UST ALI ABUBAKAR KUZUA MAMBO KATIKA DINI

  Рет қаралды 12,748

ANSWAR STUDIO

ANSWAR STUDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@fadhilizomboko459
@fadhilizomboko459 Жыл бұрын
Mshallah sheikh wng mungu akupe mwisho mwema
@fadhilizomboko459
@fadhilizomboko459 Жыл бұрын
Mashallah sheikh wng nakupenda sn karibu sn Tz
@alibana705
@alibana705 4 жыл бұрын
شكرًا بارك الله فيكم يا شيخ❤️🤲🏽❤️👌❤️👌
@hamisikassim4736
@hamisikassim4736 2 жыл бұрын
Maashaallaah
@JumaaMwatela-b5g
@JumaaMwatela-b5g 10 ай бұрын
Swadakta Kwa ukumbusho ulio wazi apotea ni apotee Bali amebainishiwa sheikh ALI Abubakar
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 Жыл бұрын
We sheikh hata fiqh hujasoma Maana ya sunnah ni مَا يُثَابُ فَاعِلُهُ وَلَا يُعَاقَبُ تَارِكُهُ Hupata thawabu afanyae na wala hapati dhambi asiyefanya Sasa wewe wasema anayeacha sunnah ni mwovu kuliko anayeaasi huo ni upotofu gani unaozungmza! Haramu ni مَا يُعَاقَبُ فَاعِلُهُ وَيُثَابُ تَارِكُهُ Ywapata madhambi anayefanya na ywapata thawabu anayewacha Sasa haramu asli yake ni kwamba ywapata madhambi anayefanya na sunnah asli yake ni hapati madhambi anayewacha. Leo wewe wadanganya watu wawaambia watu ati awachae sunnah ni mwovu kuliko afanyae haramu. Hemu zungumza ya usawa bana afadhali ungesema anayewacha faradhi hapo sawa na ia uzito wa madhambi inategemea. Wataka kusema asiyeswali ama anayesujudia sanamu yupi ana madhambi makubwa? Think before you talk!!!
@muhammadkarama9996
@muhammadkarama9996 6 жыл бұрын
Kama kuna video za ustadh Aliula za part ya kwanza ya taqwallahi na twaa ya viongozi
@salumasaa7933
@salumasaa7933 Жыл бұрын
Usitumie simu na hiyo maiki na Hilo feni Mana hyo yote hayakuwepo wkt was mtume
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 Жыл бұрын
Wewe ufahamu wako mdogo Sana kwani hivo ulivotaja vimenasibishwa na dini kama maulidi na khitma na mengineyo napia kama umesoma hujui vitu mubaah katika Sheria wacheni kuropoka wakati mukiambiwa hak
@carlhence4414
@carlhence4414 3 жыл бұрын
Kijana wacha kujifanya mkali huna elimu. Hapo usimemepo hyo Mike unayo pazia sauti yko ni bidaa hlo zulia uswalialo ni bidaa hyo feni nyuma yko ni bidaa ww ona tu maulid ndio bidaa wacheni chuki na hasadi
@isihakambalawa8088
@isihakambalawa8088 Жыл бұрын
Masufi mnashida gani
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Tahadharini wale wanamtukana khatibu ambaye yuko juu ya Mimbar. Je! Unajua anazungumza maneno anayoyasema kwa niaba ya Allah na kwa niaba ya Mtume wake, Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam? Ukiona kasoro yoyote itaje ikiwa unajua kwa hakika kwamba anaongea uwongo au anaongea makosa na tuwaachie wenye ilmu sahihi wamrekebishe wao ili jamii ipate kuelimika...
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 жыл бұрын
Msitubabaishe si kila ambalo mtume hakulifanya ni bidaah ,sayyidna Bilal alifanya hiyo bidaah na mtume hakupata kumfundisha,hiyo mic hapo pia ni bidaah na mengi mnayafanya ambayo ni bidaah
@carlhence4414
@carlhence4414 3 жыл бұрын
Kasome vzuri ujue hasa maana ya maulid Kisha uzingatie bada kujua Hali halisi ya maulid musiende kimikao na chuki mutatia watu kwenye hasara na upotevu. Eee jameni kumsifu mtume pia kumekua ni balaa. Hebu mtafute shekh hatimy awasomeshe
@mrboma4343
@mrboma4343 3 жыл бұрын
Je mitume yetu mitukufu walipiga maulidi ama maswahaba ??kama walipiga pia sisi tupige kama hawakupiga. Pia tujue??
@kibwanasuleiman8325
@kibwanasuleiman8325 3 жыл бұрын
Hawakupiga.je kama dini ilitimia mtume alipokufa mbona adhana ya kwanza ya jumaa haikua na ilikuja wakati wa khalifa uthman bin affan. Je uthman ni mzushi? We nenda usome usiwe na kijielimu chako cha ibtidai hapa
@kibwanasuleiman8325
@kibwanasuleiman8325 3 жыл бұрын
@@ally1702 we unajua maana ya bida'a? Mtume alieleza kua mzushi yyte baada ya dini kutimia.dini ilitimia shekhe.lakin bidaatul hasana ziko so msituletee.uthman alifanya bidaatul hasan kwa kutumia hadith "man sanna sunnatul hassanat...
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
@@ally1702 kwani sheikh hukumu ya dini huchukuliwa kwa kauli moja tu?
@hassanmatano3567
@hassanmatano3567 4 жыл бұрын
Do maulidi tutasoma sana sisi hatuna shaka nayo we ongea ukimaliza swalisha ijumaa baba
@alibana705
@alibana705 4 жыл бұрын
Hassan Matano you don’t have no 👀eyes and no ears 👂 and no heart ❤️ umepotea kwenye dini ya Islam ’sswhabah weto hajawahi Kufanay maulidi na maimamu wetu 4 na masheikh wetu kama sheikh salahi al fouzan na bin baz na bin ukuthymin
@muhammedngonyani8776
@muhammedngonyani8776 4 жыл бұрын
Maulid haina tatizo nenda kaelekezwe kwanza MTU mwenyewe elimu ndogo
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Mawahabi ufahamu wao ni mdogo. Huko kukamilika dini maanake ni nini?
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 жыл бұрын
Wewe nae kasome talakini huko huna unachojua kabisa
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 3 жыл бұрын
Ww wacha kupija kelele mjinga ww uso kua na maana eti bida bida nikuulize kitu hebu nipe dalili moja 2 mtume alitoa khutba ya kiswahili kwenye mimbari subutu kama ww ni mwana mume ww mwenyewe ulienda جامعة ukafnyiwa inter view ya قرآن ukashindwa siku ya pili ukakimbia mjinga kisha leo wasimama mbele za watu eti jambo hili halifai ww wafaa nn katika duniya hii mjinga sana ww
@umuhanuna505
@umuhanuna505 Жыл бұрын
Shekh mambo yakuongea ni mengi sana wacha kukaa kutwambia maulidi ni bidaa ww kama waona ni haram wacha sisi tupate dhambi ww wachana na mambo yetu yakusoma maulidi .nyie musisome .kwanza jifunze masomo vzri na kutoa khutba bila karatasi .yakusemwa ni mingi ongea mambo mengine
@muhammedngonyani8776
@muhammedngonyani8776 4 жыл бұрын
Nyinyi MNA chuki Hanna lolote
@abduhamzasungura1642
@abduhamzasungura1642 5 жыл бұрын
Tatizo Nyinyi mkizi Mnasira Mmno Na kujifanya mnajuwa wakati hamjuwi
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 4 жыл бұрын
Wewe naona unanuka ukhurafi
@hamisirashidi3213
@hamisirashidi3213 4 жыл бұрын
Khurafi uyooo
@dullytezza5418
@dullytezza5418 3 жыл бұрын
Pingeni kwa hoja Kama shekhe hapo ninyi wanabidaah mshapotezwa na viongozi wenu
@dullytezza5418
@dullytezza5418 3 жыл бұрын
Twahiby shekhe fikisha dini sahihi ya mtume haki inawafika sana wanaifumbia macho wao na viongozi wao
@muhammedngonyani8776
@muhammedngonyani8776 4 жыл бұрын
Nyinyi MNA chuki Hanna lolote
UKIFANYA HAYA UJUE USHATOKA KWENYE UISLAMU -   ALI ABUBAKAR
30:00
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 2,8 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 587 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 5 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
MAMBO YALIYO ZUSHWA KATIKA DINI SH.ZAGAR ALLAH AMREHEM
33:23
QANAATU SUNNAH TV
Рет қаралды 362
SHK BAHERO UZUSHI WA MAULID
1:16:04
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 23 М.
IJUE DINI YAKO || KUOWANA KANISANI  || SHEIKH ALI BAHERO
49:59
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 368
JINSI YA KUJILINDA NA UCHAWI NA WACHAWI: SHEIK JUMA KONDO BUNGO
46:37
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 3,8 М.
SHEIKH ALI ABUBAKAR - KHUTBA YA IJUMAA - MASJID YUSSUF
46:53
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 528
UHARAMU WA SIKUKUU ZISOKUA ZETU / SHEIKH ALI ABUBAKAR
38:17
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 1,5 М.
SHK ALI ABUBAKAR SHIRKI KATIKA MAULID
43:35
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 31 М.
DALILI ZA KUPINGA MAULIDI //SHEIKH ALI ABUBAKAR//KHUTBA YA IJUMAA.
17:53
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 587 М.