MAZISHI YA SHK HASSAN ILUNGA KAPUNDI

  Рет қаралды 116,969

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@abuathumani1955
@abuathumani1955 6 жыл бұрын
Allah Tunakuomba Umlazeshekh Ilunga Hasan kapungu Mahalipemapepon Amiin
@omariomollo9853
@omariomollo9853 6 жыл бұрын
Inalilahi waelehi rajiun,Allah amfanyie kila wepesi katika makao yake mapya inshaalah,waislamu hakuna mdaa tena wakupoteza tumrudie mungu tuzidishe toba kwa wingi na tusimame pamoja kwa upendo inshaalah Allah atujalie kwa waja wema tuseme inshaalah.
@haniphaally5402
@haniphaally5402 4 жыл бұрын
Allah akulipe janna
@lungusii
@lungusii 7 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayhi ragiuun Mungu amlaze pema Sheikh Ilunga
@mamujally3814
@mamujally3814 7 жыл бұрын
Allahumma ghferahu Waarhamhu Waaskinat fiJannat ferdous-Ameen Allah akujaalie safari nyepesi akupokee kwa radhi zake zote.Atujaalie na sisi khatma njema JamiiMuslimeenYaarabby-Ameen
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 6 жыл бұрын
ALLAH MREHEMU SHEIKH WETU HASSAN ILUNGA. AAAMIIIN.
@ismailm325
@ismailm325 4 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh wetu
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Allah mlipe pepo sheikh ilunga aaamiyn
@sandaljodi2700
@sandaljodi2700 7 жыл бұрын
mwenye zimugu amrehemu shekhe wetu inna lilah wainna ilai rajiun
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 7 жыл бұрын
INNAALILLAHI WA INNAAILLAYHI RAJIUN.....ALLAH AMREHEMU YEYE NA WOTE WALIOTUTANGULIA, NASI TULIOHAI ATUJALIE MWISHO MWEMA NA KAULI THABITI
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad ooo
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad AMEEN rablaalameen InshAllah yarabhi
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 7 жыл бұрын
INNALILLAHI WAINNAILLAIHI RAJI'UUNI. YAA ALLAH MREHEM SHEH WETU NA SISI UTUJAALIE TUWE KAMA YEYE KATKA HARAKATI ZA KUITETEA DINI YAKO ILIYOSAHIHI.
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 7 жыл бұрын
Allah amrehemu shk wetu ilunga
@mamaaaishamamaaaisha7505
@mamaaaishamamaaaisha7505 7 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU amuepushe na adabu za kabur aihefadhi roho mahali pema amuajalie pepo yake yeye na walio tangulia kabla yake na sisi pia ishaAllah Ya RABBY
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
Khadija Azizi AMEEN rablaalameen 😢
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Khadija Azizi rr
@ummudulla8576
@ummudulla8576 7 жыл бұрын
Khadija Azizi allahumma amiin
@mberwa51
@mberwa51 6 жыл бұрын
Mamaa Aisha Mamaa Aisha Amin yaaa rabi
@seojunkoomrkirangi4231
@seojunkoomrkirangi4231 6 жыл бұрын
Mwenyenzi mungu ailaze roho yke pepon amna
@jumakibauri479
@jumakibauri479 5 жыл бұрын
Mwenyz mungu alaze mahala pema peponi
@hamadimuya7248
@hamadimuya7248 7 жыл бұрын
mwenye ezi mungu ampe shekhe pepo ya hali ya juu.
@jumamunga715
@jumamunga715 6 жыл бұрын
Allah akujalia pepo ya firdaus
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilahi rajiun allha akupe kauli thabiti kabuli yako iwe miongoni mwaviwanja vyapeponi pamoja na babaangu kipenzi nawaisilam wenzetu walio tangulia mbele yahakki amiin yarambi
@karamakhalid2779
@karamakhalid2779 7 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajighuun, Allah amlipe pepo InshaAllah
@hamismaliseri2559
@hamismaliseri2559 7 жыл бұрын
mwenyezi mungu amlaze mahali pema pepon shekh wetu' amin
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Hamis Maliseri rr
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Hamis Maliseri iii
@farajimwaipaya2794
@farajimwaipaya2794 6 жыл бұрын
Mungu ailaze mahala pema peponi amin
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 5 жыл бұрын
Tunakuomba Allah muumba mbingu na ardhi na baina yake Mlaze mjawako Huyu mahala pema peponi na wazee wetu na waislam kwa jumla Amiin amiin amiin thumma amiin
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 5 жыл бұрын
Innalilah wainna iilah raajiiun ..Kwa hakika tumempoteza MTU Muimu sanna
@BURHANDAWAHMAN
@BURHANDAWAHMAN 7 жыл бұрын
ameen
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
BURHAN DAWAH MAN uiiuu
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 6 жыл бұрын
yaa rabbi mrehemu mja wako huyu na umlipie kutokana na alivyo dhulumiwa
@petrofortunatus4597
@petrofortunatus4597 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani shekhe wetu
@Ruzaiky
@Ruzaiky 7 жыл бұрын
ishaallah mungu hamlaze malipema peponi
@yushalforever7216
@yushalforever7216 5 жыл бұрын
INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN. ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE
@azizhamed6320
@azizhamed6320 7 жыл бұрын
كُلُّ مَن عَلَيها فانٍ وَيَبقىٰ وَجهُ رَبِّكَ ذُو الجَلالِ وَالإِكرامِ الذين اذا اصابتهم مصيبة قالوا انا لله وانا اليه راجعون
@aibansaidy2286
@aibansaidy2286 6 жыл бұрын
mungu mjalie pepo ndug yangu ilungu
@mikidadihussein5152
@mikidadihussein5152 4 жыл бұрын
Ina rilahi waina iraihi rajuun
@mamaaaishamamaaaisha7505
@mamaaaishamamaaaisha7505 7 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU amurehemu
@khamismakame1265
@khamismakame1265 6 жыл бұрын
mwenyeji mungu ampe utulivu katika kaburi lake
@selemanidjuma6559
@selemanidjuma6559 7 жыл бұрын
ALLA AMFANYIYE WEPESI. KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO HII
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Selemani Djuma ee
@mamaaaishamamaaaisha7505
@mamaaaishamamaaaisha7505 7 жыл бұрын
INNALILLAH WA INNALILLAH RAJIUN
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Khadija Azizi rrrr
@BURHANDAWAHMAN
@BURHANDAWAHMAN 7 жыл бұрын
ina lilahi waina illayhi rajioun.Allah amrehemu sheilkh and na umeingizi Jannah
@omaryally1046
@omaryally1046 6 жыл бұрын
Pigo kubwa
@supumoto6819
@supumoto6819 6 жыл бұрын
الله أكبر، ilikua NIMTihani mkubwa, Lakini ALLAH alikupenda zaidi
@fatmarashid680
@fatmarashid680 6 жыл бұрын
allah amrehem amuondoshee mazito ndan ya qabur lake nac Allah atupe mwisho mwema
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 жыл бұрын
poleni familia ndugu na jamaa wote pia waislamu wote tz
@rahmamohammed2016
@rahmamohammed2016 7 жыл бұрын
Yaarab jaalia kaburi lake liwe bustani miongo mwa bustani za peponi. Allahumma A'meyn
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
Rahma Mohammed AMEEN rablaalameen InshAllah ..
@rahmamohammed2016
@rahmamohammed2016 7 жыл бұрын
Thumma A'meyn
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Rahma Mohammed iiii
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
Rahma Mohammed AMEEN .
@rahmamohammed2016
@rahmamohammed2016 7 жыл бұрын
Thumma A'meyn Yaa Ukht Mariyam
@fatimasaidi5783
@fatimasaidi5783 7 жыл бұрын
inalillah wainali llaijuun Allah airaze roh ya marehemu Aaamiiin
@abdulmzee4046
@abdulmzee4046 6 жыл бұрын
shekhe amenimiza sana
@yassnibahati3042
@yassnibahati3042 6 жыл бұрын
ALLAH AMUHIFADHI NAJUA AMEFANYAJITIHADA KUBWA SANA
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 6 жыл бұрын
AAllah akulaze mahala pema
@abdallamasoud9095
@abdallamasoud9095 6 жыл бұрын
mungu amlipe kheri inshallah firidausy
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 5 жыл бұрын
Innalilah wainna iilah rajiuun
@salmaabuubakar9323
@salmaabuubakar9323 5 жыл бұрын
Inalillah waynailayh rajighuni
@ayoubabdullahrashidi7007
@ayoubabdullahrashidi7007 7 жыл бұрын
mola mlezi mlee shekhe ilunga kwa malezi mama katika buatani yake kaburini na akhera inshaallah
@وليدعلي-ظ3د
@وليدعلي-ظ3د 6 жыл бұрын
Innalillaah wainna ilayh rajiuun yarab jaalia kabur lake liwe nyumba miongoni mwa nyumba za pepo
@munirayusra91
@munirayusra91 7 жыл бұрын
Inna lilahy wainna ilai rajiun
@hilalikiseka7448
@hilalikiseka7448 6 жыл бұрын
ALLAH TUPE MWISHO MWEMA AMMlN
@supumoto6819
@supumoto6819 6 жыл бұрын
الهم ثبته بلقول الثابت
@allybomba4125
@allybomba4125 7 жыл бұрын
mungu amlipe amalinjema
@sanhutabdalla9873
@sanhutabdalla9873 6 жыл бұрын
Mungu amrahamu
@hassandeuj2517
@hassandeuj2517 5 жыл бұрын
Msh Allah
@omarymnola1011
@omarymnola1011 7 жыл бұрын
al hamdulillah innalillahi wainna ilayh rajihun
@AbdulRahman-wx6iv
@AbdulRahman-wx6iv 5 жыл бұрын
Mm mmoja wapo lakin nilimpenda sheikh ilunga sema napenda waislam tz tuendeleze shule na madrasa , ushauri .
@abushirihamisi2833
@abushirihamisi2833 7 жыл бұрын
Amiina
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 6 жыл бұрын
Tuikate BAKWATA haina Faida kwa waislam, kwan Ndiyo chanzo cha kuwakandamiza MASHEKH zetu wanaharakati wakamatwe na kufungwa
@adensir630
@adensir630 7 жыл бұрын
Aaamen
@mumtazsheha5264
@mumtazsheha5264 6 жыл бұрын
innalillahi wainna ilaihi rajiun
@omaralsaggaf3620
@omaralsaggaf3620 7 жыл бұрын
ALLAH ALLAH الله يا الله
@hassanabdallah6716
@hassanabdallah6716 7 жыл бұрын
mungu amrahamu
@rukiaomar1292
@rukiaomar1292 7 жыл бұрын
Allah ampe kauli dhabit Aamiin
@aminasuliman7780
@aminasuliman7780 7 жыл бұрын
innalillah wainnaillaikh rajiiun
@adamkatet274
@adamkatet274 6 жыл бұрын
Innalilah wainna ilaih rajuun
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 6 жыл бұрын
Bakwata=Baraza Kuu La Wakristo Tanzania, sasa waislam wenzangu WA Tz hata siku Moja tukisema mambo yetu yaende mbele kwa kutegemea BAKWATA kamwe hakuna kitu hapo, Kwan jambo la KANISA NA SERIKAL Ndiyo wanafuata ila la maendeleo ya WAISLAM wako nyuma tutambue hilo BAKWATA YA MWAKA 1967 ila mpaka sasa haina RADIO HOSPITAL CHUO KIKUU kweli hao wako kwa ajili ya uislam
@mmolelmasai3227
@mmolelmasai3227 6 жыл бұрын
Sisi wote ni waja wa Allah na marejeo yetu ni kwake!
@sizinitumbe2903
@sizinitumbe2903 7 жыл бұрын
Dalili ya mvua ni mawingu inshallah kwa muonekano ulivyo pepo ndio makaazi yake
@abdoulkarim8283
@abdoulkarim8283 7 жыл бұрын
yaa rabbi wajaalie waja wako waloo baki juu ya mgongo wa ardhi kufikia mafaanikio ya kuitawala dunia kama ilivo kua asili yake
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 жыл бұрын
Daawah ya ki Khawaarij
@AhmedMohamed-hc6pp
@AhmedMohamed-hc6pp 7 жыл бұрын
FROM ALLAH SUBHANAHU WAT'ALLAH WE ARE, AND TO HIM WE SHALL RETURN. MAY ALLAH SUBHANAHU WAT'ALLAH KILL US WHEN HE IS PLEASED OF US, AND MAY HE ALLAH SUBHANAHU WAT'ALLAH ENABLE US TO DIE UPON SHAHADA AS OUR LAST WORD INSH'ALLAH.
@halimamohamedy3571
@halimamohamedy3571 7 жыл бұрын
mashallah
@salimuramadhani5445
@salimuramadhani5445 7 жыл бұрын
Halima Saumu eee
@abdoulkarim8283
@abdoulkarim8283 7 жыл бұрын
Inna lil'ahi wa Inna ilaihi raajiuun
@mbwanabaruti7496
@mbwanabaruti7496 6 жыл бұрын
Allah amlipe malipo yaliyo mema kabisa . nasi atujalie mwisho mwema.
@selemanidjuma6559
@selemanidjuma6559 7 жыл бұрын
asalamaalaikum wara hmatullahii wabarskatuhu
@munirayusra91
@munirayusra91 7 жыл бұрын
Ameen ya Rabb
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 жыл бұрын
Mwezimungu akupumzishe kwa amani mbele yako nyuma yetu
@Tutindaga
@Tutindaga 7 жыл бұрын
mwishoni kaenda kuvuna alichopanda
@dongotimbulo2738
@dongotimbulo2738 7 жыл бұрын
Makosh Nelly Utakaukia duniani
@abdoulkarim8283
@abdoulkarim8283 7 жыл бұрын
u islam ushike hatamu
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Kama kuna moto, huyu jamaa akawe kuni
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 жыл бұрын
Mwezimungu akupumzishe kwa amani mbele yako nyuma yetu
ANUARY ABDALLAH JONGO...KISA CHA MAMA MARIAM
1:29:53
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 193 М.
VTS 01 2
40:41
Abd Binm
Рет қаралды 28 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
SHEKH ILUNGA HASSANI MTUME MUHAMMED S.A.W.ALIKUA ZEEBU GANISEHEMU YA TATU
1:00:34
SHEIKH ILUNGA
40:05
Chalamanda _
Рет қаралды 228 М.
Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 4
39:04
Abd Binm
Рет қаралды 91 М.
Sheikh Kipozeo Tusidharau jambo lolote la Kheri
49:16
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 249 М.
WOSIA WA SHEIKH ILUNGA KWA WANA THAQIB- MWANZA FULL PRT 4
46:32
OGOPA ALLAH ASIKUONE UKIYAFANYA HAYA
1:16:31
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 7 М.
Sheikh Hilal Kipozeo Kumkumbuka Allah
1:41:03
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 181 М.
Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 3
40:39
Abd Binm
Рет қаралды 65 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН