NYIMBO HIZI ZA MASHETANI ZA IMBWA MAKANISANI KOTE TAZAMA. EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 496,497

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0788871769 #0766998994 #call0688199370 #0688199370 #

Пікірлер: 1 200
@godisable2098
@godisable2098 Жыл бұрын
Mungu nisamee kweli nime imba izo wimbo ni rehemu Yesu Christo
@LeonidaAuma
@LeonidaAuma Жыл бұрын
Mwenyezi mungu atu rehemu maana tulinaswa kwenye mitego za kishetani
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx Жыл бұрын
Nimeelewa Mtumishi wa MUNGU
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 Жыл бұрын
Naomba Kama wewe unamjua Mungu unayemuabudu Mungu wa kweli gonga like
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 2 ай бұрын
Paschal sema baba wewe ni spika ya Mungu sema tu kile Mungu anacho kuelekeza kusema
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kumbe si mimi tu nisiyekubali hii nyimbo nazinginezo kumbe ni roho wa Mungu,amina barikiwa mtumishi napata ufahamu kwa mafundisho yako may God keep you for his will
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 Жыл бұрын
Ubarikiwe na bwana
@DominicWambua-d6j
@DominicWambua-d6j 6 ай бұрын
I thought am confused,but now have learned something
@neemasanga5273
@neemasanga5273 4 ай бұрын
Nitajuwaje mchungaji wakweli
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 4 ай бұрын
@@neemasanga5273 nikusaidie na vitu kidogo,awe mtumiaji wa neno kwa wingi,haombei watu mabaya hata kama wamekosa bali ni mwenye kuonya kwa upendo,anatumia maombi Sana katika ibada zake,hatumii vitambaa maji chumvi au mafuta mengine inabidi uhusishe maombi ili Mungu ajifunue kwako kma kujua kma anaongozwa na roho au la.
@drmahwa8166
@drmahwa8166 3 ай бұрын
Msipo silim hanana usalaama
@EunnyNamilo
@EunnyNamilo 2 ай бұрын
Kama una mwabudu Mungu wa ukweli gonga like
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu hapo pameharibika sana Bado hapaja kemewa vizuri Pakemee sana hapo shetani kajificha hapo.BWANA Aendelee kukuhifadhi.
@EsterNgailo-f5h
@EsterNgailo-f5h 7 ай бұрын
Amen
@felisianliheta3155
@felisianliheta3155 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mtumishi kuna kitu umenifungua maana nilikua siju ila Leo umenifungua na nimekuelewa. Mungu akubariki sana
@Isayastephano-u1k
@Isayastephano-u1k 2 ай бұрын
Mazehebu simpango wa mungu ndio mana wanazalsha kwaya ya uzinzi niuzinzi Nikuzim tupu Kwa usalama token kwenye uzehebu mpone hata mhudum Bado umateka
@LucyWambui-qr1pw
@LucyWambui-qr1pw 3 ай бұрын
Wah Asante sana mtumishi wa mungu kwanzia leo sitasikiliza nyimbo za kidunia tena kama vile diamond rayvanny n zinginezo kwanza hio yerusalemu naipenda sana lakini kwanzia leo nimeacha glory and honor be to God Ameeeen 🙏🙏🙏
@godfreymmassy8114
@godfreymmassy8114 3 ай бұрын
Amina 🙏
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 Жыл бұрын
Powerful message, Good preaching 👏
@GLORYCHOIR1
@GLORYCHOIR1 Жыл бұрын
Daaaaah 😭😭😭😭😭 YESU atusaidie makanisa Yameingiliwaa sana mapiano, tarabu zinapigwa makanisani uuuh ni hatari sanaa
@GRACEY-t3g
@GRACEY-t3g 5 күн бұрын
Hallelujah powerful and deep message im really blessed and i have learn something,
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Uvaaji wao tu, utajua sio nyimbo za kumsifu Mungu.
