Friendly debate between the two religions, Islam and christianity. The debate held place in Diamond jubilee hall, Dar es salam, in August 2008.
Пікірлер: 194
@ismailyussuf18055 жыл бұрын
Wahadhiri wote Wazima Tz Allah awape kheri na BARAKA. Kwa kazi mnayo I fanya kuwafundisha WENZETU.JAZAKA-ALLAH KHAIR. (ISMAIL YUSSUF ABDI BILLE FROM HARGEISA SOMALILAND )
@FitFazal3 жыл бұрын
Ma shaa Allah....Mungu awazidishie umri na elmu. With love from Nairobi, Kenya. 23 Apr 2021 -Ramadan kareem.
@wcbwasafi82803 жыл бұрын
3perfect perfect 🙏🙏🙏
@mwajumamwajuma37563 жыл бұрын
Inalilahi wakirsto nishida mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri waelekeze wakirsto siyo kz ndogo 🙏❤️🤝
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Kinyogoli Mwalimu Nimekubali. Mwenyezi Mungu Akuweke Miaka Mia. IN SHA ALLAH.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Amin inshaallah
@AishaAli-lk7gh5 жыл бұрын
nakupenda sheikh kwa ajili ya mwenyezi Mungu kazi nzuri unayofanya kuelewesha watu wa vichwa vigumu
@hhsqq40275 жыл бұрын
maasha Allh
@rahmashaban86938 жыл бұрын
Maaaaaaa Sha ALLAH!!!!!!!!!! JAMANI UISLAM RAHA SANA. SHUKRAN MSOMAJI WETU HAMIDU ALLAH AKUJAALIE KHER
@mwanakomboomar56245 жыл бұрын
wallah raha
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Raha sana yani
@AishaAli-lk7gh5 жыл бұрын
uislamu mtamuu Alhamdulillah to be a Muslim
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Waislamu Nimewapenda Bure. Mko Vizuri.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Asante sana
@hajjihijja78655 жыл бұрын
PEKO MISEGESE tupo
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Twakupenda pia sisi
@sammotv69204 жыл бұрын
We love you too welcome
@abdulmelele73223 жыл бұрын
Pamoja xna Peko Misegese
@zahransuleiman97885 жыл бұрын
mm sina cha kukulipa sheikh kwa sababu umefanya jambo jema sana kuwaelimisha wakiristo kwa sababu wakirsto elimu yao ya ukirsto ni kubabaisha na kupoteza walimwengu namuomba ALLAH akupe maisha marefu yenye amani uzidi kuwaelimisha wakirsto na umma wote kwa jumla na akulipe pepo siku ya kiama INNSHAALLAH AMIIN
@shijabahati98485 жыл бұрын
Kitu cha kujivunia watanzania tumejaliwa amani tele, hii ni ishara tosha kwa hii midaharo hii yenye lengo la kumjua Muumba wetu. Mungu atubariki sote bila kujali dini zetu, nawapendeni nyote
@SalmaSalma-nb2cv4 жыл бұрын
Kinyogori nakupenda ww kk mungu anikutanishe naww inshaallah na ramadhan hii
@truthfact10910 жыл бұрын
Walio kuwa wakisema kuhusu Uislamu wako wapi??? Mbona kimya?? ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBRA ALLAHU AKBAR
@mwanashazingas39775 жыл бұрын
Kinyogori umeeleweka vizuri sna Allah akupe maisha mrefu nayenye anani
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Tumawashukuruni Waislamu Mnatupa Elimu Kubwa Sana. Kwani Sasa Tunaelewa Kwanini Tunafichwa.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Allah akupe ufunuo wa akili uzidi kuyaelewa zaidi ya haya na akuoneshe njia ilio sahihi
@superdemanka51925 жыл бұрын
Mungu awaonyeshe nuru
@abubakarzamir62764 жыл бұрын
Mungu atakujaalia uslimu na ufe ktk iman ya kiislamu
@mrishohamisi15824 жыл бұрын
@@abubakarzamir6276 o
@abubakarzamir62764 жыл бұрын
@@mrishohamisi1582 o
@mohamedally44975 жыл бұрын
Sh said. Mashaallah uko juu sana
@salmaothuman97625 жыл бұрын
Mashaa Allah walimu wetu endeleeni kuwaelimisha maana masikio wanao hawasikii wana macho hawaoni wallah Islamic raha sana
@allykeita11554 жыл бұрын
Hapo nimelewa Sasa
@ismailyussuf18055 жыл бұрын
He but Shk Saidi Kinyogoli wafundisheni .Msichoke ,ALLAH ATAWALIPA MEMA SIKU YARD MALIPO.AMIN,AMIN,AMIN.
