I will never reject my heavenly God because of money hii Dunia imeisha kwa sababu ya tamaA ya pesa weh kijana okoka ya ukweli muogope mungu aliyejuu binguni hio mmh na umemrudia mungu kweli God is the saviour no one else can save someone except God
@trizamueni66375 ай бұрын
Marko amelala katika Bwana,Mungu atamfufua atakaporudi duniani
@YusterMgaya-f6l5 ай бұрын
Tumwachie mungu ashughulike yy ndiye anaye ujua ukweli wakila mwanadamu
@mwahijaseleman42472 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@VeronicahOtwori5 ай бұрын
Muongoooooooo at stki kuskia story zenu munaudhi n mmbo yenu mwenye anakubali gonga like apo chini twende nalo😢😢
@GracePatrick-zc2eb5 ай бұрын
Kaka hyo samweli Mimi nimeshawasiliana nae alikuwa ananiomba Hela nkamwmbia ctak mazoea mwiz halafu n tapeli.aminini nawaambieni
@SaumuJuma-h1v4 ай бұрын
Mwache aongee ukweli
@JeniAlex-e4vАй бұрын
Kweli wanadanganya nipo nawe my
@MenaMwitega2 ай бұрын
Ww mungu anakuona usihalibu watumishi wamungu
@yustakaduma10684 ай бұрын
Unatafuta laana wew kutumia Msiba wa mwenzako km advantage kwako, Mungu ajidhihirishe kwako akufundishe kuwa Marco hakupenda na wew natamani akuonjeshe machungu ya kifo!
@AnoldRojasi28 күн бұрын
Kweli kaka
@JANETHAthanas-d3t4 ай бұрын
Acha kudharirisha watumishi wa mungu mungu mwenyew ndo anaejua.
@LeokadiaOscar3 ай бұрын
Wewe ni wakupelekwa milembe wew haukotimamu wew ni chiz kabisaa
@JeniAlex-e4vАй бұрын
Jamaa liongo
@SwabahaFaridi5 ай бұрын
Uongoooo, Mungu pekeake ndie anaeza toa roho ya mwanadamu.. wewe pia ni binadamu huna nguvu zozote., basi Mungu ni nani
@OfficialChopra-sd4wq5 ай бұрын
Yani samweli ndugu yangu kaz uliyonayo ningumu san kibinadu ila kwa roho ya mungu wa yesu Bristol utashida naamiin endelea kumuangusha shetan sikuzote muda wote maana ana wafuasi wengi sana apa dunian
@SimonMwangi-l5d3 ай бұрын
Let GOD reveal him self
@DianaFilbert-s2e4 ай бұрын
Mungu ndo anaejuwa
@FranciscoLaurent-f3f4 ай бұрын
Mmmmh mambo ya Dunia n mengi sana
@ElizaGama-f5t4 ай бұрын
Mhh we kaka muogope mungu
@sarahmaro2155 ай бұрын
Wewe nj chizi
@magrethdaniel84415 ай бұрын
We unatakiwa uchukuliwe hatua za kisheria
@RoddaMsabi5 ай бұрын
Kweli kabia
@barnababarack47733 ай бұрын
Ivi wew fala unakosaga vitu vya kufanya tafut ela
@Matridaelly5 ай бұрын
Muumbue kaka angu màn atuna aman na napepo na ingekua unadanganya ungesha kufa ata yesu aliubili injili na watu awakumwamini kwaiy ataa wew wapo watakao kuvunja moyo ila tupo tunaekuamin
@SamwelDanielDaniel-r1l5 ай бұрын
Ila unavituko sana ww jaama dah 😂😂😂😂😂 utakuwa muongo adi line. Okoka my freindy
@jeniphermyingajeniphermyin80295 ай бұрын
Hongera kwakuonywa namakaburi,kwelj umethibitisha wenimtumishi wa kuzimu,mwache kaka wawatu amemtumikia Mungu,na Mungu akamwita kwake,kwataarjfa yako siku yakufa mtu huona kifo chake niwewe tu hujuu.wapo wanaoona vifo vyao kabisa wananeema ndy maana wanaona,lkn wapo ambao hawaoni hawakumpa Mungu nafasi ndani yao..Mtu akiwa na Mungu hujuzwa naroho mtakatifu yajayo,soma Yohana 16:7-15 acha kupotosha nakuchafua watu nakuwaumiza wafiwa pia,Mungu anakuona nashungi lako hilo.
@derrickazenze8204 ай бұрын
Mtumishi wa mungu.kumbuka mungu sio mungu wawafu
@NashoniNtabo4 ай бұрын
Jamanimarco mungu akutunze
@SharonChepngeno-o6z5 ай бұрын
❤❤❤❤i understand you
@MaureenOgutu-i9d3 ай бұрын
Wacha Mungu ashugulike na wewe.
@RhobiJames-dx1he4 ай бұрын
Mungu akuhurumie kaka
@JOYCEMACHUGU5 ай бұрын
acha uongo wako mungu anakuona mjue mungu na uijue kwel nayo kwel itakuweka huru kwelkwel kijana mdogo hvo dah!!! 16:34
@Joycemarco-j8g4 ай бұрын
Mmh mungu wang
@NURDINIABUKARI5 ай бұрын
Wewe una Mungu toka pepo
@JacoboFideris4 ай бұрын
Muogope mungu we kijana Marko amekufa akiwa mtakatifu
@ESTERSAMWEL-u1b5 ай бұрын
Mungu pekeake ndie mwenye mamlaka
@mijashushu93215 ай бұрын
Mungu si Mungu wawafu. Hakuna ibada ya wafu kwa watu wa Mungu. Wewe maelezo yako hayana mana kijana. Mungu siwamakaburini . Huyo anayeongea nishetani yuko ndani yako. Wewe ndiye unayetakiwa uombewe utoke kwenye using, uje kwenye wokovu.
@mijashushu93215 ай бұрын
Kwenye ujinga
@RaphaelMuhuta4 ай бұрын
Mbona unazunguka ,hueleweki unasimulia kisa Cha Marko au unajisafisha mwenyew, cc tutaaminije kama ww ni WA mungu pia, na kwann uende kuhojiana makaburini ,Kwa mungu ni Nuru na makaburini tena hee😅
@DevotaSamsohn5 ай бұрын
Tena usimuite kaka marko marehemu pepo wewe marehemu mwenyewe 😭😭🤸🤸🤸marko wetu kapumzika kalala usingizi
@SpelathaSimon-u2b5 ай бұрын
Wewe kaka Mungu hakusaidie wew bado kijana mdogo, naumia sana kuona unavyokubali kutumiwa na shetani , naomba Mungu hakufungue katika jina la Yesu, ilibhufanye kazi ya Mungu wa Mbinguni.
@bahatadof55435 ай бұрын
Utakuwa una shida kichwani,huyu samwelu anatumiwa na shetani gan Huwa unamsikiliza au unaripoka tu,ndio nyie mnashinda makanisani hata aluchohubiti mchungaji huelewi,samwelu ni muhubiri mkubwa sana
@charlesmahuna5 ай бұрын
Hakusaidie ( akusaidie)
@charlesmahuna5 ай бұрын
Hakufungue(akufungue)
@EmilianSaidi5 ай бұрын
Hovyo kweli wew@@bahatadof5543
@vailetvailet64755 ай бұрын
Mungu amsaidie huyu maana hakuna muhubir wa kukaa makaburini
@RAPHAELJOLAMU3 ай бұрын
Acha uongo kijana
@samyomondi5 ай бұрын
awa watu wanajuana haimanishi alikuwa Adventist sasa asiseme mpaka tujue😮
@LaCostamusic23Ай бұрын
Mbona mimi na itazama pekeyangu
@Divina-pr6vr4 ай бұрын
Time alikuwa hai mbona hukufichua ziri saa hii imefika mwisho ndio unafichua pia uko na rahana kutokumzaidia wachana nayo juu it's too rate😊
@Vionanandy5 ай бұрын
Poleni sana
@stellahrose5125 ай бұрын
Usichezee jina la mungu kama wewe ni mtu wa mungu wafanya Nini makaburini
@ScholarSikiliza5 ай бұрын
Amekufa katk Yesu hayo mengine ajua Mungu
@NashoniNtabo4 ай бұрын
Mmmmh kwel!