@MauridErias
@MauridErias 3 ай бұрын
Nikweli kabisa Yani me mwenyewe uwa naumia sana kiukweli Wala asemi uwogo kabisa
@josephkisinza6243
@josephkisinza6243 2 ай бұрын
Aami 26:😂😂45
@DeboraMwanja-fr6mu
@DeboraMwanja-fr6mu 2 ай бұрын
Kweli kabisa mi nikionaga tu mavazi yao nazima wimbo sisikilizi
@BuzakeYvonne-cc4ge
@BuzakeYvonne-cc4ge 2 ай бұрын
Na kushukuru mutumishi kwa ufafa muzi wa nyimbo za nyimbo ambazo hatuwezi imba mungu akubariki na akuvuviye mengi
@eunicepilly802
@eunicepilly802 Жыл бұрын
Asante sana Mtumishi wa MUNGU kwa ujumbe huu Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi utujulishe mengi tu siyo yajua
@bahatmasawe1959
@bahatmasawe1959 Жыл бұрын
Ni kweli tupu Mungu ni Nuru na Nuru na Giza havichangamani be blessed pastor
@brivernyongesa8095
@brivernyongesa8095 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kweli unatufungua macho na mawaso maana tunaangamia Kwa kukosa maarifa na kukosa macho sa kiroho eah mungu tusaidie
@LucasFungo
@LucasFungo 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana Kwa kufunua Siri ya ufalme wake🎉🎉
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
[Danieli 12:4] Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka. Sisi tunaoijua siri hii ya Mungu bado kitambo kidogo kimebakia. Na hayo yoote hayana budi kutokea maana yalishanenwa na manabii, hakuna pa kujitetea siku itakapofika !! Ndani ya makanisa zipo biashara zinaendelea, yoote hayo yalikuwepo hata nyakati za Yesu !! Mkristo unayejielewa pindua meza zao na usimame katika haki nayo haki yako itadhihirika siku ile !! Nakutia moyo mtumishi wa Mungu endelea kuwa sauti nyikani watakaokusikia watazitengeneza njia zao ! BARIKIWA
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 Жыл бұрын
Amen amen amen sema kweli yote wame sumbuwa watu kwanyimbo zawo za uwongo na kuwapotosha watu kwa ujinga na upumbafu wawo wa mashetani Mungu awa urumiya
@janeluhinda9955
@janeluhinda9955 Жыл бұрын
Huwo wimbo wa kwanza wanaimba "my god is good" wakimaanisha; mungu wangu ni mzuri (mungu wake yenye anayeimba). Neno "good" (gud) wanalitamka gudo kwa lafudhi za watu wa magharibi mfano Nigeria.
@paulinakiswaga7505
@paulinakiswaga7505 Жыл бұрын
Shida sio maneno ya wimbo shida ni beat ya wimbo na namna wanavyocheza beat la wimbo huo nila nyimbo za kidunia na jinsi wanavyo cheza sio waki Mungu cjui kama nimejaribu kukuelewesha
@everlynenanzala576
@everlynenanzala576 2 ай бұрын
😂😂 watu wamebaki kutafuta likes u tube
@hasanygodda9242
@hasanygodda9242 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ,,,Asante yesu masikio yangu hakika yamesikia 💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@judyogwora7965
@judyogwora7965 3 ай бұрын
Hapo ni kweli,hebu angalia mtu ako kwa madhabahu ya Cape,hana hata dhamili ya kujihukumu mwenyewe.ladies with offshoulder dresses in the altar,waah dunia kwisha
@RebeccaAsha-cc9vw
@RebeccaAsha-cc9vw Жыл бұрын
Amen pastor ni true kabisa,mungu atusamehe kabisa
@faustinebakulu5892
@faustinebakulu5892 Жыл бұрын
Isaya 58 1 Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.
@faustinebakulu5892
@faustinebakulu5892 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Akubariki mtumwa wa Bwana Yesu Kristo
@carolineunguku9163
@carolineunguku9163 3 ай бұрын
Amen
@RaphaélDjLiveSéries
@RaphaélDjLiveSéries 12 күн бұрын
Shalom 🙏 Mtumishi ni kweli,naongeya toka Congo🇨🇩
@godlovepotami6271
@godlovepotami6271 Жыл бұрын
wachache sana wanaweza kuelewa kinachoongelewa
@agnesgeorge6818
@agnesgeorge6818 Жыл бұрын
Kweli kabsa.. MUNGU BABA yetu afungue faham zetu!
@DeborahKahindo-h9m
@DeborahKahindo-h9m Жыл бұрын
Eee mungu ni saidie
@Sr.AnalisaShayo
@Sr.AnalisaShayo 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atujalie Macho ya Imani ya kutambua yaliyo kinyume na mapenzi yake na kutuongoza kutimiza mapenzi yake.
