mashalla kipindi kizuri sana wazungumzaji wapo vizuri sijawahi kuangaliakipindi chochote kwenye mtandao nikapoteza mda kama ninavyo angalia vipindi hivi shukurani sana
@hamidakhatib9777 Жыл бұрын
Kaka unaonekana unayaweza mambo ya wanawake mashallah unajuwa majukumu ya mke hongera san
@guyogalora2736 Жыл бұрын
Masha Allah shukran jazeelan
@rukiaiddyyahaya95065 ай бұрын
Kina dimoso morogoro moja kaka yangu huyo❤❤❤
@awaaabdullah3061 Жыл бұрын
Hii kauli nimeikubali ....ukiolewa na anaetegemewa na familia tabu sana
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Mm iliwah kunijia bahat iyo ya mume anaetegemewa na familia yake halaf ana make na watoto eti mm niwe make wa pili, nilikataa vo, Mana yeye ndokla kitu kwao na huyo mkewe anadai talaka aachwe Kwa hayo hayo
@rukiaiddyyahaya95065 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6lebora umekataaa kinge kuramba
@omanmuscatmus2155 Жыл бұрын
Mashaallah 😘😘
@salummzee9739 Жыл бұрын
Ww hina hio unayo itembeza kwa jamini kweli ndio una ndoa au ndio mwalimu wa kufunza ndoa Mitihan,,Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho wataipenda sio jua ndio wataonekana wanajua walio Wawazungu wanapiga muda imefika
@zainabuliza2664 Жыл бұрын
Nilikua sijui kua mwanaume kusaidia ndugu zake ni lazima lakini kusaidia ndugu za mke ni hisani 😮
@seifserenge3340 Жыл бұрын
Swali umuombe Allah in shaa Allah atakupa
@hamidakhatib9777 Жыл бұрын
Najitahid lkn bado cjampata
@zainabuliza2664 Жыл бұрын
Hata wanaume wana u selfish unakuta ckukuu ikifika ataandaa mazingira mazuri kwao lakini kwa ukweni kwa mkewe hatoi hata sumni hili nalo limekaaje?
@@nahlahassan-fd6le Utafanyaje ilhali wewe unamtegemea yeye akupe Mimi naogopa sana jamani mbona ni kama ubinafsi hivi Unakuta na wewe ndio ulikua tegemezi kwenu alafu yeye kakuchukua na kukata mirija ya msaada kwa wapendwa wako mfano wazazi n.k alafu unashuhudia jinsi yeye anavyo mwagilia huduma familia yake huku yakwako ikikauka kwa ukame wa huduma kama hizo Kwa hali ya kibinadam hivi unajisikiaje Unapewa pesa "mkewangu nenda kamtumie mamangu hiyo pesa ckukuu inakuja" halafu kwako wewe hata robo hupewi halafu inakuwaje sawa? Kama ni hiyo hissani bac wanaume wanapaswa kuusiwa sana kuhusu hisani
@iddswalehomar1323 Жыл бұрын
Somo mtoto ameolewa
@hamidakhatib9777 Жыл бұрын
Jaman mm nahitaji mume anaye juwa majukumu ya mke wake