Usishangilie harusi tu yajue yanayokuja baada ya Ndoa,zingatia Haya - Sheikh Othman Maalim

  Рет қаралды 138,779

Kalamutz

Kalamutz

Жыл бұрын

Je unajua wivu ni sunna?unafanya sherehe ya Harusi lakini Jee umejiandaa na yanayofuata baada ya sherehe?
Hapa Sheikh Othman Maalim anawaasa wanandoa wapya na wale wa zamani Juu ya mambo madogo madogo ambayo mara nyingi huaribu ladha ya ndoa nyingi.

Пікірлер: 91
@zakariasaliim6051
@zakariasaliim6051 Жыл бұрын
Othman maalim napenda mawaidha yko sna Mungu atuwezeshe tukutane jannah firdaous inshallah
@aminashariff8784
@aminashariff8784 Жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah... Allah akupe pepo ya firdaus
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq Жыл бұрын
Mashaalah wallah nakupenda Sana Othman maalimu ❤❤mola atujaalie tukakutane peponi pmj na kipenzi chetu mtume wetu Muhamadu,,mola akuhifadhi na akulinde na shar na husda za watu 🤲 YAA RAHMAN 🤲
@maduwalugazi9112
@maduwalugazi9112 Жыл бұрын
Nakupenda Kwa ajili ya Allah, mwenyezimungu akujalie umri mlefu,hakika nasaha zako ni mwangaza kwetu.... Wallah nataman nikuone ana Kwa ana.
@ndundekhatibu2147
@ndundekhatibu2147 Жыл бұрын
Hongera mwalimu wetu mpz, hakk ww ni tarsa tosha mungu akuhifahi Muslim wetu kwa nasaha zako mzuri
@issmuking3987
@issmuking3987 8 ай бұрын
MashaaAllah
@ashfainamiraji2064
@ashfainamiraji2064 Жыл бұрын
MAASHARAA MUNGU ATUJAALIE NA VIZAZI VYETU VIWEKAMA WEWE
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
MashaAllah Allah akuhefadhi Sheikh wetu you are so blessed so knowledgeable so into deen MashaAllah! Allah akuweke akubariki leo mpaka kesho mbele yake Allahuma Ameen yaa rabb ❤❤
@mudyally3226
@mudyally3226 Жыл бұрын
Shekh allah atujali naishi kwema allah atukutanishe pepon
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah Sheik Othman Maalim Allah atujalie mwisho mwema pamoja nasi(Allahumah Amin yarabi 🙏🙏🙏)
@ElimunaHistoria-oq9dz
@ElimunaHistoria-oq9dz Жыл бұрын
kuna watu wana elimu, kuna watu wana hekima, kuna watu wana akili na hekima. Tumuombe mungu la tatu, na Alhamdullilah sheikh wote ana vote viwili.
@saidamohammed251
@saidamohammed251 Жыл бұрын
allāhumma ṣalli ʿalā muḥammadin wa-ʿalā ʾāli muḥammadin
@ibraimabubacar8417
@ibraimabubacar8417 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu maalimu
@zakariasaliim6051
@zakariasaliim6051 Жыл бұрын
Mashallah shekh Mungu anijaalie nkutane na ww peponi inshallah
@abdulabubacar6312
@abdulabubacar6312 Жыл бұрын
Alhando lilah rabi zidina nliman Che osman WA mini wajamin lmuminina walmuminat
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 Жыл бұрын
Shukran ustadh, in sha Allah Mungu atuepushie na vitimbi vya iblis na wafwasi wake
@bimariam9654
@bimariam9654 Жыл бұрын
Alla akulipe kher mingi dunian na akhera pia🙏🙏
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 Жыл бұрын
Amiin 🤲🏾
@khadijankya6794
@khadijankya6794 Жыл бұрын
Allah akujaalie umri mref na afya njem
@saindoubouchirane8936
@saindoubouchirane8936 Жыл бұрын
Allah Akbar, Mungu akuzidishe kutuelekeza mema
@jamarbakary0017
@jamarbakary0017 Жыл бұрын
Allah hakuwekeni mashekh wetu hawape umli mlefu sana..
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Mashaallah kwa mawaiza mazuri sana
@ndundekhatibu2147
@ndundekhatibu2147 Жыл бұрын
Nakupenda Sana kwa ajili ya Allah.
@jimjam4148
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@shadyasaid5892
@shadyasaid5892 Жыл бұрын
Mashaallah mungu akupeumri mlefu allahumma
@khadijaali9861
@khadijaali9861 Жыл бұрын
Mashlh Allah akulipe mema inshlh
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh wengi wetu tnafkiria harusi tu na kusahau kuna maisha baada ya harusi shukran kwa ukumbusho
@salumkifite9512
@salumkifite9512 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu Sheikh wetu
@mgenimwasabu
@mgenimwasabu Жыл бұрын
Mashallah mungu akuhifadhi inshallah
@masikasaid8867
@masikasaid8867 11 ай бұрын
Maashaallah Allah akujalie neema afya njema na umri mrefu sheikh wetu na ajalie vijana masikio ya kusikia haya na mioyo ya kuzingati 🤲
@roohyjaffer4134
@roohyjaffer4134 3 ай бұрын
MashaAllaah nakupenda sana kwa ajili ya Allaah.
@mallulu9086
@mallulu9086 Жыл бұрын
MashaAllah sherk wetu
@mohaaseif
@mohaaseif Жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie na akuongezee ilmu yako
@LizoCambiasso
@LizoCambiasso 6 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu na wenye amali nyingi
@wema3619
@wema3619 Жыл бұрын
ALLAH Akujaalie Umri Mlefu Othuman Maalim Haki Unanipendeza Kila Ninapokusikiza Nakesha Na Headphone Kusikiliza Mawaidha Yako ALLAH Atujaalie Mwisho Mwema Tukakutane Peponi INSHA'ALLAH
@manajr9155
@manajr9155 Жыл бұрын
Amiin🙏🙏
@ghaniaghalib1136
@ghaniaghalib1136 Жыл бұрын
Asallam allayku naomba namba ya huyu shekh km unay
@michamanirakiza7280
@michamanirakiza7280 2 ай бұрын
Asalam Alyekum,n'a mimi naomba munisaidie number ya sheikh Niko Burundi
@omarmussa3167
@omarmussa3167 Жыл бұрын
Masha Allah aamiin
@user-en2gp3fb7m
@user-en2gp3fb7m 6 ай бұрын
Mashallah shekh wang
@radhiamussa7955
@radhiamussa7955 Жыл бұрын
Shekha allha akujarie maisha marefu Sana
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
@user-pe3ut9ye4l
@user-pe3ut9ye4l 6 ай бұрын
Mashallah Shekh maneno nimeyapata muda muwafaka mtihani umenikuta wa ndoa
@sygtamks1643
@sygtamks1643 Жыл бұрын
Subhaba Allah
@kidawamajaliwa8948
@kidawamajaliwa8948 Жыл бұрын
Inxhaallah mung akueke
@zaitunidafa6369
@zaitunidafa6369 Жыл бұрын
Shukran maalim kwa mawaidha mazuri mungu atuepushe na shetani in shaallah
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Aamin
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@husseinkatana4573
@husseinkatana4573 11 ай бұрын
Masha Allah mungu akupe umri mrefu wenye barka uzidi kutuelimsha, Insha Allah
@fardowsaibrahim3823
@fardowsaibrahim3823 Жыл бұрын
Mashallh ustadh mungu akupe umri mrefu uendele kutupa mazuri katika maisha yetu
@omarimngazija9655
@omarimngazija9655 Жыл бұрын
Mashaallah
@kuruthumchinenda4342
@kuruthumchinenda4342 Жыл бұрын
Mashaallah,
@NdayisabaCynthia-kw4zm
@NdayisabaCynthia-kw4zm 9 ай бұрын
Jazaka Allah kheir
@user-ew2tb8wb5q
@user-ew2tb8wb5q Жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie ❤❤❤❤❤
@IdrissaBirashakwa-dc3ci
@IdrissaBirashakwa-dc3ci Жыл бұрын
Mashallah mung akuzidishiy cheikh
@ramazanijanati3381
@ramazanijanati3381 Жыл бұрын
Mansha Allah
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah shukran jazila Allah akuzidishie umri uzidi kutujuza sheikh
@HassanMwera
@HassanMwera 2 ай бұрын
Maashaalla shekh
@omarmussa3167
@omarmussa3167 Жыл бұрын
Yarhamka allah
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@farajifaraji9558
@farajifaraji9558 Жыл бұрын
Shukran
@nengaboy-q8v
@nengaboy-q8v 15 күн бұрын