@HidayaSabi5 ай бұрын
mbwa wew unamaliza mb zetu
@EsterMazoya5 ай бұрын
ushindwe kwa jina la yesuu
@RonethMdee4 ай бұрын
We dini gami
@OyooOnyango07-kc1yk5 ай бұрын
Ushindwe katika kina la yesu
@nkombemwita37375 ай бұрын
Heli aliekufa kwahaki kaka tutaonana tena yesu akija tena
@AlexandaJerome5 ай бұрын
Mbona Huna point ndugu
@samwelnyangi51385 ай бұрын
Mbona sijaelewa?
@joshuakimario15285 ай бұрын
😂😂😂😂 mwaka huu tutaona mengi saa
@SophiaJapheth-c9m4 ай бұрын
Yn mim uyu kijana namchukia atriiii bas tu
@NeyEmmanuely-ji4ki5 ай бұрын
Kaka pole. Zindi kumuomba mungu ili ujue yakupasayo kutenda. Acha uongo imeadikwa wapi. Kwamba marehem anaombewa toba
@SalomeBupule4 ай бұрын
Na nguo nyeusi unafanya nini makaburini????😂😂😂😂😂
@Antia-eq5kl5 ай бұрын
Nakumbuka ulisema umefanya utafiti ukaona kiboko ya wachawi Ni mtumishi wa Mungu wa kweli, na leo ntakuaminije mimi
@vumiliamgendi1485 ай бұрын
Mnziiiiiiiiu
@BillyWanda-nr6kl5 ай бұрын
Mhubiri yupi bado unavaa nguo nyeusi na bado unasimulia ukiwa kaburini kwenda kabisa shetani pepo mbaya
@winfredangastin21175 ай бұрын
Huyu bado ni 😈 devil whorshper Mungu gani wewe unamuomba ukiwa kablini na nguo nyeusi shindwe katika jina la yesu ni nyinyi mlijua kile kilimkula mkamtumia mkuki rohoni shindwe roho chafu ktk jina l yesu
Inaovofya, hata sijaweza kumsikiliza nikamaliza, nashangaa anaendeleza nini na kitambaa cheusi
@EstherOloo-no3bz5 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅
@AnniesamSam5 ай бұрын
we ni pepo
@AnnaKapela-t4o4 ай бұрын
Acha uongo we kaka
@SOPHIABUNZAR5 ай бұрын
Mbona kama vile Bado upo katka hicho chama ,muonekano tu,hayo yote unayosema mungu do anajua zaid,
@HappyEquestrianHelmet-iw5co5 ай бұрын
Mama wakamatwe mganga wa kieyej na buyo fremason
@MiriamNelima-i3r5 ай бұрын
Kijana unafanya nni makaburini kwanza,pili haupo freemason io kitu nyeusi umejifunika ya nni,mwisho ,mtu akifa ni yy na mungu wake ,muache propaganda plz kitu ujui achana naye ,,bytha mnaniudhi mkiongelea Marco na bdo tuna machungu ,hii ujinga Iko tanzanzia ,ninaona Kenya 🇰🇪🇰🇪tukiingilia kati ,ujinga imezidi mipaka😢😢😢
@AganoElia3 ай бұрын
Acha uongo kijana mwogope mungu mbona ukufichua Siri akiwa hai mpaka umesubiri amekufa acha uongo kijana
@sophiakunache49825 ай бұрын
HUELEWEKI AGENT WEWE
@JoyceMwita-e3w5 ай бұрын
We ni mtumwa wa shetani ushindwe kwa jina la Yesu
@pollineshirima50235 ай бұрын
Sasa unataka kutuambia Marco alikuwa freemanso??
