Don't forget to pray today dhikr 3x SubhanAllah 3x Alhumdulillah 3x AstugfuruAllah 3x Lailaha ilallah 3x Allahu Akbar Good deeds for both of us. May الله swt forgive us and grant us all Janna
@Catherine-mh8sw19 сағат бұрын
Shukran
@aasatt7816 сағат бұрын
Shukran
@mudinhomeshack904127 минут бұрын
Allahumma amin
@abubakarially0592 сағат бұрын
Mashaallah ❤️ Allah Akbar
@ZayyanaBamuni19 сағат бұрын
Wakristo mnaonaje nanyie mkifa mpae mbinguni mumfate Yesu kuliko kuzikana km Muhammad S.A.W 😂
@francisjoseph107411 сағат бұрын
Labda nikupe elim we kafiri na akili zako zakimsikitisikiti, wakristo atufanyi mambo ambayo Yesu aliyafanya Bali tunafanya mambo ambayo alifundisha na katuelekeza kufanya hiyo nakupa bure kawambie na wenzio ,
@ZayyanaBamuni9 сағат бұрын
@@francisjoseph1074 sikushangai najua nikweli mnamfata Paulo aliewaanzishia ukristo,wakristo na Yesu ni mbigu na ardhi
@abdallahally8425 сағат бұрын
Fala ssna ww kwshio waliomfata ibrahimu alizikwa alimfata musa kazikwa na hata yesu amesema atarudi na kufaa ardhini 😂😂
@SheikhTaymiyyah19 сағат бұрын
Huwa nawashangaa wakristo wanaopambana kufasiri aya katika Qur'aan kwa kutumia akili zao{namna wanavyoelewa wao} ILHALI sisi wenyewe waislam ili kujua kilichomaanishwa, hatutumii akili zetu BALI kwa kutumia UELEWA wa WEMA WALIOTANGULIA{kama mwenyewe mtume[alayhisalam], maswahaba, na waliowafuatia hao kwa wema}.HUU NDO UISLAM. hakuna anayeruhusiwa[hata sisi wenyewe waislam] kufasiri aya ktk QUR'AAN na kusema kuwa 'mimi nimeelewa kwa namna hii' SEMBUSE NYINYI MSIOKUWA WAISLAM. HA HA THANKS GOD FOR BLESSING ME TO BE A MUSLIM
@RajanMunisi19 сағат бұрын
Ustadhi shafi nakuombea kheri juu ya elimu uliyopewa na Allah akupe afya njema ila kuna watoto wenye kiburi cha pumzi ni sahihihi wewe kuwajibu na kama ni sahihi embu tenga muda wako Inshaalah waulize wakupe majibu sahihi kwanini hawauoni uislamu kuwa sio dini maana watu wanataka kuwaamini kuwa wanahoja
@MuhamedyKamby18 сағат бұрын
Je umejifikilia huo utopolo unao zungumzia hemb sema Astaqafru llh❤❤
@ShebbyTheparadiso-hf6fz17 сағат бұрын
Hahaha abel una elimu ya kitoto kweli
@hiimbinaimmuslim30414 сағат бұрын
Huyo yesu akija ataowa atavunja misaraba na atauwa manguruwe wote na atakufa
@MwinyiJuma-n4i16 сағат бұрын
Kwani manabii ni Muhammad tu yesu na hao wengine waliokufa nao hawana thamani kwa mungu basi hata wewe hunathamani kwa mungu kwanini msipae kama yesu
@nassorsharifu983714 сағат бұрын
Tena ustdh shafii huyu Abel ana kundi lake kazi yao kuuchafua uislamu na nahisi hata kumjibu ni kupoteza muda
@akramrwanda17 сағат бұрын
Uyu mwenye kusema haya maneno ya Mutume (s.a.w) amesahawu kama anasoma maneno ya mutume tena arisha fariki arakini maneno yarasuru anamujyengeya imani kuzidi mwenye yiko hai arakini hasemi kitu 😂
@hiimbinaimmuslim30414 сағат бұрын
Yesu ujuwe katumwa kwa wana wa ustali pekeyao Mtume Muhammad katumwa kwa walimwengu wote nakushanga unasoma kitabu kwa Quran hukiwezi hicho ni chakula kigumu na wewe huna meno soma hicho kitabu chenu tu kinotoka kwenye mikono ya wanadamu
@mwinyiswaleh83888 сағат бұрын
Waliokufuru ni wakristo kwa kumuita Yesu Mungu.wliomuamini ni wale wanakondoo waliomuamini sionynyi wakrsto.
@samirrubeya237910 сағат бұрын
Huyo jamaa namuona sana sana kwa tiktok na ako na chuki na mwanamke wake Veronica..Ni watu waxushi sana na sio wakweli.kisha ukimzidi ana kublock
@abdallahally8425 сағат бұрын
Waislam wanamfata yesu wqkristo wanamfata paulo
@AbuMadi-u6f22 сағат бұрын
Abel Hana dalili yoyote halafu hio ayat anazisoma kama alio zitunga yeye
@KhamisJuma-ni1vk16 сағат бұрын
Labda Uyu Jaa Kwa Akila yake Fupi Nikama Yeye Ataishi Milele.
@AbuuKineroСағат бұрын
Yaan hatakama una elim y Dini Ukimealia huyu mwenye sura misili y Dadaake maria ni Sifuri kw 7bu yesu huyo huyo wanaposema ni Mungu wao Alafu wanajitoa faha yesu Amechukuliwa Mungu .huyu ukimsiklz cn ikiwa una elim unawez kukufuru kwn Mungu Wao Anae futa dhambi zao n mchungaji umpekee fungu la pesa au nafaka alafu mchngaji Akwambie Umesamehewa huna dhambi kiufupi ht Baba yk mzazi anawez kukusamehe km kusamehe n matamshi .
@funnysmile86668 сағат бұрын
katika siku umenifurahishaa mojaa leoo uyo jamaaa namkutaasanaaa tiktok natamani ungefanyanae mdahaloo maanaa anamaneno mengiitu
@MussaMohammed-g6o12 сағат бұрын
Huyu dogo ni depe tupu,,, namshuri tu akasome kwanza kisha aje akiwa anajielewa,,,, huyu,,, depe #TUPU
@abelsuleimanshiliwa215022 сағат бұрын
Tatizo lako wewe muoga kazi yako kuchukua unajifungia, nilishakueleza niite hapo au tukutane live unachomoa, siku ukiwa tayari utanijuza, na Shukrani kwa kuwajuza waislamu ili waje kunifuatilia
@ibrahim_42721 сағат бұрын
Kwanza nikukumbushetu kajifunze kuisoma Quran ndio ujitoe kuisoma ikiwa huwezi hilo Soma hiyo fasiri TU achana na kuisoma Ndugu yetu ✍️
@ibrahim_42721 сағат бұрын
Hapo yaonesha unasoma Quran umeiandika kwa kiswahili 🤔
@@ibrahim_427Mwambie mwalimu wenu alialike hapo au tukutane live TikTok, ni mzee wa kuvizia kwenye debate aongee mwishoni, au kama hivi achukue vipande.
@ramadhanikuhanga332420 сағат бұрын
Huna hoja kaka kasome hata mkristo mwenzio anaye kusikiliza anajua kabisa wewe huna uelewa
@samirrubeya237910 сағат бұрын
Abeli na gahaba wake Veronica wake na chuki na uongo kwa mafunzo yao na ukomshinda hoja ana kublock..Pimbii mkubwa.
@ThorShelby-z6t12 сағат бұрын
Mbona mkifa mnazikwa chini kwenye Muhammad amezikwa soma maandiko vizuri wewe Abel
@masoudnzowa460818 сағат бұрын
kwa hiyo ibrahim, musa, nuhu., na wengineo si wabora kwa mungu?.... yesu ni role model. lln sisi waislam tnaamini mitume wote, akili finyu sana!!!
@abdallahally8425 сағат бұрын
Kwani ibrahimu musaa yakobo joseph noha wako wapi? 😂😂😂
@Jumaa-b4z10 сағат бұрын
We huna lolote bwana abel yani bado sana sana tuu
@hassanhashiym81510 сағат бұрын
Tatizo ya wakristo hua wanasoma maandiko kisha wanaongeza na akili zao kitu ambacho hakifai
@henrysizya23917 сағат бұрын
Mimi nafuatilia sana mafundisho ya Mashekhe na Maustadhi wengi ila wewe SHAFII wa kawaida sana wala huwa huna hoja zenye mashiko. Huyu Abel wala humuwezi kabisa
@huseinshedrack618015 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ona Nguruwe hii
@Alithoya-qr7di15 сағат бұрын
😂😂😂😂 @@huseinshedrack6180
@hassaniddihassan908515 сағат бұрын
ivo abel anvosoma Quran nmecheka 😂😂 bora mwanangu, yan Quran haijui ange deal tu na bibilia yke😂
@ochuMay0522 сағат бұрын
Shekh... Abel ni Muhuni tu nilishamfatilia sana nikaliona hilo..
@alhadajjmohammedsmith904221 сағат бұрын
Anataka Kutrend tu Mitandaoni (Kupata Viwers) Kupitia Uislamu.
@alhadajjmohammedsmith904220 сағат бұрын
Kwanza Abel hatav hajui kwamba Roho za Wafu Wote na za Waliopazwa Wote huifadhiwa Mbinguni ila Miili ya Wafu ndo huwekwa/Uhifadhia Kaburini na au Popote afiapo Mtu (Baharini/Msituni nk) na si Kila Roho ya Mtu iliohifadhiwa Mbinguni basi imatakaswa/Safi (ipo Eneo/Mahali Salama) 🙌 Wakristo huamini eti Kifo/Umauti ni Mshahara WA Dhambi! 😳🤫🙆 Je, kama Yesu aliwekwa Msalabani/na aliuawa Msalabani, kama ndivyo Yesu alikuwa na Dhambi gani na Alilaaniwa Kwa Kosa gani masna imendikwa Kila atundikwae Msalabani amelaaniwa. Afu Tabia/Nidhamu (Maadili) ya Kumfanya Yesu Kinyago/Sanamu la Utupu/Nusu Uchi amewafundisha nani/mmetowa Wapi ilhali Yesu ni Mtume/Nabii, Mwana/Moto Wa Mungu na Yesu ni Mungu wenu Mkuu?!🙈 Hivi Abel ungeridhia ingekuwa Mzazi (Mama/Baba ) amedharishwa hivyo/kama Yesu afu ungehsdithiwa na Mababu/Mabibi wako ungeweza Jenga/tengeneza Sanamu/Nyago la Mzazi wako akiwa Utupu Ili eti iwe Kumbukumbu Kwa Watoto/Wajukuu (Uzao) wako maana Pasi na Sanamu/Kinyago itakuwa Ngumu kuelewa, kuweka Kumbukumbu na Kukuza lmaan zao?!🤫🙆 Kweli Sheikh lmaan/Dini ya Kina Abel (Wakristo) wamefunzwa Matusi. Mfano; husomeshwa na huamini eti Kuna Mtu aliyewahi Kuamrishwa Kutembea Uchi Mji Wote na akatembea Uchi, Nabii mwengine ameambiwa akule Kinyesi na akakula, Nabii mwengi akaambiwa aoe Kahaba na akao eti Mungu aliwaamrisha Manabii hao Kufanya hivyo ikiwa ni Adhabu Kwa Makosa ya Watu wao!!!🙌 INNALILLAHI WANNA ILAHIYL RAJ OUN 😭😭😭😭😭😭😭
@ZulekhaSaburi-t6i16 сағат бұрын
Ata hajui chenye anaongea kwasababu hao yenyewe hajui kwamba kila mtu atazikwa awe mwislamu au mkristo nenda kasome Abel
@nabiljumaothman591221 сағат бұрын
Abel shekh shafiii ni mtoto bado na anajibiwa kila siku na Daudi tiktok hana hoja ni utoto
@abdallahhamisi4521 сағат бұрын
hawa jamaa wana funguaga live tiktok alafu wanataka kubishana sio kujifunza. Mbaya zaidi wana weka mada za kikafiri alafu wanataka uwajibu kupitia maswali yao ya kikafiri
@paulmushi242821 сағат бұрын
Kafiri ni yule anayesujudia kuelekea Qibra Makka kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi Al hajar Al aswad kwenye akili zake anadhani anamsujudia Mwenyezi Mungu kumbe JIWE JEUSI ibada ya Waarabu Maqureish😅
@mudighurayra17 сағат бұрын
@@paulmushi2428bado propaganda izo za kizaman mnazo wenzio washakuja na mpya izo zishapitwa na wakati 😂😂😂
@rizikiyahya525416 сағат бұрын
@@mudighurayrahuyu anaona bonge la HOJA hii kumbe vumbi tupu
@cheapunderage82287 сағат бұрын
@@paulmushi2428wew kafiri Tu yn mpk seif inakuhusu
@lailahumaid201121 сағат бұрын
😂 wakristo mnapaishwa au mnafukiwa ardhini kama muhammad?
@hemedbamja319719 сағат бұрын
Tatizo ust shafii watu kama Abel wala haitakiwi kuwajibu kwa unyenyekevu;akija na hoja za kukashifu nawe ruka nae hivyohivyo.mfano;yeye anamuona Muhammad hana maana vile yupo kaburini;hajiulizi mama yake yesu Mariam (ambao kwao ni mama wa mungu wao) naye yupo kaburini?!pia yesu siku ya saba alitahiriwa,je hawajui kigovi kikitahiriwa huwa kinafukiwa aridhini?au nacho kilimfuata mbinguni alipopaa?!
@saidmasoud762721 сағат бұрын
Usiwalaumu wakristo tatizo tayari washajua wamepotea so wanataka kuwaridhisha wafuasi wao ....... Huwez kula mashunde alafu uongee points
@paulmushi242821 сағат бұрын
Huwezi kuwa msujudia Jiwe jeusi Al hajar Al aswad lililoko kwenye Kaaba ya Waarabu Maqureishi ukawa na hoja😊
@saidmasoud762720 сағат бұрын
@paulmushi2428 kipindi ambacho ww unajua yesu ni mungu ...pastor ndacha anasema sio yupo mungu mkuu ....haushtuki sisi tyr tunamjua mungu wetu Pole bro sio makosa yako
@ZayyanaBamuni19 сағат бұрын
Kabisa
@nabiljumaothman591221 сағат бұрын
Abel Kapewa bodaboda na kanisa ili Atukane Uislam 😂😂 that's his back ground.. na alikuwa chokoraa before na alisaidiwa na waislamu
@MWALIMUCHAKATV16 сағат бұрын
Alikuwa Chokora wapi?
@jafarinauma679811 сағат бұрын
Hawezi kuichafua mbingu kwa kuirusshia matope atachafuka mwenyewe walishindwa mababu zake makafiri wenzie itakuwa yeye rubish
@AmourHamza-m3j13 сағат бұрын
Abeli endelea kuma quruan utaelewa usiwe unakulupuka unajitia aibu
@SaidAlnaamani-z1o20 сағат бұрын
Sheikh wetu usipoteze time zako Kwa mtu kama huyo Hana ilmu
@Mc-joke_events21 сағат бұрын
Kaka shafiii hao wanafunz wakikafiri tuachie sisi wanafunzi waumin because hao wote wameishiwa yan matondola ngoj nimpe somo ili ajifunze na ajue kuwa waislam wooooote wanajitambua wala siyo watu wakuokota okota sheikh aende akasome haya hizo alaf atume jibu matayo 12.31 32 na asome waefeso 1.12 13 14 takbiiiiiiiiiiiiir
@paulmushi242821 сағат бұрын
😂😂😂😂 Unapiga porojo tokea wapi Kafiri Maamuma?
@mudighurayra17 сағат бұрын
@@paulmushi2428kafiri mbona hujaja na propaganda zako za jiwe jeusi 😂😂😂 makafiri mnashida kweli yani
@paulmushi242812 сағат бұрын
@@mudighurayra Wewe unasujudia JIWE JEUSI 😂😂😂
@alexmukama380119 сағат бұрын
Uyu shaff kila mutu ajuwi sasa Nani anayuwa sasa wewe unaita kila mutu ajuwi wewe sasa unayuwa
@bigmanfish634619 сағат бұрын
Wewe Bell 🔔 ni kengele ya kanisani tafsiri yake wajinga njooni kanisani. Wazungu walichowafanya sio kidogo. Mumepotoshwa kweli 😂😂😂😂
@Catherine-mh8sw19 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@alexmukama380119 сағат бұрын
Bona sioni mafudisho yako sasa yamuzuri nakwonesha kama unayuwa
@MWALIMUCHAKATV16 сағат бұрын
Sasa hapa ndio umejibu nini katika hoja alizotoa Abel?
@mbwanasendaro470715 сағат бұрын
Hana hoja ndomana hajajibu yule ni lopo lopo tu
@salehrwigemagisa8115 сағат бұрын
Kwani nyinyi makafiri mnamfata Yesu kweli?Ndugu yenu na nyie wote hamna elimu ya Qur'an.Mwambieni kijana wenu akasome tena.Huyo hata mimi namuweza.Kama wewe Chaka wa Musa ndo pipa la uchafu huna lolote.Dhahabu iko ardhini ila ina thamani kuliko nywele zako hizo.Zikinyolewa zinatupwa dustbin
@paulmushi242821 сағат бұрын
Maamuma Shafii, ukijifungia hapo kijichumba unadhani una elimu chaacheee Unapiga tu porojo zisizo na mashiko!! Tangu lini msujudia Jiwe akawa na hoja!!
@abdallahhamisi4521 сағат бұрын
HUNA ELIMU MKUU. ILE KAABA SIO JIWE KAFANYE RESEARCH
@paulmushi242821 сағат бұрын
@@abdallahhamisi45 Kila ninchokisema nilishafanya research kama kweli hamsujudii jiwe jeusi Al hajar Al aswad kuanzia leo sujudu kuelekea China Uone kama hujala mikwaju ya Maamuma wenzako😅
@paulmushi242821 сағат бұрын
@@abdallahhamisi45 Siyo Kaaba ndiyo siyo jiwe Bali jiwe lime bandikwa kwenye Kaaba Al hajar Al aswad Google Uone Waarabu wanavyogombea kuligusa na kulibusu ukishindwa kuligusa unalipungia mkono tu 😂😂😂😂
@mudighurayra16 сағат бұрын
@@paulmushi2428huwez kupangia watu wewe cha kukifanya sisi tunafanya kile ambacho tuli amrishwa sio nyie mnaopingana na kitabu chenu
@rizikiyahya525416 сағат бұрын
@@paulmushi2428Mzee wa 'maamuma' WAISLAMU hawasujudii jiwe nitakupa HOJA 4 Kisha huenda ukaelewa kama una nia njema. 1. Katika historia Hilo jiwe lilishawahi kuibiwa pale Makka na WAISLAMU hawakuacha kuswali kuelekea huko. Kwa logic yako ilikuwa waache kwa kuwa wanachosujudia hakipo 2. Hata Leo muislamu ambaye yumo kwenye usafiri anaruhusiwa kuswali kuelekea popote na swala yake ni SAHIHI. Sambamba na hili ambaye hatajua kibla ni wapi labda kwa kuwa ni mgeni atajitahidi kadri ya uwezo na swala ni sahihi popote atapokuwa ameelekea 3. Yapo maneno maarufu ya swahaba wa Mtume aitwaye Umar bin Khatwab wakati wa kubusu jiwe alitamka wazi kama kuliambia yeye ana yakini lile ni jiwe kama mawe mengine halidhuru Wala halinufaishi amebusu kwa vile tu Mtume alifanya hivyo pia. 4. Wakati wa Mtume watu walikuwa wakipanda juu ya alQaaba kutoa adhana. Nauliza mtu anaweza kupanda juu ya Mungu wake anayemsujidia? Kama kweli wewe ni researcher kama unavyodai fuatilia haya yatalisaidia
@jumahenriquesgeraldo983710 сағат бұрын
Ukristo ni wendawazimu. Wanajichanganya halafu wanaleta upagani wao kwa waisilamu. Hivi jina la Islam tuu pekee aliwatoshi? Baado wanachokonowa wasioyajuwa?
@shifaazawadi443817 сағат бұрын
Huyo hana andiko lolote analo litoa kwenye Quran ana rupuka tu kama mwehu
@EsterMwandyange20 сағат бұрын
Jamani waislam mnao ongelea ukrito vibaya mpo weng sisi waalimu wetu hata 5 hawafiki kumbukeni mnapo tusema hata sisi huwa tunaumia
@Educatedmind-k9r20 сағат бұрын
Uislam ni hoja. Tofauti na ukristo wanafundishwa uadui juu ya Uislam
@wakeshojana20 сағат бұрын
shetani lazima ajaribu kwa nguvu zake zote kuongelea chema vibaya.....Usijali...ipo siku
@Catherine-mh8sw18 сағат бұрын
@@wakeshojanaukristo ndiyo chema?
@rizikiyahya525416 сағат бұрын
Dada Esther usijifungie milango weka akili huru fanya utafiti uujue uislamu. Kuzaliwa ndani ya familia ya kikristo isiwe sababu ya kutotafiti Imani nyingine maisha hayana KU rewind..Mola akuongoze
@HassanJabir-g2e19 сағат бұрын
Wakristo ni kondoo sio watu tena wamepotea
@MiishHassan-qm1et20 сағат бұрын
Sasa huyu hii hii Qur'an asiyo iamini kwamb kashushiwa Muhammad na mungu ndio anatumia kumtetea yesu 😂😂😂bichwa lileeee akili kisude😂
@babazungu318010 сағат бұрын
Sasa na nyinyi si mpae juu mbona nyinyi ni wafuas wa Mohammad kazikwa km ndugu zako wamezikwa😂😂😂😂 na wewe pia ukifa utazikwa tu au paa juu
@Paulo-c9z19 сағат бұрын
Jamani waislamu tunajua ya kwamba dini yenu ni dini inayo fuga majini na mtume wenu Muhammad hamjui ata alipo sasa sisi wakristo tumeamua kumfuata yesu ambae waislamu wote wanajua yesu yupo mbinguni waislamu mmepotea sana kuswali na majini hongereni kwa hili
@ISSAJR-fo5nt19 сағат бұрын
Tupe andiko basi sio unaruka ruka tu...
@bigmanfish634619 сағат бұрын
Toweni ushahidi ukiristo ni dini kama kweli
@bigmanfish634619 сағат бұрын
Yani hamuoni maandiko yafundishayo uislam katika bibilia? Ushahidi wote mnapewa bado hamuamini? Wajinga kweli nyie 😂😂
@bigmanfish634619 сағат бұрын
Walimu wa kiislam wanafaa malipo makubwa sana kwa kazi wanayoifanya kuwasaidia kuwatoa gizani
@hemedbamja319719 сағат бұрын
Sasa unamshangaa Muhammad kuwa ardhini, mbona mama yake Yesu mwenyewe (Mariam) yupo kaburini?!
@alexmukama380119 сағат бұрын
Nilikwabiyaka kama wislam ni udaganyifutu..akuna lolote nikugeuza maneno tu
@AMINGULAMRASUL18 сағат бұрын
NYINYI MPAKA MPATE AKILI DUNIA ITAKUWA IMEKEISHA
@alexmukama380119 сағат бұрын
Kwani akasema uogo anasoma maadiko mukorohani
@huseinshedrack618015 сағат бұрын
Mukorohan ndio nn kenge ww😂😂😂😂😂😂
@Alithoya-qr7di15 сағат бұрын
Ata kuandika hujui kuelewa huezi elewa soma
@MuslimYouthman12 сағат бұрын
Kwanza ana undugu na nani ?ni muislamu gani atakuwa na undugu na wewe likafiri najisi mavi choo?
@jafarinauma679812 сағат бұрын
Sasa kakosea nini hapo mtume wetu Muhammad si ni kweli yeye ni maiti na sisi tutakuwa maiti Abel kichaa kweli siyo elimu ya vitabu vya Mungu tu ata ya dunia inaonekana hajaielewa huyo dogo ana mawazo ya kijinga sana debe tupu huyu
@paulmushi242821 сағат бұрын
Kweli Abel Muhammad angekuwa mbinguni hehe Waislamu wangetambaaaa haha lakini sasa thubutuu Muhammad katulia kimyaaa kaburini ana kula adhabu ya kaburi Madinaaaaa ndiyo maana wanamtakia rehema na kumswalia kila wanapokutana kila wakutanikakapoo😅
@AMINGULAMRASUL18 сағат бұрын
YESU MWENYEWE NIMWISLAM WAPI KWENYE BIBLIA YESU KASEMA MIMI NI MKIRISTO
@paulmushi242817 сағат бұрын
@@AMINGULAMRASUL Wapi YESU KRISTO katika shahada Kasilimu akawa Mwislamu? Wapi YESU KRISTO Kaswali Sala Tano kuelekea Qibra Makka kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi? Wapi YESU KRISTO kafunga Ramadhan? Wapi YESU KRISTO kaenda hijja Makka? Wapi YESU KRISTO kaenda Muzdarfa, Arafa, jamarat kumpiga mawe Shetani, Wapi YESU KRISTO kaenda kwenye Vilima vya Safaa na Marwa, wapi YESU KRISTO kaenda Madina kudhuru kaburia la Muhammad Wapi YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI kutawadha na kuvua viatu na kuingia msikitini?😅😅😅
@salimanasser546612 сағат бұрын
Na nyeye mfateni yesu mbinguni wa kiristo msizikwe kaburini, kaburi wa achiyeni waislam wa mfate Muhammad Mkizikwa makabirini nyinyi ni wa Muhammad Makita msitake apo ukwepi mzee uta jaza udongo ulipo toka na yesu akirudi atakufa azikwe
@MohamedMbaruku-yl6dg21 сағат бұрын
Sasa wewe abed kama unaamini Qura’n na Allah karbu katika uislam akhui
@wakeshojana20 сағат бұрын
alikuwa muislamu....lakini ashatoka kwenye giza hilo
@MohamedMbaruku-yl6dg20 сағат бұрын
@ akili hana
@Paulo-c9z19 сағат бұрын
Ataki tena ku😅Wa na wafuga majini @@MohamedMbaruku-yl6dg
@cheapunderage82287 сағат бұрын
@@wakeshojanakwa hoja zip wkt njaa na Ujinga unamsumbua
@masoudnzowa460818 сағат бұрын
kwa hiyo ibrahim, musa, nuhu., na wengineo si wabora kwa mungu?.... yesu ni role model. lln sisi waislam tnaamini mitume wote, akili finyu sana!!!