Shekh othaman maalim mm naomba nikuone na unifundishe jinsi ya kusubilii jambo linaro kuumiza moyoni na unajiuriza ufanye uwamuzi gan
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
Jazaak allahu kher sheikh
@machondamuhammedi-wx8gp
@machondamuhammedi-wx8gp Жыл бұрын
Mungu akulinde
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Жыл бұрын
Jazzakumllah Khery
@kigenimohammed7847
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah
@omarisibabu4081
@omarisibabu4081 Жыл бұрын
Mashallah Allah akupe umri mrefu tena mwenye faida ndani yake inshallah
@saidjuma9899
@saidjuma9899 Жыл бұрын
amini
@user-lg5si6dj5t
@user-lg5si6dj5t 6 ай бұрын
Na wenye mwisho mwema
@davidomar-un4op
@davidomar-un4op Жыл бұрын
Maasha allah
@user-ru6oz1wl3w
@user-ru6oz1wl3w Жыл бұрын
Mashallah❤
@mossinivyamana3831
@mossinivyamana3831 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@binmohammed7171
@binmohammed7171 Жыл бұрын
Allah atupe kizaz kilicho chema
@farajifaraji9558
@farajifaraji9558 Жыл бұрын
Juma
@user-fb8wg2sy9d
@user-fb8wg2sy9d 10 ай бұрын
Hayo ni maneno yalioko majumbani
@faridahussein4962
@faridahussein4962 Жыл бұрын
Hahahhhh hahahhhh Kweli kabisa
@esharashid4072
@esharashid4072 Жыл бұрын
Haya nimaziti mim niliyoyapitia babangu alishidwa mim nikaomba msada ndio niksaidika juu ilikuwa group kubwa
@samirally9693
@samirally9693 Жыл бұрын
😂😂😂😂kula zabibu utoe majibu hhhhhhaahaa alhamdulilah nimecheka
@mohamedrachidfuad3752
@mohamedrachidfuad3752 Жыл бұрын
Assalam alekum ndugu ntapenda kupata number ya Ustadh Maalim nilikuwa naye tuko n'a mezi sita hivi nikapoteza number naomba kama upo nayo waalaykum msalam
@samirally9693
@samirally9693 Жыл бұрын
Sinayo
@zainabujirani843
@zainabujirani843 Жыл бұрын
Pppppp
@azizasenguro9873
@azizasenguro9873 Жыл бұрын
MashaaAllah othuman maalim,mawaidha Yako wallah yamenibadilisha sana.Allah akuhifadhi akulinde in Shaa Allah
@azizasenguro9873
@azizasenguro9873 Жыл бұрын
Alhamdulilah ni ukweli mtupu
@bakarimlulu1718
@bakarimlulu1718 Жыл бұрын
Mungu akupe uhaimrefu
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Жыл бұрын
Mashalla
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 Жыл бұрын
Masha Allah shekh othuman maalim in shaallah mwenyezi mungu akuifadhi na umri ili uzidi kutuilimisha
@bukheityomary-dh9ud
@bukheityomary-dh9ud Жыл бұрын
Allah akupe umri mlef inshaallah shekh wangu Othman
@habibmohammed1183
@habibmohammed1183 10 ай бұрын
Mashaallah
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 Жыл бұрын
Mashaallah
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 16 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 31 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Uislamu mtamu sanaa - Sheikh Othman Maalim
38:30
Kalamutz
Рет қаралды 48 М.
HAKUNA MAPENZI WALA HURUMA KATIKA NDOA ZA LEO// SHEIKH OTHMAN MAALIM
26:38
NAFSI YAKO NI ADUI MKUBWA KULIKO IBILISI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:24
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
NDOA NA UMUHIMU WAKE
1:08:16
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,8 М.
CHANGAMOTO ZA NDOA:  SHEIKH OTHMAN MAALIM JAMAA ABDULLAH BIN ABBASS AL GHUBRA SULTANATE OF OMAN
1:01:56
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADELINK HABARI
Рет қаралды 116 М.
MANENO YA BUSARA... OTHMAN MAALIM
27:35
Said Salim Matango
Рет қаралды 279 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 16 МЛН