@mwanakombaabbas935 жыл бұрын
Waislamu thakbir usthadh kinyogori na mausthadhi wa kiislamu nyote kwa ujumla thakbir Allah awalinde kwa kila mabaya muaelimisge hao kwani Allah ashasema ktk Qur'an tukufu summun bukmun hao kwahiyo Allah awape subra in shaa Allah mausthadh wangu
@mwanakombaabbas935 жыл бұрын
Thakbir nawapenda sana wallahi kwa Ajili ya Allah ma shaa Allah
@mwanakombaabbas935 жыл бұрын
Allah awazidishie awalipe mema fii duniya wal Akhera in shaa Allah
@athumanihimbawe44345 жыл бұрын
Aļlah awape nguvu wahadhiri wote wakiislam,walozuia mihadhara tanzania,mungu anawaona.
@osamaalharthy41504 жыл бұрын
Mashallah
@kadoditsa38052 жыл бұрын
Historic debate
@Santacruz0016 жыл бұрын
Allah Akbar ❤️
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Tatizo Kubwa Ninaliliona Hapa Mwenyezi Mungu Kawanyima Elimu Ya Ufahamu Hawa Ndugu Zetu Wakristo Hawajuwi Masikini Wa Mungu Hawa Ahadi Inakuwaje Na Nguvu Inakuwaje Ndio Maana Wanapata Tabu Kwa Waislamu.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Inshallah wataelewa tu kwa uwezo wa allah
@mgeniali17685 жыл бұрын
Bwanaaah
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Mungu alimwambia Ibrahim ukiza mtoto na huyo makazi utamuita ismail maana yake mungu atamsikkiliza na alipo mza mwengine kwa sara mungu alimwambia muite isaka maana yake ni kicheko mungu alimcheka sara kwa wivu alio kua nao ndio akampa mtoto kwa neno tu
@hamidmussa8385 жыл бұрын
Weston Mwenye haambiwi Tazama
@hamidmussa8385 жыл бұрын
Mwenye macho haambiwi Tazama.
@mzeemwamguno93674 жыл бұрын
Shukraniii shekhe
@salimsirya47865 жыл бұрын
May the Almighty protect you...ALLAHU AKBAR...
@ukweli1110 жыл бұрын
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Walillahi al hamd. E bwana wee umeweza kuwapa chao wafuasi wa dini ya kimasoni.
@maryamothman87987 жыл бұрын
mashaallah
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Inapendez sana
@amourmwinyimad74845 жыл бұрын
Hahahaaaaaa waachen tu wakaungue coz Allah kashatia mihuli nyoyo zao hazwez skia la muwazin wala la mnadi swala
@ayshaali35775 жыл бұрын
masha allah hakika uisilam ndio dini ya haki.
@mayalaandrea69964 жыл бұрын
Hakuna dini isiyokua ya haki,isipokua imani yako tu ndugu yangu.Maana hata huyo Mwenyezi Mungu aliyeumba dunia na vyote vilivyomo hana dini.Kwa taarifa yako dini haimpeleki mtu mbinguni wala peponi,isipokua ni matendo yako yanayompendeza MUNGU
@fahmisaid89984 жыл бұрын
Alhamdulilah Alaa neymatil Islam
@AbdulWahid-hp8qr5 жыл бұрын
Maashallah
@Raihan200005 жыл бұрын
Nampenda kwa ajili ya Allaah huyu Ustaadhi Said Juma Kinyogoli
@prettyaysha78925 жыл бұрын
Me too wallah
@rahmashaban86938 жыл бұрын
Akasha shukran saaan Allah akulipe kher duniani na akhra .wahadhiri wooote wa kiislam Allah awaandalie makazi mema peponiiii. Allahuma Amiin.
@minaminaa16695 жыл бұрын
Aamin Rabil Aalamin
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Amin
@inabikorwaneema88154 жыл бұрын
Mashaa Allah tabarak'Allah
@shabanimbenu21635 жыл бұрын
TAQBIIIIIR..........ALLAHU AKBAR
@mrtezura97535 жыл бұрын
Mimi shasilim wezangu njooni acheni ushabiki
@sammotv69204 жыл бұрын
Masha ALLAH karibu kwenye haki akhii
@madobaraka80214 жыл бұрын
Mr Tezura 😂😂😂alhamdullillah
@rashiddzambo77894 жыл бұрын
May Allah bless you forever
@petromachanga294 жыл бұрын
Hata majini wamesilim ila Mimi stakiiiiii
@abdulmelele73223 жыл бұрын
Mashaallah
@ramadhanisuru18225 жыл бұрын
Allah awajaliye uzima ili elimu itufikiye wengi
@aishasadiqi90495 жыл бұрын
huyu msomaji kwa upande wa Waislamu anafurahisha kweli.
@cgfgvfgl30115 жыл бұрын
mashallag allah awaaliye yarabi kwawaislam wotey rani
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Waislam wenzangu raha si rahaaaa.ila Allah awaongoze wakristo mzidi kuijua haki kwani kiukweli kabisa viongozi wenu hawachambui kinaga ubaga katika bibilia
@samanthaali8735 жыл бұрын
Subhana Allah
@mohamedmape93415 жыл бұрын
Saf
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Ndio Maana Kumbe Wachungaji Wanawaogopa Waislamu Kumbe Wanajuwa Wakikaa Nao Watapata Haibu.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Kiasi wawaogope maana waislamu ni watu ambao wanaenda na hoja madhubuti na sio kuzonga zonga watu tu ili wawafurahishe
@jasminyiddysulaiman98073 жыл бұрын
😂😂😂wallah
@albertfrancis65575 жыл бұрын
BIBLIA IMEWEKA HILI JAMBO WAZI SANA. Tuache janja janja na KUDANGANYA WATU. Mungu kwenye haya maandiko hapa chini aliyazungumza haya maneno tayari Ibrahim akiwa ameshamzaa Ishmael. Na akasisitiza AGANO LAKE ATALIFANYA KWA MTOTO ATAKAYEZALIWA NA SARA NA SI KIJAKAZI Genesis 17:7,9-12,14-21 [7]And I will establish my covenant between me and thee and thy seed after thee in their generations for an everlasting covenant, to be a God unto thee, and to thy seed after thee. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako. [9]And God said unto Abraham, Thou shalt keep my covenant therefore, thou, and thy seed after thee in their generations. Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako. [10]This is my covenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be circumcised. Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa. [11]And ye shall circumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a token of the covenant betwixt me and you. Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi. [12]And he that is eight days old shall be circumcised among you, every man child in your generations, he that is born in the house, or bought with money of any stranger, which is not of thy seed. Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako. [14]And the uncircumcised man child whose flesh of his foreskin is not circumcised, that soul shall be cut off from his people; he hath broken my covenant. Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu. [15]And God said unto Abraham, As for Sarai thy wife, thou shalt not call her name Sarai, but Sarah shall her name be. Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara. [16]And I will bless her, and give thee a son also of her: yea, I will bless her, and she shall be a mother of nations; kings of people shall be of her. Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake. [17]Then Abraham fell upon his face, and laughed, and said in his heart, Shall a child be born unto him that is an hundred years old? and shall Sarah, that is ninety years old, bear? Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa? [18]And Abraham said unto God, O that Ishmael might live before thee! Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. [19]And God said, Sarah thy wife shall bear thee a son indeed; and thou shalt call his name Isaac: and I will establish my covenant with him for an everlasting covenant, and with his seed after him. Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake. [20]And as for Ishmael, I have heard thee: Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly; twelve princes shall he beget, and I will make him a great nation. Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu. [21]But my covenant will I establish with Isaac, which Sarah shall bear unto thee at this set time in the next year. Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Daniel Mwankemwa Na Mwenzio Myahudi Haibu Yao Haibu Yenu??????? Bila Shaka Haibu Yenu Kwani Hii Inaonyesha Kabisa 3-0. Kwanini Mliichaguwa Hii Mada Haliyakuwa Ni Nzito Kwenu?????
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Ao hata wachague mada yoyte basi hawaambulii kitu maana dini yao haina ukweli wowote
@rahmashaban86938 жыл бұрын
hahahs kafiri unajipa moyo uonekane msomi au nini kaka hahahahah bora nicheke. yaani ulivo siriaz kuongea utadhani unafundisha ukweli kumbe unadidimiza watu. Mungu akusaidie usilimu kabla mauti hayajakufika.
