Kiukweli sijawahi kusikia mtu akisoma Siikaa kwa zanzibar hii lakin ndio kwanzaa nimekuskia ww na hii kazi khattar sanna wallah
@TwalaaTaib2 ай бұрын
❤❤❤ Mashallah Jazakallahu kheri sauti powa Sana From Kenya❤❤❤
@TwalaaTaib2 ай бұрын
Amin Amin Mashallah Jazakallahu kheri From Kenya
@haydarhamad65323 жыл бұрын
Masha'Allah, Hujawahi kuimba Qaswida nzuri kushinda,hii😂😃kwanza hizi sauti ulizozitumia humu na miujiza hasaa,nakukubali Sana Maalim Juma.Allah akupe umri mrefu wenye kheir na ww😃😁
@zainabhassan34562 жыл бұрын
Mashallah Walaah kaswida zako ni nzuri sana kaka angu Allah akujarie kila ufanyaro liwe lepesi kwako Inshaallah broo 🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@binamubinamu11513 жыл бұрын
Mashallah hufananishwi na mtu wa nchii hii kwa uboraa wako mwalim juma hongeraa bwana weeeee
@WahidaMaulidi Жыл бұрын
Ki kweli nakukubali sana ktk qasida zako zote. Na naipenda sana sauti yako dhahabu. ALLAH akuhifadhi na kila shari za dunia
@watibf57313 жыл бұрын
Mashallah Sh.Juma kwa kweli Allah kakupa kipaji cha aina yake ktk hii fani hujawahi kutoa kazi yako ikawa haina ubora wa hali ya juu
@HidayaOmar-l4k2 ай бұрын
Hiyo sauti yako nzuri mara unalala usingizi mashaallah mashaallah ❤
@binallyamuz68953 жыл бұрын
Mwalim Juma Asante mzigo uko juu naupa 99% Ila Mawadah dah 20000% 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@jumafaki16973 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄 Mawadda iko juu
@idatally38462 жыл бұрын
Aisee Mungu fundi wallah yani ukiamua kuhuzunisha had machoz ukiamua kufrai hadi tabassam linaonekana ww au bas acha tu mungu akulinde sana yani una kipaji cha pekee ktk znz hiii na hakuna wa kufanan nae ondoa wsws kbsaaaaa hakuna ....Nakpenda bure
@alhajrahassan89 Жыл бұрын
Mashallah sheikh juma wajua sana Allah akubariki sana kwenye kazi zako amiin
@UmmySondo Жыл бұрын
Unajuwa kutuburudisha kijan ishi tu kadri mungu alivyo kupangia
mwalimu tutolee nyingine burudan inatufurahisha sana mungu akikuze kipaj chako uonekane dunia nzima 😎😎😎
@khamisshehe19553 жыл бұрын
Bismillah Ma Sha Allah sichoki kuiskiliza Allah akuzidishie kipaji uzidi kutupa burdani ya Qaswida
@jumaajambiamusa8214 Жыл бұрын
Waaallah nime simama na kucheza mwenyewe maaan safiiiiîi sn tuuuu
@jamilahjuma92733 жыл бұрын
Bismillah mashaallah 🔥🔥🔥 Hadi mwili wasisimka kwa mashairi tulivu ndani yake dah Kaka unajua Tena unajua sana
@mwanatumujuma49733 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah naomba no ya Muimbaji nahitaji kaswida kutungiwa Shukran
@mariamramadhan42962 жыл бұрын
Mashallah allah 🙏 akufanyie wepesi kila penye uzito
@HidayaOmar-l4k2 ай бұрын
Allah akujaalie kila la kheri
@idatally38462 жыл бұрын
Mashallah juma faki ...Naona unendelea kuibembeleza tasnia ya qaswida znz hongera
@jumafaki16972 жыл бұрын
Asant Sana kwa kutusapoti tuko pa1
@idatally38462 жыл бұрын
Usjl hakika ww kwetu huna baya endelea kutufrahisha ila ww fundi wa tasnia ya qaswida yani hii qaswida htr na nusu aisee allah akupe umri mrf aaammmiin
@yussramussaame14012 жыл бұрын
Allah akupe kila la kheir kwa kweli unatuburudisha ust jumaa💗💗
@yaseenyaasir17722 жыл бұрын
Mashaallah Ustadh juma fakk unanifanya nilie kabsaa😚😚😚😋
@khamisshehe19553 жыл бұрын
Wallah mashaallah hii qaswida nzuri sauti na mnanda ipo poa sn naiskiliza mara 5 kwa siku Mungu akizidishie kipaji
Mashaaallah upo juu wangu hakika wewe ni mwamba mungu akuweke ishaallaha
@princehalawa_official79803 жыл бұрын
Mwalim hujawahi kusoea Ni SIIKA flani ivi🔥🔥🔥🔥
@jumafaki16973 жыл бұрын
Asante sana Hodari wangu Halawa
@hadhiriddy2275 Жыл бұрын
Mwamba namkubali mpk namkubali na tena wallah.. maa shaa Allah ❣️❣️❣️
@abdul-malikothman5837 Жыл бұрын
Masha Allah kaswida nzuri sana Allah akubarik katika kazi yako
@zakiaali793 жыл бұрын
Unajua nn fundi Wang....unajua half unajua tena half unajua sanaaaaaaaaa mashaallah 😍 pamja kindaki ndakiii
@zaitunimustapha97183 жыл бұрын
Kiukweli hujawai kuteleza hata siku moja ktk usomaj wako wa qasda Alla azindi kukupa nguvu izid kufanikiwa akufungulie milango ya kheri Allah akupe umri mrefu usidi kuelimisha jamii kuitia Kaz zako Allah akunusuru na mabalaa akulinde na husda za walimwengu hongera Sana Kaka juma 🙏🙏
@gudiboyjose90852 жыл бұрын
Mashaallah kitu ro inapenda Allah akuzidishie kipaji chako
@smilefaty20933 жыл бұрын
Maashallah hapaaa napataaaa burdani wenyeweeeee hasaaaaa naghmaaa zimepitaaaaa pengeweeee zikapenyaaaa kwenye Siqqa hasaaaaa kwakweliiii hapaaa salute nakupaaaaa Baba Muayyad 👌
@jumafaki16973 жыл бұрын
Duh 😃😃 Bado hujazisahau wewe kweli nizaidi ya dada
@abdallahjahoor1933 жыл бұрын
We juma mh!!! Htr hii💥🔥
@MouniraMangilile6 ай бұрын
Kun FAYAKUUN, hakuna wa kuzuia kilichotolewa na Allah 💯
@MahirRashid-ih1nz2 жыл бұрын
Masha allah QASDA Tamuuuuuuuuuuu👋👍👍 then imebeba ujumbe mzito.....Big-Up
@NasmaMohammed-px4qs7 ай бұрын
Mashaallah jamn nakupenda san jumaa big up
@omarabdalla1652 жыл бұрын
Yan nazid kutoa lang neno kwa hii qaswida mashaallah
@muhsiniddi51743 жыл бұрын
Mkuu maashaallah uko vizur sana yaani ktk kumbukumbu zangu hajuwahi kufeli, hiyo ni siqa ikishirikana na Nah-wandi na kiitikio kimeishia na bayati. Pamoja sana maalim wangu
@jumafaki16973 жыл бұрын
Shukran sana Alhabib
@franknobre3485 Жыл бұрын
Juma Faki, your music and your serene spirit convey a sense of peace. May you live for many years and know old age so that you can reap all the blessings of your destiny.
@Zauda-l6v3 ай бұрын
Innshaallah naww kaka Angeza mke wa2
@safiarashid84442 жыл бұрын
Ata sichoki kuisikiliza hii qaswida wallah😍
@kawtharmbaraidi50262 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie naipenda sanaaa hii kaswida
@omarabdalla1652 жыл бұрын
Mashaallah yan ustadh mungu akupe umr mrefu mpk kufika kwenye ndoa yang ili ujekupg show,,,
@saramohd85343 жыл бұрын
Allah Allah Allah maasha Allah hongera Sana qaswida nzur
@mohamadsuleimankhamis46273 жыл бұрын
Mashaallah
@sheikhsabaya72343 жыл бұрын
Wallah tunakuombea kwa m/mungu akuongoze na akuzidishie. Hii qaswida na kitu cha kufungia mwaka
Huwa unakula nini kiongoz mbona sauti sio ya kawaida hii 🎵🎵 wewe fuundi bhaana
@ZainabHassan-q7k Жыл бұрын
Aslm alykm Juma kunakaswida yenu ile ya udugu wetu na tuushike famili zetu tusizikate nimeitafuta KZbin sijaipata au sijui nimeandika sivo ndio maana haikuja😭😭😭
@TurkanCalender Жыл бұрын
Ustadh juma naomba tuongee kuhusu hii kaswida nataka unitungie harusi yamdogowangu ntakupataje hujaeka namba
@mudkhamis30783 жыл бұрын
Ww ni fundi
@jumafaki16973 жыл бұрын
Asante sana kiongozi Wang
@hawamakiya84763 жыл бұрын
MaashaAllah Wallah kaka Juma ww ni fundi tenaa wajua kutuelimisha na kutuburudisha Allah azid kukupa umri mrefu Inshaallah