Wewe Daniel unapotosha wakristo wenzio kuna mitume mingi Mungu kaleta na wote wamekufa sasa katika akili yako mitume hiyo iliyokufa na kuzikwa je Mungu hawajui hacha kudanganya watu Mungu atakuchoma moto
@dailantz40732 ай бұрын
Mimi nikiwa na umuli mwaka 12 hau 13 nishawakuona tukio rakushagasha sana nata kikimwambia mtuleo hata hamini kabisa hata sema uongo kwa sababu mimi ndoni meona hacha ibaki mimi ndiyo muonaji yote kila hanaye hamini chakwaki hakafanye kwamoyo wake ote iwendivo hau apana mungu hana ushilika na yoyote ila hanatupenda tutende vile kama asemavo uduma yamtu ibaki kama ilivo na mungu wake
@isaacmligo91877 ай бұрын
Moja ya walimu ninao wakubali sana❤
@rashidmaulid73126 ай бұрын
Sikuelewi
@DAVIDMAGHANGAАй бұрын
Asante mtumishi tumejua
@mussaabobakar75376 ай бұрын
Nan mwengine hajui huyu mzee anaongea nn jan hamuelew
@ramadhanijuma60827 ай бұрын
Duuu wa kristo kuweni na msimamo na kuja kwa makanisa na wanabi wake watu
@abdallaabdalla9986 ай бұрын
Huyu mtangazaji mwaka utakapomaliza atakua ameshajua ukweli upo wapi😂
@SIMULIZIZONE6 ай бұрын
@@abdallaabdalla998 😂😂nitajua kweli
@Chrishenryson-beats7 ай бұрын
Me nimeelewa kumbe wote tulikua wakristo tu. Sema tulikuja kuasi. Maana haya mambo yalikuja baada ya Yesu.
@georgekimasaofficial16297 ай бұрын
Daniel huwa napenda kwasababu unaongea ukweli mtupu👏👏
Ukristo umeletwa na Sauli anayeitwa Paulo, Yesu hajaacha ukristo ulitungwa na Paulo ....
@designdesign44266 ай бұрын
Mtangazaji anauliza maswali yaliyonyooka lakini mjibu maswali maelezo mengi yasiyojibu swali lililokusudiwa hizi dini ni navitabu vilitungwa kwa ajili yakizazi hiki kisicho na uelewa ndo maana wamechapisha na picha ya yesu ananywele ndefu mzungu alf shetan pichayake ni mtu mweusi anamapembe yani vurugu tupu
@mbukumagiubukumagu4067 ай бұрын
Nakuliza wewe umesema kuwa wakiristo wote hakuna anayepinga kuwa Yesu ni Mungu mie ingelikuwa shafi kaniruhusu ningekuomba tufanye mdahalo
@mbukumagiubukumagu4067 ай бұрын
Mzee upako kazemat Jesus sio Mungu je yeye si mkiristo
@daudimichael73387 ай бұрын
Muulize yeye sasa.
@ChandeDaudi6 ай бұрын
Asilimia 65 ya lugha ya kiswahili ni kiarabu
@rashididunia74727 ай бұрын
Ustadh swahili ndogo sana ila unakwepa kuyajibu 😂😂😂Maana ya DINI ni njiaya iliyo nyooka kwa kumwelekeya Mwenyez Mungu
@AziziPonera4 ай бұрын
Na uzima wa milele ndio huu wakujuaye wewe mungu wa pekee na wa kweli na yesu kristo uliye mtuma,.uso wako unaonesha unaongopa,waambie waumini wenu ukweli ukristo sio dini bali ni jina la mtu
@mussashaha-iv7gg6 ай бұрын
yaani huyu jamaa hata mm peke yake na mueza yaan mwanzonilimuona ana akili kweli kumba hamnazo
@JamesMoses-jd1yq6 ай бұрын
Ndacha hana mpinzani angekiwa hapa angejibu sahihi
@samphiltz29386 ай бұрын
YESU HAKULETA DINI YOYOTE/YESU HANA DINI.
@JamesMoses-jd1yq6 ай бұрын
yesu ndio njia soma bibilia
@kaoretosha66686 ай бұрын
Njia ya wapi.....?
@ashrafnuru64026 ай бұрын
Ety mwanzilishi wa ukristo ni yesu ambayo yupo hai, wapi yesu kaazisha ukristo Acha uongo
@injilinjeyakutazakanisa6 ай бұрын
USTADHI DANIEL, upo Biblia ni jibu?
@SIMULIZIZONE6 ай бұрын
@@injilinjeyakutazakanisa Ndiyo, anafanya huduma huko
@ChandeDaudi6 ай бұрын
Neno dini linatokana na lugha ya kiarabu
@mbukumagiubukumagu4067 ай бұрын
Mimi ustadhi Daniel nakuliza lakini unijibu .Jesus pray to God? The father If Jesus God 😂then why did hé pray to himself?
@halifaisuja5082Ай бұрын
Muuliza swali kakuuliza hz dini kazi yake nn lkn unajichanganya...yaani unaonekana na upungufu
@samsonkariuki96967 ай бұрын
Yesu anatokea watu mimi nishaidi nivile sote atutoshei kwavyobo vya abari huyu Daniel nimkristo lakini kusemakweri yesu yuko na ameshanitokea 1999 mobasa kenya dani ya nyuba yangu kanionya nyabi baya ninyoshe jiazangu niedekanisani
@DodomaTanzania-r5z7 ай бұрын
Alikuwa jini
@mtz55827 ай бұрын
ACHA mambo ya filamu bana. Au ni ile.picha uliyotinduka
@JumaJafary-xz8jm7 ай бұрын
Mh uongo huo.
@HatibuHatibu-cd7hs6 ай бұрын
@@mtz5582 hahahaha
@rukiakadzo80536 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@halifaisuja5082Ай бұрын
Yaani wewe mwankemwa hamna kitu ndiyo maana Ndacha anakuchalenji