@fatumathabit64983 жыл бұрын
Mashallah
@murshidjamshid67583 жыл бұрын
2021 wakiristo wakae wakijua hakuna neno katka bible linalosema UKIRISTO NI DINI.
@adammasunga63825 жыл бұрын
Mi ninashangaa sana waislamu wamecopy maneno kutoka kwenye biblia ili waje wapotoshe wengi kaeni nao mbali fikiri kabla ya kutenda biblia imeanza na quruhan imekuja hivi karibuni nanyi mnakubali kudanganywa?
@omarybakari16815 жыл бұрын
Ww mgonjwa
@fahmisaid89985 жыл бұрын
Wewe kafiri hujui usemalo
@petromachanga294 жыл бұрын
Qurani 87:18_19 ya Quran imekopy kwa bibilia
@mwakakhamis57625 жыл бұрын
Waislamu muko wapiii mbona comments kido hizi
@rahmashaban86938 жыл бұрын
kinyogori huyo kafiri hana lolote muache aendelee kujipigia debe la kwenda motoni, shauri yakeee. wewe umefafanua ukweli kabisa na biblia inaeleza ukweli . hatuna budi kusema Alhamdulillah kuzaliwa waislam.
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Kafiri Ni wewe hujielewi
@ernestmwita20915 жыл бұрын
8
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali
@salimrajab28525 жыл бұрын
Allah akbar
@zairunyary70233 жыл бұрын
Akika mm nampenda sana uyu kaka
@HassanAli-lt4xm2 жыл бұрын
Sheikh kinyogoli tosha, Masha Allah
@sosdododo56533 жыл бұрын
Usicheze nawaislamu hii dini niyamitume wote walotumwa na mwenye ezi mungu wewe peleleza mwanzo said hakuanza na quran aliwacha na biblia na akawasomea vzri na akawafundisha kua hii biblia imechezewa baada yakuwatari waianza kubadilisha jina la mungu na yawatu pia Subhanallah usicheze uislamu Na akawamaliza kichapo Kikali sasa na quran tukufu ambacho kitabu hakiwezi kuchezea wala kibadilishwa hata nukta moja
@bornwise5 жыл бұрын
Waisramu wagumu kuelewa aisee cjapata kuona.
@mgeniali17685 жыл бұрын
Www bure tuu enda usome vizuri ipi dini ya haki
@salmaomary21005 жыл бұрын
We Ndio kiziw kbs daah
@acrobatchannel78645 жыл бұрын
Born wise 17:3 yohana elew apo
@mwakakhamis57625 жыл бұрын
Mm na hisi utafutiwe visaidizi vya kusikia na kufahamu pia maana waweza usikie lakini usielewe
@petromachanga294 жыл бұрын
Wislam ni uchawi
@dulafaky96475 жыл бұрын
Allahu Akbar
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Haya ndomashirikiano mema tuliyoachiwa na viongoz wadini walio tangulia.
@majaliwamsigwa39744 жыл бұрын
Mtawatambua kwa matendo,siyo maneno,hata uwe na ujuzi wa kujua maneno ya Mungu kiasi gani kama matendo yako ni kinyume hapo ni sifuri
@westonmbuba64215 жыл бұрын
Ninashukuru waislamu kukiri kuwa in uzao wa kijakazi yaani house girl. Ila sijajua kati ya mtoto wa house girl na wa mama mwenye nyumba nani anamrithi babake.
@issakhalfan61645 жыл бұрын
Yaani mnajiziba masikio na macho alafu mnawaaminisha watu kwamba mnaona kumbe hamuoni
@michaelvincent62525 жыл бұрын
Ismail ni punda mwitu na maana yake ni mtu WA kushindana na kila mtu
@ameirzapy13185 жыл бұрын
Unakana ushahidi wa biblia yako ? Ndio shida ya waumini wa leo kujifanya wanajua sana, Mungu kashasema Ismael mtoto wa Ibrahim wewe unabisha nini ?
@lotijr83765 жыл бұрын
We mgonjwa
@abdulrahmansangey16264 жыл бұрын
Hivi we jamaa angali nje ya box ustadh katoa aya Ibrahim taifa na Ismael taifa kuu na kaongezewa Baraka sansana sana na mungu. Ismael nikama agano la mlima ulio kuwa jubya milima yote ulioko arabuni mataifa yote yatauendea mlima huo makundi na makundi . Mungu Mwenyewe ana mkubali ismarl kuwa ni agano. Wewe nani umkatae? Cheza hapo mtete Ishaq
@biramsakh92125 жыл бұрын
Uislam tu ndio dini ya haki mutake musitake nyie makafiri rudini kwa Allah mufe na Mungu amewaridhia
@makeleledegreat55104 жыл бұрын
Bi Ramsakh cjui la kukuambia bt cku ya kiama utajuta Then Jua Isaac was the choosen one and from him the Messiah Christ come to save
@amiryakida37444 жыл бұрын
@@makeleledegreat5510 😂🥰🥰🥰
@MakameSilima-g7k6 ай бұрын
Tallent
@Officialmasaikhan6 жыл бұрын
Mashallah Watapata tabu Sana
@jeanmjimmy4 жыл бұрын
Wakristo kitabu chetu chamuongozo wetu ni biblia nasiyo Quran nawaeslamu ni Quran na siyo biblia.
@petromachanga294 жыл бұрын
Qurani ni uongo kalibu na ukweli
@stevelouis25023 жыл бұрын
Lazima mujue Ismail anaye tajwa apa c wakipnd cha m2me lakin m2me alileta uislam baada ya mashwetan kuchezea nafs yake
@simbawazirisimbaakida83765 жыл бұрын
Asallamu alikum wazili wetu ifanyeni dini kua dini mjini na vijijin mkiwa mjini tu mtakua hamko kidini zaid
@jacksonnchimbi3085 жыл бұрын
Hapa Qur'an 100 imesema uongo maana mungu anavyosema tuliweka agano tutampa mtoto mpole sio mtoto Ismail maana ostadh alishasema kuwa watoto wa Ibrahim ni wawili Ismaili na Isaac ,ismaili wa kiunoni na Isaac ni wa ahadi Ismaili hakutokana na ahadi ya Mungu ila ni makubaliana ya Ibrahimu na mkewe Sarah baada ya kuona ahadi ya Mungu ya kupata mtoto ambaye atakuwa taifa kubwa kuchelewa ndipo Sarah akiwa yapata miaka kama 90 hivi akamuomba mumewe azini na kijakazi (dada wa kazi kutoka misri aliyeitwa hajri)akakubali akazini hajri akapata mimba akamzaa Ismaili lakini mungu kwasababu yeye ni mwenye kutekeleza ahadi yake Kwa muda ambaye ameupanga yeye ndipo sasa Sarah akapata mimba akamzaa Isaac lakini tutambue kwamba wanachokililia waislam au wa-kristo wengine mara aliyetakiwa kuchinjwa Isaac au Ismaili Kwa sababu chimbuko la ukristo ni Israel na uislam ni parestina kwahiyo Isaac ni muisrael na Ismaili ni mparestina chunguza Kwa muda wako ndipo utapata Jibu taifa gani mungu amelibariki ,kiakili,kisayansi na teknologia ,ata tukienda Kwa manabii mfano Musa,Ibrahimu mwenyewe,Isaac ,yakobo,yesu Kristo,n.k wote walitoka israel
@muhidinally37533 жыл бұрын
Ndugu Nchimbi hakuna dalili kwenye biblia kuwa Isack ndiye aliyekusudiwa kuchinjwa. Then, Ibrahim hakuwa Israel bali yeye ndio mzazi wa Israel. Israel in Jacob na wanawe walifuata. Naye Jacob ni mwana wa Isihaka naye Isihaka ndiye mwana wa ahadi aliyemzaa kupitia kwa Sarah. Nchimbi sisi tunafahamu nyie wakristò mmefumba macho. Hamtaki kumsikiliza mwingine zaidi ya paroko, baba askofu au wachungaji wenu. Hamuwezi kuisoma biblia yenu kwa tija. Tuchukue time kusoma haya mambo ni kwa faida yenu.
@jainaboman89524 жыл бұрын
Allah awaziee kherii inshallah
@mwakakhamis57625 жыл бұрын
Kijogoli endelea kuwa nyoosha awo ooo!!!
@omarmwinyi1254 жыл бұрын
Waislam tunatisha jazakallahu lkheir
@abdusamadabduhakim48811 жыл бұрын
Masha allahà
@safiauwimana23555 жыл бұрын
Amidu musomaji mzima
@minaminaa16695 жыл бұрын
MashaAllah
@kakamkuu64664 жыл бұрын
Hakika uwislam ndio Dini yakwel
@sadamatano39375 жыл бұрын
uislamu ni dini yakunaswihiyana Shrek wape dawa walo potea mola awaongoze kwenye njia ilio nyoka
@khalfanhamisi42185 жыл бұрын
Aslmalkm ndugu Waislam,c wanaona ukweli uo,3-0bila haibu kwao!..Santa she Mazinge +Kidogo Mungu hawaandalie mahali pema Peponiiii!!!......
@hamishemed91795 жыл бұрын
Taqbiriiiiiii
@charleslwangaemuria5085 жыл бұрын
Galatians 4:22,30 22 For it is written, that Abraham had two sons, the one by a bondmaid, the other by a freewoman. 30 Nevertheless what saith the scripture? Cast out the bondwoman and her son: for the son of the bondwoman shall not be heir with the son of the freewoman.
@khalfanhamisi42185 жыл бұрын
aslmalkm ndugu waislam? Ah' hao wkrsto wa nnh' nn' eh, Tahk'brrrrrrrrrrrrr, Allah Akbar!!?
@minaminaa16695 жыл бұрын
Allahu Akbar
@thelightoflife95554 жыл бұрын
Isaka Ni wa ahadi wala sio mwili.na Ibrahim alipewa ahadi kwamba atakuwa na mrithi.fungueni macho waislamu.mtadanganywa mpaka lini.
@thelightoflife95554 жыл бұрын
Isaka Ni wa ahadi wala sio mwili.na Ibrahim alipewa ahadi kwamba atakuwa na mrithi.fungueni macho waislamu.mtadanganywa mpaka lini.
@thelightoflife95554 жыл бұрын
Isaka Ni wa ahadi wala sio mwili.na Ibrahim alipewa ahadi kwamba atakuwa na mrithi.fungueni macho waislamu.mtadanganywa mpaka lini.
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Wachungaji Hawana Kitu Mbwembwe Tu.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Ndo kawaida yao ili umuweze muislamu lazma uje na hoja zilizo nzito na sio kubabaisha babaisha tu
@abyazeliud92715 жыл бұрын
Hata kama ukiendelea kuwa Kafiri Uislamu hauna shida na wewe
@martinmutiso96335 жыл бұрын
Sasa hilo lawasaidia na nini kua dini iko warabuni?
@saidswalehe3835 жыл бұрын
Martin Mutiso cyo kuwasaidia kuwa din IPO arabuni dini zote zimetoka huko masharki ya kat hata yesu niwa huko huko mashark ya kat
@bakariasantemkuki12995 жыл бұрын
Martno yesu amezaliwa betherehem iweje makao maku yawe vatcani
@fatumakatonga59945 жыл бұрын
Martin Mutiso wakristo nimakafiri mpaka dunia inatanduka makafiiiiiir mungu nijalie nife ktk uislam nasio kufa nikiwa kafiri
@suleimanibrahim43315 жыл бұрын
Be understandble
@petromachanga294 жыл бұрын
Hapana mhammadi dio kafiri
@erastofifi42455 жыл бұрын
Kubishana hivyo haileti maana uwe muislamu uwe mklisto mtenda dhambi lazima aende motoni dini isiwe kisingizio shetani Ana wasubili watendazamb wote kwa hamu
@amiryakida37444 жыл бұрын
Tuliee upone mgonjwa we
@mussachichajr3 жыл бұрын
Kuna bible ngapi kwani kwani haya alosema kinyogoli ni Quran?
@bakaribakiri82225 жыл бұрын
Safi sana waislam
@georgeedwardmwakyembe69694 жыл бұрын
Maandiko ya biblia husomwa vizuri Wagalatia 4 yote inaonesha taswira kuwa Isaka ndo mrithi hebu kila mmoja asome ule mstari wa 29-31 imemaliza kuwa Isaka ndiye Mwana ambaye ndiye mrithi aliyehadiwa. Isaka ni ahadi ya Mungu bali Ishmael ni wa mwili. Na andiko liko wazi ya kuwa mwana wa mjakazi hatorithi kabisa na mwana wa muungwana.