@alexndonyemutuku6284
@alexndonyemutuku6284 Жыл бұрын
Worship song through Praying, is the Real songs to Worship GOD: Your her true GOD bless you 🕊️
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Mtakoma na ibada za mapambio. Pendeni kutumia nyimbo za vitabuni zilizotungwa na watu wa MUNGU waliojaa Roho mtakatifu. Barikiwa mtumishi.
@marianguli7994
@marianguli7994 Жыл бұрын
Pastor Mungu alikupa neema ya kufundisha kweli yake fundisha wala usihofu neno, usiogope wauao mwili washindwe kuua roho, injili lazima isonge mbele kwa kila namna namna na ni lazima watu walipate neno ili siku ya hukumu asiwepo wa kusema hakusikia.
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga Жыл бұрын
Ahsante mtumishi kwa mafundisho mazuri nimepona.
@AdmiroCristiano-xe8bj
@AdmiroCristiano-xe8bj Жыл бұрын
God bless you my young brother 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@hillarymaende9872
@hillarymaende9872 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 mung u azidi kukulinda na kukupigania kwa maana ulimwengu ulimo wakati wa sasa ni ulinwengu wafita,mungu akufunije man of God asanti kwa kutuelimisha ambayo hatujuwi
@kennethngoleka
@kennethngoleka Жыл бұрын
Mimi sioni tatizo wa hizo nyimbo,ninaimani sisi binaadam tunatokea ktk maeneo tofauti,ukitaka kumvuta aliyopo Toka ktk mashetani mchote kupitia njia aliyopo na umtie ktk kundi lako kwa neno la uzima la beans,atabadilika tu,njia za kufikisha neno la bwana.
@Wakacha280
@Wakacha280 19 күн бұрын
Baba usiogope kwamahana MUNGU yupo wewe mutu wa MUNGU GONGA Like hapo twende kwenye connexion ya mbinguni
@BenjaminGitonga-tj1qv
@BenjaminGitonga-tj1qv Жыл бұрын
True man of God,l agree
@ELIASOINGEI-ir2ch
@ELIASOINGEI-ir2ch Жыл бұрын
Amen mtumishi BWANA YESU ubarikiwe mno.
@hannahmaina-hb4pj
@hannahmaina-hb4pj Жыл бұрын
True man of God. Be blessed
@janetkhayosa356
@janetkhayosa356 2 ай бұрын
Hakika Mungu aturehemu sana maana zingine tunazisikiza tu bila hata kufahamu , Jehovah nipe kibali cha roho mtakatifu ili niweze kuelewa mambo jinsi inavyo faa katika ulimwengu wa kiroho
@emmylema5911
@emmylema5911 Жыл бұрын
Amen nilikuwa nime miss mahubiri ya Mchungaji Kulola ila sasa naona Mungu anakutumia kukaripia kama Mzee Kulola amen!
@cecileserumwe8589
@cecileserumwe8589 2 ай бұрын
Heu kaenda wapi mzee Moses Kolola?
@Martindavid-g5x
@Martindavid-g5x 23 күн бұрын
Amen mtumishi wewe unajiu kwel waambie na wengine waujue ukuu wa mungu
@WelfamPosiani
@WelfamPosiani 3 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu binadamu wasasa hawautaki ukweli kabisa, ila tuupendao huo ukweli tutakuombea kwa yesu kristo siku zote.
@akinyiroselyne2697
@akinyiroselyne2697 Жыл бұрын
Mimi ata siku hizi I don't listen to gospel songs;but nikijaribu aina uwepo wa Mungu 😪😪😪
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Bora usisikilize kwanza biblia inakataza nyimbo na kelele kanisani
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
ila wakristo wanaanza kujionea mambo, iko siku mtajua ukristo walianzisha akina nani, maana yesu maskini ajamwambiapo mtu akuwe mkristo😬
@barnabaslyimo7607
@barnabaslyimo7607 Жыл бұрын
Mmmh pole huenda wewe ndo huna uwepo Mungu ila hujijui tu haaa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@omaar5693 ukristo ulianzishwa na Paul
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@barnabaslyimo7607 mungu yupo na ni mmoja tu hajaza wala hajazaliwa tatizo lenu ndugi zetu wakristo mnasema mna mungu 3 hapo ndipo mnapo kosea
@happinesshappiness418
@happinesshappiness418 2 ай бұрын
Vile nilikuwa naimba yerusalem hiyo rhythms kwa hakika waja Mungu atufungue macho na atupe ufahamu wa kutofautiza nyimbo za Mungu na za dunia
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Powerful message God bless you and protect you
@loureensarah9943
@loureensarah9943 Жыл бұрын
Hallelujah,barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@DhekanaNyiro-b7k
@DhekanaNyiro-b7k 2 ай бұрын
ASante sana kwa maubiri na Mungu atusamehe sana kwani tunaimba hii wimbo pasipo ku jua ni dugu toka Congo Drc.
