Allah alifanye kaburi lako liwe ni bustani miongoni mwa bustani za peponi, hakika shekhe wetu aliitendea haki elimu yake.
@ibrahimrukundo30647 жыл бұрын
allah amrehem shekh ilunga-hassan nawooote waumini walio tangulia mbele ya hakki
@SalumuMsafiri9 ай бұрын
Mwenyezi mungu amuingize peponi shekhe ilunga
@moxasaidi3398 Жыл бұрын
Viongozi kama hawa huwa wachache sana katika hii dunia😊mola amjaalie pepo kwa uwezo wake na amsameh makosa yake yote
@yahasalel-sheibany54034 жыл бұрын
Mwili umekufa but ur legacy is still in many of Tanzanian's mind. Allah rrhamhu
@MohamedKasalama11 ай бұрын
Allah amrehemu shekh llunga
@halifakujakila9288 жыл бұрын
Mashaallah Allah akurehemu, akusamehe Dhabi zako, na akulinde na adhabu ya kaburi, na kukutunukia Pepo ya heshima, sheikh Ilunga Hassan Kapungu. Allah awaongoze na kuwalinda wanaharakati wa kiislamu na wanaoutakia kheri. Ameen
@lambiijuma84185 жыл бұрын
Aamiin
@saidabdala49804 жыл бұрын
Amin
@moxasaidi3398 Жыл бұрын
Ammin
@awadhhadi4464 жыл бұрын
Allah akulaze mahala pema peponi shekhe wangu anin amin amin
@sambanalongonindiriamba103010 жыл бұрын
BWANA ASIFIWE BABA TUTASHINDA MILELE NA,MILELE AMIN, KWAJINA LA YESU KIRSTO
@hilalimazrui99543 жыл бұрын
ASLAM aleykum shekhee ilunga mungu akuondole na athabu ya kaburi akusamehe na makosayake ampe pepo njema ya firdaus ameen thuma ameen inshaalla
@zubeirjuma39673 жыл бұрын
Rabbi hufrlahu wa rahmahu wa maskanahuu fii njanna
@makenakendi90143 жыл бұрын
Amiin..
@kallahassan48965 жыл бұрын
mungu akulaze mahalipema peponi
@allyabeid3427 жыл бұрын
Huyo JUMA ally...msipate tabunaye kashiba nguruwe huyo.
@abdullmwailubi92808 жыл бұрын
manshallah
@maftahmusa95138 жыл бұрын
unafikiri kafiri kama Juma Aly atakosa kuharisha kwa Daawa ya profesa ILUNGA?
@azizbilal733410 жыл бұрын
Nani kakuambia kuwa ustadh Ilunga ni mnyamwezi?hebu angalia hilo jina lake na tafuta Wanyamwezi wote ka kuna mtu mwenye hilo jina,kwa kukufahamisha zaidi ustadh Ilunga kabila ni Mmanyema wa Tabora sio mnyamwezi kabisa na kama roho mtakatifu kakupanda kichwani jaribu kutulia waache watu wazungumze ukweli na historia ya hii nchi yetu tukufu,ka ni watu kutuletea matatizo hapa nchini mwetu ni watu kama wewe.peace!!!
@mussamgonola39832 жыл бұрын
Allah Akbar uislamu hautambui kabila la mtu ,,uislamu ni kabila pekee la khaki Dunia nzima
@abdallahhadinani66606 жыл бұрын
Alla amlipe malipo yaliyo bora
@mjwauki11 жыл бұрын
Mngefanya hivi kuhamasisha watu waache UMWINYI mngefika mbali