@linetberry37825 ай бұрын
Pepo hushindwe kwa jina la yesu
@charlesmahuna5 ай бұрын
Siyo hushindwe andika ushindwe, mbona mnatuharibia lugha yetu nyie?!
@IsraëlLebonCiza5 ай бұрын
Kweli uzini yetu ni furaha kwa wengine kabisa mimi ni mkongo lakini nilikuwa na fata sana nyimba za huyu ndugu ,ila kwa hii vidéo sione maana huu jamaa ali ifanyiya kweli hana hata point moya kbs !! Soyons en Jésus Christ et ne jamais laisser le chemin au diable !! Pole kwa Tanzanie zima nawapenda ndugu zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Benjaminanangisye-e5j4 ай бұрын
Mungu tu ndo mweza wa yote
@DanielNyandonge5 ай бұрын
Acha kutudanganya kwanza hujaokoka sam
@OfficialChopra-sd4wq5 ай бұрын
Komaa sana kumtangaza yesu binadamu wana mioyo ya maye
@EvalineLoket5 ай бұрын
Angalia Sana wewe kijana bado mdogo Sana na pia familia ya Marco mnaiumiA Sana kwa hayo maneno ❤❤❤🎉🎉 badala ya kuwafuta machozi mna waongeza machozi Sasa ndo nn na wewe una hubiri injili makabulini unatanya nn
@Sentipaulia5 ай бұрын
Nyooo 1:14
@AnnahOmagwa5 ай бұрын
Wee kijana pepo wa kuzimuni hushindwe katika Jina la Yesu 🙏
Kwa kweli si kila mtu hufurahia mafanikio yako maishani waaaaaaa
@RoseGwandi5 ай бұрын
Shindwa pepo mchafu
@DIANAANDREW-bq6no5 ай бұрын
Mungu akusaidie napia akusamehe ulijui urifanyaro
@HidayaNzunda-f3f5 ай бұрын
People wew nakukemea kwajina la yesu acha kumchafua m2 wa wa2
@IreneSwai-t3c5 ай бұрын
Popeooooooo ushindwe
@sayunilyego5 ай бұрын
marco amelala katika Bwana na Bwana atakuja kumfufua tena
@RojasKimaro5 ай бұрын
wew ni pepo t
@JemaMatupa5 ай бұрын
Shindwa pepo yupoo mbingun na Mungu kamuita
@SpelathaSimon-u2b5 ай бұрын
Wewe kijana , Mungu hakai makabulini , na manabii wa huongo mtawatambua kwa matendo yao, wapendwa naomba tuwe tunasoma neno la Mungu ilibtuweze kuelewa siri za Mungu, sio huongo huu.
@charlesmahuna5 ай бұрын
Siyo huongo ni uongo
@THEANGLEGABRIELSFAMILY5 ай бұрын
Wewe kijana ogopa kristo...unategea pakutafta kula kwa kuchafua watumishi wa yesu kristo mungu hadhihakiwi...
Mm nkue na msipa alafu ukuje kuongelelea juu ya familia yangu walai utakua funny kwa wengi nitakacho kufana hata shetani hatanikataa
@MamaEster-is9hc5 ай бұрын
Mungu akusaidie
@NeemaAmos-n7z5 ай бұрын
Unalaana wew acha marko apumzike make hajui neno lolote kwa sasa acha kabisa mungu atakuazibu kwa hayo utatoa hesabu ya maneno yako kila neno utalitolea hesabu acha kabisa unachokifanya
@jeniphermyingajeniphermyin80295 ай бұрын
Acha kuwachafua watumishi wa Mungu nakuwaumiza wafiwa,
@SadaSada-p8f5 ай бұрын
Wee,uogo,Sana,tapeli,mkumwa,
@YoungDivaKasupuu5 ай бұрын
Kazi ya MUNGU Haina makosa
@JoyceVodacom5 ай бұрын
Sasa wew kaka kama we umeachana na hayo mambo kwanin uko makaburini na umevaa nguo nyeusi
@JescaJohn-i8r5 ай бұрын
Sahvi haisaidii kitu .tulia mwache mungu ashughulike