@kaburajeanmarie1030
@kaburajeanmarie1030 Жыл бұрын
Amen, barikiwa mtumishi wa Mungu, nafurahishwa Sana na huduma zako, Mungu akutie nguvu
@doramalisa2061
@doramalisa2061 Жыл бұрын
Wahuni wameingia kanisani na wakristo wamepokea wakidhani wanamwimbia Mungu kumbe wanamwimbia Shetani mwenyewe. Mwenyezi Mungu atupe kuelewa na kuacha mara Moja manyimbo ya midundo ya kucheza
@Parkchaehyun-7
@Parkchaehyun-7 2 ай бұрын
I'm from Kenya and this is my first time to know about this. But I Thank God I grew up in the church that we only use hymns book without dancing. Watu husema tunapaswa kuendelea kidigitali but I know this. I WILL NEVER CHANGE BECAUSE EVEN GOD WILL NEVER CHANGE.
@moise8515
@moise8515 Ай бұрын
Mungu akubariki ndugu yangu ❤🇨🇩🤍🎤🎤🎤🎤
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Kwa asiyemuelewa hawezi elewa kitu, hao waimbaji wengi hawana makanisa maalumu ya kuabudu, pia hawana Wachungaji wa Kiroho wa kuwaongoza. Pia ukifuatilia wengi wameachana na wenzi wao Kwa kisingizio Cha Ufunuo, Huyu Mtumishi ni kama KANYE WEST, rapper wa Marekani anayehubiri Injili sana Kwa Sasa, ingawa watu hawamuelewi kama alivyo huyu. Namuombea Mungu aendelee kumtumia nasisi tuendelee kumsaport siyo kutext tu. Be blessed
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Kanye west sio mtumishi wa Mungu, ni wale wale tu. Anajitukuza yeye sana mpaka anajita ye
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
@@dostovan5142 ni kweli siyo Mtumishi wa madhabahuni, but anatangaza the will of God, kuitwa Mtumishi siyo lazima uvae joho, as long as you declare the will of God, ww ni Mtumishi wa Mungu.
@yudachelango6824
@yudachelango6824 Жыл бұрын
Kanye west ni mhubiri
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Hayo makanisa bila nyimbo waumini watakuwa hawatowi sadaka
@mercymumwi2788
@mercymumwi2788 Жыл бұрын
​@@chamimdesa148 Mungu gani
@ClemenceMakutu
@ClemenceMakutu Жыл бұрын
Asante sana kwa mahubiri yako mtumishi was Mungu
@EzekielThomas-c4n
@EzekielThomas-c4n 2 ай бұрын
This is where people misunderstand....sasa ujumbe ndo muhimu ama ni msanii mwenyewe? Tusipotoshane
@willymwema4944
@willymwema4944 11 күн бұрын
Amina mtumishi wa mungu mimi nipo 🇨🇩🇨🇩 drc
@bonifacemuthui5124
@bonifacemuthui5124 Жыл бұрын
Which is oldest...gospel dance or secular dance? Who is copying who? Dance for your God as much as you can mindset is different. Personal thinking and God's wisdom are different. Sifu like Daniel, I don't see anything wrong or evil with those songs.
@johntambwe9980
@johntambwe9980 Жыл бұрын
I support you
@bahatiandrea518
@bahatiandrea518 Жыл бұрын
Yeah I was looking for this comment
@Jacklinjohn-cr4vs
@Jacklinjohn-cr4vs Жыл бұрын
Yeye mwenyewe hajatoka bado uko
@minjirewambugu7905
@minjirewambugu7905 Жыл бұрын
You don't see anything wrong possibly bcos you won't look hard enough.
