicho la kushoto huwa ni ishara ya kupata kitu kizuri au taarifa nzuri ila jicho la kulia huwa ni ishara mbaya, au kitu kibaya kitatokea.
@romeobulelwa4487
@romeobulelwa4487 5 ай бұрын
You are right
@neemachalamila590
@neemachalamila590 4 ай бұрын
Yes your right
@BilhaCharles
@BilhaCharles 2 ай бұрын
Jicho la kushoto ni ishara mbaya kweli
@mercymcute
@mercymcute 2 ай бұрын
Support you
@JustineKusaya-v9m
@JustineKusaya-v9m Ай бұрын
Nikweri
@JoshuaNdekirwa
@JoshuaNdekirwa 2 ай бұрын
Hongera dada ufafanuzi mzur san❤❤❤❤❤❤❤❤
@MiriamHope-dp2wx
@MiriamHope-dp2wx 6 ай бұрын
Daah aise ni kwel bhana nakubal
@Edward-ye5dx
@Edward-ye5dx 5 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa kabisa
@Mommy4147
@Mommy4147 5 ай бұрын
Mm juz to jicho langu lilicheza na mara iyo nilichukua atua ya kupigia simu familia yangu nikahakikisha wako salama mungu ypo pamoja nami 😢😢😢😢🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@daliann2002
@daliann2002 24 күн бұрын
Ooh hii kitu mm hunisumbua sana hadi naskia roho yngu hustuka shutuka sana
@lisahmvungi4596
@lisahmvungi4596 6 ай бұрын
Nimeamin Leo yaliyonikuta Mungu anajua
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 4 ай бұрын
Mimi 👁️ langu la kushoto huwa Linacheza tokea asubuhii saa 1 mpaka jioni saa moja au hata saa mbilii usiku hii ina maana gani.
@GodfreyMukhwana
@GodfreyMukhwana 5 ай бұрын
Shukran Dada🙏
@JoanEthel
@JoanEthel 4 ай бұрын
Umeongea ukweli dada Mimi hayo mambo nayapitia
@ShedrackEstomih-ol9sr
@ShedrackEstomih-ol9sr 4 ай бұрын
Katika jina la yesu
@alfredmwangi7617
@alfredmwangi7617 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 4 ай бұрын
Shukrani mimi mara kwa mara nimekua hizo ishala lakini sijawai pata ufahamu Asante sana nimezaidika❤
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 4 ай бұрын
Habari za jioni naomba unielezee kama sai Lina cheza mikono wa kulia tangu nizikize haya maelezo mbaka sai Lina cheza juu na jini sanasana jini , upande wa masaa unaweza haza asubui saa tatu na jioni saa kumi na Moja ukweli nimeshindwa kuelewa nizaidie pls
@LennoxLewis-x4e
@LennoxLewis-x4e 5 ай бұрын
Kweli dada, langu lilicheza mwezi mmoja,nkapokea habari mbaya baadae
@kagogosalama6576
@kagogosalama6576 4 ай бұрын
Mimi mara nyingi jicho lakushoto Hawa Lina Fanya hivo
@jerushanyakundi4320
@jerushanyakundi4320 5 ай бұрын
Ukweli
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 2 ай бұрын
Mm saivinaskiliza hii jicho linacheza kwa juu
@mahoromugisha3282
@mahoromugisha3282 6 ай бұрын
Mungu atupiganiye
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 24 күн бұрын
Thanks
@maliyamunguworkshopkimaroe6761