@abdulrahmansangey16264 жыл бұрын
Hivi we jamaa angali nje ya box ustadh katoa aya Ibrahim taifa na Ismael taifa kuu na kaongezewa Baraka sansana sana na mungu. Ismael nikama agano la mlima ulio kuwa jubya milima yote ulioko arabuni mataifa yote yatauendea mlima huo makundi na makundi . Mungu Mwenyewe ana mkubali ismarl kuwa ni agano. Wewe nani umkatae? Cheza hapo mtete Ishaq
@georgeedwardmwakyembe69694 жыл бұрын
@@abdulrahmansangey1626 hakuna nje ya box ninasimama na maandiko ya Mungu biblia iliyoaandikwa karne 5 nyuma kabla ya Quran. Maandiko yako waziri kwenye biblia Mungu aliweka ahadi na Ibrahim kwà kumzaa Isaka
@georgeedwardmwakyembe69694 жыл бұрын
@@abdulrahmansangey1626 soma Mwanzo 21:8-12 Mungu alimwambia Ibrahimu kila ambiwalo na Sara mama wa Isaka asikilize sauti yake kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa naye mwana wa mjakazi wako Ishamael nitamfanya kuwa taifa maana huyu nae ni uzao. wako
@georgeedwardmwakyembe69694 жыл бұрын
@@abdulrahmansangey1626 mtoto wa ahadi ni yule Mungu alimuahidia na Sara Bali wa mwili ni pale Sara alikubali Ibrahim azae na Hajira kwani alijiona tasa aliruhusu tu kwasababu tu alijiona ni tasa akaruhusu mumewe ibrahim amuingilie Hajira ili yeye Sara na Ibrahim wajipatie mtoto kupitia huyo mjakazi soma Mwanzo 16: 1-13. kwa hiyo Ishmael ni mtoto wa mwili makubaliano ya Sara na Mumewe Ibrahim. Lakini tusemapo mtoto wa ahadi ni yule Mungu alimuahidi Ibrahim kuzaa na mke wake
@georgeedwardmwakyembe69694 жыл бұрын
@@abdulrahmansangey1626 pia soma Mwanzo 17:15-23 Mungu amemfanya Sara kuwa mama wa mataifa na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake. Mungu anaendelea kusema atamfanya Isaka kuwa agano lake imara na agano la milele kwaajili ya uzao wake baada yake. Mungu atafanya agano (ahadi) lake imara kwa Isaka. Hii haimaanishi alimuacha Ishmael hapana alimfanya kuwa taifa kuu lakini Mungu alifanya agano LA milele na uzao wa Sara (Isaka) kuwa warithi wa ahadi yake kwà Ibrahim
Sisi sote ni wana MUNGU haina haja ya kuanza kukosoana ila mnaokosoana fikirieni nyie mtaelekea wap MUNGU ATUBARIKI SOTE TUNAO MUAMINI
@dieudonnesimbakwira53023 жыл бұрын
Makafiri umtanyooka tu
@jaquevan94645 жыл бұрын
Hata haya mabishano mi naona mnapoteza muda tu debate ya nini kwenye neno la Mungu
@zainababdallah45294 жыл бұрын
Mashaa Allah allah awalipe kheri nashekhe wetu
@awadhjilo45894 жыл бұрын
Tumuombe mungu atuweke Katika Dini ya Islam Kwan wenzetu wanadanganyana na pesa tumuombe mola atujaalie khusunul khatima Katika Maisha yetu tufe ilhal ni waislam
@amourally35574 жыл бұрын
Quani
@ofwanywhere2 жыл бұрын
Come down.
@tusuphsabuni15155 жыл бұрын
.
@jeanmjimmy4 жыл бұрын
Ningelikuwepo yasingeli tokea.
@khuzeimaabdul42753 жыл бұрын
Kwani ww ni mungu?unakwama wapiww
@saidchande9611 Жыл бұрын
Saidimwipopo
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Lol mada yaeleweka ika ubishi tu kwa kutetea msosi🤣
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Tumawashukuruni Waislamu Mnatupa Elimu Kubwa Sana. Kwani Sasa Tunaelewa Kwanini Tunafichwa.
@dullyvidully77985 жыл бұрын
Allah akupeni ufunuo mzidi kuyaelewa Yale yte mnayofichwa