@JohnSamwel-xk2gr
@JohnSamwel-xk2gr Жыл бұрын
Pascal's statement is with those who are in God's vision Ameen
@SamwelMwajombe
@SamwelMwajombe 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi ujumbe mzuri umetufungua san mtumishi🙏🙏🙏
@LebonKulumouche-mv9oh
@LebonKulumouche-mv9oh Жыл бұрын
Mimi napatikana congo Kinshasa iyo mafundisho ni kweli Baba barikiwa na Mungu kwa iyo kazi nzuri unayo ifanya na kumbuka Muchungaji wangu alipigiwaka na wa yibaji kwa sababu ya kuwaonya ju ya dansi za kukata kiuno na wengine waka jitenga wenyewe
@phenahmurunga4907
@phenahmurunga4907 2 ай бұрын
From kenya .kwa kweli you are saying the truth ,sema tena zaidi ya waume lakini ni ukweli
@mkojeragodsonofficial4664
@mkojeragodsonofficial4664 Жыл бұрын
Kweli hi inadhihirisha shetani anafanya kazi kwa kasi Sana dunia taari imeingia kanisani. 1> nilikua nafikiria tyu just mawazo Kama Mungu asingemtumia huyu mtumishi kufunua haya Nani mwingine angekua na ujasiri. 2> Wengine wanadhani ni Kiki au anataka ku trending sawa lakini vipi Kama ni kweli haya anayoyazungumzia itakuaje kwako wewe pamoja na nabiii wako? 3> Wote tumeshuhudia aliyo yapitia pia na anachozungumza nimefatilia kwa MDA mrefu nakufanya analysis INAWEZEKANA 99% anayoyazungumzia nikweli. 4> Kuna link Kati ya maisha yake na anachokihubiri siwezi kuelezea kwa kina Sana lakini kazi yake ni kubwa Sana anayoifanya.
@irenemuia2718
@irenemuia2718 Жыл бұрын
Amina,kweli kabisa ,HAPA ni walio na masikio ya kiroho na macho ya kiroho ,huyu ametumwa na MUNGU Wenye wat asikie watageuka ,MUNGU ATUSAIDIE wote ❤
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Kwa asiyemuelewa hawezi elewa kitu, hao waimbaji wengi hawana makanisa maalumu ya kuabudu, pia hawana Wachungaji wa Kiroho wa kuwaongoza. Pia ukifuatilia wengi wameachana na wenzi wao Kwa kisingizio Cha Ufunuo, Huyu Mtumishi ni kama KANYE WEST, rapper wa Marekani anayehubiri Injili sana Kwa Sasa, ingawa watu hawamuelewi kama alivyo huyu. Namuombea Mungu aendelee kumtumia nasisi tuendelee kumsaport siyo kutext tu. Be blessed
@noelsanga1595
@noelsanga1595 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU ,asante mafundisho maziri barikiwa sana
@Saidi1581
@Saidi1581 Жыл бұрын
Unasema ukweli maana zina mvuto waki shetani atakama hutaki kucheza haijalishi wewe ni Mtumishi lazima utashangaa una anza kucheza unasema ukweli mtupu Mtumishi wa mungu kama wapo watumisha ambao wanatangaza injili ya kweli wewe niwa kwanza Mtumishi wa Mungu Pascal cassian ubarikiwe saaana Amen🙏
@neemakweli461
@neemakweli461 Жыл бұрын
Asante sana kwa kutusahidiya❤❤❤
@rosemongi5273
@rosemongi5273 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa leo umenifungua pakubwa sana kwa sababu makanisa yaliyo mengi ndivyo yalivyo hadi roho inauma ukiwatizama watoto wetu wanavyokata viuno kanisani kwa kweli sio sawa 😭😭😭😭
@allanmwita2226
@allanmwita2226 Жыл бұрын
Rose ni aibu sana watu wanacheza hovyo kanisani huku vijana wamevaa nguo za kubana na wanavyo cheza utafikiri wanaenda kuzimu
@edwardzakalia9196
@edwardzakalia9196 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi bwana yesu awe nawe daima
@neemakweli461
@neemakweli461 Жыл бұрын
Ubarikiwe na bwana YESU
@marrysamuel6848
@marrysamuel6848 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu azidi kukutumia kwa kweli
@josephnjogu9341
@josephnjogu9341 Жыл бұрын
Everything is God and all is God, Satan is the absence of good vice, lets not give that absence prominence and create what we are calling satan. we should love one another and praise God all the time, judging is creating satan.
@chahirajohn3885
@chahirajohn3885 2 ай бұрын
Its not judging, truth must be told we can't sugarcoat evil we must be against what's God is against, soothing will lead many to hell
@chahirajohn3885
@chahirajohn3885 2 ай бұрын
When someone corrects doesn't want you to perish
@dimojaydan6344
@dimojaydan6344 10 ай бұрын
Mungu ni mungu naikumbukwe kua mungu azihakiwi wanao msifu mungu anawajua na usiwaukumu watu
@williumteete2626
@williumteete2626 Жыл бұрын
Don't judge. Yaache ngano na magugu yakue pamoja. Sijasema mimi, hiyo biblia unayoshika ndio imesema hivyo. Biblia hiyo pia unayoshika inasema mtashangaa siku ya Mwisho makahaba watawatangulia mbele ya kiti cha enzi. Lakini pia tujiulize katika hali ya kawaida, dancing style ya mbinguni nani anaijua? Nani amewahi kuwaona huko mbinguni wanachezaje? Mziki wa shetani ni upi? Natamani watumishi wajikite kwenye kuwasaidia watu kwa namna yoyote wamjue Mungu.
@manasendubula-zn8fl
@manasendubula-zn8fl Жыл бұрын
Mziki wa leo makanisani na Wearing style pia usisahau kaka imekuwa balaa. Ukisubiri issue ya makahaba kwenda mbinguni 🤔 hiyo ni sawa, lkn ukiyafanya kwa kujua utakuwa kwenye risk kubwa.
@lilianfjmwani99
@lilianfjmwani99 Жыл бұрын
Kadhalika Roho nae hutusaidia udhaifu wetu....Roho mtakatifu akiwa ndani ako anakuongoza kila kitu
@manasendubula-zn8fl
@manasendubula-zn8fl Жыл бұрын
@@lilianfjmwani99 Lakini pia Roho mtakatifu anakaa mahali safi, unaweza fikiri upo rohoni kumbe ulishaanguka zamani. Mungu atusaidie kwa sababu tumebaki tunaabudu kwa mazoea. Vilivyokuwa vinakatazwa makanisani sasa hivi ndivyo vimeshika hatamu. Watu wanasema hii ni kawaida .... Mazoea🤔😭
@lilianfjmwani99
@lilianfjmwani99 Жыл бұрын
Yes kaka uko sahihi mm nlimuelekexa kaka apo juu kwamba tutajuaje styl ya kucheza ya mbingun jib n kwamba Roho Mtakafitu anatufunulia mambo yote ila shida n kwamba watu now wanajiongoza wenyew na sio Roho Mtakatifu.....pia mafundsho yamekua adimu makanisani ndo maana tunakundi kubwa la watu wanaomtaja Mungu na hawamjui! Na makansani wanaingia na kuendeleza dhambi pasipo kujua wapo kifungoni
@nellynaire8771
@nellynaire8771 Жыл бұрын
True... Watumishi as much as they know the difference. Mtuambie msiki ya kishetani na pia ya kiungu... Isituachee tuu ka tumechanganyikiwa...
@CizaJeannette-l3y
@CizaJeannette-l3y 2 ай бұрын
Amina Na kweli , Mungu atusaidiye😢😢😢
@josephnyakundi2196
@josephnyakundi2196 Жыл бұрын
Very true the church has fallen Messiah is coming very soon 😢
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Mtumishi mungu skurinde Sana maana hawapendi unavyo funua Siri zao damu ya YESU ikufunike🙏
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Wameambiwa wasitaje jina Yesu kwenye nyimbo zao za injili
@Karromia-vq5vw
@Karromia-vq5vw 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana maana kupitia ww wengi wataona mbingu 🎉
@naamanogutu2190
@naamanogutu2190 3 ай бұрын
Mtu kama christina shusho alianza vizuri kwenye ile album ya mwanzo tu lakini akapotea kabisa
@OscarFrancis-mx7iy
@OscarFrancis-mx7iy 2 ай бұрын
Acheni kuwahukumu watu waombeeni jamanii ata nyie mnayetenda mabaya kuliko wao ni kwa vile tu hamsikiki kwenye media
@annuherman1878
@annuherman1878 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi pascal 🙏
@Raphaelbless
@Raphaelbless Жыл бұрын
Mtumishi wangu tuko nyuma yako kwa maombi
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Shalom, shalom. Mtu aweza kuimba wimbo akitaja maneno ya Mungu ila ukiangalia hata kucheza na mtunduko haviambatani. Wanamchezea shetani ila kwao wanajidhihirisha kua wanamchezea Mungu na wapo sahihi pasipokujua shetani anawaongoza. Shetani ako kazini, na naomba Mungu anisaidie na anihesabu kua upande wake na roho wake aniongoze.
@jairusannalo
@jairusannalo Жыл бұрын
😢😢😢😢Amina
@leticiacharles2662
@leticiacharles2662 Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi leo umenijibu maswali yangu,nilikua najiuliza nimziki gani unafaa kwa kumsifu Mungu?cku hizi hadi cngeli, amapiano yanapigwa na wa2 wanafurahia yaan uezi tofautisha nyimbo za kidunia na kiroho.
@genovevakisawike-xo2wq
@genovevakisawike-xo2wq Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe mm mmojawapo umeniponya maeneo mengi
@wiganmamboleo5341
@wiganmamboleo5341 Жыл бұрын
Asante pastor nimekuelewa katika SOMO hili Mungu akubaliki sana Ila pia ninalo swali kuhusiana an Hilo la nyimbo nakubali ana nalo nkwa asilimia 100% Lakin swali je na Upande wa kucheza tuko Sawa maana kuna style nyingi zimeingia katika kucheza watu wakisema tunamchezeay Mungu alie hai je hapo je tunaenenda Sawa ama kunamakosa??
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 Жыл бұрын
Mm nataka kuelewa. Ni aina ipi ya muziki wa kumsifu naa kumwabudu Mungu. Na huo mziki unapatikana chuo kipi. Maana mpaka umemaliza ujumbe wako. Hujatoa sssuluhisho la mziki unafaa kanisani
@celineachieng4963
@celineachieng4963 Жыл бұрын
Kenya hunishangaza ya Kwanza nivile wanavaa wakituimbia hizi nyimbo natuna ignore .ama ukiongea watu wanakuangalia kama ambaye umechanganyikiwa...Sono langu ni, nikiona roho yangu imekataa, sitalazimisha juu wengine Hawaoni..Mungu atusamehe kwasababu na dabodabo nimeongoza Sana but yerusalema roho ilikataa toka mwanzo. Ahsante.
@DominicWambua-d6j
@DominicWambua-d6j 6 ай бұрын
Back to pentecost at all cost
@RoseDaudi-c9c
@RoseDaudi-c9c 2 ай бұрын
😢
@johntumuna7854
@johntumuna7854 Жыл бұрын
Powerful message but the background music is too loud please next time if need be just put little volume on the background music
@emmanuelmgeni273
@emmanuelmgeni273 Жыл бұрын
Ujumbe huu umeubaliki moyo wang na nimejifunza sana, barikiwa mtumishi wa MUNGU, na MUNGU azidi kukutumia Kila siku tupate kupona ameni
@julitansimire7407
@julitansimire7407 Жыл бұрын
Mungu akufiche kwandamu ya Yesu Sababu unaiangusha ngome ya shetani
@MauridErias
@MauridErias 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@EreneNzila
@EreneNzila 10 ай бұрын
Amina ,barikiwa na Bwana,endelea kutufungua.
@deborahjeremia6856
@deborahjeremia6856 Жыл бұрын
Sema tupone mtumishi wa Mungu,kweli kuna nyimbo hazibariki hazigusi moyo,ee Mungu utusaidie
@DorithyKobelo
@DorithyKobelo Жыл бұрын
Mungu atusaidie kanisa, tumefungwa macho Sana 😰
@maryupendo8706
@maryupendo8706 Жыл бұрын
Christina shusho ulianza vizuri,,omba Sana Mungu umalize salama uelekeako siko.
@KishiwaMisinzo
@KishiwaMisinzo 2 ай бұрын
Mungu wetu anatupenda Sana barikiwa mtumishi
@petermbugi2579
@petermbugi2579 2 ай бұрын
Mungu atamsaidia atamaliza salama Mungu ni mwaminifu huyu Yesu kristo
@tumainimtivike-be8yq
@tumainimtivike-be8yq Жыл бұрын
Mungu akubariki na akupe nguvu zaidi mtumishi wa Mungu
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 Жыл бұрын
Amina..Mungu akuinue ili iendelee kufungua kweli Watu waokoke
@toshtings
@toshtings 2 ай бұрын
Mungu tujalie hekima yako
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana. 100% right. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 🙌 hata mimi nimefunguka macho
@Victor_Tullo
@Victor_Tullo Жыл бұрын
Weka Maandiko yanayoonyesha namna sahihi au melody sahihi yake kumuimbia Mungu. Ni vizuri pia ukatuambia melody unayotumia wewe kwenye uimbaji wako inapatikana kitabu gani kwenye maandiko.
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 8 ай бұрын
Kaka sauti ya kimbingu ni tofauti sana na ya kidunia
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 8 ай бұрын
Kaka sauti ya kimbingu ni tofauti sana na ya kidunia
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 8 ай бұрын
Kaka sauti ya kimbingu ni tofauti sana na ya kidunia
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 8 ай бұрын
Kaka sauti ya kimbingu ni tofauti sana na ya kidunia
@christinasebastian9546
@christinasebastian9546 Жыл бұрын
amen amen amen hakika nabarikiwa sn na ujumbe wako
@AlexLugalala-mm8zi
@AlexLugalala-mm8zi Жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi wa Mungu
@happymkwanyakaunga2131
@happymkwanyakaunga2131 Жыл бұрын
wewe sasa ushakua.kichaa ndoguangu.mpinga kristo,my god is good,maana yake Mungu wangu nimwema.sio unavyoimba. wewe mpinga kristo.unajifanya.mnjirist kumbe mpinga kristo.
@beatricemwasunda5027
@beatricemwasunda5027 Жыл бұрын
Ninakuelewa saana mtumishi Mungu aliyekupa hayo mafunuo azidi KUKUATAMIA,kwa kadri ya kusudi lake🙏
@jameskalokola800
@jameskalokola800 Күн бұрын
Umekua Mungu mtu hapa duniani je mbinguni umejiandaa
@phenymanga949
@phenymanga949 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu kwa elimu hiyo ya kiungu.God bless you.sister pheny from mombasa.huwa nakufuatilia Sana kwa mahubiri yako na uimbaji wako.umenitoa mahalo na naonanikielekea mahali
@lovenessedom2333
@lovenessedom2333 Жыл бұрын
Mungu akupe ujasiri zaidi wa kusema kweli
@yusuphshimei
@yusuphshimei Жыл бұрын
BWANA akubariki sana na kukuinua zaidi asante kwa ujunbe huu umeondoa pazia lililokuwa limefunika macho yangu kuhusu waimbaji wa nyakati hizi
@danieldkel4201
@danieldkel4201 Жыл бұрын
Aya mutumishi For me I think just focus kwa nature zaki Tanzania 🇹🇿 South Africans can't follow your nature to praise their God 🤷🏻‍♂️ each country in their own way to dance for our lord God , you preach well but don't judge anyone siyo sisi zote wa Tanzania 🇹🇿 Ubarikiwe sana 🙏
@aquilinakoga
@aquilinakoga Жыл бұрын
Ukweli ukisemwa, nyinyi mnakumilia tu eti ni judgement....tell me in Bible where it has been written that dancing for God in south Africa should be different from Tanzania
ORODHA YA WAIMBAJI WALIO MEZWA NA KUZIM TAYALI EV PASCHAL CASSIAN
38:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
MILANGO YA KUINGILIA MAPEPO MAJINI MSHETANI EV  PASCHAL CASSIAN
16:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 109 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 441 М.
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 40 М.
Dunia iko Mwishoni - Paschal Cassian (official lyrics video)
6:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 301 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 65 М.
HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN
16:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 62 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 378 М.
UNABII WATIMIA KWA MATHA  KIZAZAZI CHA NYOKA  EV PAACHAL CASSIAN
1:02:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 21 М.
CASSIAN AMGEUKIA MBARIKIWA NI MJINGA SANA HUYU MCHUNGAJI
1:24:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 180 М.