@maliyamunguworkshopkimaroe6761 4 ай бұрын
Kiukweli umeongea❤
@MillenJohn
@MillenJohn 5 ай бұрын
Nakuelewa nakubali wewe nimkwr Dada
@JacksonMpemba-z4y
@JacksonMpemba-z4y 3 ай бұрын
Kweli Kabisa Mambo hayo yalishanitokea Dada huyu anayo yaeleza kweli
@MichelleRobi-cx3fb
@MichelleRobi-cx3fb 25 күн бұрын
Kweli kabisaa, I'm a witness.... 5 times
@TomAmbita
@TomAmbita 2 ай бұрын
Nimeteseka saana kila mara jicho latetemeka hata wikii moja nashukuru sana nimmejuwa maana yake
@KemmyPrince-r4l
@KemmyPrince-r4l 2 ай бұрын
Mm jicho linacheza wiki sasahivi linacheza yan linachez alaf linatulia alaf baada ya masaa linacheza tena😢😢 ndan ya wiki iko ivyo
@halimaburhan1952
@halimaburhan1952 6 ай бұрын
Mimi leo limecheza jicho langu la kuloa la juu alafu kuhusu moyo yani moyonwangu unamuda unapiha sana na unakimbia kwa kasi mno yani kunamida unadunda mpka mtu alokua karibu yangu anausiki mpka mimi mwenyewe natingishwa yani nimeenda hospital umeonekana una speed sio yakawai na kuna muda unastuka
@LydiaNakecho
@LydiaNakecho 2 ай бұрын
asante sana
@elizabethmwalo8424
@elizabethmwalo8424 5 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa, dada yangu alikuwa mgonjwa mwaka jana, na alipozidiwa, jicho ya kulia ilicheza sana, na muchana hiyo dadangu alikata roho,na akafa. Baada ya hiyo tukiyo iliwacha kucheza.
@maryngigi1361
@maryngigi1361 5 ай бұрын
Kweli kabisa mm nikisikia hivyo uwa naomba
@asteriashios1852
@asteriashios1852 6 ай бұрын
Mungu nisaidie mwenyewe siwezi nilinde
@zuberymohamed6112
@zuberymohamed6112 4 ай бұрын
Hapa mtafiti, hujaongopa hata kidogo. Kwa kweli kwenye hii clip yako, upo pamoja nami kwa %100 Safsana🤙
@Lexerjoh
@Lexerjoh 5 сағат бұрын
Jicho limenicheza siku nzima tangu asubuh had saiz ni saa2 usiku linachez tu had imebidi nitafute maana! 😢😢😢Jicho langu la kushoto kwa chini.
@GloryfashionDesigner
@GloryfashionDesigner 6 ай бұрын
Munisahidiye jamani Mimi, Nina wiki 2 jicho lakuchoto linanisumbuwa sana
@SebastianMahendeka
@SebastianMahendeka 2 ай бұрын
Bd sijapat taarifa yoyote mpak saiv linachez alf linakat ni la kushoto
@elizabethziga1053
@elizabethziga1053 2 ай бұрын
Mimi likicheza la kushoto juu lazima kitokee kitu kibaya na lazima nitalia tena sana
@ChampionDullah
@ChampionDullah 4 ай бұрын
Mn hasilimia kubwa viungo vyangu vyot vinachez kwa mda tofaut tofaut
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Wakati mwingine kitaalamu ni kukosa usingizi mzuri au mwili kukosa maji ya kutosha.
@ImeldaNdonyalo
@ImeldaNdonyalo 6 ай бұрын
Amina naamini
@Christine-sd6dh
@Christine-sd6dh Ай бұрын
Na ambapo unahisi kujikuna katika viganja viako vya mikono inamaanisha nini??
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 5 ай бұрын
Mm macho yangu yakicheza sana sikuhiyo nitapata sana pesaa Ina tokea Kila mara nawala kwangu sijawahi kupata taarifa mbaya pia kingine ni mishipa tuu banaa
@bahatiAngela
@bahatiAngela 4 ай бұрын
Merci beaucoup madame
@TuyizereIssah
@TuyizereIssah 6 ай бұрын
Namimi maranyingi rinanitokea nikajua ni ulimwengu unajaribu kuhusiyana namimi lakini nikashindwa kugundua kinachoenderea😢
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os 19 күн бұрын
Jicho likicheza chini io n Abari mbaya au kulia ila ikicheza juu ni bahati na likicheza la kushoto juu uko ni kupokea likicheza la kulia juu io ni kutoa unapata afu unatoa
@AbdullahKigua
@AbdullahKigua 2 ай бұрын
Nataka kujua jinsi ya kunyanyua iyo roho ya ulimwengu
@jafetstanlaus1324
@jafetstanlaus1324 5 ай бұрын
Ukosawa sana
@YusterLukas
@YusterLukas Ай бұрын
Me jicho lili nicheza sana jicho la kulia just naomba unisaidie maana
@Linnerwambui
@Linnerwambui 5 ай бұрын
Hii kitu inaweza kuondoka
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 4 ай бұрын
Nikweli kabisa sister
@aaaa-g5o8x
@aaaa-g5o8x 2 ай бұрын
Yaa hapo tarifa mbaya nakubali
@KelvinLaswai-w9v
@KelvinLaswai-w9v 20 күн бұрын
Me linanicheza toka jana
@eucabeth5153
@eucabeth5153 6 ай бұрын
Ukweli kabisaa
@AStoooy
@AStoooy Ай бұрын
Nikweli dada
@jamilaabdallah-v2f
@jamilaabdallah-v2f 3 ай бұрын
Ammin insha allah
@lillyemmanuel9529
@lillyemmanuel9529 6 ай бұрын
Jee viungo vingne alafu Kuna Ile jicho linachez juz ya nyusi.
@shikopaschal2329
@shikopaschal2329 6 ай бұрын
Ndyo mara kwa mara tu
@Polite901
@Polite901 2 ай бұрын
Kiukweli me jicho la kushoto likicheza huwa nakutanaga na mambo mabaya
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 2 ай бұрын
Mimi mambo mabaya kwelikweli
@Polite901
@Polite901 2 ай бұрын
@@MerryRenatus-ck4lz kabisa Mpenzi, na nikisikia linacheza humwomba Mungu aepushie mbali na mimi jambo baya linalonifuatia nyuma na alirudishe lilikotoka, limrudie huyo aliyelituma
@AshaBakari-lm9zx
@AshaBakari-lm9zx 3 ай бұрын
Mm Huwa inanitokea sana la kushoto habari mbaya za kifo mwaka Jana lilinicheza week nzima jiran yang cousin yang na babang mkubwa wakadead akh naogopa likinianza mm sitak hii ishara
@DollyKinyua
@DollyKinyua Ай бұрын
Yangu ni kushoto juu
@ZAWADIMASANJA-r7l
@ZAWADIMASANJA-r7l Ай бұрын
Dada mim nlikuwa nachezwa na jcho la kulia lachini nkackia taarifa ya msiba
@KemmyTracy
@KemmyTracy 3 ай бұрын
Langu lilicheza hvo one month none stop until my mum died 😢😢😢 after he died an ok since the day she rest three months know😢
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 182 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
TAFSIRI YA NDOTO  KUOTA UPO SHULENI AU UNAFANYA MTIANI, NDOTO ZA KUOKOTA HELA, BY PST GODWIN NDELWA
6:30
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 134 М.
MR MONEY_EP13
27:03
LIKOMA
Рет қаралды 302 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 319 М.
JICHO LIKIWASHA KULIA AU KUSHOTO Kamwe USIPUUZE, HII Ndio MAANA YAKE
17:50
ONDOA VITU  hivi  haraka  CHUMBANI kwako Ufungue milango ya MAFANIKIO
18:18
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 374 М.
JINSI YA KULIPA MADENI HARAKA | Happy Msale
9:54
Happy Msale
Рет қаралды 23 М.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 438 М.
Hii ndio SIRI  ya MIJUSI Ndani ya NYUMBA | kamwe USIPUUZE
22:22
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 125 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН